Devotha Sanga
Devotha Sanga
  • 69
  • 37 409

Відео

DUUU!!!! KWA IBADA HIZI!! HAKIKA HAPA NI ZAIDI YA GYM .
Переглядів 64Місяць тому
DUUU!!!! KWA IBADA HIZI!! HAKIKA HAPA NI ZAIDI YA GYM .
SHUGHULI KWELI KWELI!!! IBADA YA SIFA NA WATOTO WA MBARIKIWA.
Переглядів 90Місяць тому
SHUGHULI KWELI KWELI!!! IBADA YA SIFA NA WATOTO WA MBARIKIWA.
MBARIKIWA NA MKE WAKE WAKIWAHUSIA MAHARUSI JOSHUA NA SARAH.
Переглядів 2 тис.Місяць тому
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare
WIVU WA BWANA UNANITAFUNA!!!! MANABII MBONA MNA ROHO MBAYA KIASI HICHO!!!!!!!!
Переглядів 1,8 тис.Місяць тому
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare
HII NDIO SABABU KUBWA YA SERIKALI KULAUMIWA NA WANANCHI.
Переглядів 1332 місяці тому
HII NDIO SABABU KUBWA YA SERIKALI KULAUMIWA NA WANANCHI.
BAADA YA KUACHIWA HURU MBARIKIWA AANGUA KILIO MAHAKAMANI; MWANANGU WEEEEEE!!!!!!!!
Переглядів 2,6 тис.2 місяці тому
BAADA YA KUACHIWA HURU MBARIKIWA AANGUA KILIO MAHAKAMANI; MWANANGU WEEEEEE!!!!!!!!
DUA YAKE KWA MUNGU MKE WA MCH. MBARIKIWA MWAKIPESILE JUU YA HUKUMU YA MUME WAKE TAR. 30/07/24.
Переглядів 5562 місяці тому
DUA YAKE KWA MUNGU MKE WA MCH. MBARIKIWA MWAKIPESILE JUU YA HUKUMU YA MUME WAKE TAR. 30/07/24.
WAKIWA MBELE ZA BWANA BAADA YA KUOKOLEWA KUTOKA KWENYE UVUTA BANGI NA ULEVI WA KUPINDUKIA
Переглядів 1082 місяці тому
WAKIWA MBELE ZA BWANA BAADA YA KUOKOLEWA KUTOKA KWENYE UVUTA BANGI NA ULEVI WA KUPINDUKIA
SIFA MOTO! MOTO! PAMOJA NA AKILI ZETU KUFIKA MWISHO BADO TUTABAKI KWA MUNGU.
Переглядів 2412 місяці тому
SIFA MOTO! MOTO! PAMOJA NA AKILI ZETU KUFIKA MWISHO BADO TUTABAKI KWA MUNGU.
MITUME NA MANABII MMEAMUA KUHAMISHIA MADUKA NA MAGENGE YENU MADHABAHUNI????
Переглядів 4702 місяці тому
MITUME NA MANABII MMEAMUA KUHAMISHIA MADUKA NA MAGENGE YENU MADHABAHUNI????
JAPO UTU WETU WA NJE UNACHAKAA; LAKINI HATUTAAIBIKA MILELE.
Переглядів 932 місяці тому
JAPO UTU WETU WA NJE UNACHAKAA; LAKINI HATUTAAIBIKA MILELE.
TUPO DUNIANI TUNATAFUTA KUIRUDIA ASILI YETU YA KUWA NA UTU, HAKI NA UBINADAMU.
Переглядів 1822 місяці тому
TUPO DUNIANI TUNATAFUTA KUIRUDIA ASILI YETU YA KUWA NA UTU, HAKI NA UBINADAMU.
HAWA NDIO TULIOWATUMA WAKATUWAKILISHE WATANZANIA???????
Переглядів 9583 місяці тому
HAWA NDIO TULIOWATUMA WAKATUWAKILISHE WATANZANIA???????
WEWE NI MUNGU; HAKUNA KAMA WEWE; WEWE UPO JUU YA TAWALA NA MAMLAKA ZOTE ZA HAPA DUNIANI.
Переглядів 863 місяці тому
