Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 кві 2024
  • The official Live Video Performance from Bella Kombo featuring Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Mmoja
    Subscribe to the Bella Kombo channel for all the best and latest official music videos, behind the scenes and live performances.
    Listen & Stream on Spotify here:
    open.spotify.com/album/0dc3Br...
    See more official videos from Bella Kombo here:
    / @bellakombo
    Follow Bella Kombo on:
    Facebook: / officialbella. .
    Twitter: / officialbellakombo
    Instagram: / officialbellakombo
    Official Website: www.bellakombo.com
    ________________________________________________________________
    Copyright ©℗ 2024 Bella Kombo, Under exclusive license to OSPO MUSIC GROUP, All rights reserved

КОМЕНТАРІ • 8 тис.

  • @pauh8080
    @pauh8080 Місяць тому +3138

    Wapi likes za our own everlyn wanjiru🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @cate7942
      @cate7942 Місяць тому +16

      Her ministration is on another level.

    • @susansusanne6157
      @susansusanne6157 Місяць тому +20

      Yes the ministration may be on another level but these women need to get fully dressed in garments of Salvation. Not these worldly clothes. May the LORD Jesus Christ help them seek the truth, Amen.

    • @remmyokello9696
      @remmyokello9696 Місяць тому

      Thank you for saying my mind😢😢​@@susansusanne6157

    • @LilianKhatenje
      @LilianKhatenje Місяць тому +1

      Ooh Jesus son of God

    • @alextheguzman6235
      @alextheguzman6235 Місяць тому +2

      Amen..mungu ni mmoja tu

  • @alicemukuingui5804
    @alicemukuingui5804 Місяць тому +1082

    Nikimwona nitamwambia amponye mchezaji Ezekiel Otuoma🙌...in Jesus name.

  • @HerFathersDaughter1944
    @HerFathersDaughter1944 14 днів тому +548

    If you're seeing this in June 2024 kindly leave a like so it can remind me how God has been faithful in my life. How He has changed my story
    How He has vindicated me
    It has been God all along. I remain Grateful

  • @zippynyangwe
    @zippynyangwe 7 днів тому +174

    Nikimwona ntamwaambia anikumbuke pia. 36 years old, no child ,no husband with no prospects. In the meantime lets worship Him. To all those who believe in God ,tuamini kwa pamoja, Amen🙏🙏🙏

    • @faithkathure9926
      @faithkathure9926 5 днів тому +6

      May God grant the desires of your heart darling.all the best.

    • @ableteamvoipag1395
      @ableteamvoipag1395 5 днів тому +6

      We serve God of no time limit,ask Sarah and Abraham..i pray for you before the end of this year,God will have manifested himself in his own way in jesus name.you will give a testimony

    • @neemamwakasape1630
      @neemamwakasape1630 5 днів тому +6

      Ur goin 2testify the goodness of God very soon❤❤❤

    • @shanicekanana371
      @shanicekanana371 3 дні тому +2

      Receive in the name of Jesus

    • @alicemumbi7585
      @alicemumbi7585 3 дні тому +3

      He is Faithful 🙏🙏🙏

  • @mercyurio1632
    @mercyurio1632 Місяць тому +1332

    Wapi like za Tanzania 🇹🇿 na Kenya 🇰🇪 tu watoto wa baba mmoja

  • @nickyamani7402
    @nickyamani7402 Місяць тому +4841

    Guys I am a living testimony for this song ....I played it the whole night at my our plot my neighbor was paralyzed 😢for more than 4yrs now She came at my house singing this song saying that she was healed after I played that song around 10 times 😢😢😢God is faithful guys let's believe on him🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @susanmuthoni6549
    @susanmuthoni6549 15 днів тому +74

    Nikimuona nitambia kwa unyenyekevu mwingi atumalizie ugonjwa wa Cancer umetumalizia Familia na marafiki 🧎‍♀️😭😭😭😭

  • @maureennyayiemi4936
    @maureennyayiemi4936 13 днів тому +181

    Nikimwona nitamwambia anipe favour and grace ya kuingia Mahali sifai kuingia,nipate kazi,wazazi wangu waishi maisha mazuri babangu apumzike asikie vizuri kama wanaume wengine awache kufanya kazi ngumu😢😥😥

    • @justinamumbi
      @justinamumbi 12 днів тому +3

      Ur wish is granted in Jesus name...just believe and have faith and pray hard..and it is given to you in Jesus name

    • @wilkisterkazira7650
      @wilkisterkazira7650 11 днів тому +2

      From your mouth to Gods ear 🙌🙌🙏

    • @HEPISIBAKERUBO
      @HEPISIBAKERUBO 10 днів тому +4

      God open doors for my children to get Jobs

    • @doricekadushi3924
      @doricekadushi3924 9 днів тому

    • @wakamwemaari
      @wakamwemaari 9 днів тому +1

      May favour locate you in Jesus name

  • @linahsylivester0054
    @linahsylivester0054 25 днів тому +206

    Mimi sina cha kuzungumza ila moyo wangu unalia kwa furaha kila nikimuona mume wangu namshukuru Mungu kwa kunipa mume bora,kanipa watoto,kanipa kibali kazini ooooh nasujudu kwa Mungu wangu kama ulivonibariki wabariki na wengine YEHOVA.AMINA

