MSWAHILI NI NANI #2 | ABDURAHIM ALI BAKATHIR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 сер 2024
  • MAWALI MEDIA

КОМЕНТАРІ • 137

  • @nzokolomuteti1
    @nzokolomuteti1 5 років тому +6

    I can listen to this elder all day long without getting tired. He is a walking history book

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 2 роки тому +4

    Assalaam alaykum ustadh Abdurrahim. Asante sana kwa maalumati muhimu kama haya. Umenitia hamu kuifanyia utafiti zaidi lugha ya baba yangu - kimakunduchi. Allah akujaze kheri na akupe umri na afya.

  • @medudesignstudio7306
    @medudesignstudio7306 5 років тому +8

    i do love my fellow swahilis do you?

  • @arqamhassan6302
    @arqamhassan6302 5 років тому +4

    وقل رب زدني علما

  • @omarhassan23
    @omarhassan23 5 років тому +13

    Asante sana kwa Elimu nzuri

  • @amehassanrehaniznz737
    @amehassanrehaniznz737 2 роки тому +3

    Mungu akupe maisha marefu na yeny kher ndan yako umetufunuwa vichw tulioweng tulikua hatufaham

  • @ramadhanbaraka6474
    @ramadhanbaraka6474 2 роки тому +3

    Mimi ni mngozi yaani mswahili mbari yangu ni mklilindini.

  • @fatmamohammed9805
    @fatmamohammed9805 2 роки тому +1

    Eeh! I really like the way you educate us. Twataka kitabu kuhusu hii history. Be blessed Amoo.

  • @robertodundo2269
    @robertodundo2269 5 років тому +3

    Abdurahim asante sana kwa kutusimulia historia ya Waswahili. Na ninakuomba kwamba, kwa vile unaufahamu mkubwa wa historia ya Waswahili jitahidi uandike kitabu iwe kama kumbukumbu la utamaduni wenu.
    Hakuna lugha marufu kama Kiswahilli Africa.

    • @swahiliwithdavid5910
      @swahiliwithdavid5910 5 років тому

      nakuona Jatelo (David Ng'wesa)

    • @kennedymbevi9940
      @kennedymbevi9940 3 роки тому +1

      Great knowledge from abdurahim, what a great scholar. Plz document all these for posterity. As a bajuni, I find we are limited on sources of our culture that is not on print or online

  • @Binjaafar005
    @Binjaafar005 11 місяців тому +1

    Abdulrahim ali bakathir wakiungana na istanmbuli aah kwisha tushachukua pwani yetu

  • @medudesignstudio7306
    @medudesignstudio7306 5 років тому +4

    This knowledge should go on wazanzibari twaupenda uswahili wetu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      Ni huko ndiko Uislamu umepamba moto na Ujanja mwingi

    • @viva0015
      @viva0015 2 роки тому

      Wazanzibari walitokea mainland ndio wakavuka wakaenda kisiwani Zanzibar. Watumbatu, wahadimu na wamakunduchi walitokea Kwale County (South of Mombasa) pamoja na wapemba ambao asili yao ni Wabajuni. Wote hawa walitokea Shungwaya more than 2000 years ago

  • @honestyfirst2165
    @honestyfirst2165 2 роки тому +2

    Harar city was established by sheikh Abaadir the ancestor of assorted communities called Harari and somali clan sheeqaal. Harar communities included mixture of arabs, Greeks, Turks, Ethnic Ethiopians and Somalis.

  • @barghashbinsaid9414
    @barghashbinsaid9414 Рік тому +1

    Ww hujui histori bajuni ni mwarabu na bantu kutoka shungwaya huna hata haya nenda ukafundishwe histori vizuri

    • @mawalimedia
      @mawalimedia  Рік тому +1

      @barghashbinsaid9414 Nikafundishwe historia ya urongo? Mutadananywa inni vadhuka mukose hakizenu

