Muuza madafu ikulu ni Komando? A trend akifananishwa na komando kwa akishuka kwa kamba na helicopter

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

КОМЕНТАРІ • 531

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 4 місяці тому +90

    aliyesanuka em agonge like hapa

    • @ABDALLAHRASHIDI-l7z
      @ABDALLAHRASHIDI-l7z 4 місяці тому +4

      Niyy muuza madafu hakuna ubishi lakini awezi kukubali kamwe

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 4 місяці тому +15

    Mission completed 👏👏👍
    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿

  • @Worldunite
    @Worldunite 4 місяці тому +41

    Msione ajabu wala msishangae, haya ni mambo ya ki-intelijensia 😂😂.MAJEDA OYEEE TANZANIA 🇹🇿 THE BEST

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 4 місяці тому +19

    Mama anajichekea tu😂ngoja na mimi nicheke😂😂😂😂 iloveyou Tz yangu ❤

  • @alexandermanase8956
    @alexandermanase8956 4 місяці тому +43

    Huyo anaekataaa nae inawezekana ni usalama wa taifa😂😂,, ila nimependa Sana mbinu za jeshi letu.. ukauze madafu Bure Bure ikulu,, thubutu,,,,,, Sasa usalama mbadilishe mbinu hii tushaijua😂😂😂... Komando muuza madafu oyeeeee

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 4 місяці тому +56

    Umeona mama samia anacheka kakumbuka siku ya madafu

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 4 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @kennedykassian5269
      @kennedykassian5269 4 місяці тому

      Tena clip ya mtangazaji wa milllard akimuelekeza aweke silaha vizuri yaan ni yeye na jamaa wana uwezo hata wa sauti kubadilisha

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 4 місяці тому +14

    Tanzania wapelelezi wapo Kila mahali, yaani "ulipo tupo", ni kiasi Cha sisi wananchi kuchunga ndimi zetu na kuheshimu Kila mtu

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 4 місяці тому +1

      Na Hiyo pia isiwafanye mjisahau kwa kujiona mmemaliza kila kitu "Huwa Allah junudu mafisamawati wal~Ardhwi" Bi maana Allah yeye ndiye mwenye majeshi Angani na Ardhini. unaweza kulindwa Sana na mwisho ukafa Nyuki au Siafu tu. Tendeni haki na mema sio kukandamiza watu Kisha mnaendelea kujitukuza.

  • @humphreynyiti516
    @humphreynyiti516 4 місяці тому +27

    We ukauze madafu ikulu mchezo,haha ila ww jamaa ni noma sana

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 4 місяці тому +25

    Du!,tena full commando,kuna la kujifunza hapa,hasa wale wenye dharau kumuheshimu kila umuonae mbele yako ni jambo muhimu sana.

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 4 місяці тому

      Ndio

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 4 місяці тому +1

      kweli kabisa

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 4 місяці тому

      Umeongea chamaana sana niliwahi saidiwa namtu nisie mjua sehemu ngumu sana kumbe jamaa ananijua nayeye niwalewale

    • @SamuelOlekiria-kg4kd
      @SamuelOlekiria-kg4kd 2 місяці тому

      Kweli kabisa mwamba

  • @agnesmndolwa6245
    @agnesmndolwa6245 4 місяці тому +34

    Ni yeye Kwa sababu wakati anahojiwa alijichanganya kwamba anaweza karate,hakuna muuza madafu wakusema anaweza karate

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 4 місяці тому +4

      Acha ushamba karate anajifunza mtu yeyote yy alichosema nikwamba hvyo vitu anaviweza kwan mbn mm nacheza judo mieleka na karate??