  • @kevootheguy2515
    @kevootheguy2515 23 дні тому +504

    Our very own Evelyn Wanjiru wapi likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @leonardrodman-nc6cx
    @leonardrodman-nc6cx 14 днів тому +70

    Nikumuona nitamuomba ampe mke wangu miaka mingi zaidi ya kuishi hapa duniani

  • @evangelinesencia6052
    @evangelinesencia6052 16 днів тому +158

    Ntamwambia aniondolee hizi rohoo Na mapepo YA umalaya naomba kutoka APA put me in your prayers guys 🙏🙏🙏

    • @divinehaibei9801
      @divinehaibei9801 14 днів тому +4

      May the Lord hear ur prayers

    • @shynahesther5918
      @shynahesther5918 13 днів тому +6

      Mwenyezi Mungu aione dhamira na nia yako njema kumfuata Yeye. Amini kwamba atakupigania na kukupa ushindi katika hilo ukiweka juhudi katika nia yako na sala pia ukizidisha, Amen.

    • @LilianKimambo-gg1do
      @LilianKimambo-gg1do 13 днів тому

      🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @boazmsechu6134
      @boazmsechu6134 12 днів тому +1

      Kwa kuwa umemuonesha Mungu Nia, amini amekuondolea hizo Roho za uovu. Sema Amen

    • @annetrapando8866
      @annetrapando8866 12 днів тому +2

      God has heard your prayers.... Confess Jesus as your savior a na d always tell yourself I am free

  • @tanzaniandrummer4391
    @tanzaniandrummer4391 Місяць тому +2646

    Wapi like za kenya 🇰🇪

  • @celinengonna427
    @celinengonna427 20 днів тому +424

    nikimuina nitamwambia afungue tumbo langu nipate watoto nizae. Munguabadilishe maisha yangu niitwe mama

  • @phylistawayi7860
    @phylistawayi7860 16 днів тому +100

    Nitamwambia atufungulie njia na atuondoe kwa umaskini for the sake of our mom who has struggled with us ...😢😢😢😢God please this prayer from the bottom of my heart ❤❤❤❤🤲🤲🙏

  • @anamarianestory8005
    @anamarianestory8005 6 днів тому +52

    Nikimuona nitamwambia atuponye wote tulio na depression

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 23 дні тому +466

    Nitamwambia Asante kwa kunitumia kama chombo ya kutoa familia yangu kutoka umaskini. Kenyans wapi likes zenu

  • @nancydaniel7350
    @nancydaniel7350 25 днів тому +889

    Nikimwona nitamwambia aniondolee utasa ata mie niitwe mama 🤰🤱❤

    • @sheilahmamisi3728
      @sheilahmamisi3728 24 дні тому +11

      Amen may he answer your prayers

    • @Mercymuriuki41
      @Mercymuriuki41 24 дні тому +13

      God will do it for His own glory

    • @rhiswanjiru7993
      @rhiswanjiru7993 24 дні тому +11

      Mambo yako yashafika mbeleni zake huyu Mungu huyu mmoja, wakati wako ushafika

    • @priscillawilliam1468
      @priscillawilliam1468 23 дні тому +8

      Mungu na akupe haja ya moyo wako

    • @sallywilson5810
      @sallywilson5810 23 дні тому +35

      Huu Uwe ukiri wako kila siku, Kutoka 23:26 “ Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala Aliye tasa katika nchi yako. Na hesabu ya siku zako nitaitimiza”. Wewe ni uzao wa Ibrahim kwa imani, hii ahadi ni yako pia. Kiri huu mstari kwa imani na Mungu wetu Aliye Mkuu Akutendee kwa Utukufu Wake 🙏🏾

  • @esther4402
    @esther4402 День тому +15

    Nikimuona nitamwambia anipe physical shop nimengoja miaka mitano nikiuza online Mungu asante kwa huu umbali nakuomba unipe duka langu sasa. Nakuamini Jehovah

  • @lilianhermenegild7175
    @lilianhermenegild7175 14 днів тому +35

    Nikimuona nitamwambia anisamehe sana pale nilipomchukiza na pia anitumie mimi kama chombo cha kuiinua familia yangu kiuchumi. Dharau zimezidi😭😭🙏

  • @petermabiki7798
    @petermabiki7798 Місяць тому +754

    40 years from today I will be 72 years and I know by the grace of GOD I will still be alive to listen to this song. Lets comment Amen and give the likes to keep me alive and to you my grandsons reading this comment in 2064 please comment AMEN so that I can remember the grace of GOD.

  • @RuthHalako
    @RuthHalako Місяць тому +564

    Nimwona nitamwambia anibariki na Mimi niweze kuitwa mama

    • @user-eh4ew6qc9j
      @user-eh4ew6qc9j Місяць тому +8

      Itwa mama kwa utukufu wa Mungu

    • @fridahlydia
      @fridahlydia Місяць тому +2

      Mungu ni mwema. Amekuonekania Sasa. Utanyonyesha na anakupa Wana ambao watakukumbusha kwamba miaka ilitoliwa na nzige yamerudishwa. Pokea katika jina la Yesu.