  • @aliathuman2078
    @aliathuman2078 2 роки тому +3

    Waswahili ni wahabeshi ama waethopia walioishi pamoja na mijikenda shungwaya lakini asili ya hawa waswahili ni uhabeshi...wao wana lugha asili na kwa vile waliishi pamoja na minikenda kule shingwaya wana maneno ambayo wamegawa na ni marafiki wa tangu jadi....asili haswa ya watu wenye nywele za singa ni bara la kati japo baadhi ya makundi walivuka hadi kazkazini mwa Afrika na kutawala eneo pana la kazkazini mwa bara la Afrika

    • @viva0015
      @viva0015 2 роки тому

      True and not true. Waswahili wameingiliana na mijikenda 400 years ago ndio hawa waswahili daraja la pili

    • @aliathuman2078
      @aliathuman2078 2 роки тому

      @@viva0015 waswahili wapo aina nyingi kunao wa mvita, amu, wa manga na makundi mengineyo na kila kundi hapa lina asili yake...hawa wa manga ndio kundi kubwa lililochanganyikana na mijikenda na pia walitawanyika hadi pemba kwasababu wao walikua wafanyi biashara.. baadhi ya wa Amu wana uhusiano na kiasilia na wasomali,wa ethopia wa eritrea..wanaitwa watu wa (kush) cushites

    • @viva0015
      @viva0015 2 роки тому

      @@aliathuman2078 wamanga ni waomani na wayemen ni hadhrami. Hadhrami ndio walifika mbele ya waarabu wengine wote. Indonesia kuna hadhrami wengi kuliko walioko yemen, India mpaka Madagascar. Hao unaowazungumzia ni daraja la pili bali sio wambari au waasili au wanati. Waasili ni watikuu na wabarawa ambao wako Barawe (banadir coast of somalia), kismayu ni wabajuni na Gobweyn ni wa kuday pia moja wapo jamii ya wabajuni hadi Kisiwa cha Koyama

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 5 років тому +4

    Vp unasema watu wa unguja.na.wapemba sio waswahili sisi ni waswahili halisaaa kimila.na kilugha pia. Tunajiita wapemba kwa kua tumezaliwa pemba. Ni kama ulivosema kuwa hao wangozi walipoitia baraka wameziita wabarawa.au walipofika ami wakaajiita.amu.

  • @user-ye9er3gr5k
    @user-ye9er3gr5k 4 роки тому +6

    Wabarawa sio waswahili boss..., Usidanganye watu

  • @guledabdi74
    @guledabdi74 2 роки тому +3

    Masjid Kiblateyn ipo SOMALIA pia Wasomali ni watu wa kwanza kukubali Uislamu

  • @abudimuddy517
    @abudimuddy517 3 роки тому +3

    M'barawa mwenyewe kiswahili hakijui wala hakielewi alafu walazimisha waitwe waswahili

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 Рік тому

    Ila mashallah uko vizuri

  • @user-eg1cg8nw5b
    @user-eg1cg8nw5b Рік тому

    Hapo kwa wamtang'ata nimekukubali ni ela nenda au awa yaani kuenda ukantangie ni kutafuta asumani mswahili haswa athmani humuita asumani

  • @111dudi
    @111dudi 6 місяців тому

    Huwezi kuutoa uarabu katika uswahili. Lugha,mila na desturi za kiswahili zimetoka ndani kwa waarabu

    • @SWABRASWALEH-nc2lf
      @SWABRASWALEH-nc2lf 3 місяці тому

      Warabu walikuta watu wakishi mwambao wa pwani ndio hao waswahili kuishi na wao kwa mda mrefu ndio lugha pia ikaingiliwa na kua mix na kiarabu. Kama kiswahili cha leo kimekua kama cja kibara kama kinyesi, buriani hizi lugha zimetiwa katika kiswahili kwasababu ya wageni

  • @muvunyinshimiyimana0
    @muvunyinshimiyimana0 Рік тому

    Uyu mzee nimubishi anaonekana kbsa.

