Ukiota Na Nyoka Wa Rangi Hizi 4 Zina Manisha Nini?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2022
  • Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 55

  • @inongee1141
    @inongee1141 Рік тому +3

    AMEN AMEN 🙏🙏

  • @missttruth1334
    @missttruth1334 Рік тому +2

    Wimbo mzuri sana,barikiwa sana mchungaji

  • @clementinaurasa3183
    @clementinaurasa3183 Рік тому +2

    Amen Mungu amfunue mchawi anaenisumbua ktk familia

  • @miriamndunda4459
    @miriamndunda4459 Рік тому +1

    Thank you baba mungu akubariki kwa maarifa

  • @annambossa9202
    @annambossa9202 6 місяців тому +1

    Kabisa mtumishi barikiwa sana

  • @teresiajumwaamosteresiajum7667
    @teresiajumwaamosteresiajum7667 10 місяців тому +1

    Amen Amen and amen

  • @faith-eu2dc
    @faith-eu2dc Рік тому +2

    Amen barikiwa Sana

  • @user-bt9uy5wn8y
    @user-bt9uy5wn8y Місяць тому

    Mtumishi ukiota nyoka WA gord anaingia sehemu za Siri inamana gani

  • @JumaMasanja-zd6wu
    @JumaMasanja-zd6wu 2 місяці тому

    Mchungaji naomba niombee nateseka nandoto zanyoka wiki nzima Leo nimeota mwanangu kag.atwa nanyoka mkononi nyoka alikua kwenye mti

  • @abigaelbarasa2750
    @abigaelbarasa2750 Рік тому +1

    Praise God,,,nabarikiwa sana

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 Рік тому +1

    Nabarikiwa sana na hio tenzi

  • @DorcasAtieno-si3ig
    @DorcasAtieno-si3ig 2 місяці тому

    Ukiota nyoka mweusi na ana mstari mweupe amepanda juu ya paa na akashuka chini na vile alishuka nikaona panya mkubwa anatambaa

  • @clementinaurasa3183
    @clementinaurasa3183 Рік тому +2

    Shalom mtumishi

  • @saudakashelente1826
    @saudakashelente1826 Рік тому

    Ubalikiwe sana ukiota nanyoka wa nyano wengi wakakugonga ukipita njia yapoli

  • @fatmag8983
    @fatmag8983 Рік тому +1

    Ameen

  • @elizabethdavid7778
    @elizabethdavid7778 Рік тому +2

    Niliota na mama mndogo, nyuma yake kulikuwa nyoka nyeusi amelala.inamaanishaje

  • @rithaonaely-mq2mw
    @rithaonaely-mq2mw Рік тому +1

    Rangi ya ugolo

  • @joyceabraham1093
    @joyceabraham1093 Рік тому +1

    Nabarikiwa kutoka Tanzania, Nina mambo mengi mno ya kuuliza, huenda ningepata namba yako ya what's up ingekuwa vyema zaidi

  • @clementinaurasa3183
    @clementinaurasa3183 Рік тому +1

    Ukiota unapita sehemu kuna shimo la karo wakati umeruka ghafla likabomoka upande lakini nilishavuka.

  • @joycenasieku8374
    @joycenasieku8374 Рік тому +2

    Niliota nataka kuonga, mama fulani akanitokea sikuonga. Inamaana gani???

  • @khaledotibi3706
    @khaledotibi3706 Рік тому

    Nini maana ya kuota ety unaskia nyoka kisha ety ukaiona Kubwa nyeusi ikapita qwa miguu kitadani, ikaanza kutoa sauti na mimi nkaanza kushout nkiita mungu, ikatabaa ikaeda, nkaamka n doto

  • @RehemaMdoro
    @RehemaMdoro 2 місяці тому

    Ukiota nyoka anarangi nyingi inamaana gan?

