Magufuli alikuwa na maono sana. Wamemuondoa lkn kwa maslahi ya mtu mmoja mmoja na sio kwa maslahi ya Taifa zima. Lakini Mungu yupo, kila kitu kitajulikana na kufungua yote. Kiswahili Magufuli alihitaji kuwa lugha ambayo itazungumzwa kila kona ya dunia kwa kuanzia kwenye umoja wa nchi za Africa ambako aliongea vizuri na walimsikiliza na wengi walipenda hata mpaka South Africa wakapewa na vitabu vyenye muongozo wa kutengeneza silabasi katika masomo yao nchini humo. RIP MAGUFULI wewe utabaki kuwa ndiye jemedali wetu wa siku zote na ambaye kwa sasa hawakuinui wala kukusema wanachukulia kawaida lakini kuna siku Magufuli utainuliwa na jina lako litawaumiza wengi na kufungwa wengi.
Kwa sasa kiswahili ki kasi balaaa, hapa USA 🇺🇸 heri ujuwe ki swahili kuliko kifaransa,kwa sasa hapa MAREKANI kifaransa kiko chini sana,Kiswahili njoo kiko juu kabisa.mimi ni mkongomani nina miaka 15 🇺🇸 🇺🇸hapa USA
Kiswahili kitukuzwe. Papa hapa jijini New York, Marekani Kiswahili kimevuma sana. Ndio lugha kubwa ya kuzungumzwa kutoka barani Afrika. Waafrika wote mahali mlipo dumisheni na kuenzi lugha yetu adhimu na azizi ya Kiswahili. Tamaduni, kaida na turathi zetu za kiafrika zimegubikwa ndani ya lugha ya Kiswahili.
Wakenya tafadhali tujumuike kupambaja na lugha ya Kiswahili. Ni dhahiri kwamba ni kanzi au dafina yetu kutoka majaliwa ya Mungu. Tusiendelee kukibweza, tutukuze Kiswahili sasa na kesho.
wazungu wote wanajua africa ni wamoja umesikia wenyewe wanasema lugha la africa sio la inchi fulani, kuja sasa Africa lenyewe wabagunzi kupitilizia hatupendane hata kidogo
@@nyembomajidi3027 UKo sawa ninaishi Ufaransa nikiwa likizo nilikirudi kazini naulizwa ikiwa nilikuwa Africa wala Hawa mpango wa kujua africa nchi gani .
Hi ni challenge kubwa kwa baadhi ya watanzania wajinga wanaoongea KISWA-ENGLISH wakifikiri huo ndio Usomi, kumbe Ujinga mkubwa....Tubadilike, tuipende lugha yetu adhimu, hata Vyuo vyetu vikuu kiswahili kiwekwe kuwa ndio lugha yetu ya Masomo yote.
Kenya ni wabara ndo hawajui kuzungumza Kiswahili lkn mkoa wa pwani (Mombasa, Kilifi, Lamu, Malindi n.k)wanakijua vizuri sana maana huku ndiko makazi ya waswahili
Hatuwezi sifia kiswahili kinapaa duniani hamna walimu kutoka tanzania wakifundisha kiswahili gramer akili za serekali yetu kutoa kingereza ktk shule za msingi na kukiua kingereza Sasa kutafsiri vipi umelemishe mgeni aekewe kifasa. Kiswahili badala yake wakenya ndio wanafundisha kiswahili lakini sio fasahaa ujinga wetu kuweke nafasi za watoto wa wakubwa badala yake tukaaua kingereza nchini
Mkenya anasema Swahili hatuna neno Swahili tanzania tuna kiswahili hawajui maneno ya proposition za kiswahili alafu mnasema kiswahili kinapaa ulimwenguni hicho Cha Kenya tuache ujinga ktk taifa letu tufute masomo mengi ktk shule za msingi na kufundisha kingereza ili watanzania wengi wapate kazi ya kufundisha kiswahili fasahaa duniani
Poaaaaa, mambo toka Brazil, ninapenda kiswahili sanaaa😍
Hongera sana karibu Zanzibar jamuhur ya muungano tanzania upate kujifunza zaidi
Kiswahili ni lugha nzuri sana napenda sana kuhongea kiswahili pia nime furahi sana tu
Kiswahili ni lugha nzuri sana tu
Magufuli alikuwa na maono sana. Wamemuondoa lkn kwa maslahi ya mtu mmoja mmoja na sio kwa maslahi ya Taifa zima.
Lakini Mungu yupo, kila kitu kitajulikana na kufungua yote. Kiswahili Magufuli alihitaji kuwa lugha ambayo itazungumzwa kila kona ya dunia kwa kuanzia kwenye umoja wa nchi za Africa ambako aliongea vizuri na walimsikiliza na wengi walipenda hata mpaka South Africa wakapewa na vitabu vyenye muongozo wa kutengeneza silabasi katika masomo yao nchini humo.
RIP MAGUFULI wewe utabaki kuwa ndiye jemedali wetu wa siku zote na ambaye kwa sasa hawakuinui wala kukusema wanachukulia kawaida lakini kuna siku Magufuli utainuliwa na jina lako litawaumiza wengi na kufungwa wengi.
Kwani hiyo issue ya kiswahili kidunia alianzisha huyo?