  • @medudesignstudio7306
    @medudesignstudio7306 5 років тому

    waswahili tuwe pamoja tusitafute sababu za kubaguana

  • @geoffreysoloshija1909
    @geoffreysoloshija1909 2 роки тому

    Kiswahili kisukuma
    Moja. Solo
    Mbili. Bhili
    Tatu. Lyato
    NNE. Nhine
    Tano. Satu
    Sita. Tandatu
    Saba. Pungati
    Nane nane
    Tisa. Kenda
    Kumi ikumi
    Kutoka Tanzania bara northern western Tanzania southern of the shores lake victory

    • @eastzooadmin6416
      @eastzooadmin6416 2 роки тому +1

      Kimijijenda
      Moja - Mwenga
      Mbili - mbiri
      Tatu - tahu
      Nne - ine
      Tano - tsano
      Tendatu - tendahu
      Kenda - chenda,
      Haya maneno yote ni ya kimijenda yakageuka kuwa kiswahili baadae

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 Рік тому +1

    Ila unazungumza kiswahili cha ZANZIBAR HASAA

  • @abdallahshee1085
    @abdallahshee1085 4 роки тому

    Kwly kabisa asili zetu zinapotea

  • @saliscorner7980
    @saliscorner7980 2 роки тому +1

    Beautiful🥰

  • @yusufchesui5771
    @yusufchesui5771 4 роки тому +1

    Aaaah

  • @francismuiruri9064
    @francismuiruri9064 3 роки тому +2

    Where is the history he is talking about? Which books?

  • @mideyeadde1470
    @mideyeadde1470 3 роки тому

    Hey! Eti mpaka Mogadishu ni swahili land. Sisi hatuna shida na ndugu zetu waswahili lakini msidae ardhi ya wenyewe.

  • @haarithomar755
    @haarithomar755 3 роки тому +2

    Wabajuni safii wako somalia kenya hakuna wabajuni wote ni wagunya

  • @alphasystemcurtstv424
    @alphasystemcurtstv424 3 роки тому +1

    Weww acha kuzalilisha wamijikenda uswahilin kwetu

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому

    Mengi unayoeleza kuhusu historia hasa kwa zanzibar unguja ukimwambiamtu moya haelewi nimuongowwe na lughayoyote inamchanganyiko baadhiya maneno yanaingiliana

  • @nasibudarbi2600
    @nasibudarbi2600 3 роки тому +3

    Wabarawa sio waswahili

    • @zeyanaharmisuleiman696
      @zeyanaharmisuleiman696 2 роки тому +1

      Wewe hujui lugha halisi ya kibarawa ni chimini ni dialect ya kiswahili

    • @blessingchanne1866
      @blessingchanne1866 2 роки тому

      @@zeyanaharmisuleiman696 hawafanani hata waswahili

    • @kevinswahili1991
      @kevinswahili1991 5 місяців тому

      hawafanani kisura au culture au maongezi au kivipi?@@blessingchanne1866

  • @chaka1897
    @chaka1897 5 років тому

    Cc:wallah bin wallah et al

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Рік тому

    Hapo kashatia Kipare aliposema ' mfungate' maana yake ya Saba! Pia kasema Kipare 'mtange Athumani' , maana yake Muite Athumani'....Sasa mbona Kiparee!!!

  • @user-us6ze8bz3u
    @user-us6ze8bz3u 9 місяців тому

    Assalaam aleikum.mimi niko na suali.mbona hawa wa morroco hili jina la fatma waliita fatima..kama sisi watu wa amu?

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 3 роки тому +2

    Sheikh wangu hapo unakosea hujatenda haki kabisaa. Najua we ni mkubwa unayatambua mambo mengi ila nakuomba hili usilete ubinafsi tafadhali uswahi umezaliwa Zanzibar, Tanganyika kikafika nakunawili mi sioni Kenya hapa. Kenya waswahili wenyewe wako hapo Mombasa nawengine wachache kando kando, sasa unataka kuleta hoja kama zile za wale wasemao eti Kilimanjaro ni mlima wa Kenya? Samahani mkuu. Ila inawezekana kabla ya wazungu kugawanya Africa inawezekana Mombasa ilikua ipo upande wa Tanzania lakini sio uswahili umetoka Kenya, Wakenya wenyewe kiswahili wanabangaiza bangaiza tu na kukisikia kwa taarifa tu afu unawapa uswahili wasiousihali lahasha.