    • @KhadijakassimMwaipaya
      @KhadijakassimMwaipaya 4 місяці тому +1

      Ni yeye

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 місяці тому

      Wewe kweli mshamba

    • @agnesmndolwa6245
      @agnesmndolwa6245 4 місяці тому

      @@Mpakauseme ushamba umetokea wapi hapo tena

    • @YustaMfugale
      @YustaMfugale 4 місяці тому +1

      Hyo karate alijifunza lin make kasema ye ni mwanafunzi wa chuo na umri umesoma namba so pouw

  • @MargretSanat
    @MargretSanat 4 місяці тому +20

    Am a Kenyan ❤❤❤❤ i really love this 😂

  • @LameckLameck-v9r
    @LameckLameck-v9r 4 місяці тому +38

    Sio rahisi kwa raia wa kawaida kupelekwa ikulu inawenyewe hiyo ww fikiria kwa akili ndogo uangue dafu Rufiji ambalo halijahakikiwa akapewe Rais wa nchi mliona wp sisi tuliowajanja tunajua

    • @MubaAlly-gd5jg
      @MubaAlly-gd5jg 4 місяці тому

      saw kabisa

    • @BenjaminBatano
      @BenjaminBatano 4 місяці тому

      Jamani tunakiharibu kiswahili chetu badala ya kuandika sawa kabisa unaandika "saw kabisa" ukitafsiri inakuwa "aliona kabisa"

    • @Swahili14
      @Swahili14 4 місяці тому

      ​@@BenjaminBatano😂
      Native speakers use informal speech and slang

    • @anacletferuz4954
      @anacletferuz4954 4 місяці тому

      Mbona ulikua haujasema kama ulijuwa😊

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 4 місяці тому

      Kuna jambo lao wanatafuta awa sio bule kwaio ukiwa njiani ujitunze sio kila umuonae ni mtu wa kawaida kwako ao wanaangalia usalam wa nchi chini chini kam nisingemuon apa sku ningekutana nae siku sipo vizuri unaingia kwenye anga zao aisee atakukoa sasa mue walinzi wenyew sio kilA umuonae umzalau ukute wenginne wanafagia barabara we unaon ni washikaji zako unaongea mambo lbda ya bangi wee watakumiga na kukukoa ulinzi wa nnje jmni upo kila mtu awe na uangalifu la sivo mtaishia jera waovu lkn sin uakika nalo 😅😅😅😅 nimependraaaaas😉😉✌👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians 3 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂 Bongo ni Nchi ngumu sana😂😂😂😂

  • @drdd774
    @drdd774 4 місяці тому +10

    Mpaka mtu anasema kama mazoezi na kareti anafanya mnashindwa kujiongeza

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 4 місяці тому +2

    Huu mtindo wabadiri maana dunia ikombali sana sasa huyu jamaa hawezi ishi tena kwa amani nakufanya kazi yake kwa weredi maana kila mtu mwenye anajua alichokifanya atakuwa anamuogopa kikubwa hawa jamaa wauza madafu wengi niwatu wa mipakani kupitisha watu wabaya nirahisi sana ndio maana wanakuwepo komandoo elewa huyu nikiongozi wakikosi nayuko nao aisee hii in big up sana

  • @EmanuelShirima-o6r
    @EmanuelShirima-o6r 4 місяці тому +12

    😂😂😂 ndio yeye sauti ina echo tu, ila zinafanana, tue makini

  • @mussachessa6404
    @mussachessa6404 4 місяці тому +21

    Yes hata huyo jamaa wapembeni ndie yuleyule walie kua pamoja kupeleka madafu Ikuru. huyo alievaa kitambilisho

    • @fanuelykitambule5542
      @fanuelykitambule5542 4 місяці тому

      Kabisa ukimuangalia vizur machoni huyo wapembeni kama ni yeye iv

  • @MichaelCNtaho
    @MichaelCNtaho 4 місяці тому +16

    Ukitaka kujua ni yeye mwambie huyo mwandishi akamtafute tena pale kijiweni alipokuwa ana uzia madafu kama atamkuta..

  • @AlexMumoMalonza
    @AlexMumoMalonza 4 місяці тому +29

    Acheni kufichua siri zenu za kijeshi!!! Adui atakua na kazi rahisi kuwafunika

    • @devanse9718
      @devanse9718 4 місяці тому

      KAZI YA NYOKO

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 4 місяці тому

      ​@@devanse9718Ukweli ndio huo

    • @United-Bantu-People
      @United-Bantu-People 4 місяці тому

      it means dont underestimate Tanzanians

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 4 місяці тому

      Nafikiri hii sasa jeshi lijiongeze kutokana na technology maana wengine huficha sura kwakuwa niwatu wanaojulikana sana mitaani so wabadiri mbinu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 місяці тому +2

