Rais Magufuli LIVE Clouds360 | Atoa Maagizo Makali Stendi Mpya Dodoma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 334

  • @Richiemagessa
    @Richiemagessa 4 роки тому +43

    Safi sana hongera kwa clouds 360 kwa kuzijali kero za wananchi pia hongera na pongezi nyingi kwa mheshimiwa Rais JPM kwa kufatilia kwa ukaribu kero za wananchi wako kwa wanao kufatilia wanajua hukuanza leo kupiga cm na kutoa maelekezo mbali mbali hongera sana mheshimiwa

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 4 роки тому +30

    I feel pride of my motherland🇹🇿🇹🇿asante Rais wangu..MUNGU akubariki.

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 4 роки тому +23

    Ebwana!! Mkurugenzi uko safi sana hongera bro ww ni mchapa kazi unaipenda Dodoma ww ni mzalendo wa Dodoma ww geneus.
    Karibu Kondoa mjini.

  • @leonardmanyanza1058
    @leonardmanyanza1058 4 роки тому +32

    Voice of Tanzania mfariji mtetezi msimamizi mtoa matumaini kiongozi mwenye msimamo thabiti am proud of you my hero rais kipenzi cha wote

  • @tajaelmichael227
    @tajaelmichael227 4 роки тому +1

    Clouds media mnafanya kazi nzuri God bless you

  • @e.m.e.m5949
    @e.m.e.m5949 4 роки тому +21

    Kama umemuona Askari akifanya maombi,gonga like

  • @geofreybahema5118
    @geofreybahema5118 4 роки тому +13

    Alemwonaa mwambaa ana kiparaaa mwenyee hamsha hamsha ka mzotee zen akaduwaaa baaada ya kuskiaa wapgaa debee awatakiiii likes kwangu tafadhaliii note ni yule wa nyuma ya mkurugenz

  • @mhebhoamoskisimple2095
    @mhebhoamoskisimple2095 4 роки тому +46

    Huyu magufuli ni tano Tena.Mungu awe nawe.tutakuchagua kwa hasira kuanzia mbunge.diwani vyote chukua tu

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA.
      ua-cam.com/video/NRXxf9wKocs/v-deo.html

    • @agnessamuel8514
      @agnessamuel8514 4 роки тому +3

      Atawale tu jmn mpka mwisho wa maisha mm ananifurahisha sana

    • @MuslimChannelTZ
      @MuslimChannelTZ 4 роки тому

      Mimi anitawale tu siku zote! Huyu rais wangu

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 4 роки тому +42

    Safi JPM,,, Sisi maskini tukishukia stendi kuu ya Dodoma, tuwezee kununua maandazi ya 100, au 200, tununue wali maharage wa 1500, wenye hela nyingi waende hotelini kununua vya elfu10

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 4 роки тому +24

    5/5 stand sio kwa ajili ya matajiri tuu bali ni kwa watanzania wote ikiwemo maskini 💪 JPM tunae raisi wakujivunia

  • @Audilover6000
    @Audilover6000 4 роки тому +5

    Mungu akubariki sana Rais wetu Mpendwa unayewajali sana wanyonge. Tunaendelea Kukuombea.

  • @adelinaadoloph5311
    @adelinaadoloph5311 4 роки тому +4

    Hongera mh Rais, mkurugenzi,na clouds fm

  • @e.m.e.m5949
    @e.m.e.m5949 4 роки тому +37

    Kama umemuona Askari mtiifu 🤣🤣🤣,gonga like

    • @mariamtegele8606
      @mariamtegele8606 4 роки тому +3

      Saaaana hii ndio nidhamu magufuli mbele kwa mbele

  • @karimmsosa4262
    @karimmsosa4262 4 роки тому +21

    Magu genius amemkwepa swali la mtangazaji.

  • @weremamwita9740
    @weremamwita9740 4 роки тому +4

    Mungu ni mwema. Tunakushukuru kwa rais wetu mpendwa rais JPM.

  • @hashimuissa4811
    @hashimuissa4811 4 роки тому +24

    #aliemuona kamanda mwenye nidhamu..👮👮 gonga like

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 роки тому +7

    M/mungu azidi kukutia nguvu katika uongozi wako Rais wetu🙏🙏🙏🙏

  • @gervasjustn2842
    @gervasjustn2842 4 роки тому +37

    Jamani stand ni Kwa ajili ya watanzania wote,matajili na maskini, hongera sana Rais Magufuri.

