Hongereni sana sitosheki kuskiza huu wimbo hakika ujumbe umefika salama kwa hadhira haswa vijana wetu, Upande wa mavazi mmeweza zaidi ya kuweza proud of you keep it up
Wimbo mtamu Sana, wenye mawaidha mazuri. Hongereni wanakwaya wa Mt. Daudi. Holy trinity you've done it again, good job and Mungu awazidishie baraka zake. Nawapenda tu Sana.
Wow, just WOW This is mind blowing, uimbaji wenu , mpangilio wa sauti , mavazi, ujumbe. ...... vyote vyamtukuza Mungu Mmenikumbusha choir flani ya arusha sikuimbuki wanaitwaje waliwahi imba a wimbo entitled** NANI KAMA ZAKAYO*
Mt Daud mmefikisha ujumbe kwa wimbo mzuri maana dunia sio mbaya wanadam ndo wabaya ukikubal kukosana shetan anakutumia ,Holy Trinity hongera kwa kazi nzur video iko clear hongera kwenu kwa wanakwaya kwa uinjilishaj 🙏
Wosia-Ni wimbo mtamu sana,ni raha yangu nikiwa studioni niicheze wimbo huu wasikilizaji na mwashabiki wangu wafurahishwe na pia waelimishwe #TeamHolyTrinity #TeamKenyaTz
Asante sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa jalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Nmebarikiwa sana na huu wimbo.Kama vile mt augustino alivyosema kuimba nikusali Mara mbili,hakika nimesali na nmeupata usia huu mtamu.....hongereni mno kwa uimbaji
Kweli wimbo huu naupenda sana,, hongereni sana mliimba vizuriii na UJUMBE ni mzuri mnoo watoto wetu wakifuata watafika WATAKAPO kimaendeleo kwa kumshirikisha Mungu.
I really love this nice song. And iam broud to be Catholic.. It's amazing and fatastic. God bless u.. Bikira Maria atuongoze mwa manae.. Watching from Saudia
Kama unaisikiliza hii nyimbo 2024 kama mm ngoga like hapa
Tusiishie kusikiliza,tuufikishe ujumbe huu katka familia zetu,hasa kwa watoto wakike.
Ubarikiwe mtunzi
Ubarikiwe pianist
Mbarikiwe waimbaji
Nimeipenda sana hii
Imenifanya nione fahari juu ya kanisa takatifu katoliki la mitume.
Mwenyeher Emmanuel dalzon
na abarikiwe sana daktari kwenye kinanda!
Asante
Nyimbo tamu tamu sana Wanakwaya wenzangu but Tanzania mko juu sana, Mwenyezi Mungu na awabariki sana pia padre wenu. Kenya twawatapua sana
Ujumbe mzuri kuna jirani kanikwaza nimrjikuta nafarijika mno. Kujua kusehe
Jamaaaaaani dada Nestaaa, dunia inapita...msamehe bure ila mshauri pia
Hakika kupitia huu wimbo nipo shule ninakiri kuupokea wosia huu nitauishi nakuufanya kuwa taa na Nuru katika maisha yangu yote
Nawapongeza mmefanya utumishi. Endeleeni na mausia kwa jamii. Mungu awabariki🙏
Mwakola mno, nmewaona watu wa nyumban wote nawafahamu, ila hii nyimbo ni nzuri sana, jitahidi kuitangaza itawatoa kwa kufahamika zaida
Dunia inapita achana na mambo yake...mbarikiwe sana waimbaji kwa kuinjilisha❤❤
❤❤❤
Fahari ya Mtukula ...Wimbo Umetulia na Umefikisha Ujumbe Uliokusudiwa...Ahsanteni Sana
Hongereni kwa wimbo mzuri na mavazi mazuri mungu awabariki.