    Serikali yetu nzuri haswaaa ina ulinzi mzuri sanaaaa

  • @KokoFimbo
    @KokoFimbo 4 місяці тому +10

    Asante sana ESPERARENCE de TUNIS sisi yanga tumefurahi sana

    • @godfreydavid6996
      @godfreydavid6996 4 місяці тому

      Wamefanyaje hao ndugu zetu waarabu 😂

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi 4 місяці тому

      Wamempiga adui yetu aliyetudhulumu goli huko south​@@godfreydavid6996

    • @samimalindimya6211
      @samimalindimya6211 4 місяці тому +3

      Wamempiga mtu nje ndani

    • @mlekwa
      @mlekwa 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 4 місяці тому

      Ssanaaaaaaaaa😂😂😂😂😂

  • @hamisibobombwana
    @hamisibobombwana 4 місяці тому +10

    mama mweenyewee anafurahi heee huyu si yule muuza madafu itakuwa hata yeeye alikkuwa hajui hili

    • @elizanyange2010
      @elizanyange2010 4 місяці тому

      Mama anajuwa hiv unafkiria wangekua watu wakawaida wangeruhusiwa kuingia ikulu kirahis rahis

    • @stanchi138
      @stanchi138 4 місяці тому

      Muuza mafafu gani ata kofia hakuivua ikulu,,,,,serikali ina mkono mref,

  • @NassibUkasha
    @NassibUkasha 12 днів тому

    Apewe kazi hyu kijana from Kenya nafatilia matukio

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 4 місяці тому +3

    😂😂😂 wabongo bana mnachunguza sana mnataka msipate tena madafu.

  • @HassanMugire
    @HassanMugire 4 місяці тому +15

    Tena ni captain halooo

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 4 місяці тому +25

    Natena nikiongonzi kabisa daah 😅🔥

    • @Mwanah27
      @Mwanah27 4 місяці тому

      Yan bonge la cheo

  • @saidothman6342
    @saidothman6342 4 місяці тому +3

    Kama ingekuwa issue ya Usalama tu basi rahisi kuamini ila hapo anananisibishwa na na huyo kiongozi wa Makomandoo aliyeshuka kwenye helicopta hapo...kwa akili ya kawaida tu Kiongozi wa makomandoo tena Kapteni wa jeshi atapat wapi mda wote huo wa kukaa pale Salenda kuuza madafu...ingekuwa amenasibishwa na usalama wa taifa hapo ingeingia akilini

  • @ngalukomcharo9841
    @ngalukomcharo9841 4 місяці тому +10

    Ukitazama vizuri pichani siku akiuza madafu body posture inaonesha kabisa ni mtu mwenye military skills.

  • @MubaMgaya
    @MubaMgaya 4 місяці тому +6

    Kwapembeni namwona mjomba hija khaji mgumya one love jombi

  • @janetlazarus-kv7rg
    @janetlazarus-kv7rg 4 місяці тому +29

    Sio yeye wanafanana tu hata sauti zao hazifanani wabongo bwana😂

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 4 місяці тому +2

      Hpn ni yy, rudia yl maijiano utagundua kitu, alikua anajikanyaga kwenye maswali mengine, ujue kuukataa uhalisia wk ni kz.

    • @subiransasi8029
      @subiransasi8029 4 місяці тому +1

      Sauti hiyo ni kwenye maic

    • @paulmafuru7283
      @paulmafuru7283 4 місяці тому +1

      Hapo anaongea kwa ukakamavu mzee ,mwanajeshi mtaani n tofauti na kazin sauti zinakuwa mbili tofauti

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 4 місяці тому +3

      Ndio yeye %98 kama unabisha basi nawe ni mmoja wao we muuza madafu unapata wapi muda wa mazoezi 😂

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 4 місяці тому +1

      MWAMBA NI YEYE 99%

  • @iddmussa3763
    @iddmussa3763 4 місяці тому +1

    km ni yeye basi ujue swala la kupeleka madafu halikuwa bahati mbaya na swala la yeye kuonekana hapo km kiongozi pia sio bahati mbaya yani kila kitu kimepangwa
    ila wamefanana zaidi jaribu kuangalia facial features mfano fupa la shavuni utaona kuwa ni tofauti ila utafauti huokwa jamii ya watu hao unaweza ukawa wa kutengeneza pia
    tujaribu kusikiliza vocal - ila ya huyualiekuwa anaongea kwa mic huipati vizuri ila up and down za sauti kmzinataka kufanana ila yote kwa yote big up kwa vyombo vyetu