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA.
      ua-cam.com/video/NRXxf9wKocs/v-deo.html

    • @kalundemalale8837
      @kalundemalale8837 4 роки тому +1

      Safi sana sana kwa kujali wananchi

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 роки тому +42

    Hivi JPM analala???anafatilia everything...i take off my hat 🎩 to this man

  • @alfredlaurent1728
    @alfredlaurent1728 4 роки тому +1

    Rais wa waTanzania wote,Mungu akujalie afya njema,maisha marefu uendelee kuwatumikia waTanzania na kutuletea maendeleo na Tanzania iendelee kusonga mbele.

  • @kingnicky2568
    @kingnicky2568 4 роки тому +17

    Ila mzee Magu ww noma.... sanaa.....nakubali sana 😂😂😂😂😂😂😂respect sana

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 роки тому +47

    Jaman m nampenda sana huyu Rais wangu hv muheshimiwa ulikuwaga wapi?

    • @djmeza411a58
      @djmeza411a58 4 роки тому

      Atanamimi najiulizaga kwanini atukumupata zamani

  • @japhethgeriad4519
    @japhethgeriad4519 4 роки тому +33

    Man of People ☺️☺️☺️

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA.
      ua-cam.com/video/NRXxf9wKocs/v-deo.html

  • @deogratiasgabriel8555
    @deogratiasgabriel8555 4 роки тому +13

    Hongera rais wangu magufuliiii miak Mia naneeeee

  • @tatunaheka4265
    @tatunaheka4265 4 роки тому +12

    Uongozi wa mh rais Magufuli unajidhihirisha wazi kuwa "uongozi ni karama " hakika M/Mungu aendelee kukutetea,akukinge na kila baya ili uendelee kuwapambania watanzania na Tanzania

  • @kimwerionlinetv5574
    @kimwerionlinetv5574 4 роки тому +16

    The President of Africa

  • @talikisiomlegehe7733
    @talikisiomlegehe7733 4 роки тому +5

    Wa ilangamoto ikweha kwa sasa nipo mafinga Tz Namshukru nawapata mubashara kabisa CLOUDS360 muweke reapet jioni

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 4 роки тому +22

    Yani wewe ni Rais wa maisha utake usitake😂😂😂😂😂💪

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 4 роки тому +7

    Daah huyu ndiye Rais, wa Dunia nzima

  • @rahelmasiga1503
    @rahelmasiga1503 4 роки тому +33

    Hiki chuma Cha chama tawala hakina mpinzani Jembe letu latosha wengine mnajisumbua tu

  • @nurumaumba713
    @nurumaumba713 4 роки тому +14

    Huyu no zaidi ya rais hata Kama uchaguzi bado but tayari kashashinda

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 4 роки тому +3

    Wajasiriamali tushindwe wenyewe sasa. Kila support ya kuinuka awamu hii ya tano zipo, ni kuchagua sekta tu ya kupiga kazi. Mungu akubariki Sana Mhe. Rais Magufuli.

  • @saidimazengo9934
    @saidimazengo9934 4 роки тому +19

    Safi Sana mh.rais Magufuli.

  • @horrormoviesgang867
    @horrormoviesgang867 4 роки тому +7

    Mzee wangu umepita Rais Magufuri uishi maisha marefu sana✊✊

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 4 роки тому +8

    Duhhhhhhhhh!! Hadi raha, Rais anaongea na watu Wa kawaida, Gooood saaaaaanaaaa%%%

  • @dianafyondi9048
    @dianafyondi9048 4 роки тому +36

    JPM jamani mungu azidi kukupingania. Kuna watu wengine kila kitu nikupinga tuu. Tukutane mwezi wa 10😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA.
      ua-cam.com/video/NRXxf9wKocs/v-deo.html