Hongereni sana wana kwaya kwa wimbo mliyo imba mungu awabariki maana imenigusa sana 😃😆
Usikubali kukosana na mtu!!!!🙌🙌🙌🙌🙌 Mungu awatie nguvu muendelee kuinjilisha
Proud to be a catholic.......nyimbo nzuri sana ya maadili, mubarikiwe tena sana 🙏🙏🙏
Nazidi kujivunia kua mkatoliki kupitia huu wimbo ,nimebarikiwa sana,Mungu azidi kuwainua jamani🙏🙏🙏😘😘😘
Nyimbo zuri sana
@@venasiavicent5236 àà
Nazidi kujivunia kua mkatoliki kupitia huu wimbo🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️
Namimi pia 🙏🏾
@@venasiavicent5236m
Hongereni sana sitosheki kuskiza huu wimbo hakika ujumbe umefika salama kwa hadhira haswa vijana wetu,
Upande wa mavazi mmeweza zaidi ya kuweza proud of you keep it up
Wimbo wenye wosia kamili ,,,napendezwa na huo wimbo sana ,,hapa Kenya mwapendwa sana ,,,proud to be a Catholic
Wimbo mzuri sana nimepata faraja moyoni mwangu nimejifunza vingi kupitia wimbo huuuu
Sauti safi
Mavazi safi
Utunzi safi,
Kinanda safi
Ujumbe safi
Mbarikiwe sana, mwakola muno
Ukweli 😊
Good song, good message. I hope akina Nyamwi wamesikia. Nanyi Holly Trinity mmh...Yaani hata hamkosei!! Nitawatafuta brothers.
@@HOLYTRINITYSTUDIOS Amina. Nanyi mzidi kubarikiwa sana
Wondeful
Hongera kwa wimbo mtamu na wenye mawaidha mazuri mno kwa watoto wangu..nimeucheza mchana wote Hadi nikatamani kufika nyumbani Kenya na Tanzania
Naupenda sana huu wimbo mbarikiwe Kwaya yetu ya MT. Daudi Parokia ya MT. Yuda Thadei-Mutukula 🔥🔥🔥
Wimbo mziri sana mara nyingi nausikiliza
Najivunia ukatoliki
😵😵😵😵😵😵😵😵🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄😒😒😒😒😒😒😒🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢
Hongereni sana kwa wimbo mzr
Hongereni wimbo mzuri sana
Wameimba vizuri, pia kuna Ubunifu safi kabisa 👏👏👏
Kazi nzur
Kabisaaa nmebarikiwa vyakutosha
Wow! Wosia mzuri kweli...Mungu Mwenyezi akawanehemeshe zaidi waimbaji wa MT. DAUDI
Wimbo mtamu Sana, wenye mawaidha mazuri. Hongereni wanakwaya wa Mt. Daudi. Holy trinity you've done it again, good job and Mungu awazidishie baraka zake. Nawapenda tu Sana.
Nimepeunda sana huu wimbo
I love this one million times
I can listen to it a whole day 😉 Tanzania mmbarikiwa lot of love from Kenyans
Soo touching indeed..be blessed Tanzania...nice message indeed..sooo wooow(◍•ᴗ•◍)❤
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri sana hakika nimeinjoy
Wow, just WOW
This is mind blowing, uimbaji wenu , mpangilio wa sauti , mavazi, ujumbe. ...... vyote vyamtukuza Mungu
Mmenikumbusha choir flani ya arusha sikuimbuki wanaitwaje waliwahi imba a wimbo entitled** NANI KAMA ZAKAYO*
Wimbo huu una maudhui mazito sana,hongera sana mtunzi na wanakwayawote
Nyimbo nzuri yenye mawaidha ya kudumu..Mtunzi alifanya Jambo njema kwa nyimbo ili..
Mt Daud mmefikisha ujumbe kwa wimbo mzuri maana dunia sio mbaya wanadam ndo wabaya ukikubal kukosana shetan anakutumia ,Holy Trinity hongera kwa kazi nzur video iko clear hongera kwenu kwa wanakwaya kwa uinjilishaj 🙏
Nimekua machozi ya furaha kwa ajili ya huu wimbo
@@HOLYTRINITYSTUDIOS nimelia machozi ya furaha kwa huu wimbo mbarikiwe sana
Wimbo safi kabisa...
Sauti safi kabisa..
Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Maombi ya bamoja usaidia wemwenyewe unaeza kosa kujua shida yako kupitia kwamwingine unabona imani ya bamoja usaidia amen jion njema
Eeeehhh,Nimesikia wimbo wenye Maneno Makubwa kweli kweli, Mungu Azidi kuwasaidia kweli,Mubarikiwe Sana,
Nimefurai kwakusikiliza wimbo uhu ninzuri sana n'a niosia mzuri kwawatoto wetu naMungu awabariki sana walioimba wimbo uhu.
