Nimeipenda hii interview vibaya mno. Nikiangalia wanavyojibu maswali au wanavyojieleza wote kwangu ni ukomavu wa hali ya juu na wanatumia busara sana. How a nice couple is this? . Allah awabariki duniani na akhera. Nimejifunza mengi sana. Big up doctor JJ Mwaka
Dr anahekima sana na hivyo ndivyo Allah amewahusia wanaume ...kawajua kuwa hawawezi kuishi bila matamanio lakini jee unaudilifuu ...??na ikiwa huna uadilifu basi ishi nae huyo mmoja ...mashallah wamependeza sana namavazi yao na walivyo Allah awajalie kheri na furaha
Nguvu ya kuwa bibi wa pili ninayo lakini nguvu yakumkubali mume wangu aoe mke wa pili ndo sina jamani,nimesoma lesson lakini mashaallah mungu awazidishie
Honger xna Docter kwakuwastir wanawake Kama ni Pesa Kuna watu wanapesa mbona hawajathubutu kuoa bhana big-up Allah awajaalie uchamungu dealing xna maan shetan naeeee hyko mbali👃👃👃
Razima muwe marafiki sababu hamjui shida aliopitia bi mkubwa mpaka kuipata Mali hiyo wezi wakubwa nyie bi mkubwa popote ulipo nakupenda bureee kabisa wewe ndio mke wa doctor mwaka mwenye mapenzi ya kweli toka moyoni mungu akulindie Mrs mwaka og 😘😘😘😘😘😘😘😘😘hawa wengine wamefata Mali tu😏😏😏
Mashaa Allah....sio mtanga kila kitu anakitaka yeye mpk mke mwenziwe anamgombanisha ... pamoja na watoto... duuuuh huyu mtanganiliyekuwa nae mkemweza hatari...angekuwa kama hao tungesikilizana.. anawataka watoto wng wende kwake wawe vibaraka wake
Inahitajika mtubu, Matendo ya Mitume 17:30 [30]Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu. Yesu aliongelea hili jambo, Tena kwa undani, je, hamjui kuwa mnazini?? Mke ni mmoja😭😭
Inamaana mpaka na Mitume wake ambao amewabashiria pepo watubu???? Mana wapo walooa zaidi ya mmoja. Nikisema Mitume sinamaana walokuja baada ya Muhammad s.a.w ambao wanakudanganyeni makanisani
Allah alisha sema uwoni wanawake hata wa 4 kama una uwezo wa kuwahudumia kwanzia mavazi mpk tendo la ndoa, na Allah amesema hivyo kwa sababu anawajua wanadamu vizuri kuliko sisi tunavyo jijua na amesema tuoe wanawake wengi ikiwa una uwezo kwa sababu Allah anajua kwamb wanaume hawawezi kutosheka na moja na pia kuna wajane Allah alisema wastirini
Kwa kweli nasisimkwa na maneno ya Queen nimependa sanaa anaposema anampenda sanaa mke mwenzake😍😍 kwa kweli mnanihamasisha jaman... Nawapenda sanaaa jamani sanaaaaaa😍😍 Waturuki wanasema seni çok seviyorum çok çok seviyorum😍😍
..na uzinzi wako bado unapita kura za maoni!Mungu kweli aachwe aitwd Mungu..Upendo wa Yesu unatisha!ila tubu,ukifa na hao wake zako utatupwa motoni!acha upuuzi wako wewe,mke mmoja Mme mmoja ndiyo marlekezo ya Yesu!
@@mummycute6977 kwa tafsiri ya Quran yuko sahihi mnoooo tena bado anatakiwa aongezee mke mwingine ila kibiblia hawako sahihi hata kidogo huo unaitwa uovu,kwahio inategemea nimeongelea uovu kutokea angle gani?
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi alisema hivi "Kwa maana hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja" Mwanzo 2:24 NYIE NI MIILI MINGAPI ? lakini pia "Mume ni kichwa cha mkewe na " SIO WAKEZE huyo Mungu wenu ni yupi ?