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 4 місяці тому +8

    Sio yeye tena hata hawafanani kwa sura pengine tumfananishe rangi tu lkn ni watu wa2 tofaut kabisa

  • @dominickndomba4474
    @dominickndomba4474 4 місяці тому +2

    Sio yeye muuza madafu akiongea analamba ulimi lakini huyo commando halambi ulimi huo ndio utofauti wa kitabia halisi sisi wapelelezi tunajua hilo Tanx saaaaana kwa kufananisha

  • @micophilemon2080
    @micophilemon2080 4 місяці тому +2

    kwenye facial recognition tunaangalia paji la uso, mashavu kidevu, mkao wa pua, ukimchek mwamba pua hahhaaa ikulu sio kila mtoto wa baba ananda eeh

  • @MayagiloIsidoriPhilipo
    @MayagiloIsidoriPhilipo 4 місяці тому

    Ila na ninyi mngefanya kuvaa mask bhana ili kupoteza hiyo taharuki iliyoibuka nchini na kufanya kuwa ajenda Kwa Kila mmoja. Waandishi wa habari imekuwa ndiyo njia ya kujipatia viewers ! Kiusalama si sahihi.

  • @davidmigoha1706
    @davidmigoha1706 4 місяці тому +3

    Kama watu tofauti basi andaeni interview wote wawili wawepo I will pay

  • @jillydezanzibar4435
    @jillydezanzibar4435 4 місяці тому +3

    Mi sijui kufananisha ila huyu sio yeye" Tusitake kuheadlines

  • @CruzchicagoNyandindi
    @CruzchicagoNyandindi 4 місяці тому +2

    Mama abakie yy tu ikuru miaka yote nampenda sana rais wng

  • @KhalidiMsuya-h6o
    @KhalidiMsuya-h6o 4 місяці тому +5

    Sisi tuliosoma Cuba 🇨🇺 tulishamjua tangia siku ile ndio mana mnaambiwa msizarau watu

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 4 місяці тому

      Hata hivyo tunaoelewa nadharia tulipinge suala HILI LA kumfunua mtu majani hasa waTu nyeti KWA taifa watu kama Hawa hata ukimjua umuachie sio kumtungia, stori

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 4 місяці тому

      Umesoma Cuba ata kumtambua mtu huwez tizama pua tu hizo ndio zitakwambia kama ni watu wa wili tafaut

  • @amosdesdery8482
    @amosdesdery8482 4 місяці тому +4

    Mkimpata Tena Niko paleeeee😂😂😂😂😂😂

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 4 місяці тому +2

    Lkn hata mwandishi mambo kama HAYA sio ya kufatilia mtu aliejifunika majani usoni mnaharibu Sana ila KWA sababu SERIKALI LABDA Imenyamaz WAANDISHI mambo mengine nyeti mskone natoa story MNAKOSEA nchi

    • @HamisTerry
      @HamisTerry 4 місяці тому

      Uko sahihi matumizi mabaya ya habari

  • @GeofreyMtensa
    @GeofreyMtensa 4 місяці тому +2

    Sio yeye 100% hamuoni ata sura ni tofauti

  • @exclusvetztv9011
    @exclusvetztv9011 4 місяці тому +2

    Nanukuukwa marehemu ruge mtawba : ugopa sanaa digital 😂😂😂😅😅 usiongepeee utakamatwaa tuu tuu na record hizi sio zana za miaka 10 iliyopita

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 4 місяці тому +10

    Ndo mana pembeni wanacheka😂😂😂

  • @JamilaShabani-oj9rt
    @JamilaShabani-oj9rt 4 місяці тому +1

    Mungu awe nanyi makomando wetu😊❤❤❤

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 4 місяці тому

    Ayo Mambo Sio Ya Kucholesha Sana Kwenye Mitandao Nazani Inatosha Wana Habari Kuchimba Ayo Mambo Angalieni Mengine

