Amen Amen, nmeelewa Mwl. Hii imenisumbua sana hasa upande wa kurudia mitihani na mitihani yenyewe nafeli, wakati nilikuwa sifeli shule, au kinatokea kikwazo tu nashindwa kufanya wakati wenzangu wanafanya, Ee Mungu utusaidie.
Jaman hii ndoto inanisumbua sana Nipo shule ya msingi, napambana na maadui kisha napaaa, kupambana na nyoka au mamba kuna muda nawaashinda ili vikinishinda naona napaa
Mimi mama yangu Baada ya kuachana na baba yangu alienda kuolewa kwa mwanaume mwingine nilikaa hapo kama miaka 10 hivi Nika Toka lakini ajabu Kila Siku naota Niko hapo hapo yaani sielewi na nyumba ilikuwa ya zamani hadi Leo naota Pako vile vile ijapokuwa huyo baba Alisha fariki na Hilo eneo lisha nunuliwa ni miaka 13 sijawahi kufika pale Sasa Kila Siku na ota Niko hapo Na maisha yangu yamekuwa ya kurudi nyuma sana Jamani Sijui ni fanye Nini nimechoka sana sielewi hadi Natamani kufa
Ubalikiwe sanamtumishi mm hz mdogo zinanisumbua sana naota mdogo Niko secondary nasoma ninawezangu Malay in an bomb an a wakati nimesha itimu Shule zamani hz Mdogo kwakwwlizina nisumbua sana
Asante kwakunielewesha nakunifungua mtumishi
Asante sana umeeelezea kirahisi sana Mugu akubariki
Ubarikiwe mtumishi umeniashaa leo nmejifunza mengi sana.
Barikiwa sana kaka mungu akuongezee kipawa Asante kwahiri
Ubarikiwe Sana mtumishi hizi ndoto zinanisumbua sana
Amen Amen, nmeelewa Mwl. Hii imenisumbua sana hasa upande wa kurudia mitihani na mitihani yenyewe nafeli, wakati nilikuwa sifeli shule, au kinatokea kikwazo tu nashindwa kufanya wakati wenzangu wanafanya, Ee Mungu utusaidie.
Amen amen amen
what a topic! learning alot & taking notes. more grace mwl
Ahsante mwl wetu Mungu akubariki
❤nimeelewa sasa hua inajurudia rudia
Ubarikiwe kaka, binafsi umeniongezea kitu. Mungu atusaidie sote!
Ameen Mtumishi Ubarikiwe sana
Amina mchungaji
mtumishi naomba namba yako ya watsp
Ameen,,, halellujah... Mungu mwema
Choo cha zaman, nyumba ya zaman na shuleni naota sana
Jaman hii ndoto inanisumbua sana
Nipo shule ya msingi, napambana na maadui kisha napaaa, kupambana na nyoka au mamba kuna muda nawaashinda ili vikinishinda naona napaa
Amen hili Somo nimelipata kwa wakati sahihi nishaangaika vya kutosha
Amina mtumishi amen 🙏
🙏ASANTE MWL UFAFANUZI WENYE KUELEWEKA
asante baba ubarikiwe
Amen, Mtumishi Mimi hizi ndoto huwa zinajirudia mara kwa mara hasa nikiwa shule ya msingi kijijini huko
Mimi mama yangu Baada ya kuachana na baba yangu alienda kuolewa kwa mwanaume mwingine nilikaa hapo kama miaka 10 hivi Nika Toka lakini ajabu Kila Siku naota Niko hapo hapo yaani sielewi na nyumba ilikuwa ya zamani hadi Leo naota Pako vile vile ijapokuwa huyo baba Alisha fariki na Hilo eneo lisha nunuliwa ni miaka 13 sijawahi kufika pale Sasa Kila Siku na ota Niko hapo Na maisha yangu yamekuwa ya kurudi nyuma sana Jamani Sijui ni fanye Nini nimechoka sana sielewi hadi Natamani kufa
Usitaman kujiua tuko wengi tunateseka nandoto hiyo
Aminaaa mwalim
Amen Amen Amen 🙏🙏 God bless you mtumishi
Asante kwa ujumbe
Jesus have mercy for me
Hatudjuwe kiswahiri museme kwenye kinyarwanda❤
Amen
Asante sana
Yani hzo ndoto Zina nisumbua sana Niko shulen nasoma
Amen Mwl
Amina mtumishi baada ya kuomba kuna vitu vilitokea naomba namba ili nielewe zaidi
Ubalikiwe sanamtumishi mm hz mdogo zinanisumbua sana naota mdogo Niko secondary nasoma ninawezangu Malay in an bomb an a wakati nimesha itimu Shule zamani hz Mdogo kwakwwlizina nisumbua sana
Hizi ndoto zipo sana na hujirudiarudia Mungu Tusaidie sanaa😭😭😭😭😭
Amen asabte
NAOMBA UANDAE SOMO UTUFUNDISHE WIKI HII JUU YA HAYA MAOMBI TAFADHALI NA JINSI YA KUOMBA, WIKI HII MTUMISHI
Ni kweli mtumishi nasikia Hilo eneo walikuwa Wana fanya tambiko na walikuwa na mizimu na kanyumba katambiko kalikuwepo Jamani sielewi
Naomba namba zako
Kama mm naota shule nyumba ya samani naota my sister my husband walikufa kitambo naota tunakula tunacheka na wao
Omba san ndoto ya kutabili kifo iyo
AMEEEEN AMEEEEN
Jana pia niliota. Mambo yangu imesambaratika kabisa.
Eee Mungu tuponye
Yaan Mimi hizi ndoto zinajirudia mpaka naogopa
Leo Mungu kanifundisha nmeteseka saaana na hii ndoto
mm naota ofisi zangu za zamani na shule yangu ya msingi mara nyingi tu
Asantii mtumishi..Mungu akubariki
Ndiyo vya kuota vya zamani naota.
Naota San Niko shule ya msingi
Mwalimu siku tufanye hayo maombi
Ubarikiwe mtumishi umenifungua fahamu zangu
NDIO NINAOTA MARA NYINGI. ZIONDOKE KWA JINA LA YESU
Amen