Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

UTAPENDA: MBWEMBWE ZA MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE SHEREHE ZA UHURU MWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 гру 2019
  • UTAPENDA: MBWEMBWE ZA MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE SHEREHE ZA UHURU MWANZA
    Dec 9, 2019 Rais Dkt John Magufuli ameongoza maelfu ya watanzania katika sherehe za miaka 58 ya uhuru na miaka 57 ya Jamhuri.
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    www.youtube.co...

КОМЕНТАРІ • 406

  • @scolabahame2214
    @scolabahame2214 3 роки тому +140

    Dah wangapi wamekuja hapa baada ya kufaliki rais wetu 😭😭

    • @salmaluhombero8466
      @salmaluhombero8466 3 роки тому +1

      Siamini mpaka leo kazi ya mungu haina makosa

    • @scolabahame2214
      @scolabahame2214 3 роки тому +1

      Inauma Jamani dah

    • @evflorasoledad1437
      @evflorasoledad1437 3 роки тому +1

      Ni uchungu ila inabidi tukubali ameondoka usoni mwa dunia, may his soul RIP.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      😭😭😭🥺🥺

    • @ignaciohugo1334
      @ignaciohugo1334 3 роки тому

      i know Im asking randomly but does anybody know a tool to get back into an instagram account?
      I stupidly forgot my login password. I appreciate any help you can give me.

  • @evelynebwire7684
    @evelynebwire7684 3 роки тому +32

    Sikujua Kama nilikuwa nakupenda kiasi hiki, kila ninapokuona najikuta ninalia nashindwa kujizuia,
    Lala kwa amani Rais wetu mpenzi watanzania tutaendelea kukupenda baba, pumzika kwa amani, vijana tutakuenzi kwa kufanya kazi kwa bidii

  • @smmak7140
    @smmak7140 3 роки тому +6

    Nitakukumbuka daima JPM , hakika niliupenda sana uongozi wako kwangu mimi nasema we ni rais bora sana kuwahi kutokea hapa Tanzania ! Hatuna budi zaidi ya kumshukuru mungu tu

  • @jamesmagumba6370
    @jamesmagumba6370 4 роки тому +12

    Wooow That is my president may god protect you and give you more Wisdom to lead and guide and protect our motherland Tanzania!! Mungu Ibariki Tanzania

  • @eliathomas8446
    @eliathomas8446 3 роки тому +52

    Sijawah mpenda mtu Kama nilivyompenda. Huyu

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 роки тому +4

      Yaani ata mtu kuongea mengi unaogopa kuogopa kukufuru Sana alikuwa na chita ya ajabu,alafu kinachotuuma alituonesha Tanzania sio masikini elaipo,miaka 5 Tanzania imebadirika, Dodoma imependeza ,wengine walikuwa wafungua mibank nje ya nchi kuficha ela wanaichi,nchi inanuka lakini yeye ametuonjesha,wengine tuko mbali atuli kulia tu,mda mwengine nasema angemfikishia miaka kama ya mkapa,huyu baba ameniumi kama nilivyo kafiwa na wazazi wangu wote wawili, mtoto wangu alifia tumboni Sina tena mtoto leo baba yetu inauma,tuko nchi zawaru tulikuwa wanatuheshimu kumogopa yeye sasa leo atapatikana kweli kama huyu.

    • @happynessmsele3638
      @happynessmsele3638 3 роки тому +2

      Yani weacha tu tulimpenda sana rais wetu ila mwenyez mung kampenda zaidi
      hatuna jinsi nikumwombea 2

    • @gracejulius3966
      @gracejulius3966 3 роки тому

      Same to Me . Am so confused

    • @hemednassour4763
      @hemednassour4763 3 роки тому

      umempita mpenzi wako kwa upendo

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 роки тому

      Mie mwenyewe nashangaa kifo chake kimeniuma Sana mpaka Leo hi mwaya 😭😭😭

  • @deogratiuskweka8488
    @deogratiuskweka8488 3 роки тому +10

    He has lived his life fully in a great way for his country! Tuliobaki tumejifunza sana! Kwa yote hayo tuna mshukuru Mungu!