  • @bilqisnjama1387
    @bilqisnjama1387 3 місяці тому

    Siye yule muuza madafu ana very prominent cheek bone huyu askari ana shavu kidogo
    Muuza madafu mweusi sana kuliko askari

  • @TheJackriss
    @TheJackriss 4 місяці тому +1

    Wamefanana tu ila sio yeye😂😂😂

  • @BOB_SHEBY_NINJA
    @BOB_SHEBY_NINJA 4 місяці тому +1

    Now time ajira ni ngumu mpaka COMMANDO anaamuwa kuuza madafu
    Gonga like basi mbona unapita tu 😂😂

  • @MayagiloIsidoriPhilipo
    @MayagiloIsidoriPhilipo 4 місяці тому

    Siioni sababu ya kulitangaza sana jambo hili kama la ajabu sana.
    Mbona ni kama tunajidhalilisha sana ? Na isitoshe kujifunua Kwa maadui. Atakuwa kwenye wakati mgumu sana kwenye kutekelezanmajukumu yake.

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 4 місяці тому

    Hii ndio Tz ..... unaweza ukakaa au kuwa pamoja na mtu akiwa kawaida lakini kumbe ...

  • @adamrajabu231
    @adamrajabu231 4 місяці тому +7

    MUOGOPE SANA MUNGU NA KIASI IOGOPE TECHNOLOGY 😂😂

  • @jameskamau8438
    @jameskamau8438 4 місяці тому

    Mimi mkenya nko hapa kusoma kiswahili chenyu chapendeza 😊😊

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      😅😅😅😅😅pande gani huko James

  • @lawamajohn2303
    @lawamajohn2303 4 місяці тому

    Proud of my tz ❤❤

  • @FredMlelwa
    @FredMlelwa 4 місяці тому

    Mungu ibariki Tanzania.🇹🇿🇹🇿

  • @KassimMohammed-u5x
    @KassimMohammed-u5x 4 місяці тому +4

    Achana na sura hata sauti ni ile ile ya kuuzia madafu

  • @umlaith5202
    @umlaith5202 4 місяці тому

    Usicheze na CCM
    Ndio ile ile....❤

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 4 місяці тому +12

    Niyeye aisee ucje uka mdharau mtu ndomaana yake

    • @hellennehemia9269
      @hellennehemia9269 4 місяці тому

      Kabisa

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 4 місяці тому

      Au ukataka kupigana na mtu njiani usiyemjua mm nashangaa wewe minazi na madafu wazaramo madafu wanauza waha😂😂😂

  • @jamalabdillahi3575
    @jamalabdillahi3575 4 місяці тому +1

    Pia Kuna komando muuza mkaa 😂😂😂😂

  • @user-wb1fg1fk8o
    @user-wb1fg1fk8o 4 місяці тому +1

    Kweli video nimeyiludia malanyingi niyeye mungu amutiyenguvu kwanyota yake😊

  • @suzeynnasebastian8223
    @suzeynnasebastian8223 4 місяці тому

    Mungu ibaraki
    Tanzania ukumbusho❤❤❤❤

  • @kelvincharles4998
    @kelvincharles4998 4 місяці тому +4

    Japokuwa kusema ukweli sawa labda kwenye michezo ya NGUMI, KARATE, BOXING kidogo huwa nafanya 😂😂😂 alituonaje aisee 😅😅

  • @SamwellubigisaLubigisa
    @SamwellubigisaLubigisa 4 місяці тому +7

    Usikariri kazi moja,, maisha ni kupambana 😂😂

  • @Safia-hg7pq
    @Safia-hg7pq 4 місяці тому +5

    Ni yeye kuanzia sura na hata sauti pia ila watu inabidi wafikirie kwa sababu apo yupo kazini anatekeleza majukumu yake awezi kuongea kama anauza madafu jmn we mwenyew hauogopi tumien akili

  • @SamuelOlekiria-kg4kd
    @SamuelOlekiria-kg4kd 2 місяці тому

    Umakini unaitajika kilakona ya taifaletu kama wew ni mzalendo Gonga like hapa

  • @MohamedKachale-rn2gx
    @MohamedKachale-rn2gx 4 місяці тому

    Saw

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 4 місяці тому +1

    Hilo mbona lipowàzi kabisa maana eneo lolote la nchi lenye uongozi wa juu wa nchi au nyala za selikal watu wanaolizunguka jengo hilo asalimia 60 ni askali!! Wauza madafu machungwa fundi viatu wauza magazet wat wa tigo pesa watu wa dini waubil na maustadhi watoa dahawa wote ni askali kanzu ubadilika kutokana na mazingira.