Nakupend sana kiswahili ntakitumia hikihiki hata nkiwa nnje ya nnchi yangu
Wahoooo jamaniiiii am so proud to be Tanzanian lady
Ongera sana
Kwa sasa kiswahili ki kasi balaaa, hapa USA 🇺🇸 heri ujuwe ki swahili kuliko kifaransa,kwa sasa hapa MAREKANI kifaransa kiko chini sana,Kiswahili njoo kiko juu kabisa.mimi ni mkongomani nina miaka 15 🇺🇸 🇺🇸hapa USA
Safi mwana
Hatarani "Hatarini"
Kiswahili kitukuzwe. Papa hapa jijini New York, Marekani Kiswahili kimevuma sana. Ndio lugha kubwa ya kuzungumzwa kutoka barani Afrika. Waafrika wote mahali mlipo dumisheni na kuenzi lugha yetu adhimu na azizi ya Kiswahili. Tamaduni, kaida na turathi zetu za kiafrika zimegubikwa ndani ya lugha ya Kiswahili.
Mashallah, nice 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Safi sana
Naipenda lugha yangu
Kabisa kiswahili na kizidi kupaa mpanka siku Moja iwe lugha ya Dunia nzima
Safi Kabisa!!
Kiswahili kidumu
Big up
Inakua kwa kasi sana
Hongereni.
Ma sha Allah beautiful vzur
Swahili to the world
KUTOKANA NA KASI KUBWA YA WATANZANIA WENGI KUJIFUNZA NA KUPENDA LUGHA ZA KIGENI KIKIWEMO KINGEREZA, ITAFIKA WAKATI WAZUNGU WATATUFUNDISHA KISWAHILI !
Jinsi roho ya ukoloni inavyoonekana kudumu baina ya ulaya, Marekani na Afrika huenda kwa kuhuzunisha ukawa sahihi
🇹🇿🤝
Amakweli kila moja ana shida yake wengine wanataka kujua kiswahili mm nataka kujua ingilishi Mungu anisaidie
R,I,p JPM shujaa wa Africa
Alikuwa mswahili fasaha eeh ??!!
Safiiiiii sanaaa
Nilikiskiza Kiswahili kwenye Tamthilia yo Boba Fett
Wahoooooo,
Asante
Basi tuseme, "ni vyema"
Amani amani sana, Amen,
Dah bora
Mzuka sana
Safiii ineka safi
Binti wa kijapan ndio kanikosha xn, aje akae kwangu nitamfundisha zaidi
Naskia Raha Sana lkn nammisi Sana Rais Magu...
Nammisi ni "Namhamu" hiyo ndo msamiati halisi kutumika kisarufi.
hapo enyewe hukuzungumza swahili
Wakenya tafadhali tujumuike kupambaja na lugha ya Kiswahili. Ni dhahiri kwamba ni kanzi au dafina yetu kutoka majaliwa ya Mungu. Tusiendelee kukibweza, tutukuze Kiswahili sasa na kesho.
Kiswahili kitukuzwe
Hhhhhj kiswahili lugha ya africa nzima
wazungu wote wanajua africa ni wamoja umesikia wenyewe wanasema lugha la africa sio la inchi fulani, kuja sasa Africa lenyewe wabagunzi kupitilizia hatupendane hata kidogo
@@nyembomajidi3027 UKo sawa ninaishi Ufaransa nikiwa likizo nilikirudi kazini naulizwa ikiwa nilikuwa Africa wala Hawa mpango wa kujua africa nchi gani .
Wow!!!
Hi ni challenge kubwa kwa baadhi ya watanzania wajinga wanaoongea KISWA-ENGLISH wakifikiri huo ndio Usomi, kumbe Ujinga mkubwa....Tubadilike, tuipende lugha yetu adhimu, hata Vyuo vyetu vikuu kiswahili kiwekwe kuwa ndio lugha yetu ya Masomo yote.
Damn
*HAWA MASETLA HAWAFANYAGI MAMBO KIHOVYO HOVYO, WAPO KWENYE MAANDALIZI YA FAIDA YA KUDUMU*
alafu pumbavu wa insta kutwa kujishaua kwa kuongea kama hawajui kiswahili vizuri..
Hao wamarekani Ushuzi tuu walitukoloni na sasa wanajimilikisha na maneno yetu
😂😂😂
Kalaga baho
Old video
Huyo Jesika ameolewa? Nimempenda
Mcheza kwao hutuzwa
Hao wazungu wana soma kiswahili na wana jifunza mbini mpya ya kuimba
🤣🤣🤣🤣
sasa utashangaa mtu yuko Kenya tu hapo na hawezi kuzungumza kama hao jamaa alafu kiswahili ni lugha yao ya Taifa
kiswahili ni lugha ya Taifa nchini Tanzania sio Kenya
Kenya ni wabara ndo hawajui kuzungumza Kiswahili lkn mkoa wa pwani (Mombasa, Kilifi, Lamu, Malindi n.k)wanakijua vizuri sana maana huku ndiko makazi ya waswahili
Wacha kuwa mshenzi, ushawahi kuja Kenya ukaona watu hawajui Kiswahili
Blad fuckin, nyi wote
Ubaya ya Wakenya kwa ujumla no kuitehemu lugha hii adhimu. Sikitiko kubwa.
Mbona kama mnailudia hii habari
wanajipendekeza 😂