TAG MMEMDHULUMU VYOMBO VYA MUSIC MBARIKIWA? KWANI ALIWAPA NINYI VYOMBO VYENYEWE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 кві 2024

КОМЕНТАРІ • 319

  • @barakamwale7190
    @barakamwale7190 2 місяці тому +4

    Mch Mbarikiwa nitaanza kufuatilia nyimbo zako za tenzi tu, maana saizi unaenda siko kabisa

  • @francismwalyambi1363
    @francismwalyambi1363 2 місяці тому +1

    Mungu AKUBARIKI sana mtumishi kunawakati nakuelewa vzr sana.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 3 місяці тому +7

    Itakua TAG ndo wana kusababishia matatizo, pia usipate usajili wa kanisa lako, piga moyo konde utashinda💪

  • @mcsedekiatz702
    @mcsedekiatz702 Місяць тому +1

    Mwakipesile umepungukiwa na hekima

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 2 місяці тому +1

    Mtumishi wa mungu mbarikiwa ukisoma ufunuo 22:9-22 nijibu lao wewe fanya kazi ya Mungu wao mungu atawalipa sawa sawa na neno ktk ufunuo

  • @JovinBuberwa
    @JovinBuberwa Місяць тому +1

    Si uende mahakamani,, na kweli ujui kuhubiri baba.

  • @GideonJackson-bq2lg
    @GideonJackson-bq2lg 2 місяці тому +3

    Huyu jamaa...alianza vzr sana...lkn kadri anavyoendelea mmmmh;

  • @andrewkalubi3524
    @andrewkalubi3524 2 місяці тому +3

    Sijakuelewa kwani njia unayoitumia haiko sawa kama mtu unayemjua Mungu hukupaswa kufanya ivo.

  • @danielsinda
    @danielsinda 3 місяці тому +4

    Ukweli wanajiona wao ndo wana mungu tu

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 3 місяці тому +6

    Magembe ni chuma kitupu hana mbambamba...yuko tayari kufa kwa ajili ya kristo

  • @zainabusona5901
    @zainabusona5901 2 місяці тому +2

    Mwee mungu afunge kuongea kwako heee

  • @user-cw3vu8mu3k
    @user-cw3vu8mu3k 2 місяці тому +4

    Lakin hapo mbarikiwa unakosea ulishatoa sadaka na sadaka ukitoa huhitaji tena kujua kinaenda kufanya nn hapo sikuungi mkono

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому +2

      Mimi nami sikuungi mkono kwa ulichoandika.Hatutoi sadaka itakayo geuka mkuki kwetu au itakayotuumiza bali tunatoa sadaka itakayokuwa faida kwetu na kwa watu wengine

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura1971 2 місяці тому

    Pole sana Mtumishi

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 2 місяці тому +2

    Mi nimefungua hapa nikajua kuna ujumbe wa neno la mungu kumbe vijembe tu

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 2 місяці тому +3

    Hakuna kitu kizuri kama kuomba Mungu akupe hekima na maarifa ,ili uweze kuamua sahihi na kujua ni wakati upi sahihi unapaswa kusema na wakati upi unapaswa kunyamaza,kwani tukitumia media inakusaidia Nini mchungaji? Ungelikuwa na busara ungelifata utaratibu kuliko kuji expose kwenye social media Munalitukanisha kanisa acheni lopolopo 😢

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 3 місяці тому +6

    Kwani ukinyamaza unapungua Nini?

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  2 місяці тому +1

      Biblia isingeandika walivyomtesa na kumuua Yesu kusingekuwa na upungufu? Haya yanawekwa wazi ili vizazi vijavyo waje wajue kuwa kuteswa na kuuawa kwa mtu huyu kuipitia mchakato moja, mbili, tatu.

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому +1

      Hata biblia isingeandikwa kama walioandikwa humo wangenyamaza na kukaa kimya, waonapo dhuruma na uonevu. Kukaa kimya uonapo uovu, dhuruma na uonevu ni ushetani mkubwa. ISAYA 58:1

  • @yusuphmwashabwa1465
    @yusuphmwashabwa1465 2 місяці тому +1

    Mnayavuta majaribu kwa kamba za ubatili. Kwa sababu ya kutafuta umaarufu unayapitia hayo. Mungu ni Mungu wa hekima na adabu.

