Ijue familia ya Rais Samia Suluhu -mume, watoto na historia yake
Вставка
- Опубліковано 5 січ 2025
- Katika makala hii tunakuletea wasifu wa mama Samia Suluhu Hassan tukitazama vyeo vyake vingine vya kijamii yeye kama mke, mama wa watoto na mwanafamilia kwa ujumla. Utawajua watoto wa samia Suluhu, mume wa Samia Suluhu na ndegu zake pamoja na anakotokea Kizimkazi Zanzibar.
Mashallah mwanamke wa kwanza zanzibar,makamu wa kwanza mwanamke Tanzania na Raisi wakwanza mwanamke pekee Tanzania 🇹🇿 ni bahati kubwa sana aliyonayo nnauhakika ndie atakuwa Raisi pekee atakaeleta maendeleo makubwa sana. Allah amjaalie katika kila malengo yake yote ayafanikishe in shaa allah I love ❤ mama
❤
Acha ujinga akuna rais aliyeleta maendeleo kama magufuri, sasa hivi viongozi wanaiba fedha akuna wa kuwazuia kipindi cha magufuri rushwa viongozi walikuwa wanaogopa na walikuwa wanapelekwa jela, sasa hivi viongozi kama mawaziri wakina mwigulu nchemba wanaiba fedha na hayupo wa kuwatisha, sasa ingekuwa marehemu magufuri thubutu kuiba fedha wangezitapika na siku hizi ukienda hospital madokta wanaanza kazi mdaa wanawotaka hakuna uwajibikaji acheni kusifia vitu ambavyo havipo magufuri ataendelea kukumbukwa kwa upendo wake kwa watanzania na alibana fedha kwa kutokusafiri wakati kuna balozi.
@@FabianTebekaI'm 🎉E I'm Ed I'm🎉😢
Kizimkazii kwa dolfing wakirukaa juu mashallah ndio maanaa allah kakuchaguu ufanyee maendeleo sio uwezowako ila ni allah fanya kszi kwaumanifu mjubwa mum hongeraa kazi njema
Mashallah insh allah umri Mrefu na afya kamili Love Frm Kenya 👍❤
Masha Allah mwenyezimungu akufanyie wepesi ❤❤♥️🤲
Asante mwandshi kwa mkusanyiko mzr wa hbr Kuhusu rais wetu
Asante sana dada Loveness kwa ujumbe wako🙏
binti yake Suluhu wa Hassan. Mungu akubariki sana. twakuombea na majukumu yako. Mungu akupe afya uzima na wepesi. hekima na maarifa pia mama yetu
My president you are a real definition of strong woman, I love you live long and stay blessed
Hongera sana sana
Mashaalah Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia na kukulinda ili uzidi kutuongoza pamoja na kukupa afya njema.
Mashallah Ma Samia Mungu amekujalia nyota ya uongozi❤❤❤❤
Mungu akubariki
Mashaallah tunamuomba Allah swt akulinde.
Hongera sana Mama.
Ongera Sana mheshimiwa rais wetu hatutaacha kukpongeza mwanamke wa jembe mungu akuweke inshaallah
Rais samia alikua pis kali sana nimempenda bure mungu ambariki aishi maisha marefu dada yetu
Ahsante Kwa history zr,
Hongera mama kwa historian yako na uongoz
Nakupenda Muheshimiwa Mama Samia Suluhu,Mungu aendelee kulinda katika yote,Hongera Tanzania.
Asante kwa somo hilo la our beloved President
Üzeni nchi yetu, Ahsanteni sana!
Nimekubali mama wetu mungu akubariki mahali ulipo
Hongera mama Samia kila kitu kinawezekana,God bless
Allah akusimamie Kila hatua rais wangu kiukweli Nakupenda sana rais wetu
Mama ssmia watanzania tunajivunia ushupavu wako.hongera mama❤
Baba yake yupo wapi?na mama yake yupo wapi nataka kujua walio toa chombo hiki kizuri kilicho sheheni mambo mazuri tabia sura jamani mashallaa
Mama kama mama ❤️ hongera sais wetu mwanamke wa kwanz kua rais ni historia tunakupend sana rais weru🤩🤩
Hadi raha mnezi Mungu alinde
Tunakupenda raisi wetu,mchapakazi ,muadilifu,mkweli na mwenye huruma na Imani Kwa watanzania.
Historia nzuri Hongera.
Am in love with her dressing code. MashaAllah
Hongeraa sanaà mama angu nimekupendaa bureee mama
Hongera sana mama nasi tupo pamoja nawe
Nakupenda sana mama.
Maa shaa Allah Mwenyeezi Mungu akulinde Rais wetu mpendwa Mama wa Taifa
Ameen
Mungu akujalie maisha marefu mama
Kazi iendelee my President #Ssh
Dada yangu Rais wangu yaani nakupenda sana dada yangu
Heko sana,raise wa Tanzania Samia suluhu.
