NDOTO YA NYOKA INA MANISHA NINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 бер 2022
  • NDOTO YA NYOKA NI HATARI SANA,INA ONYESHA KUNA UCHAWI INAPIGANA NA WEWE.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 51

  • @TofilaInyasi
    @TofilaInyasi Місяць тому

    Bwana yesu Asifiwe mtumishi Mimi ni mtanzania nanimeollewa Kenya nimota nimokota pesa nyingi mno za Kenya na tz nanikapata bag hapo hapo . Nikaona nyumba ya miti.na udongo nikawaza nikasema nitaibomoa nijenge nzuri zaidi nikaondoka nikawa naelekea kwa brother kumwambia Ambaye Anaishi dar nikaamka naomba uniambie Nini mtumishi

  • @angelpilla4816
    @angelpilla4816 Рік тому +1

    Mungu akubariki Yani nimekuelewa vizuri saana Asante sana pastor

  • @estergasaya6935
    @estergasaya6935 Місяць тому

    Amina mm nimeoya nyoka amemeza kitu lkn alikuwa anapigana na mwanamke alivyo niona akakimbia akamwambia nn maana yake

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 2 місяці тому +2

    Mungu wetu mwema atulinde sote kutoka kwa majoka na watu wabaya waliotuzunguka maishani mwetu.

  • @annewangari2731
    @annewangari2731 Рік тому

    Asante Sana mchungaji ,
    God Bless you mightly 🙏

  • @janetpaul3653
    @janetpaul3653 Рік тому

    God bless you

  • @WemaMusa-fi7sk
    @WemaMusa-fi7sk 2 місяці тому

    my niliota na umwa na nyoka muguu wa kulia

  • @emilianachars3678
    @emilianachars3678 4 місяці тому

    Asante mchungaji nimekuelewa vizuri ila leo tarehe 14.2 2024 saa 11 alfajiri nimeota nyoka mweusi yupo chumbani kwangu na dada wa kazi ndio kamuona kisha akaniambia nilipoingia sikumuona badala yake nikaona kuku mweusi mdogo akitoka ila alipoingia mwanangu wa kike chumbani akang'atwa na nyoka huyo kidole cha pete kulia nilipokuwa namsaidia akawa anaishiwa nguvu ghafla nikashtuka nakuanza kuomba.naomba nifafanulie mtumishi

  • @erickbabu4404
    @erickbabu4404 29 днів тому

    Nimeota na Pambana nae nikamuuwa nyoka Kwa kinu akafa ila aliacha sumu mkononi kwenye ndoto nikanawa na sabun Ila bado nikiwa nataka Kwenda hospital

  • @lenathagervase9967
    @lenathagervase9967 Рік тому

    Nyoka wananitembelea saba ndotoni ila mara nyingi ikifikia wakati wa kungatwa na okolewa na mtoto ambae simjui, ila sasa imezidi nimemezeshwa nyoka na wenzangu hapa maisha ya chuo

  • @catherinekaniningui746
    @catherinekaniningui746 Рік тому +1

    Good morning pastor, naomba kujua kuusu ndoto ya nyoka niliota nayo. Niliona kwa hio ndoto nilikua maali kichakani na nikama nilikua nimelala,kuamka niliona nyote yenye rangi yenye si nyeupe wala nyekundu,vile niliiona ilikua inaenda zake lakini nikachukua kibasket kilikua na maji nika mumwangilia yule nyoka kisha nyoka akapinduka,mara hio nikamtupia kile kibasket akaingia ndani nami kwenda kufanya nikama nachukua hicho kibasket yule nyoka alikua ana taka kuniuma but akuniuma,naomba kujua inamaana ngani plz

  • @mamazenaadam566
    @mamazenaadam566 2 роки тому +1

    Mchungaji nmeota nyoka kama mwekundu anamabaka meusi anameza sungura ina maana gani

  • @user-ph8qi4lc4p
    @user-ph8qi4lc4p 8 місяців тому

    Mchungaji samahani Mimi nasumbuliwa sana na ndoto za nyoka naomba unisaidie

  • @user-xb3bf2gf8p
    @user-xb3bf2gf8p 3 місяці тому

    Nimeota nyoka wawili wadogo mmoja yuko dirishani na mwingine yuko ananinginia kitandani alafu ni warefu wembamba nikastuka usingizini niliomba sana ila inanisikitisha sana mchungaji na imeninyima raha sana leo

  • @eddsonpita-oe4fh
    @eddsonpita-oe4fh Рік тому

    Yaan nikweli kabisa me niliota nyoka mara nyingi kilichonitokea baadae ni mungu anajua nimepitia machungu ambayo siwez hata kusimulia

  • @rithaonaely-mq2mw
    @rithaonaely-mq2mw Рік тому +1

    Mchungaji nimeota ndoto nyoka ya kijani ameningata wenye mkono was kulia

  • @CelestineDorcus
    @CelestineDorcus 4 місяці тому +1

    Leo asubui nimeota nafanya mapenzi na nyoka na hio nyoka anaongea after mapenzi akaanza kunifuata huku akinimbia nipee mimba yangu, bona unatoroka na mimba yangu

  • @PolyneWere
    @PolyneWere Рік тому

    Mtumishi ujambo Mimi nimelala muchana nikaota kuna nyoka mkubwa juu ya kichwa changu nailikua mzito sana inamaan gani pliizzz help me man of God

  • @user-sh3hn7fh9k
    @user-sh3hn7fh9k 10 місяців тому +1

    Pasta naomba nisaidie..mara ya kwanza niliota nimeumwa na nyoka mkononi mimba yangu ikahalibika lakini nimeota tena nimeumwa na nyoka pale pale mkononi nisaidie jamaniii nabaraa yaniepuke mm😭

