SIRI KUBWA UKIOTA UNA KULA . SEH 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2023

КОМЕНТАРІ • 25

  • @NINAZOHABARINJEMA-cd5ke
    @NINAZOHABARINJEMA-cd5ke Місяць тому +1

    Unafanya kazi nzuri sana mtu wa Mungu endelee mbele zaidi.

  • @mercymuthonindumbi4306
    @mercymuthonindumbi4306 3 місяці тому +1

    Asante mtumishi WA mungu

  • @ardnydiaofficial2778
    @ardnydiaofficial2778 2 дні тому

    Nimepata nakula dagaa kavu msikitini naugali

  • @PrivaAsenga
    @PrivaAsenga 2 місяці тому

    Mchungaji nahomba unisaidie niliota ndoto nipo nyumbn. Kwa baba baba hangu alikuwa na mama mdogo achan namama hangu mahan mzehee alikuwa na wake wawili Sasa alishann na mama hangu Sasa nikahota ndoto mama mdogo ananiambia ningize godoro ndann nikaingiza like godoro ndann nehee kaleta godoro lake akaingiza ndan like godoro aliloingiza mama mdogo lili kuwa kubwa kuliko like lakwangu bahadae yahapo ndoto iyoiyo ikabadilika nikawanipo na baba nilibeba kuni kichwan bahadae nikatuwa zilekuni kuweka chini zilekuni zilibadilik na kuwa miwaa akajitokeza moto mojaa nikamgawia miwaile nikamwambia ampelekehe baba mahababa alikuwa amekaha kwenye pikipik bahayaapo moto akarudy nikamega Ile miwaa kummenyea ilemiwa Kisha nikabeba miwaa zilezingine nakazifunga vizury kishaa nikabeba kichwan bahadayahapo kumbuka nindoto iyo ikabadilika nikahona mlima kilimjaro jinziulifyo nikawa nimeamka kwaiyoo Mchunga zijuwi atamahan yaiyo ndoto nanimarakibaho nahota mlimakilimanjo nasijuwi kwann iyondoto inajirudia ifyo...?

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 27 днів тому

    Mimi nimeot natafuta Kivuli kila Kivuli nilikuwa natak kukaa bado kuna jua badae nikaja nikapat Kivuli chenye utulivu tukaa pale tukal chakula

  • @philomenahnyambura75
    @philomenahnyambura75 10 місяців тому +2

    Shalom mtumishi wa mungu

  • @SarahAbuliOtienoOtieno
    @SarahAbuliOtienoOtieno 10 місяців тому +2

    Asifiwe mtumishi

  • @honosilayo3356
    @honosilayo3356 10 місяців тому +2

    Shaloom Dady sauti iko sawa

  • @tumainisamweli260
    @tumainisamweli260 10 місяців тому +1

    Amina mtumishi barikiwa sana

  • @elishasande4640
    @elishasande4640 9 місяців тому

    Nisaidie maana nimeota nikawa shuleni halafu niko naviazi vitamu

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 4 місяці тому +1

    Asante ubarikiwe

  • @user-bh8gy3pe9o
    @user-bh8gy3pe9o 10 місяців тому +1

    Amen n ukiota mkiwa wanne n mnakula cake

  • @ProsperMichael-mj9qe
    @ProsperMichael-mj9qe 2 місяці тому +1

    Pastor Namba za simu

  • @user-ms6sl2sk5z
    @user-ms6sl2sk5z 10 місяців тому +2

    Asifiwe daddy

  • @ElizabethOmutanyi
    @ElizabethOmutanyi 10 місяців тому +1

    Shalom 🙏🙏

  • @clementinaurasa3183
    @clementinaurasa3183 10 місяців тому +1

    Shalom

  • @SamiaMsangi-jw5et
    @SamiaMsangi-jw5et 10 місяців тому +2

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi. Mm niliota mama yangu amenipa mafuta nikanywa nikameza, nn maana ya hii ndoto?

  • @joyceshiyo7257
    @joyceshiyo7257 10 місяців тому +1

    Jamani me nimeota naambiwa Nile nikimaliza nitayona ufale wa mbingu na nilikuwa na engine nikawa anakula haraka ili nimalize mapema

  • @nanyoraireuben8807
    @nanyoraireuben8807 10 місяців тому +1

    Shaloom Leo nimeota kijana mmoja yupo mtaani kwetu mwendawazimu kdg akinipa gift iko kwenye box ,,nkaamka na furaha sana nn maana yake?

  • @mareh18
    @mareh18 10 місяців тому +1

    Bwana asifiwe! Na ukiota mpenzi wako wakitabo anakupeleka kwa hotel na anakununulia supu na nyama! Alafu unasikia io supu ikiwa tamu sana! Inamaanisha aje?

  • @user-wz9iu2ld1f
    @user-wz9iu2ld1f 10 місяців тому

    Bibi ya Ex wangu aliangusha funguo ya nyumba ya Ex kwa ndoto nikaokota inamanisha Nini prophet?

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 10 місяців тому +1

    Bwana asifiwe baba