Hongera sn kijan wng sultan mungu akujaalie ufike mbali zaid.. pia sharo kwa dada Aisha kutupikia vyakula vya kibongo mm npo Hangzhou ila sku nikij Guangzhou ntakuj kula mkahawan apo 😘
Wachina watu wa kazi sana..imagine hajawahi kufika bongo..lakini imebidi ajifunze kiswahili ili aende sawa na wateja wake..hili ni somo tosha sana kwa watanzania
Asanteee Millard dayo kw kuleta vpnd km hv n pia jribun kupit nchi nyng kujua ynayofnyk Kun wt haw jaajiriw il wmejiajir wenyew n wkion mmbo km hy nd wnxd kuwa n frja Hongern xn 🙏🙏👏👏
Kajifunza kiswahili miaka minne bado ana mumunya na yuko sawa. Mtanzania akisoma eglish kuanzia form one to form four akatoka hajui hata kujitambulusha mna mwita mjinga
Hapo umechanganya vitu viwili kati ya mfumo wa elimu ya tz ya miaka 4 na kujifunza lugha ya kiswahili kwa miaka 4 kwa huyo mchina, hupaswi kuringanisha kihivyo
inategemea alijifunza vip kunakusomea darasan na kukaa na watu ambao wanajua lugha mm hp najua kiarabu na huu ni mwaka wa 3 naongea kama waarabu wenyew
Mmmmh jaman nawaomba waje ,,,,tafadhali mheshimiwa Raisi Jonh pombe MAGUFULi nakuomba watu hawa uwachukue waje hapa Tanzania,,,, nakupenda sana Rais wangu naomba unsaidie waje hata nipige nao picha
Kama huwezi fungua restaurant Uchina Kama mtu mweusi anayeishi humo, kwa Nini tunawaruhusu wachina kuanza biashara kwetu, tena wanauza vitu ki bandia bandia???? Sana Sana Kenya wamejaa humo na pia waschana wa shule za secondary wamebeba miimba yao!!! Serikali hata haioni lolote Wala chochote!
semeni kweli yenu watanzania mshawekeza migahawa uko mana watanzania wengi saiv wako china washaweka zizi mnarahisisha huduma ili wakiingia wafrica waingie Tanzania
Swahili to the world...
Tanzania flag to the world.....
Ahsante.......
Yaaaah
Jack
Tunapeperusha bendera!!
@@claysonjulius6520 pamojaaaa
Hongera sn kijan wng sultan mungu akujaalie ufike mbali zaid.. pia sharo kwa dada Aisha kutupikia vyakula vya kibongo mm npo Hangzhou ila sku nikij Guangzhou ntakuj kula mkahawan apo 😘
Nassor Khatib chiiii
Hongera Sana Aisha kwa kuitangaza tanzania respect agoshi kwa kumuungisha aisha
Wachina watu wa kazi sana..imagine hajawahi kufika bongo..lakini imebidi ajifunze kiswahili ili aende sawa na wateja wake..hili ni somo tosha sana kwa watanzania
Hata wabongo wapo wanapiga kichina balaa
Justin Magotti q
Twafanana majina ya Babu Magoti..ila sielewi
Ee ase!
Hv v2 vya kawaida....kutana na mama wa kimasai hajasoma lkn anaongea kizungu na anamuuzia mzungu vinyago
Good.
I will be there kupata chakula cha nyumban. 👌👌👍👍💪🏽💪🏽
Dah mchina anabonga kiswahili wakati baadhi ya wabongo mafara wnajifanya wazungu# hongera Aisha
millard kazi nzuri kaka mungu azidi kukubariki tuzidi kuona vitu vingi
Asanteee Millard dayo kw kuleta vpnd km hv n pia jribun kupit nchi nyng kujua ynayofnyk Kun wt haw jaajiriw il wmejiajir wenyew n wkion mmbo km hy nd wnxd kuwa n frja Hongern xn 🙏🙏👏👏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hongera Aisha Kiswahili Hatareeee.