    • @neemamollel6057
      @neemamollel6057 2 місяці тому

      Jitaidi kuoga chumvi mawe na ujipake mafuta ya Oliver oil dear n.a. kusali n.a. kukataa

  • @lucasgasper5235
    @lucasgasper5235 Рік тому

    Nimeota nyoka kasimama mbele yangu ana rangi nyeupe na nyeusi na mwingine kajificha pembeni mweusi wakubwa sana

  • @khadijahhellen1670
    @khadijahhellen1670 Рік тому +1

    Na kama hukujua maana zake hadi xai kama n magonjwa uko nayo kama n maisha yako ivo hayako vizur yaan najihisi nimeisha kwa hizo dalili zote niko naxo nitafanya nn

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      ua-cam.com/users/liveh6j4DtVcbTU?feature=share

  • @user-ml9of4if2d
    @user-ml9of4if2d 3 місяці тому

    Pastor na intersasors niombeeni nimeota nyoka zimejiviringa karibu nami

  • @MariamChando-sj2yh
    @MariamChando-sj2yh 3 місяці тому

    Nimeota ndoto nyoka mweupe na nyoka mweupe wamekaa juu ya meza

  • @BirgithaYohani
    @BirgithaYohani 3 місяці тому

    Pastor nisaidie niliota nyoka Yuko karibu na kitandan na vitu ulivyosema vimetokea naomba nisaidie

  • @jamesmapundi3664
    @jamesmapundi3664 Рік тому

    Nimeota natembea nyoka mwenye rangi ya kahawai akapita mbele yangu .. naomba unisaidie maana yake

  • @lenathagervase9967
    @lenathagervase9967 Рік тому

    Naomba msaada wako mchungaji

  • @lenathagervase9967
    @lenathagervase9967 Рік тому

    Ndoto unamezeshwa nyoka

  • @user-el1dx8ej1j
    @user-el1dx8ej1j 4 місяці тому

    Mimi nimeota mumewangu ananipa nyoka mkononi warangi ya krimu, nini maana yake mtumishi.

  • @IreneeAnod
    @IreneeAnod 2 місяці тому

    mimi nimeota nyoka lakin nikampiga akafa nimeamuka asbuh tumbo linaumaa

  • @user-yj2wm7rh6u
    @user-yj2wm7rh6u 3 місяці тому

    Niliota ndoto msaidizi wa kazi nyumbani amevaa joka kubwa kama chatu la kijivu madoa madoa kama chui shingoni limeshuka mkono wa kulia na kishoto kama mtandio

  • @jenithandyetabula3805
    @jenithandyetabula3805 Рік тому

    Pastor tafadhari naomba kuelewa ndoto hii, nimeota nimeona nyoka amejiviringisha nilipoenda kuwaambia watu waje kumuona nikakuta Mwanaume kijana ameshamkata vipande viwili. Kipande Cha kichwa kilikuwa kinatapatapa lakini Cha chini kilikimbia.

  • @hannahwanjiru6735
    @hannahwanjiru6735 Рік тому

    Naukiota ka haikuumi

  • @teddyallimustapha9611
    @teddyallimustapha9611 Рік тому

    Mimi naota nyoka lkn nipigananae lkn namuua uyo nyoka

  • @elviramlowe1091
    @elviramlowe1091 Рік тому +1

    Nahitaji maombi naota nyoka,jini mahaba, nikiolewa naachika naomba msaada plzzz

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      ua-cam.com/users/liveLxAw0ZSxfhk?feature=share

  • @christopherkikoti1800
    @christopherkikoti1800 Рік тому

    Mchungaji natafuta hiyo ndoto ya kuúmwa na nyoka mkononi ila siioni. Nahitaji sana kuelewa maana yake

  • @veronicagati1995
    @veronicagati1995 2 роки тому +1

    Pastor niombee sababu niliota na nyoka nimekua nauoga kwanzia hiyo siku na pia nikiota nanyoka na kua na hasira yenye sielewi na sikua nimeona huu ujumbe kuelewa maana yake🙏🙏🙏🙏🙏

  • @benderatigahwa1949
    @benderatigahwa1949 Рік тому +1

    naomba kuongea nawewe kwa simu , naeeza pata mawasiliano yako mtumishi

  • @user-wg1eu5xd2f
    @user-wg1eu5xd2f 3 місяці тому

    Niliota mtoto ameumwa na nyoka

  • @lilsligmajor8812
    @lilsligmajor8812 Рік тому

    Mungu akubariki nilitaka number yako mtumishi

  • @bonfacelubale7768
    @bonfacelubale7768 Рік тому +1

    my name is Bonface, niliota nimeumwa na nyoka mgongoni?

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Kuna nguvu za kichawi zina shambulia maisha yako . Yani kuna watu wanakusema nyuma yako vibaya

  • @user-go2kv6wy8f
    @user-go2kv6wy8f 4 місяці тому

    Kufukuzwa nanyoka

  • @clarasayo2433
    @clarasayo2433 Рік тому +1

    Bwana asifiwe Pastor,,me niliota nyoka kubwa ya colour nyeusi na nyeupe then kwenye hio ndoto kuna MTU alikufa nnamjua ni yeye aliipiga but mamangu alipokaribia hapo ikageuza mdomo inataka kuumuma then mamangu akaambie Yule mfu nimedhani umeua pastor please nitafakarie aki please

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      @Clara sayo ua-cam.com/video/uKGmvWFAXYs/v-deo.html
      Maana ya ndoto ya rangi nyeusi na nyeupe tazama kwa hii link .