  • @Yoram_Changala
    @Yoram_Changala 3 місяці тому +4

    TAG kama mkisipo muwajibisha huyo Mchungaji basi ni wazi mlimtuma

  • @joelypharesy-te3dk
    @joelypharesy-te3dk Місяць тому

    Namashaka na hakili zako we mtu

  • @HarryMbale
    @HarryMbale 2 дні тому

    Mtumishi wa MUNGU wakat tulio nao niwakuhubili injili yatoba watu waokoke nakuomba iyo nguvu unayoitumia kuwachambua watu uigeuze uilekeze marko 16:15 nenden ulimwengun mwote mukahumbili injili kwakila kiumbe mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu hayo mengine mwachiye MUNGU yaan hapo mnawapoteza wale walio chini yenu mawaingiza katika ugomvi wenu tafadhali anayejidhania amesimama aangalie asianguke anayejidhania anajua neno, hajui neno jinsi impasavyo kujua vita vvyetu nivyakiloho sio vya mwili na damu

  • @Commonwealth782
    @Commonwealth782 3 місяці тому +3

    WAFILIPI 2:14 - 16

  • @user-ve6ho2db7l
    @user-ve6ho2db7l Місяць тому +2

    Acha kuchafua thehebula la watu aliyesema hv ni mtu mmoja kanisa zima linahusika nini mch Mwakipesile unazidi sasa

  • @EmanuelRazaro
    @EmanuelRazaro Місяць тому

    Pole sana mchungaji

  • @ELGIUSKELAMIYE
    @ELGIUSKELAMIYE 6 днів тому

    Kwani mbarikiwa unajua kuhubili mi sjawahi kukuona unahubili zaidi ya kuchambua watu..kiukweli sijawahi kuona unahubili..

  • @natressvayinga518
    @natressvayinga518 2 місяці тому +2

    Nimesikiliza, nimesikitika sana
    Hata mateso ya mwenye dhambi Kwa Mkristo inampa mzigo wa maombi na maombolezo ya Toba kwaajili yake, kuomba rehema ili aokolewe, inakuwaje Hilo Kwa mwenye haki??

  • @InnocentMlembe-qt9fd
    @InnocentMlembe-qt9fd Місяць тому

    Pole mchungaji mm mwenyewe ni t a g uliongea kweli

  • @joshuandone468
    @joshuandone468 2 місяці тому +1

    Wafilipi 2:3-5
    Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;

  • @OsiahRaphael
    @OsiahRaphael 2 місяці тому +1

    TAG warudishe vyombo yupo sahihi

  • @user-bf9en7xc5z
    @user-bf9en7xc5z 2 місяці тому +1

    Mzee Mungu Hana uhasama mnachokifanya iko siku mtajua tu

  • @elicanaambweni8666
    @elicanaambweni8666 2 місяці тому +1

    Kazi IPO jamaniMungu atusaidie

  • @user-zd6tt2dq3k
    @user-zd6tt2dq3k 2 місяці тому +1

    Mbarikiwa ubarikiwe sana na mimi nimetapeliwa na mchungaji aliniahidi kunisapoti kujenga jengo la kuabudia lakini tujenge kwake kwanza nikifanya hivyo nilipo maliza tu kujenga na kupaua akavunja mahusiano tena kwa matusi mengi inauma sana japo sisi sote na wachungaji lakini tujichunguze jamani

  • @mtumishiwamungunelson1684
    @mtumishiwamungunelson1684 2 місяці тому +1

    Naviomba ivyo vyombo Baba yangu nihuburie injili tafadhari

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 3 місяці тому

    Pole Sana mwakipesile, ulikosea Sana pa kupeleka hivyo vyombo, sío hivyo tu, angalieni Sana mnakopeleka sadaka , hivi unapelekaje vyombo vya injili gerezani

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      Wafungwa wanaofanya injili walikuomba awasaidie vyombo

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому +1

      Ndio hata gerezani Injili inapaswa kuhubiriwa kwa sauti kubwa ya kutumia vyombo kutokana na wingi wa watu na Mazingira ya huko Gerezani pia.
      Kwahiyo kufanya hivyo alikuwa yuko sahii kabisa.

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Місяць тому

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @staphordsanga2436
    @staphordsanga2436 2 місяці тому +2

    Pastor, acha kulalamika sana kwenye media, ukizani ndiyo njia sahihi ya kuhukumu kanisa la TAG, nilivyo ona kichwa cha ujumbe nilizani ni vyombo vya gharama kubwa sana, umezurumiwa, umepokonywa, na kanisa la TAG, Kumbe ulitoa sadaka kwa wafungwa, getezani,Si dhani kama ni busara kulalamika kwenye media na kama unakerwa kuona mchungaji wa TAG anavitumia, Nenda kavichue maana hakuna atakaye kuzuia,sio kulalamika wakati vyombo vipo na unaumia kuona mchungaji wa TAG anavitumia, harafu suala la Askofu mkuu na mchungaji Magembe wana husikaje kwenye vyombo vyako
    USHAURI, nenda kavichukue, wakikukatalia nenda mahakani
    Hapa kwenye media tunataka kusikia unatufundisha neno la MUNGU ili tupone tumjue Mungu

