HUYU NDIYE MZUNGU ALIEKIFANYA KISWAHILI KUWA LUGHA YAKE YA KWANZA/AMILIKI BAND YA TAARABU ZANZIBAR.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 бер 2020
  • #Sittiandtheband #Rolenz #Badawi

КОМЕНТАРІ • 78

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 4 місяці тому

    Mtasha wa kitaa👊👊👊

  • @user-nu9tn4tk8c
    @user-nu9tn4tk8c 8 місяців тому

    Jamani hadi raha

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 2 роки тому +2

    Jamaa ana confidence Masha Allah ...naongea and he is proud to be an African japo sio mwafrika

  • @mc-shaulinsingeristmsomi3903

    Muafrika uyoo

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 Рік тому

    Safi sana

  • @lillianm.munyao7793
    @lillianm.munyao7793 2 роки тому +3

    Waah! Kiswahili kisaaaaaaafi sana👌👌

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 роки тому +4

    amewezaa sana

  • @shabaniguma8696
    @shabaniguma8696 2 роки тому +1

    Huyu anaongea kiswahili vizuri kuliko bongo zozo

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Рік тому

    Anajua vizuri hana ile ya kwetu la na ra ngumu

  • @jabirmfaume2175
    @jabirmfaume2175 Рік тому

    Jamaa anachapa lugha poa sana... Hata huwez jua...

  • @realswahilicultural8140
    @realswahilicultural8140 7 місяців тому

    Mwandishi Yuko emotional alafu emotional inamblock kupata content jinsi inavyotakiwa

  • @blenfikru5012
    @blenfikru5012 4 роки тому +6

    Unaongea kiswahili kitamu sana

  • @mwanasitidettwiler9254
    @mwanasitidettwiler9254 2 роки тому

    Safi kabisa💯✅️👏👏👍

  • @saleemass9690
    @saleemass9690 2 роки тому

    Duu kweli aliamu kuijifuza kiswahili anaonhea vizuri tu

  • @moneycreator5736
    @moneycreator5736 3 місяці тому

    Hy

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 9 місяців тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍。

  • @youngteo5341
    @youngteo5341 3 роки тому +6

    Mashallah unaongea kiswahil fasaha

  • @King-Buda
    @King-Buda 2 роки тому +1

    Nakumbuka Wimbo wake wa Shika bomba

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 роки тому +2

    Unaongea vizuri kwa adabu na kistaarabu sana kuliko hata vijana wetu watanzania wenyewe au wajitia uzungu au waongea kihunihuni tu!!

  • @ahmadhaji9293
    @ahmadhaji9293 2 роки тому

    Kiswahili cha Zanzibar kabisa

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 роки тому

    Yuko vizuri Kwa kiswahili

  • @merytarimo7868
    @merytarimo7868 2 роки тому

    Hongera

  • @dalahomtz
    @dalahomtz 3 роки тому +1

    Ushanielewa anavo isema kma utasema mtoto wa mzee vuai😁😁

  • @baranimkara3907
    @baranimkara3907 2 роки тому

    Duu mashallah

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому +1

    Huyu makame safi mana mbongo. Ila umekosea kusema Raisi ni msichana.ungesema ni nama ila powa

    • @KaziDepartment
      @KaziDepartment 2 роки тому

      Hii video ya 2020 kabla hata ya Rais kuchukua kiti. Hamzungumzii Rais wa sasa. Ni kiongozi wa vikundi vyao.

  • @merytarimo7868
    @merytarimo7868 2 роки тому +1

    Vizuri

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому

    Upo FACT in SHWAHILI

  • @shamilamuhamedi7904
    @shamilamuhamedi7904 2 роки тому

    mashaallah unaongea vizuri

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 роки тому

    Angekua mbongo noma

  • @hadija846
    @hadija846 2 роки тому

    👍😍

  • @alisaghir4259
    @alisaghir4259 2 роки тому

    Bilashaka amezaliwa Tanzania!