    • @lizlefic910
      @lizlefic910 Місяць тому +2

      Your womb is blessed mamah🥰🥰you will hold your bundle of joy in due time bcoz The God of Sarah has showered you with His blessings❤❤❤

    • @elizanjihia851
      @elizanjihia851 Місяць тому +1

      Hugs dear...

    • @user-ct9fn3ii5s
      @user-ct9fn3ii5s Місяць тому +9

      Next year this time, you'll be a mother of Twins.

  • @beautytoshaa7658
    @beautytoshaa7658 4 дні тому +6

    Nikimuona nitamsifu na kumwabudu it doesn't matter the situation for He deserves it all the time 🙏
    God bless you all...

  • @savedbygrace3230
    @savedbygrace3230 12 днів тому +42

    Wapi LIKES za Burundi na Rwanda na Belgium na Canada ? Mungu ni mmoja tu❤❤

  • @elizabethtibenda7324
    @elizabethtibenda7324 Місяць тому +222

    Cancer imeanguka kwa jina la Yesu mama yangu uwe mzima sasa, imetosha.

  • @upendojulius6808
    @upendojulius6808 Місяць тому +737

    Nikimuona nitamuomba amponye my baby girl Mirabel mwenye shida ya Autism, I wish siku moja nimsikie mwanangu akizungumza. Naamini hiyo siku itafika.

    • @nsajimoses6781
      @nsajimoses6781 Місяць тому +5

      Mungu yupo na wewe hapo endelea kumuomba yeye ni msikivu atamponya mtoto

    • @charitymwangi9343
      @charitymwangi9343 Місяць тому +7

      So shall it be, AMEN.

    • @blessedone9716
      @blessedone9716 Місяць тому +3

      Amen,you will testify to His goodness

    • @jamesmuiruri2727
      @jamesmuiruri2727 Місяць тому +2

      Amen.

    • @beattysangurah3890
      @beattysangurah3890 Місяць тому +6

      Keep laying your hands on her daily as u speak that dearest. It is well sister

  • @sylviamwangi9890
    @sylviamwangi9890 2 дні тому +6

    Nikimuona nitamuomba long life full of favour grace riches ,help n His protection upon my hubby,babies ,parent ,sibblings.
    I worship you Lord coz I have seen you working miracles in my life...

  • @LilianMwamwaja
    @LilianMwamwaja 11 днів тому +24

    Asante yangu imfikie Mungu pamoja na wote watakao like comment hii kwamba Mungu Ajibu maombi yetu ya siri ambayo Hatuwezi andika hapa Ila huyu Mungu mmoja tu yu Ajua!

  • @karenmuinde5121
    @karenmuinde5121 Місяць тому +695

    I love this song, ❤❤❤❤❤❤ when someone likes my comment I will always come back n listen to this song. more grace servants of the most high God.

    • @wigglesworthkemei5768
      @wigglesworthkemei5768 28 днів тому +1

      You will answer for every useless word that comes out of your mouth. Servants of the most high? Do you even know who the most high is? are they reflecting God or themselves?

    • @ellie75677
      @ellie75677 19 днів тому

      ​@@wigglesworthkemei5768how are they reflecting themselves??? Me naskia tu wakipraise God...

    • @karenmuinde5121
      @karenmuinde5121 17 днів тому

      ​@@ellie75677that's his opinion. everybody is at liberty to think, see or hear whatever it is they hear.

  • @EvelynWanjiru
    @EvelynWanjiru Місяць тому +1143

    Tunainama Tunasujudu Mungu Ni Mmoja Tuu…

  • @onyiebisi8836
    @onyiebisi8836 2 дні тому +6

    I'm a Nigerian and very much love this song even when I don't understand the language. I can feel the presence of God

  • @iangitonga3754
    @iangitonga3754 9 днів тому +18

    Nikimwona nitamwambia asanti kwa wema wake na fadhili zake. Amekuwa mwaminifu kwa maisha yangu. He is God

  • @jesusislord5045
    @jesusislord5045 Місяць тому +1161

    Wakenya mnajua sana kusupport waimbaji wa Tanzania, hebu ni mie nipeni like hata 10 tu!

    • @laurahmwende3646
      @laurahmwende3646 Місяць тому +15

      Ju Mungu ni mmoja🙏

    • @jesusislord5045
      @jesusislord5045 Місяць тому +14

      Hakika guyz. Tuna Mungu mmoja tuendelee kupendana

    • @gloriousn6425
      @gloriousn6425 Місяць тому +8

      @@laurahmwende3646amen , na sote tunakwenda mbingu moja❤🙏🏿🇹🇿🇰🇪

    • @monique2549
      @monique2549 Місяць тому +2

      Wow the King of glory is here

    • @steveprostem5333
      @steveprostem5333 Місяць тому +1

      Nimerusha yangu❤

  • @janetwanza3538
    @janetwanza3538 Місяць тому +437

    Nikimwona nitamwambia amponye dadangu yangu ambaye ameugua kwa miaka kumi na moja...we have really cried and struggled for her to get healed😢😢😢Na kwanzia leo na akapate instant healing in Jesus Name