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 4 місяці тому +3

    Hii siyosifa wanajeshi wenzangu tukiistafu ndomana tunapooza miguu namwili hii nikutokana nakubeba mizigo mizito mno kwata nakusimama mda mrefu sana tunaona sifa lakini tukutane uzeeni kuanziya miaka 50 😂

    • @Amanivicent-lp4sk
      @Amanivicent-lp4sk 4 місяці тому

      Kwaio ww unashaur wanajesh wasitengeneze ukakamavu....acha habar za ajabu

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 місяці тому

      @@Amanivicent-lp4sk So wanajeshi tu hataww waweza kutengeneza ukakamavu. ila kilakitu unatakiwa ufanye kwakiasi ikizidi mbeleni utakujakuona matokeo yako

  • @ElizeusDadira
    @ElizeusDadira 4 місяці тому +1

    Unaweza mungu akuzidishie

  • @elreina
    @elreina 4 місяці тому +1

    Sauti hazifanani kabisaaa hawa watu wawili tofauti

  • @JustusMackenzie
    @JustusMackenzie 4 місяці тому

    Well done bro I like it

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 4 місяці тому

    Kwa jinsi maisha yanavyotupeleka huku kitaa, huwezi kupata muda wa kufanya mazoezi. Maana mshikeshike tu wa kusaka mkate 🍞 wa kika siku ni mazoezi tosha ktk maisha haya yenye mfumo wa kibepari.

  • @jakalwambemanyalla6287
    @jakalwambemanyalla6287 4 місяці тому +5

    Mpaka sauti

  • @Mcfuvu_komesho
    @Mcfuvu_komesho Місяць тому

    Nimependa sana ii daah Tanzania ooooo

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 4 місяці тому

    Huyu jamaa anatochora anataka kutufanya hatujui kitu wakati ni yeye 😂😂😂😂

  • @RafaelKaswahili
    @RafaelKaswahili 4 місяці тому +3

    Ni yeye na nimemwangalia vizur adi kulamba mdomo .......hamtamuona tena kwenye hicho kijiwe cha madafu

    • @grayson348
      @grayson348 4 місяці тому

      Sio yeye bwana

    • @helenakamenya8680
      @helenakamenya8680 4 місяці тому

      ​@@grayson348ccm ni mapumbavu mnaleta maigizo ya kipumbavu

    • @gloriadaniel3827
      @gloriadaniel3827 4 місяці тому

      Angalia urefu toka kwenye pua Hadi mdomo.

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 4 місяці тому

      ​@@gloriadaniel3827nilicho kiona mm ndio ulicho kiona ww kuna watu hawajui kumfananisha mtu

  • @Mwanah27
    @Mwanah27 4 місяці тому

    Me napata mashaka
    Kwann huyu wakati wauza wadaf walikuwa kama wawili hapa kuna kitu bora angekuwa pekeake lakin co pekeake ila anatrend yy 😮😮😮

  • @dannykimoko9293
    @dannykimoko9293 4 місяці тому

    Ndio huyo huyo alieshuka na elkopta huyo ni usalama tena komando.yaani uende ukauze madafu ikulu kirahisi no ngastuka meku.

  • @aikaM74
    @aikaM74 4 місяці тому

    Daah hadi sauti ni Ile Ile ya kijaluo, wajaluo shikamoo!! 😂

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 3 місяці тому

    Misemo ya ukija bila gadi kaitolew wapi wabongo ni wadadisi atuambie amefundishwa jeshi la nnchi Gani afu ana aibu alipokuwa anahojiwa mwangalie vzur

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 3 місяці тому

    Afu huyu tulisoma wote JKT SONGEA MWAKA 2012

  • @NajmaNuba
    @NajmaNuba 5 днів тому

    Wanajeshi jamani tuwaombee yaan kilo 70 anabebe mgongoni na bado napigana vita

  • @Stelaromani
    @Stelaromani 4 місяці тому +4

    Ni yeye kabisaaaaaaa!