  • @maxibgtv1332
    @maxibgtv1332 2 роки тому +2

    Harar used to be somali city not habesha

  • @user-sk8bn4zf6p
    @user-sk8bn4zf6p 3 роки тому +1

    mbona ngazija lugha yao kama kigiriama?

  • @mohamedabsi9874
    @mohamedabsi9874 4 роки тому +1

    We wapromote ugunya na ubajuni mzee...

  • @mojambili637
    @mojambili637 2 роки тому +4

    Mzee unatoa elimu ila unaongea kwa chuki na kiubaguzi sana,unaongea kifikra zako zaidi ili kutaka kujifanya bora, hayo ndio yaliyomfelisha ibilisi

  • @hudaaalhussein3841
    @hudaaalhussein3841 3 роки тому +1

    Aus na khazraji ni warabu,mpk vitabuni tumezisoma,

    • @user-sk8bn4zf6p
      @user-sk8bn4zf6p 3 роки тому

      naam lakini aus na khazraj ni makabila ya makkah na Madina na wasaudi hawana historia ya kusafiri kuja africa mashariki

  • @ramseyhusseinkhamis8258
    @ramseyhusseinkhamis8258 5 років тому

    Nyie waswahili hamuelewi histria yenu!

    • @MK-ps2gw
      @MK-ps2gw 4 роки тому

      ramsey hussein khamis si nyiye na wewe ni nyinyi.

    • @hassammohammed5046
      @hassammohammed5046 4 роки тому +1

      Waswahili hawana historia ni mchanganyiko wa kabila tofauti

  • @MohamedAhmed-ix3mf
    @MohamedAhmed-ix3mf 3 роки тому +1

    Mswahili si wahili wala lile ,lazima awe muongo akipita mwanamke lazima angalie makalio yake ,alphabeti lugha ya kiswahili haina

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 Рік тому

    Jamani ukweli mbona hamuutaki ?
    Mswahili Ni mbajuni ndie babuuu
    Mijikenda mukiambiwa siwaswahili sinakosa nyie na waswahili ni watu mbali mbali
    Lugha tamaduni mila dini mikoa tafauti na waswahili sasa Muna lazima gani mutake kuitwa waswahili???

  • @medhers1050
    @medhers1050 2 роки тому +1

    No Qiblatein is not in Lamu, but Zeila, town

    • @viva0015
      @viva0015 2 роки тому +1

      There is one in Lamu Archipelago

  • @Issa_negro
    @Issa_negro Рік тому +1

    Naam! Nimekukubali sana mzee wangu 🙏🏽... lakini swali langu ni mbona somalia kuna kabila ambao usemi wao wafanana na wadigo na wagiriama?

    • @romancymancyomarcom189
      @romancymancyomarcom189 Рік тому

      What's the name of the tribe in Somalia???

    • @Issa_negro
      @Issa_negro Рік тому

      @@romancymancyomarcom189 mushunguli

    • @romancymancyomarcom189
      @romancymancyomarcom189 Рік тому

      @@Issa_negro Ok, thanks, i know them but as Wazigula people, thanks anyway...

    • @romancymancyomarcom189
      @romancymancyomarcom189 Рік тому +1

      @@Issa_negro Because Wangazija also in Comoros island their dialect very close to Wagiriama and Wapokomo people...

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 5 років тому +2

    Unguja.wapo indigenous people wamakunduchi tena wazungumza kiswahili chao. Watumbatu. Wahadimu. Washirazi
    Pemba kuna wabajuni, washirazi ,wakojani. Tena tunazo hata family tree ya family zetu kuwa wengine walitoka barawa .ama kuhusu Ethiopia namekuskia wewe.