  • @evelynemukasia7863
    @evelynemukasia7863 14 днів тому +21

    When I see him, I will ask him to restore my life and grant me financial breakthrough

  • @user-qk5sp3lz4u
    @user-qk5sp3lz4u 14 днів тому +11

    nikimwona ntamwambia amponye mama yangu uvimbe alionao maana amesema tuombe lolote kwajina lake atatendaa. mungu ni mmoja tu🙏

  • @MorningCoffeeJazz
    @MorningCoffeeJazz 24 дні тому +252

    I put this comment here, so that when anyone likes it, it will remind me how God restored me, turned my shame into fame and replaced my tears with joy. I never want to forget for one moment how good God has been to me, how this song has touched my soul

    • @margaretkimani6167
      @margaretkimani6167 21 день тому +1

      Hallelujah somebody 💯💯👌❤️🎁🎁Amen

    • @awindamukamimukami5419
      @awindamukamimukami5419 21 день тому

      Glory to God🙏

    • @MorningCoffeeJazz
      @MorningCoffeeJazz 21 день тому

      @@margaretkimani6167 God always protects you and your family. amen

    • @MorningCoffeeJazz
      @MorningCoffeeJazz 21 день тому

      @@margaretkimani6167 Chúa luôn bảo vệ bạn và gia đình bạn. amen 🙏🙏🙏

    • @MorningCoffeeJazz
      @MorningCoffeeJazz 21 день тому

      @@awindamukamimukami5419 Chúa luôn bảo vệ bạn và gia đình bạn. amen

  • @vivianakinyi1858
    @vivianakinyi1858 19 днів тому +199

    Wenye wako hapa kumuinua Mungu ambae ni mmoja tuu bila kujali niwa nchi gani piga like tukisonga... The king of Kings is here

  • @HandersonMwanyalo
    @HandersonMwanyalo 11 днів тому +32

    Wale wànatakà kua na yeye daima tukimwonà , let's gather here

  • @mercychelangat3975
    @mercychelangat3975 14 днів тому +49

    Nikimuona nitamwambia anibee kazi na atupee amani kwa family yangu😭😭😭🙏

    • @ndechiliotarimo
      @ndechiliotarimo 11 днів тому

      Pokea kazi kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth

    • @RachaelCurate
      @RachaelCurate 4 дні тому

      Receive peace and job in the name of the most high God

    • @cyrilologe
      @cyrilologe День тому

      Itatendeka

  • @DigitalMusic-bd4mu
    @DigitalMusic-bd4mu Місяць тому +782

    Hi Guys kama unaamini huu umoja unaenda mbali please nipe like Moja ❤

  • @veronicak6702
    @veronicak6702 23 дні тому +154

    Nikimuona nitamwambie amponye mama yangu HIV.🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-rt1hz9xn7r
    @user-rt1hz9xn7r 3 дні тому +6

    When I see Him i will tell Him to heal my small sister in form 3 she is depressed from last year.She is not in school.

    • @esthermbithi1174
      @esthermbithi1174 3 дні тому

      Pole sana, healing is her portion. I would wish to assist. If within nrb kindly bring them to KNH youth centre. They can be helped. Equally send me your number.

    • @roseakinyi1440
      @roseakinyi1440 Годину тому

      ​@@esthermbithi1174Is the help free so that I can also bring my sister?

  • @mercykocy9177
    @mercykocy9177 15 днів тому +13

    May everyone who listens to this encouraging song receive his/her wish in JN

  • @carolynwambua9422
    @carolynwambua9422 17 днів тому +87

    Nimeskia uu wimbo nikatamani tu nimrudie Mungu na moyo wangu wote.😢😢mniombee Mungu anikubali napenda uyu Mungu

    • @theclambande4695
      @theclambande4695 16 днів тому +2

      Neema ya Mungu iwe pamoja nawe

    • @beautytoshaa7658
      @beautytoshaa7658 4 дні тому +2

      May His grace find you wherever you are through our Lord Jesus Christ 🙏

    • @carolynwambua9422
      @carolynwambua9422 4 дні тому +1

      Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 Kwa kuni karibisha katika uwepo wa Mungu

    • @pillykinabo8722
      @pillykinabo8722 4 дні тому +1

      Mungu anakupenda zaidi

    • @giantbrand9792
      @giantbrand9792 3 дні тому

      Grace to abound in His love, His mercies are new everyday

  • @faithnathan7685
    @faithnathan7685 Місяць тому +425

    Am giving my life to God now. Pliz like me🙏🙏😭

    • @sarahngugi3951
      @sarahngugi3951 Місяць тому +2

      The best decision you've ever made. May God be with you in this journey 🙏

    • @EDEL121
      @EDEL121 Місяць тому +3

      The best decision ever
      Welcome to salvation🧡🧡🧡

    • @Jesus88057
      @Jesus88057 Місяць тому +2

      Congratulations

    • @rabielkaaya3764
      @rabielkaaya3764 Місяць тому +2

      Amen na iwe kweli

    • @loiceoloo6118
      @loiceoloo6118 Місяць тому +5

      Hey ,Fay! Don't look back. Move on with this fine decision. Kwanza yale maombi ya saa Tisa asubuhi😭😭 unahisi ni kama mbingu zimefunguka tu😭💯 it's good to know God in truth dear ones❤❤

