NDOTO ZINA HASHIRIA HAUTA ENDA MBALI MAISHANI. (PT2)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024
  • Ігри

КОМЕНТАРІ • 5

  • @dorcassmarco3425
    @dorcassmarco3425 19 днів тому

    Bwana yesu asifiwe mtumishi ndoto zote ulizozitaja mm kila siku huwa naziota 😭😭😭😭

  • @AishaAbdikadir-xc4yr
    @AishaAbdikadir-xc4yr 17 днів тому

    Nashiukuru mungu nauliza kama unakua na maono na yalr maono umeyaona inatimia unapaswa kusema juu mm nakuanga na maono na inatetrka kwa araka

  • @mercygonah6111
    @mercygonah6111 19 днів тому

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu ... Siz yangu yuko na mimba ya seven month na ameota anamwambia jirani yake wa kike kuwa amechoka kumbebea mimba..achukue mwenyewe na mimba akatoka kwake ikaenda kwa jirani yake ....tena siku jirani yake alipozaa..mm ndio nikawa namnyonyesha..adi bwanake siz akawa ananifanyia shopping juu ya uyo mtoto.... Tena akajikuta kwenye umati wa watu na yule jirani, jirani akawa yualalamika yuasema ni juzi tu alizaa na sai yuko na mimba ingine ya months... sis anasema alikua na uchungu sana juu maziwa yanatoka na hana wa kunyonyesha....akaenda sokoni watu wanamuuliza ulizaa kwani ??na mtoto yuko wapi,,hajui ajibu nn.....hana la kusema....nisaidi plz mtumishi wa mungu 🤝

  • @IssaSung
    @IssaSung 15 днів тому

    Mtukufu je ukiota umechota maji mtoni ndoto hiyo ina ishara gan

  • @AishaAbdikadir-xc4yr
    @AishaAbdikadir-xc4yr 17 днів тому

    Hii maono yanikunjia wowote kama nafanya kazi nashikwa na usingizi wa ndakika unanisumbua nikienda kulala naonyeshwa au kupittia sauti arafu chochote kimenikunjia animalisti wiki mbili ninyamase au niseme