WEWE NI MUNGU; HAKUNA KAMA WEWE; WEWE UPO JUU YA TAWALA NA MAMLAKA ZOTE ZA HAPA DUNIANI.
TUTAKWENDA NA VIJANA WETU, NA WAZEE WETU, NA WANA WETU, NA BINTI ZETU, HATUACHI KITU.
Переглядів 843 місяці тому
TUTAKWENDA NA VIJANA WETU, NA WAZEE WETU, NA WANA WETU, NA BINTI ZETU, HATUACHI KITU.
MSINGI IMARA WA MAISHA YA WATOTO HUJENGWA KWA IBADA NA MAOMBI.
Переглядів 473 місяці тому
MSINGI IMARA WA MAISHA YA WATOTO HUJENGWA KWA IBADA NA MAOMBI.
KWA UGUMU WOWOTE BADO NITAISEMA KWELI.
Переглядів 2693 місяці тому
KWA UGUMU WOWOTE BADO NITAISEMA KWELI.
NI HERI KUWA BAWABU NYUMBANI MWA MUNGU WANGU; KULIKO KUKAA KATIKA HEMA ZA MALAYA.
Переглядів 583 місяці тому
NI HERI KUWA BAWABU NYUMBANI MWA MUNGU WANGU; KULIKO KUKAA KATIKA HEMA ZA MALAYA.
MBARIKIWA AITANGAZA NDOTO YAKE.
Переглядів 3283 місяці тому
MBARIKIWA AITANGAZA NDOTO YAKE.
SIFA YARINDIMA ZAIDI YA NUSU SAA.
Переглядів 283 місяці тому
SIFA YARINDIMA ZAIDI YA NUSU SAA.
UZITO NA THAMANI YA MWANADAMU NI NINI ALITAKIWA KUFANYA AKIWA HAPA DUNIANI.
Переглядів 243 місяці тому
UZITO NA THAMANI YA MWANADAMU NI NINI ALITAKIWA KUFANYA AKIWA HAPA DUNIANI.
USIPENDE USINGIZI NI MBOLEA YA UMASKINI.
Переглядів 894 місяці тому
USIPENDE USINGIZI NI MBOLEA YA UMASKINI.
MBARIKIWA TAYARI KATUA DAR JANA KUJIBU TUHUMA ZINAZOMKABILI BAINA YAKE NA CHRISTINA SHUSHO.
Переглядів 3034 місяці тому
MBARIKIWA TAYARI KATUA DAR JANA KUJIBU TUHUMA ZINAZOMKABILI BAINA YAKE NA CHRISTINA SHUSHO.
MTU ASIPOKUDHARIRISHA KWA KULISEMA KOSA LAKO; LITAKUDHARIRISHA KOSA LENYEWE
Переглядів 1234 місяці тому
MTU ASIPOKUDHARIRISHA KWA KULISEMA KOSA LAKO; LITAKUDHARIRISHA KOSA LENYEWE
UMEJIDHARIRISHA MWENYEWE?????? AU NI MCHUNGAJI MBARIKIWA????????????
Переглядів 3,8 тис.4 місяці тому
UMEJIDHARIRISHA MWENYEWE?????? AU NI MCHUNGAJI MBARIKIWA????????????
KUNANI TENA!!!! KESI CHRISTINA SHUSHO DHIDI YA MBARIKIWA MWAKIPESILE KUSIKILIZWA DAR.
Переглядів 3,7 тис.4 місяці тому
KUNANI TENA!!!! KESI CHRISTINA SHUSHO DHIDI YA MBARIKIWA MWAKIPESILE KUSIKILIZWA DAR.
HIZI NDIZO SIMULIZI SAHIHI SANA KWA WATOTO WETU HASA WA KIZAZI HIKI.
Переглядів 354 місяці тому
HIZI NDIZO SIMULIZI SAHIHI SANA KWA WATOTO WETU HASA WA KIZAZI HIKI.
HIKI NDICHO CHANZO CHA WATOTO WETU KUWA WACHA MUNGU.
Переглядів 2644 місяці тому
HIKI NDICHO CHANZO CHA WATOTO WETU KUWA WACHA MUNGU.
TABIA MBAYA ZA WATOTO ZIMESABABISHA MADHARA KWENYE JAMII.
Переглядів 834 місяці тому
TABIA MBAYA ZA WATOTO ZIMESABABISHA MADHARA KWENYE JAMII.