  • @RoselyneTrizah
    @RoselyneTrizah 12 днів тому +11

    Nikimwona nitamwambia anipee ile good life alinopromise kwa kitabu cha jeremiah kabla nizaliwe. Nimefika mwisho 🙏

  • @sarahbaghayo
    @sarahbaghayo 3 дні тому +5

    Nikimuona nitamwambia ahsante kwa kunipa baba ambaye Alinifanya nikujue zaidi, hapa nlipo bado nataman ningepewa tena baba Kama yule nliyempenda Sana Ila MUNGU alimpenda Zaid😭😭😭

  • @fridahlydia
    @fridahlydia Місяць тому +318

    Nikimuona nitamuomba amponye mtoto wangu wa kwanza( Kimberly Grace) ambaye anaugua autism.

    • @roslynomollo2472
      @roslynomollo2472 Місяць тому +35

      1 Samwuel 5:1- dagon ameanguka,amevunjika!
      Autism before God's Ark itaanguka na kuvunjika katika jina la Yesu.🙏

    • @fridahlydia
      @fridahlydia Місяць тому

      Amen ​@@roslynomollo2472

    • @lucyanita1337
      @lucyanita1337 Місяць тому +12

      From your mouth to God's ears my sister.. may she be healed in jesus name..May your faith be raised above anything and everything.

    • @morinegatwiri9166
      @morinegatwiri9166 Місяць тому +15

      Mungu askie ombi lako, amponye pamoja na mwanangu wa kwanza pia anayeugua Autism pia🫂

    • @sarah_blessing
      @sarah_blessing Місяць тому +6

      He is able the king of Glory is able

  • @VeronicaGaluc-cz3um
    @VeronicaGaluc-cz3um 16 днів тому +13

    Kama umebalikiwa na huu wimbo gonga like.

  • @BennyJumah-hd8yf
    @BennyJumah-hd8yf 3 дні тому +3

    Ntamuomba mungu ameudishe magufuri Tanzania 🇹🇿 tena sababu watu wake wanateseka sababu mungu wangu ni mwamimifu naamin atanikibalia

  • @christinakimaro5978
    @christinakimaro5978 Місяць тому +141

    Nikimwona nitamwambia anipe Mume mwenye hekima na busara.

  • @maryadhiambo293
    @maryadhiambo293 24 дні тому +87

    Nitamwambia wabariki wanawake wote wasio na watoto wapate kibali Cha kuitwa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼oooh Mighty father wipe their tears 🙏🏼🙏🏼🙏🏼.

  • @Braymo0680
    @Braymo0680 2 дні тому +5

    Nikimwona nitamwambia anikumbuke, anapobariki wengine anibariki na mm,.🙏🙏

  • @RuthNampa-is5ec
    @RuthNampa-is5ec 7 днів тому +5

    Nikimuona nitamuambia akue kiongozi wa maisha yangu milele.

  • @lucylaizer-dv5yc
    @lucylaizer-dv5yc 29 днів тому +70

    Nikimuona nitamwomba atusaidie kutuondolea magenge ya ushoga na ulawiti,. Aibariki nchi zetu atuindolee maafa ya mafuriko, kwa maana Mungu wetu ni mmoja tu!!

  • @user-ft6wd3vr7k
    @user-ft6wd3vr7k Місяць тому +122

    Nikimwona nitamuomba aitoe familia yangu kwenye umaskini 😢fedha dhahabu vyote ni vyake anijalie hekima na maarifa kwenye dunia hii 😢

    • @paulinaalbert2475
      @paulinaalbert2475 Місяць тому

      Oohh pole naomba nikualike uje Kwa kuhani Mussa yupo kimara temboni hakika utafanikiwa kufikua hatma yako

    • @MkisiStylish
      @MkisiStylish 24 дні тому

      Amina

  • @tonniewisdom8639
    @tonniewisdom8639 9 днів тому +10

    Who else is constantly checking kama hii song imefika 3m Dio tuelekee 5 m journey...❤❤❤❤

  • @LavenderOyugi-xb9vb
    @LavenderOyugi-xb9vb 2 дні тому +3

    Ntamwambia "thank you God for this far and may your grace speak for me whenever my name is mentioned "amen.