Kajifunza kiswahili miaka minne bado ana mumunya na yuko sawa. Mtanzania akisoma eglish kuanzia form one to form four akatoka hajui hata kujitambulusha mna mwita mjinga
Hapo umechanganya vitu viwili kati ya mfumo wa elimu ya tz ya miaka 4 na kujifunza lugha ya kiswahili kwa miaka 4 kwa huyo mchina, hupaswi kuringanisha kihivyo
inategemea alijifunza vip kunakusomea darasan na kukaa na watu ambao wanajua lugha mm hp najua kiarabu na huu ni mwaka wa 3 naongea kama waarabu wenyew
Hahahaahhahhaahjahahhajajajaaj nimecheka kwanguvu😂😂😂😂😂😂😂
Do minne... Tusijisahaulishe 7 ya primary 🤣🤣🤣
englishi ya skuli ni ya somo sio ya lugha
Kama unangalia 2019 gonga like hapa😎😎😎😎😎
Hyo kalii😄😄 Ugali mlendaa china, kwanza anapata wap muda wa kupika vtu vyote hvyo na yupo mwenyew
Yupo na mumuwe . acha kukurupa
apo kwa maini nilikua nimesikia kama kasema mende😂😂😂😂lakini nipoa nimeipenda ongela sana aisha mwanamke kazikazi💪💪
uwiiii wewe utanivunja mbavu mwaya duh!
Nimechekaaa uwiiiii
.
😁😁😁😁
Asante sana wachina wote tunawapenda pia najivunia kuwa Mtanzania.
Aysha niajiri bas na mm jamani niko Beijing nikupikie vyakula vya kitanzania🔥❤😊👌
Mashaallah ❤
Mimi nipo hapa 🇨🇳 nataka kufika hapo ipo sehemu gani❤
Daah yani aisha nime mkubali sana aisee yuko vizuri
Yani Mimi.miaka 35 sijui kichina
Nime ingia china kama nime kuzidi umri lakini sasa nakiUngumza... sasa takriban miaka miwili nimekuwa huku...
Unayo nafasi..🇰🇪🇹🇿
Teachingtruth Missionafrica Kichina kigumuu bhna 😂😂😂
Haha ua point killed me
😂😂😂😂😀
😂😂😂😂😂
Aisee Aisha Anaongea Kama Chiriku 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂Umeonaaaa
😂😂😂😂😂
@@muniraabdul205 😳😳😳
🤣🤣🤣🤣🤣
Agoshi vizuri sana bro umepiga boonge la atua enzi ya ilala hakuna aliekuzania ivi cku 1.. Good
Yaani huyu anafaa apewe uraia kabisa maan na ameutangazia ulimwengu kuhusu tamaduni za ki kwetu
Wow nime Kupenda Aisha mnaubunifu.
Kweli kiswahili kigumu umejifunza miaka 4 alaf unaongea hvo hhhhhhh hongera dada aisha
Wow wow....
Am sri lanka 🇱🇰
Kalu 💓
Asanteni ayo tv mnawork hard kutuletea habari
Aysha mchina vs Juma sharobaro
Ha ha haaa ingependeza sana!
Ha ha haaa ingependeza sana!
Uwiii Agosh hatar sana ,Agosh mwenyewe mpishi huyo ni hatareee 🙌🏻🙌🏻🙌🏻,Mchina mbele ya hela anaweza chocolate
Duh sawa sawa 😂❤️🤗
I do like that hakika Naipenda TANZANia yangu...