КОМЕНТАРІ

  • @MamaNkungi
    @MamaNkungi 2 дні тому

    Amen amen mungu awatunze

  • @PetroRaphael-s4z
    @PetroRaphael-s4z 4 дні тому

    mungu awe upande wenu siku zote🙏📖📖

  • @JoyMwash-ou5bw
    @JoyMwash-ou5bw 12 днів тому

    Rudi kwa boma sahii msichana wako amepata mume amekuaibisha mama mkwe

  • @MamaNkungi
    @MamaNkungi 16 днів тому

    Mungu awafariji katika utimilufu wa mungu

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 25 днів тому

    HIVI MBONA KUNAMATAPELI 2 YANA VIBALI VYA MAKANISA NA HUYU MPENDA HAKI MSEMA KWELI, MCHA MUNGU KWA NINI ANANYIMWA KIBALI? AU KUNA NINI?

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 27 днів тому

    Hakika inauma sana daaah

  • @annybalenga6908
    @annybalenga6908 29 днів тому

    Pole sn mchungaji MUNGU akupe Amani ya Moyo

  • @sakinayahya78
    @sakinayahya78 Місяць тому

    Pole sana mtumishi wa mungu machozi yako mungu atakulipa tu

  • @EstaMangoni
    @EstaMangoni Місяць тому

    Ubarikiwe dada Mungu akutunze

  • @SamsoniSona-sx3sw
    @SamsoniSona-sx3sw Місяць тому

    Mmmh wewe

  • @MichaelAbel-dv7io
    @MichaelAbel-dv7io Місяць тому

    Ameni

  • @JosephNyanda-n9o
    @JosephNyanda-n9o Місяць тому

  • @ElizaAxson
    @ElizaAxson Місяць тому

    Minatamani kujua ivi wewe mbarikiwa ni dhehebu gani

    • @DevothaSanga-d3d
      @DevothaSanga-d3d Місяць тому

      UPENTEKOSTI WA KIZAMANI KATIKA NYAKATI ZA MWISHO.

  • @JulienneRessa
    @JulienneRessa Місяць тому

    Mungu amuhurumiye sana huyo godlive hata kama simu fahamu

  • @RebeccaBhoke
    @RebeccaBhoke Місяць тому

    Aminaaa

  • @fridamwakipamba4292
    @fridamwakipamba4292 Місяць тому

    😊

  • @GodfreySilvesta
    @GodfreySilvesta Місяць тому

    Ameniiii sanaa lakn hao manabiii wanatimiza unabii wa yesu aliotabiri atuwezi kuwa zuia na hyo nguvu ya upotevu hata mungu ameruhusu itendekazi ili wale wanao kata kuifata kweliii na wakageukia uongo wahukumiweee ..... kwahyo hzo ni dhama za mwisho msingi tuwe na bidii kuubiri injili ili wengne waokolewe...... hawa manabiii walikuwepo hdi enzi za mitume wetu ...

    • @godfreyhiza1075
      @godfreyhiza1075 Місяць тому

      Ndipo BWANA YESU akasema...Ole wao watakaotimiza unabii huu...wangeomba wasingezaliwa kwenye matumbo ya mama zao!!!

  • @NellyKombe
    @NellyKombe Місяць тому

    Amen MUNGU akubariki mum

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 Місяць тому

    Mbarikiwa kafa ya hadi machozi yanatoka,inasikitisha sana

  • @WilfredMalima
    @WilfredMalima Місяць тому

    Amina jaman duuh❤

  • @ProsperJoseph-g8u
    @ProsperJoseph-g8u Місяць тому

    Amen mama God bless you,,for the truth ni bora ufe na njaa uingie mbinguni kwenye maisha ya milele ,sio sifa za siku mbili

  • @JohnsonFredrickJohn
    @JohnsonFredrickJohn Місяць тому

    MUNGU akulinde dada yangu akuepushie nguvu zao zote za kishetani washindwe kwa jina la YESU KRISTO 👍👍👍👍

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj Місяць тому

    Amen good bless you

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa Місяць тому

    Balikiwa sana dada nakupenda sana

  • @sarahmeshack3842
    @sarahmeshack3842 Місяць тому

    Kwwli shujaa wa bwana mungu akulinde

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 Місяць тому

    🙏🙏❤

  • @Faithinchrist-4713
    @Faithinchrist-4713 Місяць тому

    Hogera sana 🎉

  • @EliaMhile
    @EliaMhile 2 місяці тому

    Huyu mtu kipawa chake ni uimbaji tu, uchungaji kavamia fani.

    • @DevothaSanga-d3d
      @DevothaSanga-d3d Місяць тому

      @@EliaMhile Pole sanaaaaaa! Usilolijua ni usiku wa GIZA TOTORO.