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  2 місяці тому

      Yule mchungaji ametumwa /anafanya huduma mle kwa udhamini wa uongozi wa TAG. Hivyo kusema kwenye media ni kuwapa taarifa viongozi wake wajue anachofanya mtu wao. Na kwa swala la kuvichukua, kama una njia ya kuwaambia askari magereza wanirudishie wambie warudishe. Kwani ndio wanaompa jeuri huyo mTAG kuvitumia vyombo hivyo.

  • @geraldngumbi8415
    @geraldngumbi8415 2 місяці тому

    maelezo(ujumbe) uko sawa mahali upotolea maelezo siyo sahihi

  • @JovinBuberwa
    @JovinBuberwa Місяць тому

    Unastahili yaan uchapwe viboko kama 100 mbalikiwa.. una saikolojiko problems,ukichapwa zitarudi
    .

  • @Donyo-rh8do
    @Donyo-rh8do 5 днів тому

    Nimepoteza mb zangu☹️

  • @user-ur2nc3ll9h
    @user-ur2nc3ll9h 2 місяці тому

    Mmmmm sawa bwana naomba wote trudi msalabani

  • @SelemaniHamiss
    @SelemaniHamiss 2 місяці тому +2

    Tumia
    Hekima
    Kama
    Wewe
    Wakiroho

  • @mtumishiwamungunelson1684
    @mtumishiwamungunelson1684 2 місяці тому +1

    Naomba namba ya Mchungaji mbarikiwa mwakipesile tafadhari ya whtsp

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 2 місяці тому +2

    Moses kulola mwenyewe ilitokea kama hii ila alitulia kimya akachapa kazi ya Mungu na Mungu alitembea nae mpaka mwisho sababu alijua kua shetani alitaka kusambaratisha wakristo

  • @brightenmzulu8675
    @brightenmzulu8675 2 місяці тому

    Unaweza ukawa sawa Ila angalia sana maneni yako na yawe machache

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 3 місяці тому +12

    Hapa kwenye social media ndio mahakamani au ofisi za TAG? Unajiharibia sana. Jifunze kufuata utaratibu wa kiroho pale unapokuwa umekosewa au kukosea.

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  3 місяці тому +2

      Kwa hiyo wewe hapa ulipoandika ndio ofisini kwangu? Kwa hiyo ndiyo umefuata utaratibu wa kiroho? Biblia imeandika maovu mengi ya watu yaliyokemewa hadharani na yanasomwa hadharani miaka na mikaka. Ila ninyi panyarodi ndio mna haki ya kutukana na kudhulumu hadharani ila anayedhulumiwa hana haki ya kulalamika hadharani. Enyi uzao wa nyoka.

    • @joycegeorge-mf5kn
      @joycegeorge-mf5kn 2 місяці тому

      Kumbe panyarod😂😂

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому +2

      Mtu anasemeya atakapo ona ujumbe unafika kwa haraka na kwa uzito.

    • @barackawithokiswaga2686
      @barackawithokiswaga2686 2 місяці тому

      ​@@shuhudazakikosikazichainji928Tatizo kuna Muda huwa mnajiona kama mna ulokole saana, na mna kiburi cha kuto sikia ushauri kuna mambo hata ukija kwa media kupayuka hapa haisaidii, na unapo sema TAG una zungumzia kwa ujumla kwa Tanzania nzima, kumbe kuna mahali fulani hawajui kama kuna hiyo shida, kwani Ina maana Mbarikiwa ukinikosea mimi, ina maana familia yako yote niichukie kuwa imekosea? Kwa nini kosa la mtu mmoja liharibu uzuri wa kitu?

    • @barackawithokiswaga2686
      @barackawithokiswaga2686 2 місяці тому +2

      ​@shuhudazakikosikazichainji928 Yaani point yako ni ipi? Una simama kwenye media uponye roho za watu, au upo kuelezea mambo yako? Unateswa kwa sababu adabu hamna na una kiburi cha kuto sikia ushauri, unajiona sana kwamba wewe ndio unajua sana, kwani TAG ina shida gani?😂😂😂 Mungu tunae mtumikia atusaidie sana maana mmmh!!!🙌🙌🙌🙌

  • @RizikiNjovu-uy3be
    @RizikiNjovu-uy3be 3 місяці тому +2

    Mbalikiwa we niwapekee Sanaa mung akutie ngunv maana weng wanaenda na kinyume na bibilia

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому

      🙏🙏🙏

    • @zakayosaston551
      @zakayosaston551 Місяць тому

      Umekosoa hujaonya, Halafu nimeshindwa kuelewa hivyo vyombo mda huu wakati unaongea vipo gerezani au mikononi kwa watag??? Shalom

    • @zakayosaston551
      @zakayosaston551 Місяць тому

      Vyombo vipo kwa wa tag au vilitumiwa na hao w tag??