Dr.mwaka mmmmm huo sio upumbavu sema tu unauchu wa wanawake,😁 anyway ,hongera ila hapo kwa wanawake kuelewana nahisi mwenye stress hapo ni dr.mwaka mtihani unao. ❤
Mashallah ...Dr hongera sana,jambo jema,heri kuoa kuliko kuzini,Mwenyezi Mungu awazidishie baraka na upendo kati yako na wake zako na watoto kwa ujumla Inshaallah🤝
Nilikuwa namuona mstarabu sana kumbe na yy yumo siwez olewa mke wa pili na kama nikiolewa sijampenda mwanaume nimependa pesa zake, asidanganye kila mtu ana wivu hao wanawake wamefata maisha mazuri anaepata maumivu ni mke wa kwanza anaemjua vizuri tangu wakipambana na maisha wakat mwingine ni vizuri kuwa na hela ila ukiwa na mwanaume mwenye pesa ishi ukijua ni cha ote sio wako labda akiwa hana pesa huyo ndo wako. Wala mm hujanifurahisha tabia ni kama ngoz haibadilk na mda si mref utaoa wa nne na bado michepuko itakuwepo mmmh jaman 🙉
Ndyo fikra zako zako zilipoishia hapo...wapo wake wenza mume anapesa na hawaelewani hata...mkiwa mnamjua Allah kwa dhati wala katka dunia hii hupati shida na chochote..ukiishi kidunia dunia kweli shida ipo
@@mathiaszakaria7052 umeona tena ni unafiki mtupu, wakishatengana kila mtu anakuwa na umimi anafanya kila awezalo ili aonekane bora kuliko mwingine na ndivyo ilivyo hiyo Siri anaijua Dr anawaenjoy tu. Kweli wanawake bado Sana. Nawa 2 alikuwa rafiki nawa 1 Leo kashakamatana nawa 3 jamani!!!! nao wamesema kuwa wanaendana nikweli.
dah, kuna watu wana bahati sana, yaan ingekuwa mimi ndo doctor mwaka, hiyo pumbu ningekuwa natembeza hapo ndani syo ya nchi hii, yaan kwanza ningejitengenezea dawa iniongeze nguvu niweze kunyoroshana mtaa kwa mtaa
Shikamoo pesa wanaoamini pesa ndo sabuni ya roho gonga like tujuane
Mimi nimekuja huku leo baada ya kumwona Queen Bakwata akidai Taraka... Mapenzi buanaaaa!
KWA kweli tulokuja huku gonga likes... 👍
😅😅😅
Yaani
Hakika na mimi nipo na wewe Hakuna marefu yasiyo na ncha
Hata mie
Mashaallah Mashaallah Mwenyezi Mungu Azidi Kuwalinda, Nimependa Hiyo👏👏👏👏👏🙏🙏
Uongo huo
This is wrong and haram ...same bed is very wrong ..tiresome
Mashaa allah hongera Dr mwaki kwa kisimamia ndoa kwa haki halafu wamebadili dini wamependeza Sana wallah mungu azidi kuwabariki aaminy
Ma Shaa Allah Hakika Allah hivi ndivo vile anataka ndo ya uke wenza iwe Allah awadumishe katika ndoa hii Amiin
Nimeipenda hii interview vibaya mno. Nikiangalia wanavyojibu maswali au wanavyojieleza wote kwangu ni ukomavu wa hali ya juu na wanatumia busara sana. How a nice couple is this? . Allah awabariki duniani na akhera. Nimejifunza mengi sana. Big up doctor JJ Mwaka
Maasha Allah docta mwaka kwa kuwaconvert wawili , Allah akulipe na akuongoeze katika misingi ya kiisalm.
NIMEPENDA SANA HAYA MAZUNGUMZO, PIA NIMEJIFINZA MENGI, SHUKRANI ZENU NYOTE: MUNGU AWAFANYIE WEPESI. 👏
ALLAH AKBAR. kwa kawaida sio rahisi kwa hili jambo. ila ALLAH ndio muweza yote hayo. HONGERA SANA DR. NA WAKE ZAKO
Jamani uke wenza haujasilimu
🤣🤣🤣🤣
Hongera Dk Mwaka kwa kumiliki Vizuri hiyo "Mizigo" ,"Mizigo" imejisitiri Vizuri ni funzo kwetu ,tumejifunza Kitu kizuri.
Naam
FOLONATUS ZONGO mizigo tena
ua-cam.com/video/bAWxGhusG-8/v-deo.html
Ety mizigo😂😂😂😂
Dr ni Mcha Mungu...Allah ajaalie wanaume wote wa Kiislam wanaotaka kuongeza wake wapate barka kama za Dr...Aameen. Masha Allah
Bado unaamini hivi?
