NYIMBO ZOTE ZA KWARESMA ZILIZOIMBWA NA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.Mratibu- Aloyce Kipangula

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лют 2023
  • KARIBU TUTAFAKARI PAMOJA NYIMBO ZA VIDEO ZA KWARESMA 2023 ZILIZOIMBWA NA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS. PAROKIA YA CHANG'OMBE JIMBO KUU DAR. NYIMBO HIZI ZITAKATAFAKARISHA VEMA KUHUSU UHUSIANO WAKO NA MUNGU.#kanisakatoliki #kwayakatoliki #nyimbozainjili #nyimbozakatoliki #nyimbozakatoliki#kwaresma

КОМЕНТАРІ • 163

  • @rosemaryhyera6164
    @rosemaryhyera6164 Рік тому +7

    Huu wimbo hauchuji kila siku ni mpya kila unapousikiliza,Mungu awabariki sana waimbaji wote na kuwatia nguvu mtunge nyimbo nyingi zenye kugusa mioyo yetu

  • @constantinedzombo8810
    @constantinedzombo8810 Рік тому +8

    Wimbo unanisaidia kujihimiza kumrudia Mungu katika toba ya kweli katika msimu huu wa Kwaresma

  • @laurenceekway9451
    @laurenceekway9451 Рік тому +5

    Tuzidi kumwimbia kiristu maana bila yesu sisi wenyewe atuwezi

  • @user-od3bh3gr9d
    @user-od3bh3gr9d 4 місяці тому +3

    Napenda sana... Tuzidi kufunga na kuomba sana... Yesu atatuhurumia

  • @wellingtonokilla5579
    @wellingtonokilla5579 2 місяці тому +1

    ❤❤

  • @donaldvanjoseph8153
    @donaldvanjoseph8153 Рік тому +4

    Tulikuwa tunaimba kwaya kipindi icho TYCS tujuane hapa kwa like

  • @user-is9xq7rg8d
    @user-is9xq7rg8d 4 місяці тому +1

    Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya kuinjilisha kwa njia ya uimbaji

  • @user-yo4sg5se7j
    @user-yo4sg5se7j 4 місяці тому +1

    Very weii sung. 🙏🙏🙏

  • @aristotefrontline4425
    @aristotefrontline4425 3 місяці тому

    Shukrani kwa wimbo nzuri

  • @user-sr7of6hi8y
    @user-sr7of6hi8y 4 місяці тому +1

    Mungu awabariki san napenda kusikiliza nyimbo zenu wapendwa

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 5 місяців тому +2

    Amen Amen, Mungu aturumie yote tunayo kosa.

  • @wairimuwaihwa2475
    @wairimuwaihwa2475 3 місяці тому

    Hongers Wana choir!
    Nyimbo tamu,!
    Classic songs!
    Changombe hoiye!❤❤❤

  • @salomeshongola1697
    @salomeshongola1697 Рік тому +1

    Kila mwenye pumunzi na amsifu Bwana.

  • @MoniqKenyUSA
    @MoniqKenyUSA Рік тому +5

    Beautiful touching and emotional lent songs. Proud Catholic!

  • @mercybironga4239
    @mercybironga4239 Рік тому +1

    Nice song

  • @user-ct2mn8lt1z
    @user-ct2mn8lt1z 4 місяці тому +1

    Mungu abariki huduma yenu.

  • @josphatgwaro6543
    @josphatgwaro6543 4 місяці тому +1

    I like the song especially this period of lent

  • @ogerotheibelius8028
    @ogerotheibelius8028 Рік тому +4

    Good choir .When i listen to your songs i feel encouraged and may you continue praising God and preaching to christians all over the world thanks ❤

