MBARIKIWA ALA KIAPO NA MKE WAKE MBELE YA KANISA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @edwardchange1407
    @edwardchange1407 3 місяці тому

    Be blessed abundantly of your touching songs,may God's grace be with in Jesus christ Name

  • @EmelianaOmbay
    @EmelianaOmbay 6 місяців тому

    Dah waooh nice song

  • @nicholaswaemmanuel7221
    @nicholaswaemmanuel7221 6 місяців тому +2

    Hakika kimbilio na tumaini pekee ni Bwana, maana kwake hatutaibika wala kutikisika daima. Mungu awatie nguvu sana WAZAZI wetu na kuwapa MAISHA marefu. Mmekuwa sababu ya uponyaji wa wengi. Mbarikiwe sana. Ameeeeeeen!

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 6 місяців тому +1

    Mbarikiwe sana, mzidi kutetea haki za wanyonge muendelee kusikiliza MUNGU, IMAGINE KAMA YA KINA DANIEL

  • @bumimwamasage4904
    @bumimwamasage4904 6 місяців тому +2

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu, zina mguso wenye uvuvio wa nguvu za Roho Mtakatifu.

  • @lazaroonyango1568
    @lazaroonyango1568 6 місяців тому

    Kwakweli mtumishi ni mfano wa kuigwa amesimama bila kuteterka pamoja na changamoto lakini bado amesimama katika katika kupigania imani Mungu akubariki na kukuimarisha zaidi.

  • @ArnoldMumango
    @ArnoldMumango 6 місяців тому

    Amina mama,mumenibariki saana

  • @bumimwamasage4904
    @bumimwamasage4904 6 місяців тому +1

    Pia naguswa sana na umoja wenu, usiotikisika. Mungu wet aliyeziumba mbingu na nchi azidi kuwaongoza na kuwainua

  • @JohnNikodem-ts1nz
    @JohnNikodem-ts1nz 6 місяців тому +1

    Waooo Hakika Kwa Mungu Ndiko Kuna Kimbilio La Kweli 🙏🙏

  • @anazarethlalama
    @anazarethlalama 6 місяців тому

    Jaman huyu mama nyimbo zake zinabariki sana pamoja na mapito bado hajamwacha mungu dah nampenda sana zaid

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 6 місяців тому

    Mbarikiwe sana jamani nyimbo zenu zimenitia moyo sana hasa kipindi hiki cha mapito nayopitia🙏🤲

  • @AgnesMmila
    @AgnesMmila 6 місяців тому

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa Mungu

  • @ObadiahKabulente
    @ObadiahKabulente 6 місяців тому +1

    Waoooo🎉 wimbo wenye mafuta

  • @jacksonedwin9315
    @jacksonedwin9315 18 днів тому

    Ameen mama salome 1:00

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 6 місяців тому

    Yesu awakumbuke na awe faraja na ushindi wa maisha yenu nawaombea neema na baraka zabwana ziwafunike

  • @AsifiwengulwaNgulwa
    @AsifiwengulwaNgulwa 6 місяців тому

    MUNGU wa mbinguni awabariki sana

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 6 місяців тому

    Z❤❤❤❤❤🎉🎉nakupenda nyimbo zako za bariki

  • @hildamacha6576
    @hildamacha6576 2 місяці тому

    Amen

  • @cathelinematondo3992
    @cathelinematondo3992 6 місяців тому +1

    Ameeeeen Ameeeeen Ameeeeen Ameeeeen Ameeeeen Ameeeeen

  • @helbalchota9417
    @helbalchota9417 6 місяців тому +1

    Napenda sana msimamo wenu namwomba anipe msimamo mkali kama huo

  • @rahma6189
    @rahma6189 6 місяців тому +1

    Hongera sanaaa

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 6 місяців тому

    Aminaa mubarikiwe san watumishi wa mungu

  • @Yoram_Changala
    @Yoram_Changala 6 місяців тому

    Neema ni nyingi sana Mama katika nyimbo
    ☺☺😊😊😊

  • @gibsonsimburya5291
    @gibsonsimburya5291 6 місяців тому +1

    Naona huyu bwana ana maumivi.
    MUNGU NGUVU YAKO IMALIZE YOTE.

