NINI MAANA YA KUOTA UKIFANYA MTIHANI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • NDOTO HII IKO NA SEHEMU MBILI UNAFAA KUELEWA

КОМЕНТАРІ • 48

  • @marianyevu7687
    @marianyevu7687 Рік тому +2

    Asante xana mtumishi wa mngu ubarikiwe umeniinua cz nlikua napitia hio hali

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @Nancyopailo
    @Nancyopailo Рік тому

    Thanks,,nimejua maana ya ndoto yangu ni ya confusion,, mungu nisaidie kutokapo Ili nifanikiwe

  • @ShaniaKing-o5d
    @ShaniaKing-o5d Місяць тому +1

    Mi maranyingi naota niko safari na mmewangu ye anashuka njiani, mara hii nimeota kashuka njiani nikaendelea na safari pekeangu nikapata shida kwa muda mfup nikaenda china wanajui kiswahili nikapelekwa darasa kujifunza kichina mara hiyo hiyo nimefundishwa wakashangaa nimeandika vizur kuwazid wenyeji, nyingine niliota tulikua kwenye usafir wa tren mimi na mme wangu tumebeba mfuko wa hela tuliopata kwa shida kuna mwanamke akachukua kitu changu akashuka nikamfata kuongea nae ile nashuka treni ikaondoka ikaniacha kati kati ya safari na mmewangu akiwa ndani ya treni inamana gani naomba kujua

  • @CharlesLiunga
    @CharlesLiunga Рік тому +1

    Naota nafanya vizuri na pia na jibu Mtihani halaka Sana kwa Usahii, Tatizo Linakuja Mimi najua nimemaliza Ila Akija Msimamizi Naona kuna kalatasi Sijajibu Afu naziweza kujibu ila Out of time.

    • @omaryahya337
      @omaryahya337 7 місяців тому

      kama mambo unayapa nafasi sana katika Maisha yako na siyakumpendeza mungu 😂 ubarikiwe

  • @clarispendo8556
    @clarispendo8556 2 роки тому +4

    Mm naota nafanya mtihani but kunamtu huwa wanisaidia maana yake ni nn

  • @teresiajumwaamosteresiajum7667

    Amina Amina

  • @hildageorge1781
    @hildageorge1781 2 роки тому +1

    🙏🙏🙏 Ndoto hiyo inanijia sana na niliota nafanya mtihani na watu wengi nisio wajua na sikumaliza nikasaidiwa kumalizia mtihani

    • @saudaally6071
      @saudaally6071 Рік тому

      Duuh ndoto kama yangu nilieota jana sikumaliza nikasaidiwa na rafiki yangu tena walimu walituletea majibu na me ndo nikiwa mgawaji wakugawa viboot kwa siri darasani

    • @josephhalinga6161
      @josephhalinga6161 8 місяців тому

      Bora wewe uliesaidiwa mimi sikumaliza wala siku sub mit

  • @AliceWambui-m6f
    @AliceWambui-m6f Рік тому

    Hallo mtumishi wa mungu na ukiota unafanya mtihani lakini unaibia inamaanisha aje

  • @gracecharles4504
    @gracecharles4504 5 місяців тому

    Mimi naota napenda kwenye mtihani sijajiandaa Niko worry sana maana sijui chakufanya au nipo kwenye mtihani nikaa tu au nahangaika tu sijui Cha kuandoka Hadi muda unaisha

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 19 днів тому

    Naomba mnisaidie hili,nimeota nimemaliza kidato Cha nne na ninafanya sherehe lakini kwenye sherehe Mimi nilijitenga na wenzangu maana yake Nini nisaidie

  • @Atu966
    @Atu966 Рік тому

    Bwana YESU asifiwe mtumishi wamungu, Mimi nimeota napewa ripoti ya mtiani. Nisaidie maana yake mtumishi.

  • @zawadimbiro1596
    @zawadimbiro1596 6 днів тому

    Nisaidie mtumishi nimeota leo nipo na watu nawahimiza tusome kwa bidii kuna mtuhani mbele..nikawa natafuta matirio kwa juhudi zote ili nisifeli maana tafadhari

  • @ZUHURASEIF-v1j
    @ZUHURASEIF-v1j 2 місяці тому

    Mm naota niko darasani nawenzangu lakini kbl sijaufanya huo mtihani
    Nina amka

  • @hellenjemeli4971
    @hellenjemeli4971 Місяць тому

    Mtumishi Niliota ndoto niliulizwa swali nikajibu nikifaulu inaamanisha nini

  • @abisalomobudho5298
    @abisalomobudho5298 Рік тому +1

    Je,ukiota unapaa juu angani Kwa kasi Sana inamaanisha Nini.Nimeota ndoto hi Mara Mingi Sana.