  • @user-kj6wx6on6k
    @user-kj6wx6on6k 4 місяці тому

    Mungu Awabari sana kwa nyimbo nzuri

  • @user-pl9ep5mu1y
    @user-pl9ep5mu1y 4 місяці тому +1

    Mungu awabariki sana

  • @user-ol3qz7lp4g
    @user-ol3qz7lp4g 5 місяців тому +2

    🙏

  • @user-hs1zg9kj6j
    @user-hs1zg9kj6j 3 місяці тому

    Hongeni Sana nyumba nzur

  • @aureliebea3957
    @aureliebea3957 3 місяці тому

    Wimbo mtamu ajabu. Zidi kubarikiwa!🙏

  • @upendokimario6395
    @upendokimario6395 Рік тому +1

    Nyimbo poa sana

  • @MariaKaparae
    @MariaKaparae 6 місяців тому +1

    Mungu ni mwema

  • @princebernard2369
    @princebernard2369 Рік тому +2

    All glory to the Almighty God for the grace of life. Give thanks to the Lord all the dayf of your life

  • @felistamutave-pm5or
    @felistamutave-pm5or Рік тому +1

    wimbo mzuri sana

  • @user-gx5no7dq2k
    @user-gx5no7dq2k 4 місяці тому

    Mungu awabaliki sana kwa kueneza injili kwa njia ya nyimbo.

  • @user-hf6kg9ks3g
    @user-hf6kg9ks3g 3 місяці тому

    Hongereni kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuinjilisha kupitia kwaya!

  • @irenejunechiriikenyangal254
    @irenejunechiriikenyangal254 Рік тому +8

    How I love this song it really touch my heart,,,, thanks for uploading

  • @severasirikwa8163
    @severasirikwa8163 3 місяці тому

    Hongera sana Pd.Prosper Kessy Mungu akulinde na kukubariki uendelee kutulisha chakula cha kiroho.Asante sana

  • @LaurentBahebe
    @LaurentBahebe 3 місяці тому

    Congratulation we call it healing songs

  • @denniswafula6721
    @denniswafula6721 4 місяці тому

    Hongereni team Chang'ombe kwa kazi safi,mwalimu Aloyce Goden nyimbo zako za kwaresima hazina mfano,zanibariki sana.Mola azidi kukubariki katika uinjilishaji.

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  4 місяці тому

      Asante Sana Denis Tunashukuru

    • @denniswafula6721
      @denniswafula6721 4 місяці тому

      @@AloyceKipangulayaani kwa siku hizi arubaini za mfungo nyimbo zako zanisaidiabkwa tafakari ya kila siku,nikiuliza kuna ule wimbo Bwana tulekee,mbona umeandika Tradition?

  • @floridefeza4709
    @floridefeza4709 Рік тому

    Mubarikiwe sana waimbaji wetu munapo nikumbusha nyumbani kwetu hapo Congo

  • @dominicekamais3021
    @dominicekamais3021 Рік тому +2

    Kwa kweli nyimbo izi zime activate mood zangu za kwaresma..Mola awabariki

  • @katalikocharlotte1678
    @katalikocharlotte1678 4 місяці тому +1

    Amen

  • @dorcasjepkemoi6834
    @dorcasjepkemoi6834 Рік тому

    Nyimbo mzuri zanifundisha kutubu makosa yangu kwaajili mwokozi aenda kusulubiwa bila kosa Kristu nihurumie

  • @kellycrispin2265
    @kellycrispin2265 5 місяців тому

    Mungu ni muweza wa yote

  • @reginakaluku1173
    @reginakaluku1173 4 місяці тому +1

    This song has blessed my first Sunday of Lend. We sang it in our choir St. Mary's Miambani Parish - Kitui Diocese. Kenya.
    Thanks to the Composer.

  • @rozebone2368
    @rozebone2368 Рік тому

    Mbarikiwe sana wanakwaya nyimbo nzuri zakuvutia kweli

  • @Nimimi508
    @Nimimi508 4 місяці тому

    20:00 i love this song 🙏🙏

  • @officialritchie4708
    @officialritchie4708 Рік тому

    Im listening this song in Good Friday

  • @user-bv7iu7vu6f
    @user-bv7iu7vu6f 4 місяці тому

    Mun gu
    Awabariki
    Sana

  • @StephenThiribi
    @StephenThiribi 3 місяці тому

    Kazinzuri.

