BARUA YA KUNYIMWA VIZA YA USA NA SABABU ZAKE HII HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лип 2022
  • Kama umeshawahi kuomba viza (visa) ya kwenda USA, na ukanyimwa visa, utapewa barua. Barua hiyo inaelezea sababu za kunyimwa visa.
    Tuipitie barua yenyewe na ujue sababu za kunyimwa visa

КОМЕНТАРІ • 36

  • @GabriellaMakatu-jf2lq
    @GabriellaMakatu-jf2lq 4 місяці тому

    Ahsante kaka kwa taarifu tunajifunza vitu vingi muno

  • @shabanmalembo1497
    @shabanmalembo1497 6 місяців тому

    Safi sana kaka pamoja kwa elimu

  • @franknamkoko8228
    @franknamkoko8228 2 роки тому

    Asante Sana.

  • @lukelopatrick3187
    @lukelopatrick3187 2 роки тому

    Asante sana, kwa elimu hii

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 2 роки тому

    Thanks EBM,from Zanzibar 🙏

  • @reginaevance7175
    @reginaevance7175 2 роки тому

    EBM God bless you your very special kweli wewe ni baraka kwetu

  • @EllyRweu-jd2jp
    @EllyRweu-jd2jp 8 місяців тому

    Da! Kweli kbs kaka mm juzi nimetoka kunyimwa nilikua nimeomba ya kutembea na nilikua na mwaliko lkn nimekosa sijui nitapataje hiyo ya green card

  • @EllyRweu-jd2jp
    @EllyRweu-jd2jp 8 місяців тому

    Kweli kaka mm juzi nimeomba visa ya kutembea lkn nimekosa sasa nilikua nataka kujua hii green card napataje

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 9 місяців тому

    Kama ukishinda DV na ukanyimwa visa kuomba tena visa uta hitaji kuomba Dv rotary ndy ukaombe ten DV

  • @EllyRweu-jd2jp
    @EllyRweu-jd2jp 8 місяців тому

    Hello

  • @etiennefwanga
    @etiennefwanga 2 роки тому +1

    Umeniangusha sana bro, nimetafuta mawasiliano yako mpaka basi

    • @husseinpacha3462
      @husseinpacha3462 2 роки тому

      Yan we kama mim mwanang jamaa nimetafuta namba yake mpaka nimekata tamaa

  • @michaelhwago1499
    @michaelhwago1499 2 роки тому

    Hivi hauwezi kuelezea biashara za kutoka marekani kuja afrika mashariki au kutoka afrika mashariki kuja huko marekani, maana wengine wanataka fursa kama hizo tu

  • @alphanahhato6629
    @alphanahhato6629 Рік тому

    Kwema kaka me naitwa alpha Elly nahhato nimefanya application mwaka Jana ya dv lottery naomba nisadie niwe na vigezo vip kupata visa

  • @evansosoro7180
    @evansosoro7180 2 роки тому

    Am akenyan man wants ajob united state can you assist me

  • @kel_zZodicX
    @kel_zZodicX 2 роки тому +1

    #EBM FOREVER

  • @husseinpacha3462
    @husseinpacha3462 2 роки тому

    Kaka nilitaka nijuwe viza ya ukiowa marecan unapataje viza

  • @maimunamyinga899
    @maimunamyinga899 2 роки тому +1

    Mimi hata kigezo hakutiki alijaza tu tarehe 😸😆😹

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  2 роки тому +1

      Hatari, though kikawaida anatakiwa ku-tick

    • @maimunamyinga899
      @maimunamyinga899 2 роки тому +1

      Alikua na speed huyooo atakua alisahau tu.

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 роки тому +1

    Inachukua muda gan tena kuomba visa kama umenyimwa?mwezi,miezi au mwaka?

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog 2 роки тому

      Hua ni uamuzi wako binafsi lakini unahauriwa ubadilishe situation yako kwanza kabla ya kuomba. Uongeze ushawishi na vigezo ili usikose tena.

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 2 роки тому

      @@Witnessvlog 🙏

  • @peterlugomoka3605
    @peterlugomoka3605 2 роки тому

    Hii viza ya marekani kuna haja kabla ya kuomba inabidi ukasali rozali

  • @ArrivalTv
    @ArrivalTv Рік тому

    Hahahhaha hizo barua ninazo kadhaa hivi maana kabla ya kupewa viza nilinyimwa mara kadhaa

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 2 роки тому +3

    Brother EBM ahsante kwa huduma yako.
    Nina swali, mfano nimechagua kukana uraia wangu na kutaka kuhamia marekani jumla kisha kuanza maisha mapya huko US ili nijenge uchumi wa huko! ili baadae nije kua raia wa huko! hili linawezekana?

    • @raffeiystar2870
      @raffeiystar2870 2 роки тому +1

      Ndio inawezekana baada ya kutimiza vigezo mfano kutimiza miaka mitano mfululizo ukiwa marekani

    • @etiennefwanga
      @etiennefwanga 2 роки тому

      Ilo swali ndo naomba ufafanuzi

    • @ammaherman3391
      @ammaherman3391 2 роки тому

      @@raffeiystar2870 kama hauko ndani ya US haitawezekana?

  • @drepsama8027
    @drepsama8027 2 роки тому +1

    Vipi Kama umemaliza form four halafu umefanya diploma halafu haujapata ajira ya serikali lakini umehudumu kwenye sekta binafsi zaidi ya miaka miwili unatakiwa uwe na ducument ya privet secta au CV (Kama umeshinda green card)

    • @fahmijape9981
      @fahmijape9981 2 роки тому +1

      Unatakiwa uoneshe tu ushahidi hapo kama umefanya hiyo kazi kwa miaka miwili au zaidi, haijalishi kama ni kazi ya serikali au private

  • @fahmijape9981
    @fahmijape9981 2 роки тому

    Unapoingia USA kwa vissa ya green card unatakiwa kusubiri miaka mitano ndipo uweze kuomba uraia kama unataka, je unapoingia tu USA na ukaamua kujiunga na Jeshi, wakati ukiwa ndani ya jeshi pia itakulazimu kusubiri miaka mitano ndipo uombe uraia au wewe utaruhusiwa kuomba kabla ya hiyo miaka mitano?