  • @khayriyamussa6274
    @khayriyamussa6274 4 роки тому +4

    kiswahili sanifu cha kwetu zanzibar..

    • @simonkobero3601
      @simonkobero3601 3 роки тому +1

      Tanzania nzima lugha ya Kiswahili ni sanifu si Zanzibar pekee

    • @bahatihassan5413
      @bahatihassan5413 2 роки тому +1

      @@simonkobero3601 zanzibar pekee ndio tunazungumza kiswahili sanifu

    • @malota2138
      @malota2138 2 роки тому

      @@simonkobero3601 Raia ww unaandik laiya sas usanifu uko wap apo

    • @simonkobero3601
      @simonkobero3601 2 роки тому

      @@bahatihassan5413 nani kakudanganya

    • @simonkobero3601
      @simonkobero3601 2 роки тому

      @@malota2138 kijana mbona pia unamakosa ya kimaandishi

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Bass haya

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому

    Wabongo aisee eti ujachanganya lugha na hapo je anapo sema sometimes kaongea lugha ya kiswahili au ilo neno ni la kimatumbi

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 2 роки тому

    huyu Mzungu anaongea kiswahili fasaha kuliko huyo mtangazaji

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 роки тому

    Maskini mzungu anapendakiswaili

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 роки тому

    Uko vzr mzungu wewe

  • @saudaomar4918
    @saudaomar4918 2 роки тому

    Jaman huyu c mzungu kabisa 🤣🤣🤣

  • @marthaommy8587
    @marthaommy8587 4 роки тому

    Sit the band ndio wap mbona siwajui

  • @alikanji5900
    @alikanji5900 3 роки тому +3

    Lugha ya kwanza ni ile lugha unaojifunza kwanza baada ya kuzaliwa. Kwa mzungu huyo itabidi azaliwe tena ili kiswahili iwe lugha yake ya kwanza. Tambua hilo.

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 роки тому

      Vipi ikiwa lugha ya kwanza katika lugha za kigeni?

    • @alikanji5900
      @alikanji5900 3 роки тому

      @@ibnayub2374 hapo Sawa lugha ya kwanza ya kigeni. Sio lugha ya kwanza. Ni lugha ya pili na lugha ya kwanza ya kigeni.

    • @simonkobero3601
      @simonkobero3601 3 роки тому

      @@alikanji5900 ali wewe lugha yako ya kwanza ni ipi?

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 2 роки тому

      africa yangu naipenda lakini viongozi wetu wanafki, mzungu anapenda africa ni watu waupendo

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 2 роки тому

    Mzungu huyo,,,japo ni mzungu ila anaongea kiswahili bila kuchanganya kiingereza,,,ingekuwa mbongo hapo" u know,,ofcoz

  • @stanleyjacob6744
    @stanleyjacob6744 2 роки тому

    Exposure ni neno la kiswahili,,

  • @joebimack3170
    @joebimack3170 2 роки тому

    Toka zake spy tu na wizi manager

  • @robinhomesuza8906
    @robinhomesuza8906 2 роки тому

    Yani anaongea kiswahili kuliko mswaili mwenyewe sisi ,, kazi yetu utaskia una baya baba ,,kama kawa baba ,,Dua baba,, nipange jembe langu ,, nakubali kaka,, imeisha iyo 😆😆😆

    • @raymondclaud6026
      @raymondclaud6026 2 роки тому

      Kawaida tu hiyo ipo kwenye lugha yoyote ndugu inaitwa lugha ya mtaani

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Tembea wewe unafikiri lugha inaishi kwa maneno yaleyale ebu acha ushamba na mambo ya kizee

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 3 роки тому +2

    Eti anapenda mwanamke mwenye Akili, kuna mwanamke asiye na akili?

  • @benedictmhina8940
    @benedictmhina8940 2 роки тому

    Anaongea fasaha kuliko hata wakenya