This song was sung during the concencration of our new church, Assumption of Mary Umoja1, I cried a lot, anything spiritual that makes me cry has a divine presence ,Touch and anointing
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
Twataizya karesa wikolo jitahid Sana kumuwakilisha bikira Malia Nas twakuombea uzid kutuwakilisha vyema ahsante Karibu Sana parking 6:53 ya Mt yakobo laela sumbawng vjjn
Hongera sana kijana wangu, kameja mungu akutunze mungu akulinde, azidi kukusimamia uendelea kulihubir neno la mungu, kupitia uimbaji,
Amen Asante Sana ndugu yangu endelea kubarikiwa 🙏🙏🙏
Amina.
@@lawrencekameja9730 mwe b
@lawrence kameja
Kweli umebarikiwa Sana ndugu
@@lawrencekameja9730 mambo kaka, mbona Huna account yako ya UA-cam, naitaka sana, Mimi ni fan wa nyimbo zako
Be blessed
Ni mwezi wa rosari asanteni sana mkurugenzi kameja ubarikiwe sana
Amen bro
Ray Ufunguo has done it again. Mama yetu Maria utuombee
Amen.
Hakika uimbaji ni ulevi wangu nikisikia kwaya inaimba vizuri najisikia raha
Nice one 🔥❤️
Maria Mtakatifu utuongoze daima tudumu katika sala hongera Bro na team nzima kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏
Asante Sana
Inaimarisha Sana.. kongole
Nakubari sana kaka nyimbo zako mungu akujalie uendelea kutunga nyimbo nyingi sana
Hongela sana kijana wangu Lau kwakutuonyesha kuwa kipaji huwa hakichaguwi ukoo mungu aendelee kukupa kipaji zaidi
Asante Sana Mzee wng
Wimbo mzuri. Mbarikiwe sana sana 🙏🙏🙏
Kumbe sisi si yatima, tunaye Mama Maria. Upendo wa Mungu uliopitiliza, anatushirikisha Mama yake. Ukisikiliza vizuri, maneno yanaisha.
As we v FX x see
Mozen Pro, Waimbaji, kazi kubwa sana, Congratulations
Congrats ..good job done keep that spirit
Aseeee tunawa enzi saña ng'ambo hii...swari saña Laurenti 🔥🔥
Ray Hoyeeeeer👏👏
🔥🔥
This song was sung during the concencration of our new church, Assumption of Mary Umoja1, I cried a lot, anything spiritual that makes me cry has a divine presence ,Touch and anointing
Be blessed
Mama Maria utuombee🙏
amina
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
Shukran. ubarikiwe pia.
Amina
Wow💯💯Ray ufunguo you inspire me in music 👋👋👋👏👏👏I wish one day we produce a song with you! Will be my dream come true! God bless you!
🙏🙏🙏🙏mother Mary pray for us
Kazi safi 👌
Good job,you sang well too first mass on Sunday
thanks
Wow great work tr. Kameja
Asante sana
🙏
Kongole sana gifted voice 🔥🔥🔥Ray may God continue blessing you
thanks dear
Good job kameja and swai endeleeni kuinua talanta za wakenya mungu awabariki .kwa waimbaji kongole nice voices
Amen ubarikiwe sana
Thank you....
Ooh mama maria tuombee sisi wanao .amina
Amen
Big up sana bro kameja 🎉
Ray Ufunguo kama Kawaida💓💓💓💓💓
Mziki upo sawa: Melody, Harmony, kinanda, sauti, Yani tamu tu❣️❣️👌
asante
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Interesting🙏👐
Kazi Safi kameja mbarikiwe sanaa
Wow,nice song to mama bikira maria
Kazi nzuri sana hongereni Lawrence Kameja 🙏
Asante Sana kaka
Hongereni San nimebarikiwa
Hongera Sana kijana wangu kwa kipaji ulichonacho Cha kutinga nyimbo
lovely😊
thanks
very nice good job....mbarikiwe sana
Naomba kuelezwa mahali naweza pata nota za huu wimbo niko kenya,
Na bado kuiona kwa swahili music
🎼🎼🎼🎼🎼🎤🎤🎤🎤🎤 keep up the good work
Wimbo mtamu saaaaaanaaa
kazi safi 👏👏
Good work bro, injili isonge mbele, be blessed
Wow congratulations baha nakuona ...Maria mtakatifu tuombee kwa mwanao yesu kristo
Asante Sana kwa wimbo mzuri
Mary mother of God pray for Us
Shukrani
Hongera kikundi cha uimbaji
Shukran
Hongera sana Kameja
Asante sana dada yangu
Unanifanya nijivunie kuwa mkatoliki kameja Mungu akuongezee maarifa zaidi na zaidi binafsi nabarikiwa sn na nyimbo zako ishi maisha maref zaidi kaka
Asante sana dada yangu
🔥🔥
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
amina.