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 2 місяці тому

    Mtumishi Huyu anahaki sana,Makanisa yetu yamezidi dhuruma

  • @isayakiyeyeu6295
    @isayakiyeyeu6295 2 місяці тому +1

    Mwana wa Mungu, sifa yake ni Hekima. Kipesile jitafakari.

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому +1

      Wewe umjitafakari?

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому +1

      Tafakari kwani wewe ushamaliza?.
      Na
      Kama umemaliza na sisi tumeanzia Pale ulipo malizia na kusonga Mbele.............................

  • @eliudymwanandenje7229
    @eliudymwanandenje7229 2 місяці тому

    Mmh!

  • @ElishaGabriel-ul3cu
    @ElishaGabriel-ul3cu 2 місяці тому

    Mmmmh ila kwa kweli😢😢😢😢

  • @venancemwakilembe3735
    @venancemwakilembe3735 3 місяці тому +2

    mtumishi kosa la mtu mmoja linaweza kuwa kosa la TAG wote.

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  3 місяці тому +2

      Huyo mchungaji ametumwa na TAG. Hivyo sio kosa la mtu mmoja. Na kama ni la mmoja basi wamchukulie hatua ya wazi kumuwajibisha.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому +1

      Mikataba MIBOVU MIBOVU Ya DPW YA BANDARI, kupitia Dhalimu mmoja Shetani
      Je! Wanaumia wangapi?.

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 2 місяці тому

    Daah!😢

  • @GladnessMwakila
    @GladnessMwakila 2 місяці тому +1

    Utoaji wa sadaka haupo hivo ... T.A.G ni dhehebu tena la kipendekoste sasa sjui shida ipo wapi kusema wasitumie kwamba ni wanapiga miziki ya dunia?

  • @indalesiohenery6124
    @indalesiohenery6124 2 місяці тому +1

    Baba Acha tu sikuzote akutendeae mabaya we tenda mema waschie tu

  • @aivanalexander
    @aivanalexander 2 місяці тому

    Jamani mpola

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 2 місяці тому

    Huyo siyo MTAG huyo hana roho mtakatifu naomba mwachie na mungu atakupa vyombo vingine

  • @user-vo6fu3pp1p
    @user-vo6fu3pp1p 3 місяці тому +2

    Waafrika ni nani aliyeturoga? Kuongea ukweli na uwazi wa mambo yalivyo unakuwa umevurugwa? Aiseeeee hii dunia ndo maana wanyonge wengi wanakufa vihoro kwani wanapoumizwa wanashindwa kuongea.

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 3 місяці тому +1

    Chungeni Sana washirika wa M'barikiwa,Kama kunatuvitu amewasaidia cku mtakapofanya maamuzi ya kuhama Mtanyang'anywa,ubongo huu ni shida,bila kugombana huna maisha

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 3 місяці тому +1

      Mbona hajawahi kumnyang'anya yeyote alie msaidia?na hapa hana maana ya kunyang'anya hapa kuna funzo anataka kulitowa

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  3 місяці тому +2

      Elewa nimesema wazi KUWA SIKUWAPA TAG. WAMEPORA TU. WAUMINI WANGAPI AMEWASAIDIA NA WAMEHAMA? AMENYANG'ANYA NINI? AU UNADHANI KAANZA JANA KANISA.

    • @ronaldsikaponda3553
      @ronaldsikaponda3553 3 місяці тому

      Atakuwa anachuki na kanisa la T.A.G angekuta wanaovitumia vyombo alivyotoa Gerezani ni watu wengine au ni imani nyingine asingekuwa na neno.Mungu atusaidie sana kama mtumishi huyu anachuki ya aina hii ni hatari.Yamtokayo mtu yameujaza moyo wake.

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 3 місяці тому

      @@ronaldsikaponda3553 hachukukii kanisa bali anachukia viongozi wa hilo kanisa wanaoenda kinyume na neno.