  • @isaacgaseko8464
    @isaacgaseko8464 Рік тому +1

    Good songs

  • @veroniquemango1114
    @veroniquemango1114 Рік тому +2

    Mungu wimbo huuu mungu unikumbuke

  • @victusbenezethmanyala1070
    @victusbenezethmanyala1070 Рік тому

    Mungu aendelee kuwapa nguvu kuinjilisha na kuwatafakarisha watu wote

  • @user-ko8mq9ju7i
    @user-ko8mq9ju7i 4 місяці тому

    Kwaresma njema

  • @yustasaidi5765
    @yustasaidi5765 3 місяці тому

    Amina

  • @gregorymusembi7781
    @gregorymusembi7781 Рік тому

    Hongera Sana Kwaya ya Chang'ombe Catholic Singers na Mratibu wenu Aloyce Kipangula. Nyimbo hizi zimenisindikiza sana wakati huu wa Kwaresma. Mubarikie Sana. Natoka Kenya

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Рік тому +1

      Asante Sana Ndugu Gregory Musembi kutoka Kenya.Endelelea Kutufuatilia Tutakuletea nyimbo nyingine nyingi hivi karibuni. Naitwa Aloyce Goden Kipangula Mtunzi wa Nyimbo na Mratibu wa huduma hii ya uinjilishaji

  • @okongostephenv5421
    @okongostephenv5421 4 місяці тому

    Moyo mnyovu ndani ya utulivu mkuu.

  • @user-di6mh9gq1d
    @user-di6mh9gq1d 4 місяці тому

    Ongera Kwa nyimbo zuri

  • @SteveKimei-et5cv
    @SteveKimei-et5cv 3 місяці тому

    Tupunguze dhambi tussfishe njia ili tuweze kumwona yesu kristo

  • @valemhagama-yw9vo
    @valemhagama-yw9vo Рік тому

    Mungu hawajaze nguv Kwa utume huu

  • @kennedykarani6221
    @kennedykarani6221 Рік тому

    Nice songs

  • @user-kj6wx6on6k
    @user-kj6wx6on6k 4 місяці тому

    Ameen

  • @DennisNyamai-hy1fi
    @DennisNyamai-hy1fi 8 місяців тому

    Bila mungu hakuna liwezekanalo🙏

  • @misojiluzili-oy9ki
    @misojiluzili-oy9ki Рік тому

    Huu wimbo unatafakarisha sana pia nakumbuka msiba wa first born wangu Briton apumzike kwa Amani

  • @domtechelectronicsrepair6360

    good music

  • @nathannbanda3345
    @nathannbanda3345 4 місяці тому

    Wow, this is so beautiful, you hold the Lenten season jaman na Nyimbo zenu. Asante Sana, Ashukuriwe Mungu

  • @romanakasonso5744
    @romanakasonso5744 Рік тому +1

    Wimbo mzuri sana mungu awabariki 🙏🙏

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 Рік тому +1

    Amen glory to Jesus

  • @maucharles1757
    @maucharles1757 Рік тому

    tuna kila sababu kusikiliza huu wimbo ktk kipindi hiki cha kwalesma.

  • @angelomfilinge8662
    @angelomfilinge8662 4 місяці тому

    Mungu awabariki mnaotuhubiria kupitia nyimbo hizi

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  4 місяці тому

      Nami kwa niabaya Waimbaji wenzangu Tunakushukuru. Aloyce Goden Kipangula Mtunzi wa Nyimbo na Mratibu

  • @lucymwenda4179
    @lucymwenda4179 Рік тому

    Mungu ni mwema kila wakati, tumrudie true, mbarikiwe sanaà

  • @lazarefabricewatelaninwa7502

    Aksanti baba Aloyce.

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Рік тому

      Asante Pia Ndugu Lazare Fabrice. Tumshukuru Mungu. Je wewe uko nchi Gani?