    • @EliaMhile
      @EliaMhile Місяць тому

      @@DevothaSanga-d3dninyi ni wa baba yenu Ibilisi, kazi mzifanyazo si zenu ni za baba yenu maana hata yeye alikuwa mpinzani wa Ile kweli tangu mwanzo!

  • @HejJsj-hv5it
    @HejJsj-hv5it 2 місяці тому

    Be blessed 🙌

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 місяці тому

    Dah Mungu tusamehe sisi vijana, tuokoe na laana ya machozi ya watumishi wako 😭😭😭😭🙏🙏

  • @AlubatiElia
    @AlubatiElia 2 місяці тому

    Mungu akunze baba

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 2 місяці тому

    Dah mungu wangu

  • @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq
    @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq 2 місяці тому

    Daa aisee ila hili lidadalinalo jiita lichungaji moto litauona

  • @K-go1qj
    @K-go1qj 2 місяці тому

    Ni hatari sana kuoa mwanamke ambae ameruka stage atakuja zibukia kwenye ndoa lazima ivunjike

  • @FrankSalehe-us7zg
    @FrankSalehe-us7zg 2 місяці тому

    Uyumwiguli kumbenikenge uyu

  • @cecyliamosha370
    @cecyliamosha370 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana Mt.wa Mungu.Mungu akulinde akutunze ck zote

  • @johnsonjohn-qz7cq
    @johnsonjohn-qz7cq 2 місяці тому

    Raha, tulizo, faraja, Amani vyote hivyo vinapatikana kwa Yesu Ameeeeeeen

  • @johnsondamas9311
    @johnsondamas9311 2 місяці тому

    MUNGU Yuko kazini songambere waraa usikatetama

  • @johnsondamas9311
    @johnsondamas9311 2 місяці тому

    Hautafungwa kwajina Rayesu ariehai

  • @BraytonMwakitalima
    @BraytonMwakitalima 3 місяці тому

    Dada maneno Yako hayo haya fair kuonge mbele za midia

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 місяці тому

    Magufuli alimtoa huyu Kwa sababu alikuwa anamjuwa ni zuzu yeye na Ccm yake

  • @DevothaSanga-d3d
    @DevothaSanga-d3d 3 місяці тому

    Ukinyamaza wakati jamii yako ina hali NGUMU UNAHISI HUYO MUNGU WAKO ATAKUWA AMEKUSAIDIA????

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 3 місяці тому

    Mungu nifunze kunyamaza

    • @DevothaSanga-d3d
      @DevothaSanga-d3d 3 місяці тому

      Kunyamaza wakati jamii ina hali NGUMU, MAISHA YAMEKUWA MAGUMU ITASAIDIA NINI???? LIENI PAMOJA NA WANAOLIA NA WALA SIO KUNYAMAZA. NI KWELI KABISA BIBLIA TULIIELEWA VIBAYA SANA.

  • @IsackManjoba
    @IsackManjoba 3 місяці тому

    Waziri anaeongozwa na kiburi

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 3 місяці тому

    Mimi naomba muulize roho mtakatifu kuhusu kuweka picha ya mchungaji kwenye nguo ni machukizo kwa Mungu mnakuwa kama mnamwabudu au mnamtangaza yeye ,Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu

  • @AbdalaMavoa
    @AbdalaMavoa 3 місяці тому

    Mungu akutangulie kwenye huduma yako.

  • @Tadei-uk2hu
    @Tadei-uk2hu 3 місяці тому

    Huo ni umalaya unakisumbua

  • @Tadei-uk2hu
    @Tadei-uk2hu 3 місяці тому

    Acha ushamba ulilazimishwa kuzaa na huyo baba au umepata hawara mpya

  • @felixsanga
    @felixsanga 3 місяці тому

    Yesu yupo kazini hata sasa!!Waliousingizini hawajui!Anayeimba huyo ndani mwako ni nani kama siyo Yesu???1Wakorintho 15:20-21"Kristo ni limbuko "Kila mmoja mahali pake Kristo ni limbuko(Roll model,Kioo cha jamii,Mzaliwa wa kwanza,Wadogo zake Yesu tuko wengi.)Changamka maana wokovu wetu umekaribia!Usiku umeenda ,giza linaisha "Machweo karibu"!1Petro3:13-18,2Petro3:13"Tunatazamia mbingu mpya na nchi mpya ambayo haki yakaa ndani yake!!

  • @Thomas-g6z5r
    @Thomas-g6z5r 3 місяці тому

    Malaya mkubwa