HUU NDIO WOSIA WA MBARIKIWA KWA WATOTO WAKE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 бер 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @user-jx4rx6jy6y
    @user-jx4rx6jy6y Місяць тому +1

    Amen natembea na yesu siku zote zamaishayangu mbalikuwe sana❤❤❤

  • @user-uv7op3id3s
    @user-uv7op3id3s 2 місяці тому +4

    Ninacho kupenda MCH ni jinsi ulivyofauru kuwaunganisha washiriki wako na kwenda pamoja nao
    Hakika wamemeza roho yako kama baba kama mimi ningekuwa hapo mbeya hakika ningekuwa mshirika wako
    Napenda msimamo wako
    Songa mbele kina yeremia waliwekwa sero ya shimo lenye tope lakini walipotoka hawakuacha kusema kweli ya Mungu
    UBARIKIWE SANA MCH BARIKIWA

  • @gpupinternational
    @gpupinternational Місяць тому

    Nakupenda sana kwa ajili ya ukweli wa neno la MUNGU.Tuponyu yako.amina.

  • @LuthuBayo-de9wm
    @LuthuBayo-de9wm 2 місяці тому +1

    Asante baba nitatembea na huyo yesu mungu anisaidie kwa alivyo nisaidia kwa injili yako by kaiza 🎉🎉❤

  • @victorkamugisha2282
    @victorkamugisha2282 Місяць тому

    Safi sana.

  • @EmanuelRazaro
    @EmanuelRazaro Місяць тому

    Ubarikiwa Bwana

  • @annasam-nw4sw
    @annasam-nw4sw 3 місяці тому +2

    Oooh Tembea na Yesu ameeeen ee ameeen eee Ameen haleluya Ameen
    Usilotaka kutendewa usimtendee wingineeeeee...ameeen haleluya ameeeen ❤❤❤❤Asante babaaaaa ameeeen ..tubaki na Yesuuuu tuuuu

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 11 днів тому

    Mimi naomba muulize roho mtakatifu kuhusu kuweka picha ya mchungaji kwenye nguo ni machukizo kwa Mungu mnakuwa kama mnamwabudu au mnamtangaza yeye ,Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 2 місяці тому +1

    Hongera sana mchungaji na nyimbo yenye funzo kubwa kwetu mbarikiwe wote mungu aendelee kuwalinda daima na kuwstia nguvu milele. Mchungaji nakufuatilia sana .. nikiwa marekani .nafurahi sana .nikiwaona hivyo ..

  • @gpupinternational
    @gpupinternational Місяць тому

    Amina❤

  • @PastorNathanael-ex4co
    @PastorNathanael-ex4co 2 місяці тому +1

    Barikiwa sana mtumish wa MUNGU

  • @user-wq8qd1ny3t
    @user-wq8qd1ny3t Місяць тому

    Natembe na yesu kila niendapo

  • @user-wq8qd1ny3t
    @user-wq8qd1ny3t 2 місяці тому

    Na tembea na yesu kila niendapo na tembea nayesu

  • @omanss268
    @omanss268 3 місяці тому +1

    Mungu akubaliki sana

  • @annasam-nw4sw
    @annasam-nw4sw 3 місяці тому +1

    Asante baba na mama yetu ❤❤

  • @user-zs7hm1xh6f
    @user-zs7hm1xh6f 2 місяці тому

    Amen kukejeliwa kuko lakini mtazamie tu yesu

  • @user-wt6uo7xm3f
    @user-wt6uo7xm3f 3 місяці тому +1

    Amina

  • @hosealutangilo5058
    @hosealutangilo5058 3 місяці тому +1

    Tembea na Yesu....Milele yote

    • @user-uv6km8dg1z
      @user-uv6km8dg1z 2 місяці тому

      Hongera sana baba, hakuna MUNGU azidi kuwatetea na mama ili nasi bila kuchoka tuwafuate nyuma, BARIKIWA sana na wimbo huo nzuri sana, hakika nitatembea nae mpaka mwisho MUNGU anisaidie sana

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Місяць тому

    Kwa hiyo mtumishi baada ya kutoka jela umewaamuru waumini wavae rangi ya jela?

  • @sifawayesu7079
    @sifawayesu7079 3 місяці тому

    Ameeeeeen

  • @user-jy3zk5dw6i
    @user-jy3zk5dw6i 3 місяці тому

    Mwanaharakati huyo

  • @mwamuzi
    @mwamuzi 3 місяці тому +1

    Umeanza kufulukuta nawewe

    • @user-vo6fu3pp1p
      @user-vo6fu3pp1p  3 місяці тому

      Kama unavyoona.

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 2 місяці тому

      ​@@user-vo6fu3pp1p Nani huyu alikuwa anakuuliza hivyo??

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 3 місяці тому

    Mbarikiwa siyo mchungaji ila ni mwana maigizo huy bwana

  • @JojinaMbwiga
    @JojinaMbwiga 2 місяці тому

    Amina

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 3 місяці тому

    Mbarikiwa siyo mchungaji ila ni mwana maigizo huy bwana

    • @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
      @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 3 місяці тому

      Sasa aliekuambia ni mchungaji ninani? Ewe joka mwana wa joka

    • @user-vo6fu3pp1p
      @user-vo6fu3pp1p  3 місяці тому +2

      Ni heri ambaye ni mchungaji mwanamaigizo ambaye kazi zake zinaonekana na wewe umepata nafasi ya kuzifuatilia.

    • @omanss268
      @omanss268 3 місяці тому +1

      Heri yake mwanangu maigizo kuliko we hujulikani mbinguni na duniani mwenzeo ajulikana mbinguni na duniani

    • @samwelmswete2232
      @samwelmswete2232 3 місяці тому +1

      Si kosa lako kwakua hujui alicho kiweka mungu ndani yake ila sisi tumesaidiwa na huyu mch .mungu na aongeze neema juu yake.

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 2 місяці тому

      Kafuatilie nyimbo za wachungaji, nani kakiita hapa??