ULINZI WA RAIS SAMIA NOMA! TAZAMA ALIVYOFIKA KWAO KIZIMKAZI NA NDEGE ZA KIJESHI UTAPENDA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2023

КОМЕНТАРІ • 72

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 10 місяців тому +4

    Tunahitaji hospital ya Kanda ya kaskazini ijengwe Arusha tuachane na kcmc na tuachane na hospital ya bugando tujenge hospital ya Kanda ya ziwa zilipe kodi

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALI 10 місяців тому +3

    Hongera mama, Mungu ibariki tanzania Mungu ibariki znz

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 10 місяців тому +2

    Tunahitaji hospital za kidini zijitegemee na zisipate bajeti kutoka serikali kuu na serikali zijenge hospital zake za kanda

  • @salimothmanhoza
    @salimothmanhoza 10 місяців тому +1

    Akifa mama kwa mujibu wa katiba,Philip Mpango anakuwa Rais? Itafutwe mpya kuepuka mashaka haya

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 10 місяців тому +1

    Ccm acheni ushamba. Kila jambo mnavaa magwanda yenu tu. Kwani hizo sherehe ni za chama??

  • @iddihassan2677
    @iddihassan2677 10 місяців тому +1

    Yaani ww mtangazaji saut kma unasoma nasar hujuw kutangaza bado uka some Tena

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 4 дні тому

    Mashallah

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 10 місяців тому

    Zanzibar ni kisiwa kimezungukwa na bahari. Usafiri lazina boti au ndege/helikopta. Walinzi wamefupisha safari. Kutoka air-port au bandarini hadi Kizimkaazi ni maili nyingi sana. Ndio wameona bora helikopta ni moja kwa moja kutoka dodoma hadi Kizimkaazi. Na ndio penye shuguli.

  • @PhilipoMussa-kd6nw
    @PhilipoMussa-kd6nw Місяць тому

    Mama Samia sisi watoto wa masikini tunaomba mchango wako selection za kujiunga kidato Cha Tano Ziandike upya maana Kuna wanafunzi tumeonewa tumechagua sayansi afu tumetumwa ATI

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALI 10 місяців тому

    Inajiweka sawa!!! Hy bwn kiswahili chetu hicho!

  • @sadakombo-li7yi
    @sadakombo-li7yi 10 місяців тому

    Mama samia nione mkizimkaz mwenzio niko pemba please nione

  • @user-fi2xy4tw3p
    @user-fi2xy4tw3p 4 місяці тому

    Honger mam Samia unaupig mwing

    • @FabianTebeka
      @FabianTebeka 2 місяці тому

      Acha ujinga anaupiga mwingi kwa kusafiri kila wakati wakati hospital akuna madawa, maisha magumu mawaziri wakina mwigulu nchemba wanaiba fedha na hayupo wa kuwatisha sasa ingekuwa marehemu magufuri thubutu kuiba fedha wangezitapika na mda wote anawateua wa nzanzibar tu

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op 10 місяців тому +2

    Mbona anashukia porin jmn

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 10 місяців тому +1

      M2 kwao unataka ashukie wapi mjini au ushaona wapi helicopter ikatua mjini

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 10 місяців тому

      Ndio eneo kubwa la kushuka kwa helikopta. Kashukia Kizimkazi ni shamba kama hamjui.

  • @TimothyAlex-it2lm
    @TimothyAlex-it2lm 15 днів тому

    Kazikazi

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 10 місяців тому

    Inakuaje muandishi wa habari upo mbali na sehemu ya tukio kwann usisoge karibu

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 10 місяців тому +1

    Safi mama fanya kazi tuki pamoja

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 10 місяців тому +2

    Wacha aponde raha

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 10 місяців тому

    Helcopter mmezionaaa😂😂😂

  • @user-dy5fn6qj1q
    @user-dy5fn6qj1q Місяць тому

    Safii kukumbuka nyumbani Kila jambo hufanikiwa wanaporudi kushukuru makwaooo Kila kiongozi. Wajifunze kwa mama na hasa wabunge kweye maeneo yaoooo

    • @FatnaAlly-go7yt
      @FatnaAlly-go7yt 4 дні тому

      Oooh Allah nijaalie na unipe nguvu NAMI niwe ni miongoni mwa kutekeleza inshallah