  • @JihandaNchangu
    @JihandaNchangu 2 місяці тому

    Jaman mnayoyaimba muyaix 6:48 h kwa vitendo

  • @user-bt7xp9xb7f
    @user-bt7xp9xb7f 3 місяці тому

    Ama kweli kinachotoka kwa moyo kinagusa moyo mwengine, mumeumba kutoka kw moyo na hisia hadi imenielekeza kutubu. Tumrudieni kw miyoyo yetu yote.

  • @sekanicanory9915
    @sekanicanory9915 Рік тому

    KAZI MUSURI SANA 💙💙💛💕💯

  • @user-hg7fy4hw4s
    @user-hg7fy4hw4s 4 місяці тому

    Amen 🙏🙏

  • @user-pi7sj8up7e
    @user-pi7sj8up7e 4 місяці тому

    Mungu ni mwema Kila wakati amina

  • @neckitariusamos4681
    @neckitariusamos4681 Рік тому

    mungu ni mwema

  • @williamramadhan5552
    @williamramadhan5552 Рік тому

    Amina.

  • @hamisisaidi9500
    @hamisisaidi9500 Рік тому

    Mungu awabariki

  • @JodanJuma-nu3kf
    @JodanJuma-nu3kf Рік тому

    Mungu Yu mwema wakti wowte

  • @rashmabenedikti8970
    @rashmabenedikti8970 Рік тому

    Baba tuhurumie

  • @user-jh2it6oz4m
    @user-jh2it6oz4m 4 місяці тому

    Mungu awabaliki sana

  • @DennisNyamai-hy1fi
    @DennisNyamai-hy1fi 8 місяців тому

    Kila mmoja amekosa kuzidi kutubu makosa yetu

  • @WiliamMasalu-gs2ov
    @WiliamMasalu-gs2ov 11 місяців тому

    Asanteni Kwa kutuliwaza

  • @renathakaruho7044
    @renathakaruho7044 Рік тому

    Thanks lod

  • @user-qe5pr7cy7k
    @user-qe5pr7cy7k 5 місяців тому

    Asant San kwa uijilisahaj wenu mung azidkuwalid

  • @noramshila889
    @noramshila889 Рік тому +2

    Nyimbo hizi zinanigusa mno mpaka natokwa na machozi kujua kua dhambi zangu ndizo zilizosababisha kifo cha Mwokozi wangu. Mungu bariki kwaya hii kwani pia wanaimba kwa roho ya unyenyekevu mno....!

    • @olympiaurio3029
      @olympiaurio3029 Рік тому

      Amina

    • @juliusmbuya
      @juliusmbuya Рік тому

      Zina mafundisho mazito nazinatusogeza karibu na mungu maana tukizisikiliza tunalshi matendo mema naofu ya mungu

    • @juliusmbuya
      @juliusmbuya Рік тому

      Mungu awabariki sana walmbaji nawaandaaji wanyimbo lzo zenye mguso wakipekee

    • @juliusmbuya
      @juliusmbuya Рік тому

      @@olympiaurio3029 asante sana mimi muumini julius mbuya

  • @dekompegesa
    @dekompegesa 5 місяців тому

    😀

  • @mungumwema3345
    @mungumwema3345 Рік тому

    Wimbo huu unanifariji Mimi Yani naupenda nausikiliza kila mara

  • @antipasmkalla8500
    @antipasmkalla8500 5 місяців тому +2

    Kwa wale ambao hatujui. Maashairi ya wimbo a kwanza yapo katika Bibilia- Yoeli , surah 2, Ayah12-17. ''Lakini hata sasa asema BWANA, Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kulia , na kwa kuomboleza'' . ''Rarueni mioyo yenu wala sio mavazi yenu, mkamrudie BWANA, Mungu wenu, kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma, si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema naye hughairi mabaya''...................................