We dr mwaka nakupa respect sana wewe nikivutio cha dunia kuishi na mitala wake wakaelewana??? Wakati mmoja tuu ishu kubwa duuu I respect.
Ndoa ni mme mmoja na mke moja period
Exactly 💯
Huko kwenu huko. Acha mihemko
Kulala chumba kimoja na wake zake sio sawa kidini ...Allah awaongoze Inshaallah. Nimependa hii ndoa
Hahah daa wewe hujaelewa nafikili
@@khariifagabwa7911 nifahamishe sheikh wangu
@@salumkomba7682 hawashirik tendo la ndoa kitanda kimoja wana lala tu
Salum Komba uharamu umetokea wapi?
@@saymarsaymar4654 kama wanalala tuu hamna shida lakini kama wanashiriki tendo la ndoa hairuhusiwi kidini
MashaAllah, Allah ibarik, na iwe khery katika familia yenu. Natamani interview iendelee.
Wakenya wamtaka Rais Magufuli aende kwao akawanyooshe kidogo.
ua-cam.com/video/CvC54oRI9nw/v-deo.html
duuuh! uyu ndo Dr mwaka bn
@@CyimSky mmh!
MashaAllah Taabaraka Rahman Allah awadumishe katika ndoa yenu
mashallah tabaraka allah
This is areal man with principals in life I love that
Uko sahihi doctor kabisa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Nimeipenda hiyo Ndoa 👏 👏 Inshaallah, Allah ani Jaliye na Mmi
Dr.respect sana
We kiboko Kwa maisha ya sasa lakin naomba utupe siri ni nn
Mashaallah tabarakallah wajazaka llahu khayra..allah wape upendo huohuo
Tatu yussuf nakuona mke mwnzangu nasi tuzidi pendana
Halima Mbena kweli kabisa tuwe mfano kwa wenzetu..😆😆😆
Abu
haki itabakia kuwa haki tu siku zote.. na batili itabaki kuwa batili.. Allah akulipe dokta kwa uadilifu wako
Mash allha ❤🥰🥰🥰
Hongera sana dkt mwaka... Hiyo haitopatikana popote pale ni kwako
Niseme mungu amekupa zawadi
Hongera Ila kulaala na wake wawili chumba kimoja .turudini katka dini ya Allah haifai na si vizur .huo nu ukafir
Leo unalia. Tamaa ya maisha hii. Hatari sana.
Dr anahekima sana na hivyo ndivyo Allah amewahusia wanaume ...kawajua kuwa hawawezi kuishi bila matamanio lakini jee unaudilifuu ...??na ikiwa huna uadilifu basi ishi nae huyo mmoja ...mashallah wamependeza sana namavazi yao na walivyo Allah awajalie kheri na furaha
Mimi ni mkristo lkn nimempenda Dr mwaka ni gentleman.anaonekana anatoa haki sawa kwa wake zake
Nguvu ya kuwa bibi wa pili ninayo lakini nguvu yakumkubali mume wangu aoe mke wa pili ndo sina jamani,nimesoma lesson lakini mashaallah mungu awazidishie
Namuomba Mola na mimi pia anijaalie wawili tuu mwenye upendo kama hawa in sha Allah Amin
Unaela?
Honger xna Docter kwakuwastir wanawake Kama ni Pesa Kuna watu wanapesa mbona hawajathubutu kuoa bhana big-up Allah awajaalie uchamungu dealing xna maan shetan naeeee hyko mbali👃👃👃
Nimeirudia hii interview Leo, tuliokuja huku Leo gonga likes😄
😂😊😊
Hii inaitwa kuwa uyaone.mahaba yote hayo Na wamesha achana
Umemsikia kwini anasema naona kama alichelewa,wanapendana sana na mke mweza,😅😅😅😅
Queen na dokta mwaka waliendana sana wallah huyo mwengine kakaa kama House girl
Kweli sanaa
Mashaallah Mwenyezi mungu awazidishie upendo wenu na mume wenu, Yaani hadi raha,
Wakenya wamtaka Rais Magufuli aende kwao akawanyooshe kidogo.
ua-cam.com/video/CvC54oRI9nw/v-deo.html
YEAH..! Dr .mwaka.you're the greatest..Bravo.....!!!!!