  • @millicentsamson6276
    @millicentsamson6276 6 місяців тому

    Kwa kweli nimebarikiwa na hizo nyimbo mungu awatie nguvu

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 6 місяців тому +1

    Neema na baraka ziwe Kinga kwa yote mnayopitia.Dunia ni tambala bovu

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 6 місяців тому +1

    Ameeeeeeeni nice song

  • @stellamwaipopo1307
    @stellamwaipopo1307 5 місяців тому

    Hatuwezi wenyewe tushike baba yetu

  • @abnermailos8043
    @abnermailos8043 6 місяців тому

    Aminasana

  • @subirasimbeye5389
    @subirasimbeye5389 6 місяців тому +1

    Amina

  • @neemakusuhibwa347
    @neemakusuhibwa347 6 місяців тому

    Mungu.aendelee kuwatunza.

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 6 місяців тому

    Mbarikiwa ahubiri nakufunfisha kama much Moses magembe aache mbwembe

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @andjelaniilombe-go5kj
    @andjelaniilombe-go5kj 6 місяців тому +1

    Amen Amen Amen

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 6 місяців тому

    Lije lolote hakuna kuludi nyuma (HII IMEENDA).🎉🎉🎉🎉

  • @DaudiCharles-v2x
    @DaudiCharles-v2x 6 місяців тому

    Xafi sana watumishi wabwana

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 6 місяців тому

    Napenda upigaji wa viombo au mitambo

  • @gadisanga-ee2il
    @gadisanga-ee2il 6 місяців тому +1

    Safiiiiiiiii 😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs 6 місяців тому

    Ila naona kuendelea kuvaa mavazi yanayofanana na magereza sio NZURI maana umeshakuwa huru lifanye hili jambo kulisahau moyoni MWAKO

  • @ChachaMgaya-kq9we
    @ChachaMgaya-kq9we 6 місяців тому

    Mubarikiwe hakika

  • @EmmanuelMwakibinga
    @EmmanuelMwakibinga 6 місяців тому

    Kazi yenu njema baba na mama mwakipesile

  • @astrinomgesi-np5xv
    @astrinomgesi-np5xv 6 місяців тому +1

    Kikosi kazi

  • @lupamwakabenga1716
    @lupamwakabenga1716 6 місяців тому

    Aminaaaaaa 🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎😭😭😭😭😭

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 6 місяців тому

    Mgongo wa mke wa mbarikiwa mbona uko kama na vifungo? Huo ni ugonjwa gani? Poleni

  • @Magufuli.
    @Magufuli. 6 місяців тому +1

    💪🙏

  • @erasmobenardsangu-1854
    @erasmobenardsangu-1854 6 місяців тому

    Akikani mngu anatenda yote

  • @AMINAJOHN-tx5eb
    @AMINAJOHN-tx5eb 6 місяців тому

    Mamaaaaa

  • @millicentsamson6276
    @millicentsamson6276 6 місяців тому

    Mpaka nime download hizi nyimbo maana inanitia moyo🎉🎉🎉

  • @lupamwakabenga1716
    @lupamwakabenga1716 6 місяців тому

    Watching you from Zambia🙏🙏🙏🙏🙏🙏🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎❤️❤️❤️

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 6 місяців тому

    🙏🙏🙏♥️♥️♥️

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 6 місяців тому

    mbona sijamuona sifa kwy ndege jamani?? au yeye anaogopa kupanda ndege??

    • @miriamwangari7417
      @miriamwangari7417 6 місяців тому

      Wapendwa walikuwa wakiende kutibiwa hospitalini. Sifa Yuko mzima wa afya.

  • @paulmigire6661
    @paulmigire6661 6 місяців тому +1

    Pambana kiki inalipa na mkeo

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  6 місяців тому +1

      Jaribu hata wewe kama kiki inalipa hata kwa kupoteza mtoto wa pekee. Omba yasikukute

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala 6 місяців тому +1

      Kiki kwenye hatari..?

    • @beatricendelwa7543
      @beatricendelwa7543 6 місяців тому +1

      Unakosea sana hakuna anae penda matatizo inamana hata mtoto wake alikufa ili mtumishi apate kiki ? Nimejisikia vibaya

  • @LameckKulwa-u6d
    @LameckKulwa-u6d 6 місяців тому

    Ivi jamni iyo free uwain man gani?

    • @luganomunuwavanu9369
      @luganomunuwavanu9369 6 місяців тому +1

      Wewe acha kuwaza ya freemason.
      Free mbarikiwa maana yake,,,,mbarikiwa aachiwe huru asisumbuliwe kama anavyosumbuliwa

  • @HildahMwenda-u3h
    @HildahMwenda-u3h 6 місяців тому

    Amen

  • @rehemabukuku1008
    @rehemabukuku1008 6 місяців тому +1

    ❤❤❤❤