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri tumuimbie Bwana katika roho na kweli ❤🙏🙏
This song touches my soul ,,,it makes me feel God talking to me
I proud to be catholic, Mubarikiwe kuelimisha jamii. Mungu wa Mbinguni Awabariki Sana!
And the world we shall pass try to live everyone with peace❤❤❤ (waebrania 12:14)
Wosia-Ni wimbo mtamu sana,ni raha yangu nikiwa studioni niicheze wimbo huu wasikilizaji na mwashabiki wangu wafurahishwe na pia waelimishwe #TeamHolyTrinity #TeamKenyaTz
Mwenye copy anitumie wadau nimeguswa sana
@@damianimasakila8872 Naomba Nota
Hongereni kwa uinjilishaji huu mzuri, ninaomba nota za wimbo huo wa WOSIA.
mbarikiwe
Wosia uliojaa ujumbe mzito, kweli mmetisha.
fantastic Catholic song nimebarikiwa sana
Wimbo mzuri sana na saut tamu na ujumbe maridhawa mbarikiwe wanakwaya wa Mt Daud
Asante sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa jalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Kazi nzuri sana,Hii fundisho kubwa,Nimewapenda sana,Mama Bikira awaombee kwa Mwanae hekima na busara za nyimbo hizi zitufundishe
Hongera wimbo una mafundisho tele
Wimbo mzuri ambao wanikumbusha mahagizo niliyopatia watoto wangu kila wanapoenda shule mbali na sisi wazazi
Mbarikiwe wanakwaya kwa kazi kubwa ya uinjilishaji mnayoifanya mungu azidi kuwapa aftanjema ili muiendeleze kaziyake 👍🌹💯
Mutukula asanteni kwa wimbo mzuli mungu awebiriki sana kila nikisikiliza wimbo huu moyo wangu unafalijika sana
Kwaya ya mtakatifu Daudi sig'rendi jamani.mjitahidi mavazi wanawake.pia hongereni kwa wimbo mzuri
Nasema Asante mungu wangu kwa ulinzi wako mkuu kupita wimbo huu najivunia sanaa
Wimbo mtamu kwa maudhui na sauti zilizolainishwa.Vyombo vilivyo lainishwa na visivyo na kelele💙💙💙👍👍
Can't get enough of this song, very educative song. May God bless with greater minds for more ones. Mary ngina from machakos Kenya
I Love this song with all my heart. ASANTE MTUNZI, MAWAIDHA MUHIMU KWA MAISHA YA MWANADAMU.🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Jamani huu wimbo nausikiliza mpaka basi. Naupenda sana sana siuchoki kuusikiliza. Ni mzuri mno. Catholic raha sana
Wimbo mtamu kweli. Nimebarikiwa sana nikiwa hapa Kenya
2024 Nmerudi kusikiza wosia❤❤❤
Nmebarikiwa sana na huu wimbo.Kama vile mt augustino alivyosema kuimba nikusali Mara mbili,hakika nimesali na nmeupata usia huu mtamu.....hongereni mno kwa uimbaji
Encouraging song mtumishi Anastasia..kongole naye Mungu akujalie miaka nyingi ya utumishi 🙏🙏
Hongereni sana wanakwaya wa Mt Daud patokia ya Mt Yuda Thadei Mtukula Mungu awabariki sana kwa kutuinjilisha kwa njia ya uimbaji.
Shauri nzuri sana ya mzazi kwa mwanae
Kweli wimbo huu naupenda sana,, hongereni sana mliimba vizuriii na UJUMBE ni mzuri mnoo watoto wetu wakifuata watafika WATAKAPO kimaendeleo kwa kumshirikisha Mungu.