    • @stamilinyakunga
      @stamilinyakunga 2 місяці тому

      Duu kwakwel tuko mwishoni kabisa mwa nyakati ambazo ndio Mungu tu atasema

  • @VioletMkonda
    @VioletMkonda 3 місяці тому +4

    Jitahid kunyamaza hata kama unaonewa hiyo ni bibilia

    • @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
      @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 2 місяці тому +1

      Uwe unanyamaza wewe unapokanyagwa ila anaeumia ni lazima aongee sana.

    • @KsaC711
      @KsaC711 2 місяці тому

      Isaya 62:6-7

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому +1

      Nyamaza wewe. Hajakukuta ndiyo maana unaongea hivyo.
      YESU aliongea mpaka anakufa msalabani ila Mbarikiwa ndo unataka anyamaze?

    • @KsaC711
      @KsaC711 2 місяці тому

      Yohana 8:31..........42

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому +2

      Kila binadamu anaitaji faraja,
      Kwa nini mnapenda kumuumiza mtu huyu kila wakati.
      Tambua na yeye alizaliwa kama wewe nae, pia anaitaji upendo na faraja kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.
      Kwani yeye ana moyo wa chuma?, kila wakati kumtwisha mizigo ambayo nyie hamuezi kujitwisha au kuibeba na kustahimili nayo.
      Maana nyie tu Jambo kidogo Presha imewapanda mara kisukari.

  • @user-fj4kj8xc5x
    @user-fj4kj8xc5x 2 місяці тому +2

    Achana nao walikufukuza kwenye redio yao maana hawataki ukweli orijino

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 2 місяці тому +2

    Ila kweli wachristo wa siku za mwisho ni hatar sana. Kwanini mtupiane vijembe kwenye mitandao kama wachungaji mnamfaidisha nani na ambao hawajamwamini yesu wanajifunza nini Kutoka kwenu

    • @amashapatrick211
      @amashapatrick211 2 місяці тому

      Na wewe kucomment mtandaon unafaidisha nini acha unafiki

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому +1

      Wanajifunza ushetani wa waTAG kwa walichomfanyia Mbarikiwa

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому +1

      Ila kweli Wakristo wa siku za mwisho ni hatari sana. Maana wasingekuwa na UNAFIKI hata MIKATABA MIBOVU MIBOVU YA DPW YA BANDARI hisingekuwepo.
      Na ndugu zetu huko NGORONGORO NA LOLIONDO NA MSOMERA Kuangaishwa kila kukicha na kunyanganywa ARDHI ZAO katika taifa lao na huko Wakristo wapo wana ona na kuangalia na kushangilia UDHALIMU WA WADHALIMU Katika uovu wao.

    • @user-no2tw5vb8j
      @user-no2tw5vb8j 2 місяці тому

      Nami nashangaa 😢

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 2 місяці тому

    Magembe ni mtumishi wa Mungu,Anatakiwa awe na huduma yake,watu wa ukweli Wanataka ukweli

  • @GladnessMwakila
    @GladnessMwakila 2 місяці тому +1

    Ukitoa sadaka ya maiki kanisani ndo kibal kwamba Roho asikuonye au? Unaangalia kama n la kwako unajirekebisha na kama unaona wewe hujafanya si basi ...
    Mungu akupe hekima mtumishi

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima 2 місяці тому +1

    Nasikitika nimepoteza mb zangu kwakusikia upuzi

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  2 місяці тому

      Tapeli kumwambia wewe ni tapeli ni upuuzi. Kama vile mlevi, mwizi, malaya, fisadi nk ukimwita kwa Sifa ya tabia yake LAZIMA AONE NI UPUUZI.

  • @joshuandone468
    @joshuandone468 2 місяці тому +1

    hapo umejikwaa brother,Huna misingi ya utumishi Ungeenda chuo cha biblia Hili usingelizungumza

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  2 місяці тому +1

      Hao TAG si wamesoma chuo cha Biblia na Mchungaji wao MAGEMBE anasema WAKO ICU? Unataka nikasome niwe ICU? Nimeamini kweli dunia ngumu. Yaani hamuwashambulii wadhulumaji bali anayelalamikia dhuluma.

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому

      ​@@shuhudazakikosikazichainji928umenena nimekuelewa sana baba

  • @esthemussa
    @esthemussa Місяць тому

    Unamdharirisha YESU bwana hebu tulia omba MUNGU bila kujianika hivi kwenye midia ,unasahau unashambulia wenzio nao wanakushambulia ,tulia utamuona MUNGU jmn

  • @eliamwambela4215
    @eliamwambela4215 2 місяці тому

    OFISI HAZIJAFUTWA JAMANI. MPENDWA NENDA OFISINI.