    • @shebaminde7656
      @shebaminde7656 4 роки тому +4

      Diana huo mwez wa kumi wakat wa kukutana unipitie tukamuwakilishe JPM

    • @barakarobert7003
      @barakarobert7003 4 роки тому +4

      Mwez wa 10 tutawanyoosha 😁😁

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 4 роки тому +2

      Tuchinje kabisa mwezi 10 fyekelea mbali sukuma nnjee

  • @franceyaraby4342
    @franceyaraby4342 4 роки тому +8

    A man of the people save demand. Of his people.God bless Tanzania

  • @damianmachira7535
    @damianmachira7535 4 роки тому +8

    Uyu no Raid wa Peke. Stend nyingi abiria wanasumbuka na kusumbuliwa sana.
    Big up president.
    👏

  • @hassankissakakissaka2031
    @hassankissakakissaka2031 4 роки тому +17

    Rais wa wanyonge safi san

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +1

    Mashallah, uyu Rais ni kiboko 😘

  • @hamadiharuna9974
    @hamadiharuna9974 4 роки тому +3

    Allah azidi kukulinda rais wangu

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 роки тому +45

    Afande kakunja mikono utafikiri rais yupo hapo😂😂😂🤛

    • @peternichoraus5983
      @peternichoraus5983 4 роки тому

      Hahahaha hahahaha dah watu mnafatilia sana duh na nimemuona hata mm

    • @juliustarimo1257
      @juliustarimo1257 4 роки тому

      Kumbe na wewe umeona. Kana yupo kanisani vile

    • @martinchege500
      @martinchege500 4 роки тому

      Hiyo ndio heshima sio lazima uonyeshe hata kama mkuu wako....

    • @wahidkombokhamis4330
      @wahidkombokhamis4330 4 роки тому +2

      Angekuwa anachezea simu mngesema anamdharau rais, binaadam kazi jamani

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 4 роки тому +2

      Sauti tu ya mh rais ikombali lakn vire anatoa heshima 🤣🤣 hadi raha jmn

  • @titomhagama5545
    @titomhagama5545 4 роки тому +7

    Magufuli upo vizuri sana kiutendaji

  • @bonifacebenny2733
    @bonifacebenny2733 4 роки тому +13

    Magufuli tawala maisha hadi uchoke. Utake usitake tutakulazimisha

  • @olboruimaley96
    @olboruimaley96 3 роки тому +1

    Dah! Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi baba, naumia sana nkiona pcha ako au jna lako latajwa nahc km naota vle kuwa haupo naci tena baba😭😭😭😭😭.

  • @ktvbongo
    @ktvbongo 4 роки тому +2

    Tunaahkuru mheshimiwa.wew umeletwa na mungu kutukomboa taifa lako. Ambao tulikua tunaishi ktk nchi yenye utajiri Wa kutupa pasina kutambua. Sasa tunaona nchi unavyoijenga.
    Mungu akupe nguvu uzidi kufanya makubwa zaidi lakini pia miaka 10 haikutoshi@
    Mimi nakuombea

  • @mathayodundo5433
    @mathayodundo5433 4 роки тому +8

    Magufuli ulikuwa wapii? Kwanini nchi haikukujua mapema? Mungu akutunze

  • @sameermilo2492
    @sameermilo2492 4 роки тому

    Safi sana Raisi Wetu Magufuli . Mungu akuzidishie Hekima , busara na Upendo kwa wote 🇹🇿❤️ . Viva JPM 💪🏼

  • @hellenmollel6679
    @hellenmollel6679 4 роки тому +13

    Sijawahi kujuta kukupigia kura Baba, Magufuli wetu Mungu akulinde Baba yangu

  • @elizabethkkerubokerubo6421
    @elizabethkkerubokerubo6421 4 роки тому +1

    Nimefurahi sana maghufuli baba wa watu nikiwa kenya mungu akubariki sana tena sana ...maisha marefu baba

  • @jamesdaudi9750
    @jamesdaudi9750 4 роки тому +3

    MHE Rais sina neno juu yako wewe ni genius.

  • @applemakasi216
    @applemakasi216 4 роки тому +15

    Ujumbe ushawafikia wanojifanya wanapiga madebe stend, wakapigie majumbani kwao😀😀😀

  • @erickyohana3363
    @erickyohana3363 4 роки тому +1

    This is my president!
    We give you again 5 years!

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 4 роки тому +13

    DAH SHUKRAN SANA !!!

