Maana 5 Ya Kuota Ukiwa Chooni Au Ukila Chooni! +254706945821

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лип 2022
  • Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 35

  • @BlessingsSagina
    @BlessingsSagina Місяць тому

    Bwana asifiwe.leo usiku nimeota nikiwa kwa choo bt naenda haja kubwa nzito sana.

  • @user-pv7st3gs2b
    @user-pv7st3gs2b 2 місяці тому

    Amen mch nimebarikiwa sana sana na mafundisho yako be blesses

  • @user-pv7st3gs2b
    @user-pv7st3gs2b 2 місяці тому

    Sarah Jackson from dar,

  • @irenemwanri3023
    @irenemwanri3023 2 роки тому +2

    Asante baba kwa somo unatujenga kiroho. Julian hongera umefika hatimaye.Mungu akupe haja ya moyo wako.

  • @user-pc6zb8ej5e
    @user-pc6zb8ej5e 2 місяці тому

    Nimeotq najisaidia ktk choo kichafu kipo eneo lawazi .
    Nyingine nili niliota nimeendq kukojoa sehemu ya kaka yangu anapofanyia kz yake ya kutengeneza tofali.
    Ktk ule mchanga wake.

  • @user-ef4dh2gg3j
    @user-ef4dh2gg3j Місяць тому

    Mimi nimeona Niko chooni na nilipoenda kwa ajili ya haja kubwa nikajipata nimeingia choo za wanaumme badala ya wanawake na niligindua tu mvulana alipokuja chooni na nilikuwa Dani.Nikaona Niko pale chooni kwa muda na wavulana wananiagolia nikiwa Dani ya choo ,Tena mwisho tulitoka bila kwenda haja,imenikaza lakini tulitoka bila kwenda haja

  • @missttruth1334
    @missttruth1334 2 роки тому +1

    Asanti sana mchungaji kwa mafundisho mazuri

  • @irenegervas9319
    @irenegervas9319 9 місяців тому +1

    Amen🇹🇿

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 роки тому

    AMEN AMEN, 🙏🙏twafurahii kumuona mgeni

  • @atumoses
    @atumoses 2 роки тому

    Asant baba nimeifatilia vzur umenijibu Mungu akubariki sana

  • @JaneMaiga
    @JaneMaiga 2 місяці тому

    Habari za leo mtumishi mimi nimeota nimekwenda chooni nikadumbukia lakini kwa neema ya Mungu nilifanikiwa kutoka nikiwa salama maana yake nini?

  • @TofilaInyasi
    @TofilaInyasi Місяць тому

    Nimeota nimokota pesa nyingi Sana nikakuta nimekuwana begi hapo hapo nikaweka pesa zilikuwa za tz na zakenya nikaona nyamba ya matope mbele yangu nikawaza nitamwambia kakangu tubomoe tujenge block nikaenda .nikitakakwenda kwa kaka nikashtuka Mimi ni mtanzania bat nimeolewa Kenya Niko Kenya sahii

  • @kitengealmas4085
    @kitengealmas4085 Рік тому +1

    Naota nimelala chooni

  • @eunicekanorio330
    @eunicekanorio330 2 роки тому +1

    Dad naona Huku soma yangu niliota tulikuwa Kwa room moja kubwa na kulikuwa na watu wengi sana mahali nilikuwa niketi kulikuwa na police mm nilikuwa nawakelelesha sana nikiwambia wasijaribu kukuja kushika mume wangu Tena na huyu mume tuliachana nn maana

  • @magrethmicheal4663
    @magrethmicheal4663 11 місяців тому

    AMEN

  • @ardnydiaofficial2778
    @ardnydiaofficial2778 Рік тому

    Nimepita mwanangu âme dumbukia choooni , nikaenda nikaingiza mkono nikamkogota

  • @solomoniswilla8441
    @solomoniswilla8441 Рік тому

    Nimeota nimelala na mume wangu mkojo ukanibana nikaenda chooni kukojoa nimepita vyoo 2 nikakuta vimejaa takataka nikashindwa choo cha 3 nikaingia kilikua kisafi sana na kina Tiles nikakojoa nikarudi tena kulala.

  • @solomoniswilla8441
    @solomoniswilla8441 Рік тому

    Nimeota tupo kanisan nikatoka nje vichakan kukojoa nikarudi tena kanisan nje ya kanisa kuna watoto wengi sana mlangoni.

  • @Mariam-cm9ou
    @Mariam-cm9ou 11 місяців тому

    Na pia niliota nakula Mua pia hiyoo inamaa gani

  • @atumoses
    @atumoses 2 роки тому +1

    Naona hujaisoma yang baba niliota tuko kwa semina na mpenz Wang lkn kwa ndot tushakua Mume na mke pale kwenye semina hapakua na sehem ya kulala ikabid tuende polin tu ili tulale kln Ile sehem tulipolala km ni mganga ama sh hapo polin ikabid turudi kwa wenzet wakat huo nikajikuta na mimba kubwa yule mpenzi wang ananishikilia nitembee nisije anguka

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому +1

      @ATU MOSES Nilijibu labda uliondoka nikiendelea

  • @Alainmwendelwa-ff4qn
    @Alainmwendelwa-ff4qn 11 місяців тому

    Jambo mchungaji naomba tafsiri ya ndoto kuangusha simu chooni n'a ikapotea

  • @estherkoileken-3563
    @estherkoileken-3563 Рік тому

    Please pastor help 🙏🙏,nimeota Kama najisaidia kwa kasuku kwa nyumba choo mingi Sana.

  • @arrfamush3285
    @arrfamush3285 Рік тому

    Mimi huwaga naota najisaidia haja kubwa ila sio choon sjajuwa maana yake

  • @lisasamweli4033
    @lisasamweli4033 Рік тому +1

    Mtumishi wa MUNGU Mimi nimeota nimeagizwa kuchota maji bombani ila nikachota kwanza nikaoga ila wakati namaliza nikagundua kunawatu walikuwepo pembeni wamekaa wakinitazama wasio pungua 5 mmoja wao namfaham ni wakiumme basi mi nikavaa nguo zangu na kuchota maji na kuondoka

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Рік тому

    Ameni.Amen,Amen,ameni,nimeota

  • @Mariam-cm9ou
    @Mariam-cm9ou 11 місяців тому

    Mi nimeota mtoto wa boss wangu ameosha chooo akanibia nipigie sasa? nikangia nikajisaidia nimalize afafu nikaanza kupiga mswaki??? Nini maanayake

  • @orentosebastian6074
    @orentosebastian6074 Рік тому

    Mimi nimeota mtu mzee anaomba ajisaidie chooni kwangu ambacho ni choo cha ndani ina maana gani?

  • @carolinamponji7830
    @carolinamponji7830 2 роки тому +1

    Nimeota Niko kwenye gari na rafik yangu Ila akawasha gari Mara akalala usingizi nikaanza kuangaika na ile gari nami kuendesha siwezi nikaendesha nikaipaki pembeni ilikuepusha ajari naye akawa bado amella tulikuw na watu wengine

  • @ardnydiaofficial2778
    @ardnydiaofficial2778 Рік тому

    Nimeota mwanangu amedumbukia choooni nika ingiza mkono nikamkokota akawa nimzima

    • @mkaiteafetu6782
      @mkaiteafetu6782 Рік тому

      Jamani me nimeota juzi ndoto kama hyo

    • @Mariam-cm9ou
      @Mariam-cm9ou 11 місяців тому

      Pia Mimi nimeota hivyo hivyooo but kumtoa ni mzimaaa