  • @jacksonchaula6010
    @jacksonchaula6010 2 місяці тому

    saizi umeacha kuhubiri watu waokoke umekomaa na kukosoa watu

  • @silvanusjeremiah8256
    @silvanusjeremiah8256 Місяць тому

    Kaka umefilisika sana na anayekusilikiliza anapotea

  • @frbm1729
    @frbm1729 2 місяці тому

    Natamani ungekuwa Mwanza ningesali kanisani kwako

  • @mulebatagtv5665
    @mulebatagtv5665 2 місяці тому

    Ndugu mtumishi pole sana,huyu ndugu wa TAG ongea naye malizana naye Baba wawatu Askofu Muache ,nashauri ongea nao .

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 2 місяці тому

    Mmmh inamana Mim nikitoa sadaka kanisani nikanunua vyombo vya kanisa je? Ninapoondoka nidai hiyo sadaka?

  • @EvelynSamuel-ko9op
    @EvelynSamuel-ko9op 2 місяці тому

    Lakini kama alitoa Kwa wafungwa Kwa Nini huyo mtumishi avitumie Kwa kumushambulia mbarikiwa simama na bwana atakushindia Kila jaribu unalo lipitia jifunze kunyamaza mungu atajibu Kwa wakati wake una vita vikari sana

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 2 місяці тому

    DA! NAPATA JIBU LA KWANINI KULOLA ALIAMUWA KUHAMA NA KUANZISHA EAGT.

  • @MhinaLwassa
    @MhinaLwassa 2 місяці тому

    We ndo maana unafungwa, ni mhimu ujue unaongea nini, kwa nani na wapi!! Huenda ni kweli unachosema, ila sisi hatuhitaji kujua unachodai.
    Kuna mioyo ya watu unaiua kwa kuweka wazi udhaifu wenu.
    Ndo maana wengi hawaokoki kwa Sabab mnaweka wazi madhaifu mliyonayo.
    Unaharibu unayoyajenga. Mbona mshitakiane wazi! Ni hatua Gani umetumia kudai vitu vyako kabla ya kuja public?
    Kanisa ni kama familia, ukishaona baba wa familia anatoa nje madhaifu ya familia yake, uwe na uhakika familia inakufa.
    Mbarikiwa nakuombea, uwe na hekima ya kujua unaongea nini na wapi kabla ya kuweka mambo wazi.
    Kwa mfano, kwa kusema haya wazi, nia Yako ni Nini? Unataka ulipwe? Kwani mitandaoni ni mahakamani?
    Nia Yako bila shaka ni kudhaliliaha kanisa! Ili iweje! Furaha Yako ni pia! Aliyeanguka akipotea au akisimama Tena? Mungu akusaidie.
    Ni mhimu ujue kutofautisha mateso ya YESU wanafumzi wake na wewe.
    Kila kitu kina maana yake na sababu nyuma yake. Mateso ya YESU yalikuwa na ulazima wake, ya wanafumzi nayo yalikuwa na sababu yake. Ya kwako nayo Yana sababu yake. Usitwambie sisi, sisi hatutaki kujua ugomvi wenu kwa sababu ugomvi wenu unaharibu mioyo ya wengi.

  • @godmankulawa2500
    @godmankulawa2500 2 місяці тому

    Huna akili

  • @eliamwambela4215
    @eliamwambela4215 2 місяці тому

    MIMI NILIFIKIRI MAHUBIRI. KUMBE MATATIZO

  • @fideliskipilipili8305
    @fideliskipilipili8305 2 місяці тому

    Nenda ofisi kwao ukaongee nao,,, neno la Mungu (YESU) hatetewi brother, nenda hospital za ugonjwa wa akili na genge lako mnaharibu watu wengi

  • @Dr.Mlelwa_Official
    @Dr.Mlelwa_Official 3 місяці тому

    Mbarikiwa anaongea anasema "MIMI NIKO PALE NAWAANGALIA KAMA MTAFIKIA HUO UAMSHO"

  • @user-tm1vn7fd4f
    @user-tm1vn7fd4f 2 місяці тому +1

    Mimi, ninajushauli unaikanda, injili kwann usiwaone viongozwake, mbonaunatakakujisafisha wakat umechafuka?

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому

      Unamshauri nani wewe?, kama unaona ni vizuri Mbarikiwa kuwaona viongozi, wewe umeshindwaje kumshauri Mbarikiwa kwa kumuona kuliko kuandika kimeseji chako kichafu kisicho na mpangilo mzuri?

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому

      ​@@zawadimwaibako4065sawa kabisa.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому

      Injili kaikanda tangu lini? twambie.