  • @carolinemugoli1140
    @carolinemugoli1140 3 роки тому +22

    😭😭😭😭 Nenda baba weye nenda tu, kaongoze wa malaika Mbinguni kwa baba RIP dady I will love you forever

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 4 роки тому +4

    Nakupenda sana Rais wangu John Pombe Magufuli MUNGU akupe afya njema maisha marefu wewe pamoja na familia yako ubarikiwe sana kwa moyo wako wa uzalendo na upendo WA kweli kwa wananchi wako bila ubaguzi wa kisiasa kidini wala kikabila

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +4

    Mungu akupe afya njema Rais Makufuli uinyanyue tanzania iyonekane kama inchi nyingine yaarabi. 🤲🤲 Nimezaliwa tanzania nimesoma tanzania ingawa wazazi wangu NI waarabu nasasa niko KWA wazazi wangu Oman bado nasema tanzania NI KWA mabibi nzangu tanzania hoyeeeeeee NA chama cha ccm kindumu👍👍💕💕💕💕

  • @peterwaithaka576
    @peterwaithaka576 4 роки тому +13

    Hakuna rais ninayempenda duniani Kama magufuli

  • @marykingi30
    @marykingi30 3 роки тому +27

    Machoni umetuondokea moyoni utabaki milele😭😭😭💔💔

  • @rjkadelo6315
    @rjkadelo6315 4 роки тому +102

    Tz mfano baran Africa like zenu jmn

    • @petermarua1375
      @petermarua1375 4 роки тому

      Ur just stupid asking for likes are u fightin self confidence

    • @abdulahiramadhan2000
      @abdulahiramadhan2000 4 роки тому

      Ubora uko wapi hapo sasa ukilinganisha ara na Burundi are more advance and exemplary to many. ..

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 4 роки тому +2

      @@abdulahiramadhan2000 ww unatakaa boraa gan zaid ya amani kobe ww

    • @wizydeko1496
      @wizydeko1496 3 роки тому

      Kweli

    • @ezekielmburu3418
      @ezekielmburu3418 3 роки тому

      Kama jeshi lenu wanavaa mavazi yenye rangi white,red ambazo hazimo kwa bedera yenu, what flag do your forces defend

  • @estarjuma7983
    @estarjuma7983 4 роки тому +35

    Naipenda Tanzania 🇹🇿 yang ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 2 роки тому +1

    Daaaaa?siamini nampenda sana GENERALY MAGUFURI

  • @farajastudioandstationery5798
    @farajastudioandstationery5798 3 роки тому +6

    Dah! Nmemis sana Magufuli wetu mie! Basi tu... Eeeh Mungu muweke mahali pema peponi kiongozi wetu mashuhuri, jasiri asiyejikweza, Mwenye mapenzi na nchi yake, mzalendo na mtetezi wa Wanyonge

  • @ibrahimjumu2968
    @ibrahimjumu2968 3 роки тому +8

    I love this ceremony.
    Great leader ever RIP .
    Never forgotten

  • @johnsonmeduwa6634
    @johnsonmeduwa6634 Рік тому +1

    The best president Africa has ever had

  • @joanatemo1858
    @joanatemo1858 4 роки тому +40

    Rais mchapa kazi nampenda sana mwaminifu hapendi ufisadi,anawajali wanyonge..huku kwetu ni ufisadi tu.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @steveswakei9600
      @steveswakei9600 4 роки тому

      Kwenyu ni wapi? Mtu aitwaye lutu ama ruto wa kwenu huyo kweli?

    • @ummybabe1600
      @ummybabe1600 4 роки тому +1

      @@steveswakei9600 hahaa 😹 😹 😹

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 4 роки тому

      Sasa wewe hauijui Tanzania. Magufuli ni Fisadi sana haujui tu. Uliona wapi Rais anafanya manunuzi ya mali za umma hata Waziri wa fedha na wabunge hawajui ha ha ha ha. Aliwakuta Watanzania ni wapole na elimu yao Duni sana. Hata Rais wa Marekani hafanyi purchasing ya Mali ya Umma. Mwishi tulichelewa kujua hizi sherehe zinafanyikia kwenye miamba tungeshamaliza kazi.

    • @ahmedibrahim-bg2uz
      @ahmedibrahim-bg2uz 4 роки тому +1

      Jomba kwenu wapi CCM Chama Cha Matapeli huku Kuna super super corruption

    • @jameskanai1011
      @jameskanai1011 4 роки тому

      I actually dont know whether to laugh or cry...

  • @metrinemetrine3449
    @metrinemetrine3449 3 роки тому +4

    Alikua wa kipekee Rais maghufuli pumzika baba God has already given you the crown

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 роки тому +5

    son of Suzana and Joseph Magufuli! salute!!!