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  5 місяців тому +1

      Asante Antipas kwa kunisaidia katika jukumu hili la uinjilishaji. Ni Mimi Aloyce Kipangula Mtunzi wa Wimbo

    • @antipasmkalla8500
      @antipasmkalla8500 5 місяців тому

      @@AloyceKipangula Ahaa. Asante sana. nashukuru . Ayah hizi zote ni tafakari kuu hasa kwa Kanisa la nyakati zetu na hasa saumu hii.Nipo hapa Nairobi

    • @eligivermunisi2294
      @eligivermunisi2294 3 місяці тому

      Umenena

  • @emmanuelymeresta-si4ur
    @emmanuelymeresta-si4ur Рік тому

    Hakika nyimbo ni nzur sana

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Рік тому

      Tumtukuze Mungu

    • @juliusmbuya
      @juliusmbuya Рік тому

      @@AloyceKipangula tuko pamoja kwenye safari ya kwenda mbinguni tujitaldi unyenyekevu mbele ya mungu

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Рік тому +4

    Huu wimbo unanitafakarisha sana MUNGU awabariki sana🙏🙏🙏🙏

  • @DivineNyaanga-kv9rb
    @DivineNyaanga-kv9rb 4 місяці тому +1

    I feel revealed with heavenly angles

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Рік тому +1

    SHUKURANI kwa mtunzi wa nyimbo hizi❤❤

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Рік тому +1

      Amina

    • @evodiashayo2668
      @evodiashayo2668 Рік тому

      Haswaaa....huo ndio utamu wa kanisa katoliki.

    • @evodiashayo2668
      @evodiashayo2668 Рік тому

      Hki kibao kitamu sana.
      Huu ndio uhondo wa kanisa takatifu.....katoliki
      ..la.....
      Hongera sana mtunzi

    • @user-qe5pr7cy7k
      @user-qe5pr7cy7k 5 місяців тому

      Na azid kubalikiw ,kwa utugaji wake maan sis tukio weng tunatengemea hulum ya mung

  • @noelmwadime9829
    @noelmwadime9829 8 місяців тому

    How can i download these mixtapes to my external memory

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 3 місяці тому

    Mbarikikiwe waimbaji kwa kujitoa katika uimbaji mmeacha vingi mmsali kwa kuimba Mwemyezi Mungu, awakumbuke kwa utume wa uimbaji wenu.

  • @renathakaruho7044
    @renathakaruho7044 Рік тому

    Kwaresima njema Mimi nafarajika kuliko chochote , baba nihurumie

    • @benardettepatience9523
      @benardettepatience9523 Рік тому

      Barikiweni sana wanakwaya wa hiz nyimbo zinatuvutia kweli sana

    • @juliusmbuya
      @juliusmbuya Рік тому

      Wakati huu wa kwarezma nimulmu kufunga nakumlili mungu atusamee kwakila jambo namamboyote tunayo tenda ambayo ayampendezi mungu nakujitaldi kwalasiku zamalsha kulshi malsha matakatifu

  • @agnesmwanzia7795
    @agnesmwanzia7795 Рік тому +1

    🙏🙏🙏

  • @ernestkamwagila5798
    @ernestkamwagila5798 Рік тому +1

    Safi mwakipangula

  • @denisndeti8566
    @denisndeti8566 Рік тому +29

    Tuzidi kumsifu yesu kristo

  • @davisdid673
    @davisdid673 3 місяці тому

    Na zani katoliki kama sija ji danganya 😢😮😅😂

  • @vellyshayo6790
    @vellyshayo6790 3 місяці тому

    Tumrudie yesu kwa mioyo yetu ,,,yesu alitupenda akafa msalaban,,,yesu naomba ufufuke pamoja na familia yangu

  • @veronicamollel8179
    @veronicamollel8179 Рік тому +2

    We love you Jesus

  • @aristotefrontline4425
    @aristotefrontline4425 3 місяці тому

    Mimi ni riziki kyalondawa francois, kwa inchi ya Congo Sud Kivu/mwenga kamituga paroikia yamutakatifu François xavier tangila

  • @aristotefrontline4425
    @aristotefrontline4425 3 місяці тому

    Nilazima kumusifu Bwana Lila siku