  • @user-zc2ms4wl6r
    @user-zc2ms4wl6r 2 місяці тому

    wakiristo kwasasa injiri imepotea yamebaki majungu mipasho tamaa

  • @zakayosaston551
    @zakayosaston551 Місяць тому

    Nimeishia kusikitika yaan vyombo vya milion mbili kweli ndo vizue mgogoro?? Hiyo hela kama ungefuata utaratibu unaotakiwa mshirika mmoja tu asingeshindwa kutoa hata mili3 ya vyombo vyako

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 3 місяці тому +2

    Imekuwa TAG ndo ilikuweka ndani??😂😂unapenda vita, wewe baba!,ujui kuhubiri kweli nenda kasome kwanza!

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  3 місяці тому

      Hapa tunadai vyombo vya MUSIC. Rudisheni kwanza ndipo muendelee na mateso mliyokusudia.

    • @sharonyasin7521
      @sharonyasin7521 3 місяці тому

      ​@@shuhudazakikosikazichainji928unatudai vyombo vya shilingi ngapi?

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  3 місяці тому

      @@sharonyasin7521 kwa hiyo umeanza kutukana bila hata kusikiliza kilichomo ndani? Mbona gharama imefafanuliwa. Rudi usikilize kwa utulivu na ndipo utapata na point nyingine nyingi za kutukana. Nakufahamu sana kwamba huwa haurudi nyuma kirahisi ukianza kutukana ni mpaka uone umekuwa wa mwisho kuandika. Ila hii ni ishara mbaya. Sina hakika kwa moyo huu kama waweza kudumu hata kwenye ndoa. Na kama umedumu basi huyo mume kahenyeka kweli. Yaani mwanamke unashangilia mauaji na maonezi!
      Baada ya matusi tena ndipo nitakublock rasmi. Sikufanya hivyo ili niujue moyo wako kwa uhakika.

    • @sharonyasin7521
      @sharonyasin7521 2 місяці тому +1

      @@shuhudazakikosikazichainji928 yamekuwa hayo?umenishinda tabia

  • @ev.francischacha69
    @ev.francischacha69 2 місяці тому

    Huyu ana lake jambo , kumbe tuvyombo vyenyewe ni twa chini ya milioni mbili, kisha kumtaja askofu mkuu kutafuta kiki, acha upumbavu huu utakugharimu kiroho

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  2 місяці тому

      Twa chini ya milioni mbili ila unashindwa kutoa wewe unatumia vya yule unayemtesa gerezani kumtukania. Huyo asingetumwa na Askofu wenu kwenda kumtukana Mbarikiwa gerezani angemchukulia hatua. Yule mchungaji kawekwa na TAG kama mchungaji ikimaanisha kuwa kila anachokifanya ndicho alichotumwa. Vinginevyo wangemchukulia hatua. Na hilo itakugharimu haitamgharimu Mbarikiwa zaidi ya mlivyomfanya ENYI WANA WA MAJOKA MLIOJAA DAMU KATIKA MIKONO YENU.

  • @mchjohnmasegese8193
    @mchjohnmasegese8193 2 місяці тому

    Yaani mme amua kuishi kwa kiki Ya mitandaoni.

  • @user-eo7gr1nx3c
    @user-eo7gr1nx3c 2 місяці тому

    Mtumishi mimi ni mtu mdogo sana kwako kihuduma lakini kwa hiki unachosema ukitoa bado ni chako hapana Mtumishi hapo haiko sawa labda sema uliazimisha kwakweli uliwaazimisha unapotoa sio chako tena wala hupaswi kulaumu labda kama unamengine

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому

      Acha uchawa na hekima za kipumbavu, ukidhani ndiyo hekima. TAG ndiyo sababu ya madhira na mateso ya Mbarikiwa, wakati yupo gerezani waTAG walivitumia kumsimanga na kumshambulia

  • @user-bt7ki5pz9t
    @user-bt7ki5pz9t 2 місяці тому

    Wewe nawewe inakera sana sijui unatafutakiki

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 2 місяці тому

    Hivo vitu mbona muumini mmoja tu anaweza kuvinunua😂😂😂😂

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 3 місяці тому

    Mch unalalamika sana!

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  3 місяці тому +1

      Lakini si wewe unashangilia sana? Acha mimi niendelee kulalamika sana.

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 3 місяці тому

      @@shuhudazakikosikazichainji928 Hapana mimi sishangilii. Wala sina furaha katika haya. Nilikuwa nawaza, mengine ya aina hii, yanyamazie tu.