  • @user-mo4no9sj2u
    @user-mo4no9sj2u 24 дні тому +113

    Nikimuona nitamuomba anisamehe nlipomkosea pia abadilishe maisha yang na familia yangu atuondolee umaskin anipe na mume mwema🙏🙏

    • @regnaldmunuo
      @regnaldmunuo 17 днів тому +1

      Nimekupenda Bure so innocent

    • @justinamumbi
      @justinamumbi 12 днів тому

      Its well my sister.....Mungu ako na masikio amesikia

  • @NaigreAfricain-df4pl
    @NaigreAfricain-df4pl Місяць тому +153

    😭😭I am blessed again again guyz , I am Rwandan starved for almost 30 years ,Nilimuamini Maishani na akatenda makubua ,I had no food God gave me food, I had no clothes but today I am selective, I got no shelter but today I own houses and apartments, Only God can do exceedingly , Pray and Trust nawanalia mutafutua machozi , Huu Mungu atawafanya udaladja, anajibu kwa wakati musikate tama bandugu, Bless u all

  • @Bridgeta-ju4js
    @Bridgeta-ju4js 2 дні тому +3

    Nikimwona ntamwambia anipee neema mbele ya watu pamoja na kundiondolea madharau ya watu

  • @magrethgoodluck3276
    @magrethgoodluck3276 15 днів тому +16

    Nikimwona nitaomba atuondolee umaskini ktk familia yang awaponye wazazi wangu mama yng anaegua sana na pia ambariki mume wangu ili aweze kufanikiwa kila hitaji la moyo wake

  • @user-bx1bz5xx8d
    @user-bx1bz5xx8d 25 днів тому +121

    Nikimuona ntamwambia aiondoe familia yangu katika umasikini tufanikiwe zaidi ya kufanikiwa ameen

    • @josephkeya995
      @josephkeya995 18 днів тому

      God will bless you more than you can think or even imagine. He owns the world

    • @regnaldmunuo
      @regnaldmunuo 17 днів тому +1

      Bwana asikie maombi Yako leo

    • @AnnLove-jl4uy
      @AnnLove-jl4uy 13 днів тому

      Yuko hapo nawe mwambie anasikia

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 Місяць тому +132

    Mko wapi mliobarikiwa na combination ya Evelyn na Bella ilivyoshusha upako mnibariki na likes zenu

  • @ritha8110
    @ritha8110 11 днів тому +5

    Mungu yuko hapa tayari. Anaishi ndani yako na yeye ni mkuu kuliko aishiye ulimwenguni.. Alisema mtu akimpenda atalishika neno lake na Baba yake atampenda nao watakuja kwa mtu na kukaa naye.. Hivyo kwa wewe unayependa neno la Mungu, unapendwa kuliko kawaida. Anakusikiliza usifadhaike kwa jambo lolote mimina moyo wake kwake mwambie Baba kuna shida hii na hii..Naye kwa kuwa wewe ni mwanaye atakupatia yote uyaombayo sawasawa na mapenzi yake!!! Umebarikiwa sana na Mungu anakaa ndani yako sasa.
    😊😊😊😊😊

  • @swaumuntandu9127
    @swaumuntandu9127 8 днів тому +5

    Ntamwambia anioneshe mume mwema anioe nipate nusra ya ndoa maan nataman niitwe mke na mama fulani😢😢😢

  • @kabuchijunior5144
    @kabuchijunior5144 Місяць тому +173

    Am praying for my wedding this year and kwa kweli Mungu ni mmoja tu and i shall be a testimony in 2024 🙏

    • @seremaghema4742
      @seremaghema4742 Місяць тому

      Amen

    • @anjelambasha7908
      @anjelambasha7908 Місяць тому +1

      Amen,Ameen,Ameen

    • @LydiaMollel
      @LydiaMollel Місяць тому +2

      Same to me ntakuwa na ushuhuda mkubwa sana huu mwaka kabla kuisha kwanzia kuolewa kwa harusi

    • @valentinewanga8710
      @valentinewanga8710 27 днів тому

      Trust The King of glory never fails,, it will happen Amen to that.

    • @margaretkimani6167
      @margaretkimani6167 21 день тому +2

      You and I both 🎉🎉🎉🎉Arusi tunayo 🎉🎉🎉🎉 Pilau too😅

  • @forgiven716
    @forgiven716 29 днів тому +201

    If someone likes my comment I will come back and watch again

  • @alicemukomwe6773
    @alicemukomwe6773 11 днів тому +10

    Nikimwona nitamwambia aniondolee maumivu kwenye mwili wangu na aniongoze kwenye njia zangu nikayafanye yanayo mfurahisha

  • @benteradega1434
    @benteradega1434 9 днів тому +4

    Hakika mungu Yuko na nimoja Tu,,living my comment here will come back to testify by end of this year kuwa ametenda in Jesus name🙏🙏🙏🙏

    • @LevinaMalesa
      @LevinaMalesa 2 дні тому

      Nikimuona nitamwambia awakomboe watoto wangu wa kiume na unywaji wa pombe kupita kiasi.

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 Місяць тому +444

    Kama umekubali huu wimbo ni mkubwa mno nipe like tusonge 🌹

  • @Godsgirl01
    @Godsgirl01 Місяць тому +120

    Wale tumekua leo Tuesday kwa Sarah k @Nairobi cinema moment of worship bella kombo akiimba huu wimbo tunasema MUNGU NI MMOJA TU,,like my comment I will come back to watch it

  • @evansbati3019
    @evansbati3019 9 днів тому +5

    Nikimwona mimi nitamshukulu sana kwa yote aliyonijalia. Sina nafasi ya kulalamika. Asante kwa wimbo huu. Mungu ni mkuu❤.❤ MAY HIS WILL BE DONE.

