TAFSIRI ZA NDOTO ZA NYOKA WA KIJANI / IMAMU MPONDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 кві 2022
  • kama una sumbuliwa na ndoto za nyoka wa kijani tazama video hii ujifunze maana zake kisha usisahau kuniombea dua za kheri

КОМЕНТАРІ • 19

  • @BerthaBoaz-ge8nu
    @BerthaBoaz-ge8nu Місяць тому +1

    Nice

  • @annmukiri8686
    @annmukiri8686 6 місяців тому +1

    Asante

  • @nickluckmakundi
    @nickluckmakundi 9 днів тому

    Sheik umekosea kwa mujibu wa neno la Bwana ukimuta nyoka ujue huyo nyoka ni ibilisi soma ufunuo 12:1-10 uone unyodanganya watu ukimuota nyoka yeyete ujue nishetan nakeziyake nikuuwa TU

  • @annakyugai3504
    @annakyugai3504 Рік тому

    Ustaz naomba nisaidie..nimepta nyota wa kijani mrefu nyumbani kwa mama yangu alipgwa hakufa akakimbia tumemfukuza akapotea.....nisaidie ustazi wangu Nini maana yeke

  • @munaayubu1521
    @munaayubu1521 Рік тому +1

    Sheikhe mie sio ndoto kaingia nyoka wakijan mchana

  • @SaadaKiyungi-uz6jn
    @SaadaKiyungi-uz6jn 9 місяців тому

    Shekh me nimeota nyoka wa kijani mkubwa sana alafu pembeni yake yupo nyoka mdogo

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 Рік тому +2

    Mimi niliota nyoka wa kijani mdogo alikua ananifuata lkn paka akamla hii inamanisha nini shekh

    • @joycekweyu7944
      @joycekweyu7944 11 місяців тому

      Hata mmi nieota hivyo leo inamanisha nni

  • @pendomwahalende4869
    @pendomwahalende4869 4 місяці тому +1

    Mimi nililala nnje ya ofic yangu Leo majirani wananiambia nyoka Wa kijani kanitambaa mwilini alafu kaenda zake waliogopa kunistua wakamuacha aende maana yake Nini hii😢😢

  • @saudamushi841
    @saudamushi841 11 місяців тому

    Mm nimeota mtu anamsukumia nyoka wa kijani miguuni kwangu Kila nikikimbia anakujanae na kumsukumia miguuniwangu

  • @yohanangaram
    @yohanangaram 6 місяців тому

    mimi nimeota nyoka wakijani ananifuata fuata namimi namkimbiza hapo ina maana gani shekh

  • @zakiamahfudh6079
    @zakiamahfudh6079 Рік тому +2

    Aa mimi nimeota nyoka wa kijani lakini walikua wengi nikawa nina hofu kubwa

  • @issaommy9585
    @issaommy9585 Рік тому +1

    Miye juzi nimeota nyoka wa kijani mdogo na mwembamba

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  Рік тому

      Samahan ndoto binafsi nifate Whatsap 0652286323 shukran

  • @alodialeonidas9643
    @alodialeonidas9643 Рік тому +1

    Je. Ukimuona nyoka wa kijani yuko pembeni ya ulipo lala tafusiri yake ikoje

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  Рік тому

      Ni uadui wa kijinni

    • @HassaniMchomvu
      @HassaniMchomvu Рік тому

      Mimi nimeota nimeng'atwa na nyoka wa kijani sielewi kwann na hii ni mara ya pili naota hivi

  • @salhabeautybashiru8393
    @salhabeautybashiru8393 8 місяців тому

    Shekh samahani mimi nimeota nyoka wa kijani afu anakichwa cheusi yoka huyo alikua katika chumba cha mama yangu kitandani baada ya kuingia tu yule nyoka alikimbia katika dirishani na badae aligeuka na kuniangalia nilivyozidi kusogea nae alikimbia na kujificha huku akitoa kichwa chake na kuniangali hii inamaana gani nisaidiee