  • @winnyatieno2074
    @winnyatieno2074 Рік тому

    Aki Mimi nliota tuko wengi tunafanya mtihani lakini wenzangu wanapewa majibu na mwalimu ila Mimi pekea yangu ndio nangangana Kisha nikakasirika nikampiga mwalimu na sikumpa karatasi yangu

  • @Diana-qx5qf
    @Diana-qx5qf 2 роки тому +2

    Ukiota watu Wenye unafanyia kazi ya nyumba kila mala

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 7 місяців тому

    Mimi naonaota nipo university nataka kufanya mtihani lakini naacha .juzi nimeota nimefanya mtihana zaidi ya 70%nikacha nikaenda kwenye activities nyingine sijakusanya hata huo mtihani

  • @sugarthompson9369
    @sugarthompson9369 Рік тому +1

    Nimeota nafanya mtihani lakini ambao ni geography lakini kuna hesabu nyingi nikasema kwa nini una mahesabu mengi alafu pembeni yangu kuna mtu akawa hawezi kufanya mtihani akawa anaangalia kwenye daftari nikamtetea wakamfutia ila mimi niomba nifanye special huo mtihani kwa kuona ni mgumu

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Inakuonyesha kuwa wewe ni mtu wakutaka mabadiliko fulani kufanyika haraka, (Geography) maths ina kuonyesha kuna old habit lazima ushugulikie haraka.

  • @SelinaSulle
    @SelinaSulle 5 місяців тому

    Ninaotaga nafanya mtihani lakini siwezagi kupata jibu hata la swali hata moja mpaka muda unaisha maana yake ni nini naombeni mniombee hiyo hali ikae sawa

  • @JoynessSweetbert
    @JoynessSweetbert 11 місяців тому

    Me niliota tupo kwenye chumba cha mtihani,tupo madarasa manne yaaan darasa la saba,form 2,form 4 na chuo tumepewa mitihan ila wakangu naona karatasi jeupe ila maandishi sikuweza kuyaona nikashituka,

  • @Faithinchrist-4713
    @Faithinchrist-4713 Рік тому

    Niliota sijasajiliwa mtiani wa mwisho nikaona naenda kwa mwalimu akanisajili lkn sikumpata mwalimu nikawa na hofu sana

  • @vallentinemideva3557
    @vallentinemideva3557 2 роки тому +1

    Aki sikufanya mtiani wa form 4 lakini nliota naarakishwa niende kufanya uwo mtiani . Sasa vnye nlikua njiani nkielekea darani nkashtuka kwa ndoto ilikua na maana ngani tafadhali naomba nijue maana yake

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому +1

      @ valentine mideva ni kama ukumaliza mtihani ni failure in life.

  • @naomyndopi5355
    @naomyndopi5355 Рік тому

    Hallo sir , what about nikiota ndoto kukataa mtihani

  • @venerandapeter6222
    @venerandapeter6222 Рік тому

    Jimeota nilikuwa na watu nisio wajua tukaingia kwenye chumb kilicho wazi tukiwa tunaongea na kucheka akaja mtu akaleta mitihani ila nilipokuwa naangalia mtihani wangu nikaona majibu ya mashwali ya mtihani yapo kwenye kalatasi ya pili kabla sijaanza kufanya mtihani nikashituka nn maana yake nisaidie

  • @naomipeter4204
    @naomipeter4204 Рік тому

    Nmeota nafanya mthian lakn nkasahau kuandika jina,piah nmeota nafanya mthian Mara karatasi ikapotea nkarudia nkamaliza lakn nikasahau kuandika jina

  • @Mamantontine
    @Mamantontine 4 місяці тому

    Kila Mara nalotaga nafanya mtihani

  • @clemencymunisi
    @clemencymunisi Рік тому

    Ukiota unakimbia kwenye njia yenye vilima na miteremko

  • @DignaMrema-w9x
    @DignaMrema-w9x Рік тому

    Ukiota unafanya mtihani alafu unakosekosea Sana kuandika

  • @hellenngecho5776
    @hellenngecho5776 2 роки тому +1

    Ukiota unafanya mtiahini na umesahau majibu yote inamanisha nini

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому +1

      @Mwamini Salingo ina maanisha utapitia magumu maishani itakuwa siyo rahisi kufaulu kwa kile una fanya. Napia inaweza ika kufanya kupitia shida kwa kipindi kirefu maishani

    • @clemencymunisi
      @clemencymunisi Рік тому

      Nimeota nakimbia kwenye njia yenye milma na miteremko

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 Рік тому

    Niliota nafanya mtihani tu wala sikujua niandike nn kwenye mtihani na niliusoma sikuelewa

  • @puritymolly3512
    @puritymolly3512 Рік тому

    Aky mm naota katika huo mtihani bc sielewi kabisaa maswali

    • @omaryahya337
      @omaryahya337 7 місяців тому

      Ni ishara ya kutofanikiwa katika Maisha yako 😢 ni muhimu kurejea kwa mungu na kutaka msaada bwana asifiwe

  • @zainabmutua9494
    @zainabmutua9494 Рік тому

    Nimeota nilifanya mtihani nikakosa yote 😢

  • @susanopaye3837
    @susanopaye3837 Рік тому

    Niliota niko shule na nimepewa kazi na mwalimu mkuu kuandika majina na namber yenyo wamepata inaaanisha

  • @CharlesLiunga
    @CharlesLiunga Рік тому

    Naota nafanya vizuri na pia na jibu Mtihani halaka Sana kwa Usahii, Tatizo Linakuja Mimi najua nimemaliza Ila Akija Msimamizi Naona kuna kalatasi Sijajibu Afu naziweza kujibu ila Out of time.