Msitake kutudanganya...sura zenu tyu zinaonyesha hamna mapenzi ya kweli
Kweli
Uliona mbali😂
Heshima Dr.mwaka umenifurahisha sana umetoa funzo kubwa sana kwa jamii
Kama umeikubali kofia ya geah gonga like
Razima muwe marafiki sababu hamjui shida aliopitia bi mkubwa mpaka kuipata Mali hiyo wezi wakubwa nyie bi mkubwa popote ulipo nakupenda bureee kabisa wewe ndio mke wa doctor mwaka mwenye mapenzi ya kweli toka moyoni mungu akulindie Mrs mwaka og 😘😘😘😘😘😘😘😘😘hawa wengine wamefata Mali tu😏😏😏
Allah awajaze kheri inshallah nmewapenda wanawake wenzangu mnapendana sana
Ndoa ya mke zaidi ya mmoja mume km hatojiamini akawa smart ndipo mizozo haitoisha .honger kaka kwa kuwamudu wake zako allah akusimamie
Money is everything. Bila pesa kungekua na fujo kama zote...
Mwanaume nihela kwani wataka kuoa na hauna hela.
Even with money, I can't share a man.aende akiendanga.nonsence tupu hapa.
@@tinahpinah how sure are you that you are not sharing the man that you have now. You might be sharing na hujui. Men will always be men!!!
Vp bado money z everything 😅😅😅😂
Dr mwaka kachagua mashine haswaa wanafanana wazuri na wanaakili wako vzr mashalaah
Mashaa Allah....sio mtanga kila kitu anakitaka yeye mpk mke mwenziwe anamgombanisha ... pamoja na watoto... duuuuh huyu mtanganiliyekuwa nae mkemweza hatari...angekuwa kama hao tungesikilizana.. anawataka watoto wng wende kwake wawe vibaraka wake
😀😀😀😀eti wawe vibaraka
Alf mabrook doctor Allah awazidishie mapenzi
Inahitajika mtubu,
Matendo ya Mitume 17:30
[30]Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu.
Yesu aliongelea hili jambo, Tena kwa undani, je, hamjui kuwa mnazini??
Mke ni mmoja😭😭
Inamaana mpaka na Mitume wake ambao amewabashiria pepo watubu???? Mana wapo walooa zaidi ya mmoja. Nikisema Mitume sinamaana walokuja baada ya Muhammad s.a.w ambao wanakudanganyeni makanisani
Mashaallah... Dahh wallah miasha km hv rahaa ya dunia... Jmn
Siri Ni Hela tu, Nothing Else, Ukiwq Na hela Kila kitu Huwa Laini
Kabisa
Modest Mkali ni kweli aisee
Hahaha kweli kabxa
Sure
Kabisa
Mashaallah na zidikuwaelewa..hongera doctor mwaka na wake zake rahaa kwl
Allah alisha sema uwoni wanawake hata wa 4 kama una uwezo wa kuwahudumia kwanzia mavazi mpk tendo la ndoa, na Allah amesema hivyo kwa sababu anawajua wanadamu vizuri kuliko sisi tunavyo jijua na amesema tuoe wanawake wengi ikiwa una uwezo kwa sababu Allah anajua kwamb wanaume hawawezi kutosheka na moja na pia kuna wajane Allah alisema wastirini
Alfalukau
ua-cam.com/video/bAWxGhusG-8/v-deo.html
Kwa kweli nasisimkwa na maneno ya Queen nimependa sanaa anaposema anampenda sanaa mke mwenzake😍😍 kwa kweli mnanihamasisha jaman... Nawapenda sanaaa jamani sanaaaaaa😍😍 Waturuki wanasema seni çok seviyorum çok çok seviyorum😍😍
Aziza nimependa ulipomalizia kwa kiturukiiii
Mmm hii maada inawahus islamic people
Ila shabik wa Dr.MWAKA
Dah mashallah Dr mwaka nimejifunza mengi ktk h czone hongera sn
Hongera sanaaaa wanawake mnapendana sn mnamoyo mwaya me siwezi ninawivu sn
Mashaallah jmn Allah awazidishie wengne cjui kma tutaweza hyo hali😢😢
Hahhaha wew naona mwenzangu mim😆🤣🤣🤣me yaan kwanz huyo mwanaume ajiandea au anitoe kweny list tuu🙆🏿🙆🏿
Wanawake hawa mungu awape subiri sana na msikubali kupotoshwa allah kawapa nusra haswa
Ukewenza Raha sana ALLAH atuwafikishe,nimeazimia kuongeza 2........4
Wakenya wamtaka Rais Magufuli aende kwao akawanyooshe kidogo.