  • @user-ye9er3gr5k
    @user-ye9er3gr5k 4 роки тому +3

    Eti Mogadishu ilikua ikiitwa Swahili land😂😂😂 hatutaki ubajo boss.... Waswahili hawajijui wametoka wpi😂😂😂 mixture of long time

    • @ramadhanmusa2878
      @ramadhanmusa2878 4 роки тому

      Wee nini doko

    • @user-ye9er3gr5k
      @user-ye9er3gr5k 4 роки тому

      @@ramadhanmusa2878 kogo wew haujijui, mwana haramu

    • @ramadhanmusa2878
      @ramadhanmusa2878 4 роки тому

      @@user-ye9er3gr5k tumbiri Tu ww karukia mitagaa uko,ya waswaili achana nayo

    • @user-ye9er3gr5k
      @user-ye9er3gr5k 4 роки тому

      @@ramadhanmusa2878 mie ni mwaraabu na tumbiri ni wewe mswahili mnao firana mkundu Basha mkubwa wewe Tena mwana haramu hata hujui asili yako

    • @ramadhanmusa2878
      @ramadhanmusa2878 4 роки тому

      @@user-ye9er3gr5k mwarabu wawapi😅😅 house boy Tu ww waosha chupi zawamanga usjiite mwarabu

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 роки тому

    Muongo sana wewe mzee kasome tena

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 2 роки тому

      Muongo sana huyu mzee kweli nakubaliana na wee izo ni.lugha za makabila zao tu asituchanganye

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Рік тому

    Kwanini watu watoke bara waje Wawa andikie historia Waswahili. Wawahili kwanini hawakuandika wenyewe?
    Kwa Ujumla woote ni Waswahili tuu! Waafrika basi. Popote Duniania mtaitwa Waafrika tuu! Basi.

  • @amehassanrehaniznz737
    @amehassanrehaniznz737 2 роки тому +1

    Kiswahil asili yake zanzibar

    • @viva0015
      @viva0015 2 роки тому +2

      Wazanzibari walitokea mainland ndio wakavuka wakaenda kisiwani Zanzibar. Watumbatu, wahadimu na wamakunduchi walitokea Kwale County (South of Mombasa) pamoja na wapemba ambao asili yao ni Wabajuni. Wote hawa walitokea Shungwaya more than 2000 years ago

    • @kevinswahili1991
      @kevinswahili1991 5 місяців тому

      wrong

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 2 роки тому

    Kiswahili asili yake wapi kenya 🇰🇪 acha zako wee mi nakata muongo

  • @Abdikarim_baayo
    @Abdikarim_baayo 11 місяців тому

    Sasa hii hekaya yako bwana na wa Somali uliwaweka wapi na uasilia wao !?

  • @sherkyryusuf3463
    @sherkyryusuf3463 5 років тому

    Wapitakana wapi Sheikh Bakadhir?

  • @gilbertwerema9870
    @gilbertwerema9870 5 років тому +2

    Total ignorance

  • @kfastak
    @kfastak 6 років тому +3

    Kiswahili kinaanziaje Kenya kivp ndungu! Vp Tanga pangni, Bagamoyo na kilwa. Haipngk kwamba nny ni wswhili... Ila Tanzania pia ni wswhili mno kama nny

    • @bestfitpro874
      @bestfitpro874 5 років тому +4

      kiswahili kilizaliwa kenya na asili ya waswahili ni wanaoishi pwani ya East Africa from Southern Somalia to Northern Mozambique. Sio wanaoishi bara ya kenya na Tanzania

    • @hassansalim9498
      @hassansalim9498 5 років тому

      ikiwa chanzo cha uswahili na kiswahili ni shungwaya na eneo la shungwaya liko kusini mwa Somalia kuanzia Kisimaiyu na zisiwa zake Koyam Ngumi chula chovae Chandaa na mji uitwao shungwaya mpka Leo uko (Burikao )karibu na ras Kiomboni mpakani Kenya yani mijii hii ndio ilo kuwa ikiitwa shungwaya !
      leo iweje kuwa kiswahili kiliazia Kenya ???

    • @haadroon
      @haadroon 4 роки тому

      @@bestfitpro874 kenya ili aanza juz juzi hata miaka 40 haija fikisha una maanisha kenya ilikuwa kabla ya waswahili na kiswahili imeletwa na wazungu weusi aka kenya

    • @haadroon
      @haadroon 4 роки тому

      @@hassansalim9498 kenya ilibuniwa na wazungu huyo alizaliwa ndani ya ukoloni ya wazungu weusi aka kenya ya ki ukristo east africa company AKA kenya ngereza mpya! hajui kusoma ramani !