hlo zege lake mashallah😋😋😋😋😋
Aisha miss u mom soon I'll be here
Good job hongera Aisha
Saaafi Kiswahili hicho
Mmmmh jaman nawaomba waje ,,,,tafadhali mheshimiwa Raisi Jonh pombe MAGUFULi nakuomba watu hawa uwachukue waje hapa Tanzania,,,, nakupenda sana Rais wangu naomba unsaidie waje hata nipige nao picha
Nimempenda huyu dada,Aisha aniajiri mm niwe nawapelekea wateja vyakula walipo
MimiNimeipendaHyoSuruariYakakaYanjanoooo😃😃😃😃
Safi sana Mllard
Ubosh au agosh Alhamdulilah umetengenea
Jamani jamani 😝😝😀😀😀😀😀 yaani made in China mpaka chakula Cha kitanzania😄😄😄
Waoooooooh Aisha
I lov u Aisha bure bure!! 😂🤣😂😂🤣
Nani aliesikia lafudh ya kichina kwa mtangazaj gonga like twende sawa
Safi sana Aisha nimependa kiswahili chakoo
Hongera sana Aisha karb Tz
Good
Tanzania watu na mzuli😂😂😂😂😂😂😂
Mashallah Aisha
Hongera sana Collage mate wangu Sultan lakini unatakiwa uwafundishe Kiswahili Fasaha ili wakifahamu. Mpe hi Cameraman wako Mohammed HB
My name piga kazi safii sana
Afro dj anawaigizaga sauti sana
Aisha karibu sana Tanzania😀
mko juu hongeren
Hatari fire
hongera dada mchina
Duu! Hatari sana
Hongera sana Aisha
Mashaallah .
Hongera AISHA
Hongora aisha
Safi sana👌
Mchina ashindwi
Mtangazaji unaharibu Kiswahili MGAHAWA UNAITA MKAHAWA
😂😂😂kiukweli nimempenda
Nimepata kitu kutoka kwa Aisha asante millardayo
Yaani anajua Sana, mm miaka 3 sijui lugha ya watu
Maashaallah
Safi sana Bibi AISHA
Adiraha jamani mungu ajalie Aisha kiwasaidia watanzania huko
Nice inapendeza kuona Tanzania ipo juu mpaka china
huyo aisha anapata taabu kuongea kiswahili 😂😂😂
😍😍wow
chips mayai yake inaonekana hatari!!
Umewaza Kama mimi
Mmh sili kwa mchina hata kidogo hata akipika vyakula vya kikwetu bado siwaamini naona kama watanilisha chura
😂😂😂😂😂hutaki ujinga
Njoo China uone kama hutokula
Ninakula mbogamboga basi, na maharage
Hongera sis
Hatari Fire
Ahahahahah
Safi sana Bi Aisha
Hongera Sana Mjasilia Mali Aisha
Kazi Kazi
Maishaallah bi Aisha 😂
Tanzania😍😍😝😋😗😙😘
Safi sana Aisha
Aisha wangu nakupenda
Duuuh safi saana
Nimependa kumbe hata kuna watu wanaamini tz ipo na pia inatamaduni zake
Nakubali siku nikipata bahati nikija apo ndio mahudhurio kibao
Daaah aishaa
Namjua huyu nachakula chao nimekula sana
Aboshi mashine imesimama😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂✌
acha zako ww
❤❤❤❤❤😂😂😂
Shikamoo kiswahili saf china
😂😂😂😂 waaaa mtoto wawili
Kumbe hata wachina Wanasema wafrika wanafanana nilizani wafrika tu ndo tunafikiria wachina wamefanana
Sisi tunafanana rangi hao wanafanana sura.. wale ni watoto wa baba mmoja
Kiswahili cha 🇰🇪 Kisha Mombasa ndio kiko Sawa coz wanazungumza vizuri
Kojoa ukalale
Kama huwezi fungua restaurant Uchina Kama mtu mweusi anayeishi humo, kwa Nini tunawaruhusu wachina kuanza biashara kwetu, tena wanauza vitu ki bandia bandia???? Sana Sana Kenya wamejaa humo na pia waschana wa shule za secondary wamebeba miimba yao!!! Serikali hata haioni lolote Wala chochote!
Yani nikija lazima nikutafute aisha
Nzuri hii
Nice
asee afrika ni tanzania sana na jamaa kafanya kitu kizuri sana napenda sana hichi kitu alichokifanya asee
Nimekummiss mbaya Aisha
aisha mchina
Hadi raha jamani
semeni kweli yenu watanzania mshawekeza migahawa uko mana watanzania wengi saiv wako china washaweka zizi mnarahisisha huduma ili wakiingia wafrica waingie Tanzania
aje hangzoue uyo tunapata tabu sana!