  • @tayomanzesekilosa.7149
    @tayomanzesekilosa.7149 4 роки тому +6

    Golden state, golden Man never made twice, Mwamba wa Tanzania,,,asant MUNGU.

  • @oninaalay7167
    @oninaalay7167 9 місяців тому

    Asante jenerali mabeo kwa ukakamavu uliotukuka na apumzike kwa amani rais wetu JPM 😢😢😢 😢

  • @maikomaneno639
    @maikomaneno639 3 роки тому +1

    Ee Mungu baba ilaze roho ya rais wetu magufuli mahali pema peponi amina na tujaalie aje raisi mwengine kama huyu tanzania tunakuomba baba Mungu amina

  • @jaffarkhamis1061
    @jaffarkhamis1061 4 роки тому +2

    Penda sana raisiiiii wa mimi mungu mbariki raisi wetu mungu inabariki Tanzania yetu hadiiiii rahaaaa ett

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 роки тому +4

    Rais wetu huyooo hongera Sana Rais wawanyonge mungu akubariki Sana shukraan kwa wote mlioko uwanja wa CCM kilumba

  • @mekajamtv9603
    @mekajamtv9603 4 роки тому +30

    Wanaosubiria uteleze watasur sana,big up our prezda

  • @twaliathandrea6610
    @twaliathandrea6610 3 роки тому +5

    😭😭😭😭imetuuma kwa mtu wa fraha wa ukweli mkakamavu,jasiri,mwenye mapenzi kwetu. Ila kazi yamungu haina makosa. Amepumzika mwanaume. Dunia imejifunza kitu kutoka kwake

  • @ernestfelix8596
    @ernestfelix8596 3 роки тому +25

    CHUMA KIMESEPA DAAH

  • @christinamsuya8857
    @christinamsuya8857 3 роки тому +4

    Baba umelala ,aah! Kwel hatutakuona tena hapa dunian nenda baba😭😭😭😭😭

  • @elizabethbwakila6078
    @elizabethbwakila6078 3 роки тому +9

    Baba weweeee mbona umetuweza wenzio😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭ahhhh RIP.

  • @jocentmakule3861
    @jocentmakule3861 4 роки тому

    Nampenda Rais wangu Mungu ampe maisha maref na hekima kubwa alio nayo ya kuliongoza Taifa hilli kwa maadili ya dini zote

  • @eliajoseph6865
    @eliajoseph6865 4 роки тому +7

    Nampenda raisi wangu Nani atavaa kiatu chake EE MUNGU mjalie afya njema J J POMBE MAGUFULI

  • @hyasintndimbo2998
    @hyasintndimbo2998 3 роки тому +13

    😭😭😭
    R.I.P BABA YETU

  • @sheiykingtv3713
    @sheiykingtv3713 3 роки тому +3

    Rip Jembe la kazi..... We shall live to remember your tremendous work for Tanzania

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 4 роки тому +10

    Mkuu wa majeshi Mabeyo Smart saana....
    Amenifurahisha alivyoeenda ku synchronize steps za sir President....
    Awesomeness

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 роки тому +7

    Rest In peace Rais wetu, Allah akupumzishe kwa Amani 👏

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 3 роки тому +1

    Dah lala in Peace baba wa taifa na rais shupavu wa Tanzania. Ninakukumbuka sana. Nchi sasa doesn't look the same.

  • @mariamuselemani153
    @mariamuselemani153 4 роки тому +1

    Penda Sana rais magufuli penda Sana nnchi yangu Tanzania mungu atuhifadhi tuwe na upendo daima

  • @giovanyke
    @giovanyke 3 роки тому +2

    LALA salama mheshima Rais

  • @kaicy165
    @kaicy165 3 роки тому

    Mwenyezi MUNGU ailaze roho yako katika amani ya milele kwenye mkono wake wa kuume,mimi nitakupenda daima rais wangu.

  • @nureyna629
    @nureyna629 3 роки тому +4

    17.03.2021 will always be remembered.