  • @VenaEliki
    @VenaEliki 10 місяців тому

    Naona mambo mnayoyafanya wewe na magufuri ni Kama uchifu mbona hatujaona marais awamu ya Kwanza mpaka yanne hawakujitwika ufalme Kama huo

  • @mariammalendeja370
    @mariammalendeja370 10 місяців тому

    maghufuli nataman ungemuona zuena ooh ungemuona zuwena eeh zuuwena

  • @rahma6189
    @rahma6189 10 місяців тому

    Kwani huyo ni raisi wa zanziba

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 9 місяців тому

    Haikuhusu kama Rai's wa znzbar wa bars Kula chuma iyooooo😅😅😅😅

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 10 місяців тому

    Hata Magufuli alijenga kwao na uwanja mkubwa wa kutua ndege yake tu. Kikwete kajenga kijiji cha kifalme kwao Bwagamoyo. Ali Hassan mwinyi ndi hasemeki kwao huko na msasani. Kuna ajabu gani Mama samia kutua kwa helikopta? Au kufanya jambo la maendeleo ya Umma? Acheni roho mbaya Wakavirondo nyie.

  • @HamadHamad-oy7mp
    @HamadHamad-oy7mp 10 місяців тому

    Nakupenda mzee kikwete nakupenda mama Samia

  • @zuberymwenge6780
    @zuberymwenge6780 10 місяців тому +1

    Kudadeki tutakutana kaburinj

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 10 місяців тому

    Sirikali iache kutegemea hispitali za kidini ijenge zake na iache hispitali za kidini zijitegemee zijiendeshe zenyewe bona zinaingiza mapato

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 10 місяців тому

    Mama Samia Jenga kiwanja cha ndege hapo

    • @Azikiwe-qi6jd
      @Azikiwe-qi6jd 10 місяців тому

      Your have a mind of lazzy people, wewe ni mzembe wa kufikiri, unata kusema kila kiongozi anapoingia madarakani lazima ajenge kiwanja cha ndege kwao, unajua hali ya kiwanja cha ndege chat kwa sasa?

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 10 місяців тому +1

      ​@@Azikiwe-qi6jdmaxuri kawaida huigwa

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 10 місяців тому

    Huyu mwandishi vipi?? Side yoyotevwaexa kumuinterview bila kumshika

  • @solomonwanjala9351
    @solomonwanjala9351 4 місяці тому

    Unaongea sana

  • @MICHAELPANCRASS
    @MICHAELPANCRASS 10 місяців тому

    SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 10 місяців тому

      Na wengi ndio tunata waekezaji waje ili tuneemeke tulokua wengi. Acheni unoko wenu mtatafuta njia ya kupitisha magendo na kokeni zenu na kukwepa kodi kwa kisingizio eti mizigo ya Kanisa. Madam Samia Oyeeeee mitano tenaaaa

  • @chankamba
    @chankamba 10 місяців тому

    Herocopita 😂😂 wameziona

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 10 місяців тому

    gabon niger

  • @ally0thmanfundikira463
    @ally0thmanfundikira463 10 місяців тому +2

    Mtoto huyo warda mwalimu alikua anamtesa sana na anasema kazaa na polisi mkubwa ni kibaha mama yake nakuomba sana msaidie mueshimiwa ninakuomba fuatilia global tv

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 10 місяців тому

      Swali aliempeleka kwa huyo.mwl mkuu ni nani??? Mpaka wakawa wanamtafuta???

  • @ally0thmanfundikira463
    @ally0thmanfundikira463 10 місяців тому +2

    Mueshimiwa Rais ninakuomba mama yetu tuonee tuonee huruma ingilia kati sakata la mtoto Warda Muhamed aliyepotea kule kinahan kiwa anakaa na mwalimu huyu mwalimu anakivuna yuko na mkubwa tusaidie fiatilia global tv

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 10 місяців тому

      Wa2 wake wapo kazini kulishulikia ilo subra muhimu sn

  • @MICHAELPANCRASS
    @MICHAELPANCRASS 10 місяців тому

    TUKUTANE 2025

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 10 місяців тому

    Watanganyika mliwazarau wazanzibali mkaona hawawezi. Mumeona Mama anavyo tusuta? Mama unaweza Hekooooo❤