  • @HMOZ872
    @HMOZ872 Рік тому

    Nimeota mwanaume amepepa nyoka mbili ya kijani na brown but ziko na msitari Moja kutelemuka rangi ya Gold, brown mkono wa kulia na kijani mkono wa kushoto

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Kahawia

  • @BoraMwanjemi
    @BoraMwanjemi 6 днів тому

    Maji ya kunde

  • @clementinaurasa3183
    @clementinaurasa3183 Рік тому +1

    Sauti iko sawa kabisa

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Brian ni kahawia au Rangi ya kahawa

  • @joyceabraham1093
    @joyceabraham1093 Рік тому +1

    Nimeota nyoka akitokea kwenye kisogo Cha mme wangu sijui maana yake

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      ua-cam.com/users/liveh6j4DtVcbTU?feature=share

  • @JoyceChapanga
    @JoyceChapanga 5 місяців тому

    Kaha wiya

  • @fatmag8983
    @fatmag8983 Рік тому

    Baba namm nimeota nimeumwa nanyoko mweusi kwenye mkon wangu lkn kabra hajaondok nilimshika namm nikamuuuwa yule nyoka mn yak nini baba

  • @rosemmary6652
    @rosemmary6652 4 місяці тому

    Ni rangibya kahawia au udongo

  • @ainiceomweno7123
    @ainiceomweno7123 Рік тому

    Niliota mara ya kwanza nikiokota sindano ya kushona nyingi,tena mara ya pili nimeita napatiwa sindano nyingi na mtu sijui🤔 nizaidie kujua hii msg please mtumishi

  • @joycenasieku8374
    @joycenasieku8374 Рік тому +1

    Dady nini maana ya kuota na mbuzi

  • @AdrianaSepapha-fn8sy
    @AdrianaSepapha-fn8sy 10 місяців тому

    Nimeota nyoka wa kahawia

  • @SeasamwelRobert-op5wj
    @SeasamwelRobert-op5wj 9 місяців тому

    Inaitwa kahawia

  • @joyceabraham1093
    @joyceabraham1093 Рік тому +1

    Brown, ni kahawia

  • @moyozuberi5364
    @moyozuberi5364 11 місяців тому

    Ukiota nyoka wa kijani amekufa inamaana gani?

  • @merrymassa-hi6iy
    @merrymassa-hi6iy Рік тому

    Rangi ya ugoro

  • @sariakamnde3969
    @sariakamnde3969 Рік тому +1

    Hauta Weza Kuzisoma Zote !

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      @Sarah Kamande nifuatilie kila usiku saa mbili nikiwa live nitakujibu vizuri

    • @joycenasieku8374
      @joycenasieku8374 Рік тому

      Paster mi niliota nashika nyoka kubwa na mkono nikaigogesha chini ikafa. Pia nikaona nyoka mwingine Akiniangalia sikuogopa.

  • @carolyneingaza3622
    @carolyneingaza3622 Рік тому

    😢

  • @moshially2543
    @moshially2543 Рік тому +1

    Umenichekesha mchungaji 🤣🤣🤣 blowin ni kwaswahili ni ugoro

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 Рік тому

    Nabarikiwa sana na hio tenzi

  • @joyceabraham1093
    @joyceabraham1093 Рік тому +1

    Nabarikiwa kutoka Tanzania, Nina mambo mengi mno ya kuuliza, huenda ningepata namba yako ya what's up ingekuwa vyema zaidi

    • @irenemwanri3023
      @irenemwanri3023 11 місяців тому

      Hello uliweza kupata msaada au namba ya Rev. Easy way subscribe utapata notification na akiwa live utaweza andika ndoto na utajibiwa

    • @SalomeFrenk-wz1ep
      @SalomeFrenk-wz1ep 11 місяців тому

      Nimetoka napita kando ya mto nikakutana na joka kubwa jeusi likawa linatoka Kama kunifata pia Kuna mtu katokea kaliita kwamuito Fulani IV likaalisha kunifata Mimi likawa linaelekea kwingine nikawa nashtuka

    • @irenemwanri3023
      @irenemwanri3023 11 місяців тому

      @@SalomeFrenk-wz1ep subscribe kwa channel utapata jibu live Rev akiingia live