  • @isaacsimi3711
    @isaacsimi3711 4 роки тому +3

    Napenda Tanzania sana....Mungu awabariki sana🙏🙏🙏

  • @bethuelkiprono6139
    @bethuelkiprono6139 4 роки тому +2

    oflate I admired Magufuli and Tanzanian life but with this parade KENYA has a very beautiful one. alot mistakes as compared to the one for KDF
    but it's good it has involved other security forces in Kenya it is kdf only. anyway ni TZ

  • @makoyenyerere6521
    @makoyenyerere6521 2 роки тому +1

    Tutakukumbuka Ndugu Yetu 🙏😭🙆😭😭😭😭

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 3 роки тому +3

    We shall miss u indeed u were avery great man😭😭😭😭

  • @jocentmakule3861
    @jocentmakule3861 4 роки тому +1

    Nipende kutoa pole kwa wana was Burundi kwa kumpoteza President Pierre Mungu awape wepesi

  • @ssjuma
    @ssjuma 4 роки тому +3

    I really likes him, much love Mr. President Magufuli

  • @evelinamatete7474
    @evelinamatete7474 3 роки тому +7

    Tutakukumbuka daima R I P JPM

  • @mosesjames3627
    @mosesjames3627 4 роки тому +30

    Rais mkakamavu maamuzi makakamavu vijana wakakamavu ..safi sana

    • @elishaworkout6116
      @elishaworkout6116 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 umenfrahisha sana

  • @okamasnr4891
    @okamasnr4891 3 роки тому +3

    This guy was so simple indeed...Hakuna story ya red-capert

  • @fadhiliakida8609
    @fadhiliakida8609 4 роки тому +6

    Proud of my country

  • @meshacknassary3394
    @meshacknassary3394 4 роки тому +3

    Kama umesikia kanali luteni nassary naomba like😀😀

  • @ridilumuluabo2656
    @ridilumuluabo2656 3 роки тому +15

    Je suis de la Rdc et je pleure Jhon Magufuli. c'est un grand homme que l'afrique a perdu...💪

    • @raissafabien4285
      @raissafabien4285 3 роки тому

      Et moi aussi. Nous perdons second thomas sankala. Les africais doivent de chercher l indépendance totale

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 4 роки тому +1

    Amen Amen. Mungu atupe upendo na amani na mshikamano was kweli. Amen.

  • @mwanawevhudangwe7772
    @mwanawevhudangwe7772 3 роки тому +1

    there will never be another Magufuli for Africa, will miss this man forever

  • @frankmbiri8321
    @frankmbiri8321 4 роки тому +1

    Very clear and concise

  • @lazarosilayo6918
    @lazarosilayo6918 4 роки тому +11

    Wanausalama mpaka kwenye mistari ya kukaguliwa gwaride na nyieee mpooo,.. Eeeh!! 🙄,..
    Big up Mh. Presdent, Magufuli🙏

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 2 роки тому

    ....sawa magufuli,kwa hiyo uliamua tuu,uondoke wakati tunakuhitaji,poa magu,pumzika brother....!!😭😭😭

  • @jessicarasigu2220
    @jessicarasigu2220 3 роки тому

    Kwaukweli aliyemtoa Uyu Raisi wa Tz wanyonge uhai,je anaziona izi video zinazotutoa machozi😭😭😭😭😭😭😭 siye watanzania wanyoge!!!!!!!hakika JPM katutoka machoni mwetu 😭😭😭😭😭😭 Ila rohoni zetu ataishi Daima, 😭 Magufuli 😭 Magufuli mahakama Pumzika kwa Amani Raisi wetu kipenzi cha Watanzania

  • @mirajiathumani8221
    @mirajiathumani8221 7 місяців тому

    Mungu mlaze mahala pema peponi jembe letu magufuli siku Moja tutaonana

  • @African511
    @African511 Рік тому +1

    Jpm ni mwanaume na nusu bado tunaishi nae kiimani,viva jpm bado uko moyoni gonga tano na ww kama bado unaendelea kumkubali Chuma.

  • @judicamunisi3025
    @judicamunisi3025 4 роки тому +4

    Magufuli is the best president in Africa
    Uishi milele JPM

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 роки тому +1

    Hahaaaaa nenda tu baba yangu nitakupenda daima💔💔😭ulikua na roho saf wanaokuchukia ni vyeti feki na mafisad hata ss tunajua

  • @leanahbusanga8272
    @leanahbusanga8272 3 роки тому +2

    Dah unauma 😭😭😭😭😭 rip baba

  • @deborangowo4626
    @deborangowo4626 3 роки тому

    Nalia kila nikaangalia video zako lkn huwa inanilazm kuangalia maana nakumc my President nitakupenda nakuombea mungu akupe pumzko jema

  • @ersimon9689
    @ersimon9689 4 роки тому +7

    He was just happy the gruesome boring march is finally over

  • @mchinadizainabushi8905
    @mchinadizainabushi8905 2 роки тому +1

    Good news

  • @hawamohamedy1914
    @hawamohamedy1914 3 роки тому +2

    Ningumu kukusahau ,naumia sana

  • @mussanachingulu823
    @mussanachingulu823 3 роки тому

    CHUMA...CHUMA...CHUMA...
    R.I.P mchora ramani wa pili wa Tanzania....