    • @FabianTebeka
      @FabianTebeka 2 місяці тому

      Acha ujinga anaupiga mwingi kwa kusafiri kila wakati na wanzanzibar unasema anatusuta kwa kusafiri kila wakati anasababisha maisha kuwa magumu mawaziri wakina mwigulu nchemba wanaiba fedha akuna wa kuwazuia kipindi cha magufuri thubutu kuiba fedha wangezitapika na huyu mama ata akiongoza milele awezi kumfikia magufuri kamwe

  • @MICHAELPANCRASS
    @MICHAELPANCRASS 10 місяців тому

    Hahahaha

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 10 місяців тому

    Vitu vya kitoto

    • @onelovetz7935
      @onelovetz7935 10 місяців тому

      Nakupata hanashida na wananchi wanakula Bata ogopa wanaokwea na ndege hawawezi kujenga nchi

  • @rahma6189
    @rahma6189 10 місяців тому

    Kumbe kwao ni masikini hivo ndio mana anachetuka

  • @deusurio9056
    @deusurio9056 10 місяців тому

    Watanzania kama hamtakaa na kuomba Mungu awafungue ktk uwezo wakufikiri ,Iko siku mtauzwa mkiwa mmelala, hii ccm wanalaana na Wala hawajali maisha yenu ,wao ni kuuza rasilimali zenu ,Kila rais inaeingia anauza kilichobaki, kilicho Baki ni bahari ardhi mlima kmanjaro vikiuzwa mtakwenda kuwa wakimbizi kwenye nchi yenu

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 10 місяців тому

    Hii nch imekuwa basi Tena magufuli ameondoka na vyake😭😭😭😭😭

  • @suleimanmwita-oh1up
    @suleimanmwita-oh1up 10 місяців тому

    kisa nini huna akili ww

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 10 місяців тому +1

      Hivi unajua wakatoliki walisaini mkataba serikali isijenge hospitali pale ambapo wao wamejenga na sasahivi wanaipinga serikali Sasa Bora serikali iachane nao

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 10 місяців тому

      Na wewe mwehu haswaaa

  • @MICHAELPANCRASS
    @MICHAELPANCRASS 10 місяців тому

    Nchi hii tunahitaji maombi sana Mungu atuepushe na hiki kikombe

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 10 місяців тому

      Kwa kweli umeona muonekano wa hiyo ndege? Yani Tanzania kwa sasa imeongozwa n'a farao

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 10 місяців тому +1

    Seema cna kituuu na hasiraaaa sanaaaa ila mda unakuja ardhi italoa damuuuu

  • @Clement-px8eg
    @Clement-px8eg 10 місяців тому

    Mama yenu huyoo abaki hukohuko

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 10 місяців тому

      Mjinga wewe ulitaka mama yako ndo awe rais

    • @Clement-px8eg
      @Clement-px8eg 10 місяців тому

      Sina.mama

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 10 місяців тому

      Huyo mnae mitano tenaaa. Mnaona aibu Mzanzibari tena Mwanamke kaongoza kwa muda mfupi sana, kaleta maendeleo kibao huko Tanganyika. Kazi kusema Wazanzibari kazi yetu kula urojo tu. Hiyo ndio faida ya urojo. Mama Samia ni Chaguo la Mungu❤

    • @FabianTebeka
      @FabianTebeka 2 місяці тому

      Acha ujinga chaguo la MUNGU kwa kusafiri kila wakati ww unajua tokea awe rais ametumia kiasi gani kwa ajili ya safari, gharama aliyotumia kwa miaka 3 ni zaidi ya aliyotumia magufuri kwa miaka 6 na nchi inadaiwa matilioni ya shilingi alafu unaongea upumbavu akuna rais alifeli kama huyu na ataendelea kufeli mwamba ameondoka na akili zake ata raisi husen mwinyi alisema alipokuwa wanamuoji TBC na mnukuu alisema tuta chukua mdaa mrefu kupata kiongozi wa kariba ya magufuri. Kwa hiyo nyinyi semeni ila ukweli utabaki kuwa ukweli.

  • @onelovetz7935
    @onelovetz7935 10 місяців тому

    Usifanye maigizo Kama ya chadema yakukwea na ndege huku wananchi hoyi huko ndiko kujenga nchi hakuna kutembea na gali

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 10 місяців тому

      Unatakaje labda hebu acheni chuki nyie dah au tukupe ww urais halafu utembe kwa mguu