  • @mudrikkabubakar8136
    @mudrikkabubakar8136 4 роки тому +5

    Na ndo maana napenda kumsikiliza kiongozi wetu
    Maana katika viongozi wenye Akili🤔 #Afrika basi huyu No,1 hongera sana

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому +2

    Aisee haitatokea ndani ya nchii hiii kumpata rais kama huyu huyu ni rais wa wanyonge kiutekelezaji sio kimaneno ongera saana muheshimiwa rais hapo sio heshin wakizoea migambo kupga wananchi masikn mungu mungu mungu ikiwezekana azid kuiongiza nchi hii bila uogaa

  • @jimuabdul6816
    @jimuabdul6816 4 роки тому +25

    huyu askari yuko makini hataki kucmuliwa

  • @rehemakaberege8119
    @rehemakaberege8119 4 роки тому +1

    Salute nyingi kwako baba yetu hauna mpinzani tena

  • @mahmudmlinja403
    @mahmudmlinja403 4 роки тому

    Asante sana mr. President

  • @elickjosephy29
    @elickjosephy29 4 роки тому +1

    Safi mheshimiwa rais unastaili pongezi

  • @jordanclassic7849
    @jordanclassic7849 4 роки тому +4

    Mungu akubaliki kiongozi wetu kwa damu yesu amina

    • @selector728
      @selector728 4 роки тому

      Siyo akubaliki sema akubariki

  • @othmanal-nabhany9243
    @othmanal-nabhany9243 4 роки тому +1

    Nakukubali Rais wetu Mungu akuzidishie iiman tunataman na Zanzibar tupate rais kama ww

  • @machaelmabula1373
    @machaelmabula1373 4 роки тому +7

    Wanasayansi wa nchini mnafanya nini hebu chukueni sampo kwa huyu mtu mkatuzalishi wa kinamagufuli wengi maana hii nchi inawahitaji miaka 300

  • @mjombamjomba1887
    @mjombamjomba1887 4 роки тому +1

    Kazi nzuri Mkuu Mungu akubariki kila leo

  • @mdadamzur4861
    @mdadamzur4861 4 роки тому +1

    Piga keleleeee kwa raisi wetu weeeweeeeeeeeeee barikiwa sana kiongoz wetu mdog wake na nyerere

  • @alexramadhani4082
    @alexramadhani4082 4 роки тому +1

    Asante saaaana Rais wetu mpendwa JPM Ukae miaka 💯

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 роки тому +8

    Kura zote za ndio kwa JPM jamani msirudie kuchagua hao wengine wasio na mwelekeo hawana diraa JPM oyeee

  • @wilsonmalaji4133
    @wilsonmalaji4133 4 роки тому +9

    Mungu ampe kuona mema JPM ni kwel wapiga debe ni kero hasa maeneo ya stendi

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 4 роки тому +10

    Clouds No. 1

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 4 роки тому +11

    Ni Magufuli tu ♥️♥️♥️♥️

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA.
      ua-cam.com/video/NRXxf9wKocs/v-deo.html

    • @ummyhemedy488
      @ummyhemedy488 4 роки тому

      Piga kelele kwa rais wetu weuweeeeeee

    • @herimallya3385
      @herimallya3385 4 роки тому

      Hakuna mwingine

    • @benjaminhabwendelo6606
      @benjaminhabwendelo6606 4 роки тому

      Ni MUNGU tu alitujalia kukupatia Rais kama huyu kutoka Chato mwana wa Biharamulo

    • @ezekielpeter5377
      @ezekielpeter5377 4 роки тому

      Magufuli atawale miaka 20 huyu ndie anaefaa

  • @gideonkalumbu2603
    @gideonkalumbu2603 4 роки тому +5

    Rais kama huyu Afrika ni Menta pekee barani Afrika aliyebaki akijua Africa is for Africans.