  • @nicholkihima2859
    @nicholkihima2859 16 днів тому +15

    I play this song over and over again it has been a testimony in my life....i had prayed for promotion for years but this was my prayer and i received my promotion and so many breakthroughs.
    I have cried for years but this particular song has made me so strong God you are king of glory....
    May this song be a testimony to those who cry silently like i used to cry.

  • @jacktoneztz8310
    @jacktoneztz8310 24 дні тому +50

    Nikimuona nitamuomba akate mzizi wa umasikini kwenye familia yetu 😢😢

    • @user-tx6kv5gw8i
      @user-tx6kv5gw8i 5 днів тому

      Kindly friend
      God has already done it
      Remember at the cross He said it is finished
      Just believe and work hard miungu ya dagoni ya umaskini imeanguka imevunjika katika jina la Yesu kristo
      Amen....

  • @TabithaMutunga-zn4qn
    @TabithaMutunga-zn4qn Місяць тому +236

    I will be singing this song till July, i am expecting a miracle . I will be back to testify of God's faithfulness . Please like my comment. Mungu ni mmoja!

    • @pendouhuru20
      @pendouhuru20 Місяць тому +3

      Amen.

    • @carolynemaweu
      @carolynemaweu Місяць тому +3

      May God answer you.

    • @puritykagwiria596
      @puritykagwiria596 Місяць тому +2

      May God gives your heart desires

    • @fridahlydia
      @fridahlydia Місяць тому +2

      With this kind of faith, let God do it for your. Yeye ni Mungu mmoja tu! Anayetenda miujiza

    • @estherboniphace9695
      @estherboniphace9695 Місяць тому +1

      Amen,good song.Mungu ni mmoja tu❤

  • @teclaochieng8364
    @teclaochieng8364 День тому +2

    Nitamwambia anitumie niwe baraka kwa wote.
    Familia, marafiki and the world at large.
    Nitarudi na ushuhuda papa hapa.
    Tuzidi kuombeana

  • @Laikapage
    @Laikapage 2 дні тому +3

    May GOD heal us from thing’s we don’t talk about,and give us grace

  • @emmakulata
    @emmakulata 29 днів тому +140

    Wapi like za🇹🇿 Na 🇰🇪 Maana MUNGU Wetu Ni Mmoja Sote Wapendwa❤❤❤

  • @tandesharine7082
    @tandesharine7082 Місяць тому +155

    Nikimuona nitamwambia akumbuke nchi yangu Kenya atuondolee maafa ya mafuriko

    • @wigglesworthkemei5768
      @wigglesworthkemei5768 28 днів тому

      It is because of listening to such. This is the reason of all these floods. We have blinded our eyes to the true God...and have instead listen to workers of iniquity...Repent and seek the Lord for yourself lest you too are caught up in the land of the dead...God loves you and He seeks to have a relationship with each one of us...but He is not a compromiser...He will not strive with man...to anyone who may see this...denounce everything you've learnt from your so called churches...which are being defiled by the same ones you keep listening...and seek the Lord. Seek His mercy and indeed He will listen to you. Be blessed

    • @rachealree4627
      @rachealree4627 20 днів тому +1

      And He did it....

  • @Bridgeta-ju4js
    @Bridgeta-ju4js 3 дні тому +2

    Ntamwambia anikumbuke na familia yetu pamoja na magonjwa yapone

  • @faithkyule6264
    @faithkyule6264 26 днів тому +43

    Nikimuona nitamwambia mwaka 2024 anipe mume

  • @lilianmwamto6275
    @lilianmwamto6275 Місяць тому +227

    Who has noticed Sarah K signature in this song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I can't wait for Tuesday worships moments when she will redo this song.

    • @angelaeunny8298
      @angelaeunny8298 Місяць тому +4

      Yes she did can't wait🎉

    • @ryanmask2547
      @ryanmask2547 Місяць тому +3

      A friend said the same,Sarah K all over

    • @joycembutu9255
      @joycembutu9255 Місяць тому +2

      Can't wait too

    • @liliankariuki7708
      @liliankariuki7708 Місяць тому +1

      It will be🔥🔥🔥

    • @mcback4384
      @mcback4384 Місяць тому +9

      Which signature? Stop planting divisions in the glory of God, learn to not see human pride in God's praise

  • @susanmuthoni6549
    @susanmuthoni6549 15 днів тому +5

    Nikimuona nitambia asante sana kwa uzima wa mwili kwangu na familia yangu na kunipa amani tangu mama yetu apumzike tulikosa amani na hakika ametupa amani tunashukuru sana.
    Pokea sifa za mioyo yetu Mungu ni mmoja tu❤❤❤❤

  • @leahraayio1798
    @leahraayio1798 13 днів тому +5

    I sang this song,when my mum was too sick and she is well...Glory be to our God 🎉