ua-cam.com/video/CvC54oRI9nw/v-deo.html
Manshallah mwenyez mungu awazidishie mapemazi fidunia walakhera mzidi kupendana
Dr mwaka anajitambua wanaume wengine hawajitambui alafu wanatumia mabavu oooh naoa haunitishi ukiona vip undoka inakuwa nivurugu
..na uzinzi wako bado unapita kura za maoni!Mungu kweli aachwe aitwd Mungu..Upendo wa Yesu unatisha!ila tubu,ukifa na hao wake zako utatupwa motoni!acha upuuzi wako wewe,mke mmoja Mme mmoja ndiyo marlekezo ya Yesu!
Ungejua doctor mwaka malaya ata msingejisifu Mungu asimame nanyi tu.
Kuna mtu nilimsikia pia hahahahahaha
Ashawahi kuku....
Ina wahusu nini et malaya kwani mnalipwa mkiwema hayo
Mungu Asante sana kwa kuaibisha wazinzi waluiojificha ndani ya ndoa
😂
Mashallah jmn wazuri Queen kafanana na Zari
Sanaaaa
Mwanzo nlijua zari
Kabisaa yuko bomba baalaaa
Mashallah nafurahi kuolewa mke wapili bimkubwa nampenda sana
Mke wa pili(Queen) ni Big mind.Ila tunachojifunza katika ndoa hizi za Dk.Mwaka ni kwamba PESA ina nguvu kusimamia ndoa zetu.Tutafute pesa !...
Kweli kabisa
Mashaallah Allah awafanyie wepesi inshaallah nme wapenda bure kwa mnavyo pendana Allah awazidishie Inshaallah
Hao sio wake ni maslayqueen, Dr rundi kwa first wife, unachezwa na unachezwa rough sana.
Kuwa muislam ni baraka.
Nashukuru kuwa muislam
I wish you happy marriage 💕💕💕
Mashaa Allah... Wallah nimeipenda saan hiyo ndoa ya Dokt Mwaka mungu awabariki saan
Da hii capo imekaa powa San gonga like Kama umeiyelewa
Mke wa kwanza mzurii safii tuu
Yote tisa lkn kumi lzma uwe n hela bila hela utayasikia tu kwa doctor mwaka
kweli kabisa
Kabisaaaa ukwel ndio huo
Hahahaaaaa
Paul mafuru umeonaeee
Huo ndio ukweli
Mashaallah doctor anajibu vizur ila inahitaji moyo wallah
YESU awarehemu tu Kwa huo uovu wenu.
Hujui usemalo...hao ni wake zake wa halali...hapo uovu uko wapi...ulitaka azini?
Kweli kuacha yesu kwa jili ya tamaa zetu
@@mummycute6977 inategemea unatafsiri kutokea wapi? Ndio maana nimeandika kuwa Yesu awarehemu maana tafsiri yangu imejikita ktk Biblia?
@@mummycute6977 kwa tafsiri ya Quran yuko sahihi mnoooo tena bado anatakiwa aongezee mke mwingine ila kibiblia hawako sahihi hata kidogo huo unaitwa uovu,kwahio inategemea nimeongelea uovu kutokea angle gani?
Maashaallah mungu awape afya na maisha marefu wote mkiwa pamoja inshalaah na hongereni sana
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi alisema hivi "Kwa maana hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja" Mwanzo 2:24 NYIE NI MIILI MINGAPI ? lakini pia "Mume ni kichwa cha mkewe na " SIO WAKEZE huyo Mungu wenu ni yupi ?