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому +1

      ​@@mosesg.pendael8381YESU mwenyewe maumivu yalivyozidi pale msalabani ALILIA, ndo iwe kwa Mbarikiwa unataka asilie!, kulia na kupiga kelele ni ishara ya kwamba panauma

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому +1

      Wadhalimu wanahiumiza sana nchi yetu katika maisha ya kila siku na ya jayo.

  • @samwelkimaro192
    @samwelkimaro192 2 місяці тому +1

    1.8M ndo inakutoa povu hivi? Kuna kosa la kiufundi ulifanya. TAG ni taasisi haina nafasi ya kushindana na mtu mmoja.

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  2 місяці тому

      Kwa tapeli hiyo ni ndogo kwa sababu mmezoea kutapeli mamilioni. Kama ndogo si ungeilipa tu faster ili usitoe povu la comment hapa?

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 2 місяці тому

    Yalimkuta Moses kulola

  • @abaskomba3712
    @abaskomba3712 3 місяці тому

    Kuna ndugu aliuliza ulivyotoa hivyo vyombo uliweka sharti la kutomsema vibaya aliyetoa hivyo vyombo, JIBU LIMETOKA " SHARTI HILO ALILIWEKA" sasa unapotaka kumkosoa tumia vyombo vingine sio vile. Kale kamethali tenda wema nenda zako walifikilia nini sijui hao wahenga.

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 2 місяці тому

    Vyombo mwachie na yeye ataviacha siku yake itakuja

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 2 місяці тому

    Yani nyie watumishi wa siku hizi mnampa shetani nafasi kubwa sana aise badala ya kumhubiri yesu mmeanza kutumiana vijembe kuna injili tena hapo?

  • @ronaldsikaponda3553
    @ronaldsikaponda3553 3 місяці тому

    Hukumu ya wanadamu daima siyo ya kweli kwani wanahukumu kwa kusikia.Yani kwa jinsi unavyo jihesabia haki ,unajiona wewe ni Yesu ,wewe unajua washirika wako ni watakatifu wote.Kwani una maanisha sadaka za washirika wako wanaowaza vibaya huwa unazikataa kabisa kwani huwa unajua mawazo ya washirika wako wote.Angalia unayofanya na hukumu unazotoa zitakurudia tu.

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  3 місяці тому

      Wakinipa mimi kwa mioyo yao ya kupenda hakuna tatizo. Shida ni SIKUWAPA NINYI NA MNAVITUMIA KUNITUKANIA?

  • @estermgoma7451
    @estermgoma7451 2 місяці тому

    Mhhhhh aibu jaman

  • @barakamwale7190
    @barakamwale7190 2 місяці тому

    Sasa siumfuate mhusika kwa ajili ya utaratibu zaidi? Yaani Mch Mbarikiwa mi napendaga sana mahubiri na mazungumzo yako, ila kuna mambo unayafanya utafikiri huna Mungu, unanikatisha tamaa ya kufuatilia mahubiri yako

  • @eliasitairo9546
    @eliasitairo9546 2 місяці тому

    Ungejitambua unachofanya kwenye ulimwengu wa Roho ungeacha kulalama, kama jinga vile, hata hunaukweli wa lolote unaoongea tu kama huna akili iliyokaa sawa hata kidogo.

    • @DavidOkumu-by3yh
      @DavidOkumu-by3yh 2 місяці тому

      Eee mwenye akili tuonyeshe akili. Jifunze kusikiliza sio kusikia

  • @user-tm1vn7fd4f
    @user-tm1vn7fd4f 2 місяці тому

    Nendakwenye, siasa uichetudini ndiomaana ulilundikwa

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому

      wewe si ndiyo ulishirikiana na mashetani wenzako kumrundika.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 2 місяці тому

      Tupo kwenye siasa tiari. Kwani ulikuwa ujajua? bado.

  • @juliusphabian
    @juliusphabian 2 місяці тому

    Kama una roho wa Mungu huwezi kuongea haya mimi na uchanga wangu wa kiroho siwezi kusema maneno hayo

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  2 місяці тому +1

      Kwa kweli. Huyo roho wa wazungu aliyewafanya kuwa makatili, wadhulumaji, hawezi kuwaruhusu mzungumze mambo ya haki.

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому +1

      ​@@shuhudazakikosikazichainji928kweli kabisa

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 2 місяці тому

    Hua najiuliza sana ivi nyie hamkosei isipokua makanisa mengine ndio wanakosea jamani jua hakuna mkamilifu duniani

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 2 місяці тому +1

      Yangekuwepo makosa mngekuwa mmeyasema kitambo. Kama nyie hamuyaoni makosa kwetu sisi kwenu tunayaona, na ni kazi ya mhubiri kumulika kila palipo na uovu