Achana na urafiki. Urafiki mubaya . usije ukapotea dunia yenye giza 🥰🥰 asante sana 2mebalikiwa sana 🙏🙏🙏🙏 from tz 🇹🇿
Holy trinity you are always the best. Yaan wimbo umenikosha Sana
Love it 😍♥️
Wimbo huu umajaa ujumbe
May God bless this choir for me 🙏❣️
Asante sanà Kwa huu ujumbe..Mungu aendelee kubariki hii Kwaya.Mt.Daudi utuombee
Najivunia kuwa mkatoriki
Mungu azidi kuwabariki sana Alex kapirimposh 🇿🇲🇿🇲🇿🇲💓💓🌼
Kaka mutongore Ni Moto mwingine huu baada ya birthday yako kupita mwaka mwingine wa mafanikio hongera sana
Asante sana Elton.. Ubarikiwe saana
@@kaigamutongore8791 kaka hongereni sana.
Naomba nota za huu wimbo
@@kaigamutongore8791 tuko pamoja kaka
HONGERENI SANA FROM MWL. JOSHUA S SARUTWE(MTAMBO MAN)
OGANIST NI NANIIII HAPOOO( DVD TUNAOMBA NA OGANIST AONEKANEEE HAPOOO)
Mbarikiwe nyimbo nzuri watching from saudia.i real miss my church
Wimbo mtamuu...enyewe sameha mara sabini...sio vyema kuwa na kinyongo na MTU..mbarikiwe milele..nawapenda
Wimbo mzuri hongera aliyetunga wimbo huo
Amina Amina, amani ya Mungu iwe juu yenu Roho Mtakatifu awaongoze tena zaidi ya hii na mbarikiwe nyote
Kwa kweli naupenda wosia ulioko katika wimbo huu
Ni wmbo mzuri sana inatufundisha tuwe watu wa kusamehe,hongera mtunzi
Hongera Sana mandugu jirani wa Tanzania kwa choir nzuri keep up mbarikiwe sana
Asant mungu you up Fuji l9guys 44ttttfgtpoo6yghuulllllkoly guy Byrd
Hongela sn mungu awabalik nyot
I cant get enough of this song!!! Haki listening 👂 all the way from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Nice Song be blessed
Naomba like yako kama bado unausikiliza wimbo huu
Wimbo mzur
2024
Nyimbo zenu tamu kweli 1:21
Hongeleni mbarikiwe sana
😊😊😊😊😊😊😊😂😊
Hongereni sana Vijana wa Mutukula, wimbo mzuri sana 👏👏👏👏💕💕💕🔥🔥🔥
Judith from Kenya nimafurahi sana kwa wimbo huh thank you God bless you abandentley,
Wimbo mzuri sautinzur sana hongereni sana 🙏 🙏
Achana na ulafiki ulafiki mbaya Amina sana
Safi sana wimbo mzuri unafundisha
I heard a colleague listening to this song I went searched for it. I thank God for this voices. Mother Mary pray us
Aminaa...!!! Msamaha ni kila kitu kwa maisha yetu
Wosia ulio na mafunzo kweli. Mbarikiwe wana kwaya wa Mtakatifu Kizito Makubuli.
Mungu awabariki sana mwendelee kusimama Imala Kwa kuinjilisha neno la mungu wimbo huu unanibariki sana
Nyimbo nzuri wosia
Hongereni sana kwani wimbo unanifariji sana. Mbarikiwe. Mwl Abibus Mwankenja toka Parokia ya Lupingu Jimbo la Njombe.
😊😊
Wooow!! Hongereni Holy Trinity kwa kazi nzuriiii👍👍
Mungu azidi kuwatangulia mfanikiwe zaidi saana
Mungu wa kwel anayeishi juu mbinguni awe nanyi mzidi kutuinjilisha🙏 niko na furaha sana 😊
Hongeren sana kwawimbo mzuri wenye ujumbe juu yake napia kusikiza kila mara
I really love this nice song. And iam broud to be Catholic.. It's amazing and fatastic. God bless u.. Bikira Maria atuongoze mwa manae.. Watching from Saudia
Mungu awazidi kuwabariki na kuwalinnda nawatakie
utumie mwema
I always feel the holy spirit keep on shining my lovely choir love u very much
Wimbo mzuri sana asanteni
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
Mungu awabariki sana kua fundisho hio ! From Burundi 🇧🇮🇧🇮
I found my namesake. Thank you Lord 🙏
gongera cna burundi