Mashaallh hongera Doctor mwaka
Dr.mwaka mmmmm huo sio upumbavu sema tu unauchu wa wanawake,😁 anyway ,hongera ila hapo kwa wanawake kuelewana nahisi mwenye stress hapo ni dr.mwaka mtihani unao. ❤
Wakenya wamtaka Rais Magufuli aende kwao akawanyooshe kidogo.
ua-cam.com/video/CvC54oRI9nw/v-deo.html
Mashallah ...Dr hongera sana,jambo jema,heri kuoa kuliko kuzini,Mwenyezi Mungu awazidishie baraka na upendo kati yako na wake zako na watoto kwa ujumla Inshaallah🤝
Doct mwaka ,tupatiye na sisi Dawa ya kuishi na Ndoa, wa lalaje na wake wawili
Nimeipenda sana hii story !!!inafundisha mengi
Asiyejuwa atapongeza lakini haifai
Nothing else money is taking...but i like it
Nilikuwa namuona mstarabu sana kumbe na yy yumo siwez olewa mke wa pili na kama nikiolewa sijampenda mwanaume nimependa pesa zake, asidanganye kila mtu ana wivu hao wanawake wamefata maisha mazuri anaepata maumivu ni mke wa kwanza anaemjua vizuri tangu wakipambana na maisha wakat mwingine ni vizuri kuwa na hela ila ukiwa na mwanaume mwenye pesa ishi ukijua ni cha ote sio wako labda akiwa hana pesa huyo ndo wako. Wala mm hujanifurahisha tabia ni kama ngoz haibadilk na mda si mref utaoa wa nne na bado michepuko itakuwepo mmmh jaman 🙉
Kwa kweli na kwa kua ana tamaa wakishafika wa4 atakachofanya ni kuacha mmoja kisha aongeze mwengine ni mwendo huo huo puu puu pesa hz
Ndyo fikra zako zako zilipoishia hapo...wapo wake wenza mume anapesa na hawaelewani hata...mkiwa mnamjua Allah kwa dhati wala katka dunia hii hupati shida na chochote..ukiishi kidunia dunia kweli shida ipo
Umeongea point
ua-cam.com/video/bAWxGhusG-8/v-deo.html
Masha Allah barakallahu fiik wajazakallahu khair
Queen Mrembo mashaallah
Asante baba nawamekubali kuwa wote kwa sababu unawahudumia vizuri wote na wanafanya kazi wanajua wanachokifanya
Wazuri Mashaalah
Wazuriiii
Masha Allah hongera sana Dr. Mwaka your role model
Sipendi Aina hii ya ndoa Mungu aniepushe
Amin
Tamaa TU ndo inawatawala hawa wanawake mbaya zaidi walikuwa wakristu wangekuwa waislam ningesema wamelelewa hivyo .
@@castruga6133 kweli ni tamaa tena ile ya fisi kabsa,pesa imewafanya wawe watumwa wa ndoa
@@mathiaszakaria7052 umeona tena ni unafiki mtupu, wakishatengana kila mtu anakuwa na umimi anafanya kila awezalo ili aonekane bora kuliko mwingine na ndivyo ilivyo hiyo Siri anaijua Dr anawaenjoy tu. Kweli wanawake bado Sana. Nawa 2 alikuwa rafiki nawa 1 Leo kashakamatana nawa 3 jamani!!!! nao wamesema kuwa wanaendana nikweli.
Masha allah nimependa sanaa hi
Mashaallah Allah awafanyie wepes inshaallah
Dr mwaka unafurahia maisha ya hii dunia mpaka raha,mke wangu sijui unakwama wapi legeza msimamo nimlete mdogo wako
😂😂😂😂🇬🇧
😂😂😂😂😂😂😂
dah, kuna watu wana bahati sana, yaan ingekuwa mimi ndo doctor mwaka, hiyo pumbu ningekuwa natembeza hapo ndani syo ya nchi hii, yaan kwanza ningejitengenezea dawa iniongeze nguvu niweze kunyoroshana mtaa kwa mtaa
masha Allah mungu awazidishie upendo daima dawamu insha Allah
Natka namba yko samahan lakini
nani ww
Masha allah mungu awajalie kheri kwenye maisha yenu
MashaAllah,Mabrouq alf mara Mabrouq Doctor
Ya Rabby awazidishie upendo uzidi in sha Allah
Ongeren mungu hatunzie mazuri dosari zipo
Roho ya Qeen ni safi kabisa
Kabisa
mnamwita baba poleni sana
NELVIN MWANZA HAPA MPANGO MZIMA ELA KAMA MWANA UME UNA ELA UTAWALISHA WANA WAKE 2 PUMBA ELA KILA KITU
Ninampenda sana qeen ni mzuri san hta akifany Nini mwasha s'il kama mmmm mapenzia