  • @navaliayobesh7569
    @navaliayobesh7569 Місяць тому +78

    Nitamwambia aponye ndoa yangu na kuisimamisha tena.kwa jina la yesu

  • @StacyBrevian-ee4tc
    @StacyBrevian-ee4tc Місяць тому +138

    Na mungu anibadilishie maisha yangu leo kama unakubaliana na mimi nipe likes 🎉🎉🎉

  • @moreenoyugi2473
    @moreenoyugi2473 15 днів тому +22

    Nimeshindwa kuandika comment yangu😭😭😭

  • @valentineindeke1904
    @valentineindeke1904 15 днів тому +5

    This song is a Miracle a true definition of worshipping One and Only God above all the gods,, God is Faithful nikimwona I will tell Him 'To make my ends meet, my dreams to become true' this song is a bundle of hope i love listening people saying Mungu ni mmoja because unto to You God is where my Hopes are, God continue blessing us keep it real with us.. Above all God is one and faithful, Praise God❤

  • @tupokigwemarco7584
    @tupokigwemarco7584 20 днів тому +48

    Kiukweli neno la Mungu linaponya ,hii nyimbo mpaka naona imeimbwa kwaajili yangu wiki tatu zilizopita niliambiwa nina maradhi ya figo na tiba yake ni kupandikiza au kusafisha damu ,nikawa nalia usiku nikiimba hii nyimbo nakukumbuka neno la Mungu kwa mtumishi wake Musa kutoka torati32:39 ,jamani Mungu ni mmoja tu yeye ni niko ambaye niko ukimuelewa maisha yako yatabadilika ,nimerudi kwenye kipimo cha CT SCAN wiki hii sina kitu ,utukufu ni kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.

    • @AngelaMsuya-oy8rf
      @AngelaMsuya-oy8rf 9 днів тому +3

      Hakika Mungu ni mmoja tu

    • @oliambilinyi4192
      @oliambilinyi4192 7 днів тому +1

      Glory to God jmni

    • @milkaopatia7560
      @milkaopatia7560 7 днів тому +2

      You are testifying today as I am on my way to CT scan with the same kidney problem but I believe through your testimony I'll also come back with a testimony today.. May God help me in Jesus Christ mighty name . Amen 🙏

    • @CREMENSIAMASEBO-ll5wi
      @CREMENSIAMASEBO-ll5wi 6 днів тому

      🙏🙏🙏

    • @anamarianestory8005
      @anamarianestory8005 6 днів тому +1

      Hakika Mungu anatenda

  • @janendinda4795
    @janendinda4795 Місяць тому +457

    If u saw the song n got blessed in TikTok n ran here piga like .Mungu Yuko hapa

  • @riopossible6378
    @riopossible6378 15 днів тому +10

    Nikimuona nitamwambia airegeshe amani na upendo as well as bond in my marriage ..I have great faith in Him...He has faithfully done a lot unto my life...When He finally does it I'll come back here to testify

    • @ellie75677
      @ellie75677 8 днів тому

      Amen we are waiting for your testimony

  • @ephellyindika2405
    @ephellyindika2405 День тому +1

    Nikimwona nitamshukuru kwa kuponya my son Marvel.He s a living testimony.....He gonna heal me from fibroids too.I believe 🙏

  • @AnnNgina-qi1yp
    @AnnNgina-qi1yp Місяць тому +198

    Likes za nyumbani...🇰🇪 🇰🇪

  • @NaomNzisa
    @NaomNzisa 29 днів тому +67

    Nikimuona nitamwambia aondoe roho wa pombe katika familia yangu na pia atuondolee magonjwa katika familia yangu na amani yake itawale familia yangu.

  • @winniemutua6440
    @winniemutua6440 День тому

    Nikimwona ntamwambia asante Kwa umbali huu aendelee kunibariki zaidi na kuwaweka maadui zangu uhai wazindi kuona nikisoga mbele.kama uko hapa tuamini sote AMINA

  • @euniceembasi3130
    @euniceembasi3130 13 днів тому +3

    Kwa hakika wimbo huu hunitia nguvu kwa kila jambo ....nimepitia mambo mengi bt through this song nazidi kumtukuza Mungu .....kwa kila jambo tuna sababu ya kumshukuru Mungu liwe mbaya ama nzuri ....kwa hakika atatenda ....kwa hakika n mmoja na n Mkuu wapendwa ...barikiweni wenzangu🙏🙏🙏🙏

  • @SamwelNgwala
    @SamwelNgwala Місяць тому +132

    Siyo mwepesi kucomment lakini huu wimbo umenigusa nikiwa ofisini nikaona nitamke neno la baraka Kwa waimbaji na wote wanaousikiliza huu wimbo Mungu akakutane nao
    Katika jina la Yesu anayeamini aseme Amen!

  • @RulebyJaz
    @RulebyJaz Місяць тому +52

    I am Muslim but this song hits the different ♥️🔥

    • @kyallohjosphat5397
      @kyallohjosphat5397 28 днів тому +2

      You can altogether cross over, Jesus loves you and would love seeing you in the camp. Welcome

    • @andrewmwakisu7670
      @andrewmwakisu7670 26 днів тому +1

      Receive this God you'll experience the difference everyday in Jesus name, amen

    • @neemashao211
      @neemashao211 24 дні тому +1

      To God be the Glory

    • @christabelochieng3271
      @christabelochieng3271 12 днів тому

      To God be the glory