    • @maiyaal7inai260
      @maiyaal7inai260 4 роки тому

      @@haadroon wewe hujui historia

  • @shafikakrabi8490
    @shafikakrabi8490 Рік тому

    Huyu anapoteza watu

  • @fightnightmotivation7689
    @fightnightmotivation7689 2 роки тому +1

    Tandatu/fungate Kwa kimijikenda ni tandahu na fungahe alafu wasema hamukutoka Kwa wamijikenda

    • @benjaminyeri3842
      @benjaminyeri3842 2 роки тому

      Nashangaa pia

    • @viva0015
      @viva0015 2 роки тому

      Wamijikenda ni wageni walitokea shungwaya 400 years ago. Mijikenda walitoroka vita baina yao na wagalla huko Shungwaya na walipofika pwani ya afrika mashariki walikuwa wakilipa ada za wanati na Walifika 1592

  • @kitomondo
    @kitomondo 2 роки тому

    Distorted history of my people.

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 роки тому

    Ati sita ni tandatu loh, muongo huyu Mzee,mijikenda pia sita uita tandahu na sio Kiswahili

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому

      Ww mkweli si useme ww mijikenda mulikuja mukuwa watumishi na mukaolewa kasome kitabu cha Ronald ngala hamjafikisha hata miaka miatatu

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 Рік тому

    Kiswahili ni chetu ZANZIBAR🤣🤣msitwambie kiswahili kimeanzia kenya huku kimeteremka tu io sio Ukweli, UFASAHA tunao sie sio nyie

    • @sanaamedia8177
      @sanaamedia8177 Рік тому +3

      Kiswahili cha kale ni kingozi, wangozi ni Kabila ya kenya

    • @shahabdallah9407
      @shahabdallah9407 Рік тому

      Jirani hata kingereza kmeanza kwke .. usishtuke

  • @fightnightmotivation7689
    @fightnightmotivation7689 2 роки тому

    Hauezi zungumzia Kiswahili na kuwaacha wamijikenda nje, wamijikenda ndo kizazi cha waswahili ila nyie mwataka kuwa waarabu

    • @muhammadmochenje1409
      @muhammadmochenje1409 2 роки тому +1

      Leta evidence wacha porojo za shule taja kitabu cha historia wacha mawazo za chuki mzungumzaji anataja vitabu na ushahidi wewe waleta porojo hapa leta ushahidi au utowe clips zako tuone uhodari wako Ronald ngala mwenyewe alitunga Kitabu 1950 kinaitwa this is my country ametaja haswa wamijikenda walipokelewa na waswahili hapa pwani hata miaka 300 hawana hapa.leta ushahidi wacha uropokaji hapa

    • @fightnightmotivation7689
      @fightnightmotivation7689 2 роки тому +1

      @@muhammadmochenje1409 nimesoma vitabu na nimezungumza na wazee wakanipa historia ,wamijikenda walikuwa singwaya ambayo ni pwani ya somalia na hapo ndipo waswahili walipozaliwa

    • @fightnightmotivation7689
      @fightnightmotivation7689 2 роки тому

      @@muhammadmochenje1409 ronald ngala hajakosea manake waswahili walikuwa tayari wametoka shungwaya na kushuka pwani ya kenya,wamijikenda tulipotoka tukapatana nao lamu ndo wakasema ndo kule kwa wayamu (mashemeji) jiulize mbona mmjikenda aitwe mswahili shemeji,hatukupokelewa na waswahili tulipokelewa na waata na wasokoke makabila yanayoitwa walangulo hivi leo

    • @fightnightmotivation7689
      @fightnightmotivation7689 2 роки тому

      @@muhammadmochenje1409 kabla mswahili aje pwani ya kenya alikuwa wapi? jibu ni singwaya pale alipozaliwa .washirazi walipokuja pwani ya somalia waliwapata mmijikenda na mpokomo na wakachukua wake wa makabila haya wawili na wanao wakawa waswahili ,ndo maana mmijikenda alipofika lamu akaiitwa lamu wapokomo wakaita yamu kumaanisha mashemeji zao

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 роки тому

      Mm mpaka xaxa najuiliza mbona hawa wabajuni ama hicho kiswahili kina maneno mengi ya kimijikenda