  • @saidinjera6566
    @saidinjera6566 4 роки тому

    Hongera Sana mheshimiwa Raisi hapo asilimia zote zako na Kura 2020 zako

  • @vascostanleymbisse4477
    @vascostanleymbisse4477 4 роки тому +6

    Afande ni kama haamini kuwa ni Rais anaongea😂😂😂

  • @felicianamassawe9881
    @felicianamassawe9881 4 роки тому +1

    Huyu ndiye Rais wa wanyonge Mungu akupe miaka 100

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 4 роки тому +1

    Clouds 🔥🔥🔥👍

  • @danieljumanne3643
    @danieljumanne3643 4 роки тому

    Dah kumbe rais anafuatilia vyombo vya habari dah respect sana

  • @yassinijuma4708
    @yassinijuma4708 4 роки тому

    Hongera sana raisi wetu wa chama chama tawala tz daima

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 4 роки тому +6

    Vichura hapana nimemkubali raisi

  • @michaelsimwengu7571
    @michaelsimwengu7571 4 роки тому +1

    kwa Pamoja tunalijenga taifa Mungu akubarki Jpm

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 4 роки тому +6

    Huyo asikali yupo makini kusikiliza!

  • @fatumamcharo3929
    @fatumamcharo3929 4 роки тому +5

    Chukua mitano ✋tena magu uiongoze Tz!!

  • @maiyasiraji878
    @maiyasiraji878 4 роки тому +5

    Nice mweshimiwa rais

  • @aishasmoni5881
    @aishasmoni5881 4 роки тому +7

    Masha Allah

  • @pascalmstaarabu4372
    @pascalmstaarabu4372 4 роки тому +4

    Sitaki NIONE watu WANGU wakipigishwa vichura!!!!! Jpm Kura zoooooote kwako

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 4 роки тому +6

    Safi sana Mkurugenzi na mtangazaji Safari ninyi ni wapiganajii

  • @stephanosimkoko630
    @stephanosimkoko630 4 роки тому +1

    Nani Kama Magufuli jamani? Mungu mjalie Rais wetu maisha marefu.

  • @tubeliomwagala8704
    @tubeliomwagala8704 4 роки тому

    Nampenda sanaa rais wangu mungu u nawe.

  • @abdulfatahalsisy400
    @abdulfatahalsisy400 4 роки тому +1

    Huyu raise nampenda sanaaa

  • @shabanikidaba9856
    @shabanikidaba9856 4 роки тому

    Pride of TZ president bnafsi namwelew sana baba WA TZ.
    Baba pitia na singida stand biashara zfanyke ndani ya stand na sio nje
    Viongoz wa mikoa mingne wajifunze hapaa

  • @magessakharim6435
    @magessakharim6435 4 роки тому +2

    Rais makini.
    Safi sana Dr. JPM

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 4 роки тому +3

    RAIS WA WATANZANIA WOTE ASIEJALI MASKINI NA MATAJIRI DA KAMA MARAIS WOTE WALIOPITA WANGEKUWA HIVI SIJUI TANZANIA INGEKUWA WAPI. MBALI SANA SANA . NI RAIS MWENYE UPENDO NA WANANCHI WAKE WA HALI YA JUU.

  • @paschalmashimba3584
    @paschalmashimba3584 4 роки тому

    Safi sana.
    Jpm present of Tanzania

  • @munasayed8657
    @munasayed8657 4 роки тому

    Rais wa wanyonge mungu akulinde.

  • @sarananyaro9089
    @sarananyaro9089 4 роки тому +7

    Hakuna haja ya uchaguzi kabisa,umepita kabisa,endelea tena na tena,sisi tunataka raisi anayeongea na sisi namna hii

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 4 роки тому +1

    Mh.. Makufuli tumpe like 100.

  • @richardchawenda9612
    @richardchawenda9612 4 роки тому +2

    Asante baba mungu akubariki

  • @marykibwana9413
    @marykibwana9413 4 роки тому +1

    Najuta, kupoteza kura yangu 2015,nilichukia baadhi ya watendaji katika chama, Mungu anisamehe kumbe wapo watendaji wazuri hivi. Mheshimiwa Magufuli nisamehe, Oktoba kura yangu chukua kwa 100%.

  • @kafukukalimbatila915
    @kafukukalimbatila915 4 роки тому +6

    Nimeipenda hiii🙏🙏

  • @leonidaskalumuna8350
    @leonidaskalumuna8350 4 роки тому +4

    Tunaomba pia sehemu ya ofsi za kukatia tiketi ziwe chini na waweke mabango ili iwe rahisi ,kule juu wagonjwa na wazee na walemavu wanapata shida sana.

  • @samsonkasalile1713
    @samsonkasalile1713 4 роки тому

    You are the man of the people President JPM