Kwa hakika mungu amjalie neema Zaid ya kueneza injili ya imani
Amina
Great Job done ✅
thanks
Naam kazi nzuri sanaaa🙏🙏
Shem Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi... Hongereni kwa kazi nzuri
Amina,thank you.
Asante Sana shemeji
@@pmercyndunge9982 karibu
Karibu shem
Kinanda kimemtii Mama.
kazi Safi Lau, Bahati and the whole team👏👏
mbarikiwe ❤️❤️
Amen
thanks mercy
Thank you rafiki wetu...
@@giftedvoices5122 you're welcome
@@pmercyndunge9982 karibu🙏
Sweet ✨✨🖤💙🖤💙👏💥
Hongerani sana wimbo mtamu.
How can I get the music score PDF
Twataizya karesa wikolo jitahid Sana kumuwakilisha bikira Malia Nas twakuombea uzid kutuwakilisha vyema ahsante Karibu Sana parking 6:53 ya Mt yakobo laela sumbawng vjjn
Hongera sana lawrence kameja unakipaj cha kuimba sana unaimba vizur very good
❤Qui bene Cantat bis orat. Mungu wangu apewe sifa kwa kipaji hiki.
Waaoh..keep up. Iko sawa 🔥🔥🔥🔥
thanks
Kongole kongole sana ndugu zanguni..Kenya twawashabikia
Hongera kwa kazi nzuri sana
sauti tamu mmm!
Thanks
Muziki mtakatifu,,,,, naomba nota zake tafadhali
❤❤❤ kazi nzuri sana. Pongezi
My people you've done it again
Congratulations it's so sweet
thanks marto wetu.
Umempendeza Mama Yetu.
Kila anayesikiliza kwa makini anajiona mikononi mwa Maria, mbele ya Mfalme Yesu.
Asante.
Hongereni sana, wimbo mzuri sana
Hongera sanaaa kaka kameja Kwa kumshuhudia Mungu Kwa njia ya uimbaji unaimba vizuri Sanaa unatutafakarisha sana kuipitia nyimbi Mungu akunze.
Very smart, may bless always 🙏👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🌹
thanks
Kaka rey upo vizu
Hongereni sana Mungu awabariki mnoo
Thanks. Kindly share the song.
Hongera sana 💕
Umeona lucy
Mandhari ipo vizuli sana asante kwa utume wenu
Kazi safi,congratulations
thanks
Kazi njema sana, mbarikiwe
thanks our people..be blessed.
Mama mtakafifu utuombee kwa mwanao Yesu mpendwa Amen
Congrats
Inspiring ..... Tuombee ee Mama Maria
Nice song and blessing, God bless you all
Twakimbilia ulizi wako mama maria. Maria tuombee ❤❤
Kongole mungu akuongezee hekima
Hongereni sana wimbo mzuri,
I cant get enough of this,,, barikiweni sana
Thanks
Kazi kuntu👏
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu.
Wow. Growing every moment🔥🔥🔥🔥 a nice piece. Maria utuombee
Kazi safi 💕
Thanks
Lawrence congrats for this great melody song and nice voice my God bless you, gifted voices 👍👍🎉🎉
Kazi Safi
Wimbo mtamu kweli na sala njema 🥳
All my respect from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
💞💞💞💞💞💞
Thanks
This is amazing Mkuu @Kameja 💯💯🥳🥳👏
Be blessed 🙏
Hongeren sanaaaaaaa👍👍
Asante
👌👌👌👌 congratulations Gifted voices, keep the Fire burning🔊🔊🔊🔊🎧
thankyu
Amazing music with spirituality,hongereni sanaa
Beautiful song bro Kameja and group
Thanks and kindly share the song to reach many people.
Will definitely do
kazi nzuri ray
Asante
Wimbo taamu sana
Listening from Kenya,good job,keep it up.twawagoja....missing you guys
Naomba Kuuliza vikoi. Nimevipenda Jamn Nitavipataje❤
My favourite song
Thanks and kindly share the song.
Hongerà baba keep up my lovely son Marcus may God grant you more and more blessinga
Oh my soooso beautifull may our lord keep on installing grace over u and smart voice🎉🎉Mimi Laurence umenirudisha ka Yesu na mam yetu Bikira asante🎉🎉
Liwe tunzo lako mbinguni.