  • @SDM2024-z4s
    @SDM2024-z4s 2 роки тому +1

    Once upon time in Tanzania

  • @mosehweru
    @mosehweru 3 роки тому +1

    This stadium... Really?

  • @mysoulvideos8050
    @mysoulvideos8050 4 роки тому

    Hongera mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli, nakupenda kwa kazi yako Tanzania nikiwa Kenya!!!!

  • @ashantisamuel1685
    @ashantisamuel1685 4 роки тому +21

    Rais Magifuli tunajivumia uwepo wako, tunatamani utuongoze milele😊

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 3 роки тому +4

    Chuma kimeenda aisee 💔💔💔💔😭

  • @fahadsaid9616
    @fahadsaid9616 3 роки тому +3

    I am going to miss you my president 💔

    • @emjay1016
      @emjay1016 3 роки тому

      Fahad mwanasheria hujambo

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 4 роки тому +3

    Penda sana Raisi wangu wa Tz

  • @hadikastro5154
    @hadikastro5154 4 роки тому +1

    Aman full of wisdom and knowledge

  • @paulmukopi2089
    @paulmukopi2089 4 роки тому +2

    So far, nobody has done it like president Moi

  • @choosenempire7772
    @choosenempire7772 2 роки тому

    every body will evetualy die but every body before death come stand tall appreciate life leave confidently like the late JPM our love president

  • @bensonleeshunia1047
    @bensonleeshunia1047 Рік тому

    Hallelujah brother

  • @elizabethjulius
    @elizabethjulius 3 роки тому +1

    We really miss you daddy 😭😭😭😭😭😭

  • @essauphilimen667
    @essauphilimen667 4 роки тому +4

    Nakupendaa Sanaa Raisi we2

  • @loukaskampouropoulos5700
    @loukaskampouropoulos5700 4 роки тому

    Μπράβο πρόεδρε ο Θεός να σε έχει καλά .,Έκανες την Τανζανία κράτος συγχαρητήρια.

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 2 роки тому +1

    Kila nikitazama matukio yako naona kama bdo hujafa dad jmn😭😭uchungu hautaisha kukaa nikikukumbuka

  • @cmpacomplex7981
    @cmpacomplex7981 3 роки тому +1

    You will forever live in people's hurt Our Honorable President John Pombe Magufuli. Rest in Paradise Papa, we are coming for you.

    • @sarahyvonne4580
      @sarahyvonne4580 3 роки тому

      Bt we need to see him back on friday

    • @cmpacomplex7981
      @cmpacomplex7981 3 роки тому

      @@sarahyvonne4580 😥

    • @cmpacomplex7981
      @cmpacomplex7981 3 роки тому

      @@sarahyvonne4580 his spirit lives in Pres. Samia Suluhu, his excellency will live forever

  • @rehemajoshua2022
    @rehemajoshua2022 4 роки тому

    Big up Sana Rais Wangu, barikiwa Sana.

  • @Veni584
    @Veni584 2 роки тому

    Du! Aliweza kutembea hata kwenye tope RIP JPM

  • @glorykamasho1876
    @glorykamasho1876 3 роки тому +1

    Daah!! Tutakukumbuka sana Magufuli😭😭

  • @nikumwalemba4841
    @nikumwalemba4841 4 роки тому

    Tanzania yetu, Mungu Ahsante kwa Baraka zako ndani ya nchi yetu

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 2 роки тому

    leo siku ya uhuru imebidi nije kutizama hii sherehe kipindi cha JPM kuliko hii ya Leo ya SSH najikuta machozi tu😢

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 4 роки тому +21

    Mimi ni mkenya ila huyo rais amevunja historia ya Africa kwa uongozi yani yuatoshaaa wala hamna kubahatisha!