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf 4 місяці тому

    Mm nilishangaa ameweza kumshawishi mama kula madafu kumbe ni poti aisee

  • @TabiaMaheke-sk3ob
    @TabiaMaheke-sk3ob 4 місяці тому +6

    Ni yy bwana!sauti,sura isipokuwa rafuzi tu ndo ameikaza kidogo kijeshi

    • @stanchi138
      @stanchi138 4 місяці тому

      Pale anatumia sautivya vocal,,tofa

  • @SamsonKena
    @SamsonKena 4 місяці тому

    Dar anaweza mungu amri nde.

  • @EmmaSimukoko
    @EmmaSimukoko 4 місяці тому +1

    🎉🎉😂😂

  • @RashdMwawanu
    @RashdMwawanu 4 місяці тому

    Usalama upo popte pale unakuta mtu anauza ndimu sokoni kachoka mbya kumbe usalama anafya Kazi yke hapo au unakuta mumchinga anauza karanga kumbe polic usalama kwaiyo Hilo kawaida tu kwenye jamii Hilo ni lakawaida tu

  • @aikaM74
    @aikaM74 4 місяці тому

    Haya mbadilishe mbinu ya madafu tumeijua, Nikiona muuza madafu popote pale nakimbia balaa, sasa muuze pipi

  • @mosesmanyama-ht3wh
    @mosesmanyama-ht3wh 4 місяці тому

    mbona mpaka sauti ni ile ile na kuongea kwa hatua vile vile kama muuza madafu msituchoreeee😂😂😂😂

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 4 місяці тому +2

    Nimefatilia sana jmn hii sauti yani NIYEYE KABISA KHAAAH.😂😂😂

  • @dorotheasamwel8071
    @dorotheasamwel8071 4 місяці тому

    Hii ya kubeba mizigo huwa inarahaa. Sisi tulibeba toka kemondo hadi hadi kishanje..

  • @nicaswaziri
    @nicaswaziri 4 місяці тому

    Hivi vyombo vya habari vingine bwana. Ndo maana Huwa vinafungiwa mnatoa siri za nchi. Huo sio uzalendo

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 4 місяці тому

    Hii imenikumbusha kisiwa kimoja hapa mwana dada wawili walikuja kama malaya na walikua wanajiuza kama wengine lkn kumbe walikua ni wanajesh kuna wauaj walikimbilia kisiwan na siku walikamatwa wale jamaa hatukuamin da! Ama kweli jeshi ni hatari hadi nimeogopa zaid

  • @HermanNtahilaja
    @HermanNtahilaja 4 місяці тому

    Jamani huyo siye yeye kwa kuwa wengine tunatoka kijiji kimoja katika wilaya yaBuhigwe. Tumwombee pengine serikali imuone imeendelezwa kwani anao kaka zake wawili wa baba mkubwa wake wote ni wanajeshi

  • @OnesmusMuendo-v3v
    @OnesmusMuendo-v3v Місяць тому

    Eti huyo sasa ndo commando......labda mnalindwa na mungu

  • @AbdulyMaga-ct9uy
    @AbdulyMaga-ct9uy 4 місяці тому +1

    Ila watu😂😂😂😊

  • @Ally-f3h
    @Ally-f3h 4 місяці тому +3

    Izo mambo!!!!.......,Yana uzito usiopungua kg70.fananisha utamshi na matamshi ya muuza madafu na komando.ni yeye bana

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack 4 місяці тому

    Huwez kwenda Ikulu kirahc km co part ya jeshi Wakuruhuc raia wa kawaida,halaf baadae ukabwe utoe Siri za mazingira ya Ikulu Weee 😂😂😂😂

  • @nkurufi
    @nkurufi 4 місяці тому

    Mnhh ni yeye, na yule mwenzake white wapo hapo wote anamletea karatasi ,hata sauti duuu, safii salama Tanzania

    • @shaniAbdul-t1x
      @shaniAbdul-t1x 4 місяці тому

      Ndio,hata mi nimehisi hvyo Kwanini azibe sura,,