MES RESPECTS MAMAN SAMIIA NAKUPENDA SANA JUU UNAONESHAKA GISI MAMA ANAPASHWA KUJIKAMATA
ASANTE SANA MAMA PRESIDENTI
Love mama sanaaa....
Allah akulinde akupe afya njema, hekima, uwaongoze ndugu zetu wa Tanzania, Kwa njia nzuri, Mimi ni mkenya nafurahi Sana, pongezi Sana mama yetu Samia
Napenda xana kazi unayofanya jaman
Asante kwa ujumbe wako
Safi sanà
Mama Samia
Mungu akusimamie ktk kuliongoza taifa letu mama yetu
Maa Shaa Allah
Mhhhh
Maashaallah maashaallah
Kazi iendelee
"Kumbuka shuka mapema" na uhakikishe kijini kwako hawajutii Kuwa na Wewe. Mtu kwao . Mungu aliyekupa Wewe Basi na Kijiji Chalo wakufaidi walau.
Safi sana samia rais wetu wa Tanzania kila lenye kheri kwako
Ulaaaaniwe😊
Mashallah mashallah 😍🥰😘
Furaha ya Mama
Be blessed
Mama mchapakaz., Ubarikiwe.
Kama mKenya, naskia wivu sana kutokuwa na rais kama mama Samia. MUNGU AKUHIFADHI.
Acha ujinga sisi tunaangaika alafu wewe unasema rais mzuri, mda wote anasafiri pasipo na faida kwa fedha za wananchi
Sawa Mam samia umetish kinyam
Maa shaa Allah
Mashaallah mama samia
Hongera mama Tz
Thanks for the informative video.
Thank you very much. We are happy that you find it informative 🙏
Hy Ndio Rais Wa Nchi Alopanga Mungu Mwanaadam Huwezi Kulipangua Ukitaka Kaa Tanzania Huwezi Hamia Marekani Bibi Upo
Nusu wewe
habari ndio hiyo 🤣🤣
Allah akubariki sana mama
Sawa
Safi-sana
Amina
Mashaallahmamasamiamwenyezimungunaakuweke
Nakumbuka Mazishi ya kiongozi mmoja alizikwa kijijini kwao alijisahau hata vifaa vya msikitini! Hapana viongozi jalini vikiji vyenu sio kuwekaweka mbele familia. Kijiji Cha kiongozi kifanane na hadhi yake. Msikubali aibu mkiwa mmeshanyamaza milele ( kifo)
Mashalwaa
Mashaallah mashallah
huyu mama namkubali sana asee
Ahsante
Mmmmmhh Kaz anayo
Mungu nimwema ahsante Mungu nimwema ahsante Mungu kutupatia mama Samia suluhu
Watanzania tuliiheshimu katiba yetu na hakika tumedhihirisha uungwana wetu. Tuendelee na uungwana.
Anazingu tu bhana anazunguka tuu machinga tunanyanyasika Hana habali wanting yuko bize na matajiri tu RIP magufuli mungu akulinde
vumilia
HONGERA SANA MAMA WA TAIFA, MUNGU NISAIDIE NAMIMI KIZAZI CHANGU KIWE BORA ZAIDI YA MAMA WA TAIFA INSHAALLAH🙏
Allahumma amin
Mungu humpa amtakae achauchoyo
Toeni historia za Waheshimiwa na picha za maisha ya wanavijiji wao. Zingine aibu tupu. Msahau kwao hawezi kutunza kwa wenzake.
Maashaallah mama wa taifa
"Nitaendelea kulinda heshima ya mwanamke wa Tanzania.". Mungu akujalie uyatekeleze hayo.
Naomba kwa. Eshima na sisi usitusahau kabisa nahishi okokola kijiji cha okokola
😮😮
Dada huyu ameunga unga sana mpaka akapata elimu, nilijua tu Samia ameunga unga sana, hapo tujifunze kuwa hakuna mafanikio bila maangaiko huyu dada ame struggle Sana
Yaaahh
Nice
Thanks
Munguamulazepenyewemamzeemagufuli
Amina Amina
Mhhhh, aaaaaah
Ft
Namu mama samiya eshina kwa mume
Ulianza vizuri bali ulikotupeleka kunatisha.
Napenda mavazi yake mama
Mmetoa history nzur ya Rais Samia lkn sijasikia majina ya wazazi wake
Very proud of You Mama Samia.🙏
Two furqan
MWENYEZI MUNGU NDIYE MWENYE MAAMUZI YA MWISHO!
Shikamoo mama, nakukupenda sana mama yangu
Asee juzi tu ✍️
Do we have Christian Churches in Zanzibar or Tanzania?
What do you mean? There are churches in both Zanzibar and mainland Tanganyika.
I asked that because all I hear from Tanganyika/Tanzania is to do with Islam
Is there any thing wrong with me asking?
Mwalmu alitofautisha Urais na familia yake. Hii ilimjengea heshima na leo hata mjane wake na familia wanaheshimika. nchini
Koo