    • @shorewanda5635
      @shorewanda5635 4 роки тому +2

      Asante, from tanzania

    • @kuhangazena4316
      @kuhangazena4316 4 роки тому +1

      Wewe Mkenya ushindwe kufuatilia mambo yenu ya Uhuru Kenyatta ufuatilie huyu mpuuzi mwenye kudhalilisha Watanzania. Amefukuza Wafanyakazi 15000 bila kuwalipa stahiki zao na kuajiri watu wa kumsifia na kumshangilia, Anaweka viongozi wa upinzani ndani na kuwadhalilisha, Anapiga watu Risasi na kuwaua wakiwemo waandishi wa habari. Amempiga TUNDU ANTIPASI LISU risasi hadi leo hajarudi nyumbani. Amefilisi Watanzania waliopata fedha zao kihalali ili anunue ndege na kuwasingizia ni Mafisadi. Analipa watu kuhama vyama. Anateka wafanya biashara ili wampe fedha. Amesababisha Matajiri wenye uwezo wa kutoa ajira wamekimbia nchi. Ameshindwa kufufua viwanda alivyovianzisha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kama mtu angekuwa anakufa na kufufuka Mwalimu angerudi amchape viboko. Hivi unajua ni Watanzania wangapi wameuwawa na Magufuli tokea ameingia madarakani. Alafu unamsifia. "JAMBO USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA TUACHE FALA WEWE" Zungumzia mambo ya kwenu achana na Tanzania kabisa. Tumewawa sana, Tumefilisiwa sana, Tumedhalilishwa sana lakini nimwambie Magufuli malipo yote ni Duniani. MUNGU hapokeagi uchafu.

    • @shorewanda5635
      @shorewanda5635 4 роки тому +6

      Lydia, Mimi ni mtanzania, ninakupenda sana kwa comment yako, na najua watanzania wengi wamependa comment yako. Hilo bwege lililoandika hapo juu achana nalo. Surprisingly, inaonekana lydia unaijua vizuri TZ kuliko hilo linalojiita litanzania, wakati linaonekana wazi kwamba ni likibaraka la wazungu. Kuhanga Zena, macho yako yanafaa kuangalia mavi tu na si kitu kingine chochote. Kaoshe vizuri matako yako uweze kujamba walau ushuzi wa kuvutia kwa wanaokutumia. Unamshutumu rais as if amewahi kushika bunduki na kuu watu. Mlizoea kutumia vyeti vya marehemu na wafungwa ili mjipatie ajira, huku waliosoma wakisota mtaani, magufuli ameleta mapinduzi ya kweli. Tanzania hakuna upinzani, kuna magenge ya wahuni yanayopinga haki na ukweli.

    • @dr.okellojr.7600
      @dr.okellojr.7600 4 роки тому +3

      KUHANGA ZENA pole sana , ata mjinga anajua ukweli kuhusu huyu jama , sijue wamoja ujinga munatoa wapi

    • @benjohnson1763
      @benjohnson1763 4 роки тому +2

      @@kuhangazena4316 Hazidi hana sababu, na dua la kuku halimpati mwewe. Kama una machungu sana na Magufuli, chukua kamba ukajinyonge yaishe,na ukikosa kamba, nyembe zimejaa madukani, chukua moja umeze. Jibwa wewe

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 4 роки тому

    mchapa kazi God bless him

  • @dwomakueni1322
    @dwomakueni1322 4 роки тому +2

    In Kenya kukagua gwaride is just simple. Mambo ya kuchokesha rais, hio hatuna. Magufulu must have been tired baada ya kukagua mpaka wa band.

  • @benardyengo1241
    @benardyengo1241 3 роки тому

    Mimi ni Mkenya Sabiki wa Hayati naye Marehemu babangu alikuwa mufwasi wa Hayati Nyerere ama kweli hapo Tz naamini bado kunakuja viongozi wa maana Africa.

  • @kichinchiryhassan9600
    @kichinchiryhassan9600 Рік тому

    Mzee tutakukumbuka Sana RIP

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 4 роки тому +2

    Good- Prezidar wetu Tunampenda saana kwakweli Shikamoo Mkuu

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 роки тому +2

    MAGUFURI hatari kaniuwaa kwakucheka😂😂😂🇹🇿🔥

  • @emilydavidmdoe3552
    @emilydavidmdoe3552 4 роки тому

    Sisi tuliosoma enzi za mwl jeshi lilitusaidia kuwa wakakamavu. hongera sana mh Rais uko vizuri.

  • @stellamwangwala8063
    @stellamwangwala8063 4 роки тому +1

    Rais umenifurahisha

  • @rjkadelo6315
    @rjkadelo6315 4 роки тому +5

    Ogopa moja na zero watasubir sana