KUPINGA MADAI YA KUITWA MRONGO NA MUSHRIK SAYYID JAFFAR AL BARZANJI NA BACHU NA POTE LAKE | USTAD…

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • KUPINGA MADAI YA KUITWA MRONGO NA MUSHRIK SAYYID JAFFAR AL BARZANJI NA BACHU NA POTE LAKE | USTADH SAID SHIRAZY NA BACHU

КОМЕНТАРІ • 610

  • @hassanmangalekassim2951
    @hassanmangalekassim2951 11 місяців тому +10

    Allah akuhifadhi sheikh wangu sheikh said pamoja na wale walio kufundisha na wote walio shughulikia huu munaqasha..........wasia wangu mwambie aje Paige goti kweli kweli kwako sio kwa ustadh wako aliee kufundisha....nacho macho kodooooooooooo msaniiiiiii huyo kama ni kweli aseme sijui tu angeona mambo ambayo hajawahi yaona

    • @ussihamza-xn7bx
      @ussihamza-xn7bx 11 місяців тому

      Sheikh Saeed Hamna Kitu Huyo ni Sheikh wa Ubwa bwa, Hana Elimu Kabisa.

    • @ahmedkhamis123
      @ahmedkhamis123 3 місяці тому

      ​@@ussihamza-xn7bx acha ushabiki fuatilia

  • @maimunashariffathman2073
    @maimunashariffathman2073 11 місяців тому +11

    Allah akulinde na kuzidishie elmu Ustadh Said Omar

    • @sadih5333
      @sadih5333 11 місяців тому +5

      Yes amzidishie elimu,alionayo haitoshi kwa mijadala ya kidini.

    • @samiinali1359
      @samiinali1359 11 місяців тому +2

      Alikuwa mswahilii,,,c msomii wakuchanganua maswala ya diniii

  • @zainulabidiendhulfikar7398
    @zainulabidiendhulfikar7398 11 місяців тому +7

    Mashallah hoja isimamiwe lazima ujib kielim na hoja ya mada iliyopo athibitishe huo uongo wa barzanji thibitisha ..naona kama kweny mas ala ya Hadith hamna jambooo.. mgonjwa kapata dawa

    • @user-cu8xc5yl9x
      @user-cu8xc5yl9x 11 місяців тому

      Unajua watu wanakoseaa kitu kimoja labda napenda kusema kuwa labda hawajui Kwa sababu mtu anapokuja na shutma kumshutumu mtu kwanza anatakiwa alete ushahidii ya kwamba hizoo ni shutma za kwelii yaani aoneshe dalili ! Anachokifanya bachu yeye anatuhumuu kitu lakini dalili ya kutuhumu hanaa ndio maana mzozo unatokea hapooo ! Maneno ya sayyidna ABUU bakar anasema yule anaeleta tuhumaa lazima alete ushahidii kwanza kabla ya ya yule anaeshutumiwa au anetuhumiwaa ! Nisawa inawezekana kwenye kitabu Cha maulidi kinamakosaa Kwa sababu kile sio qur Ani ila lazima bachu kwanza athibitishe kwamba kweli kunamakosa ! Yeye anachokifanya bachu anasoma sentensi zilizomo kwenye kitabu tu kishaa anadai kuwa ni uwongoo na wakati Hana ushahidi ya kwamba ni ya uwongoo !

  • @DivNg27
    @DivNg27 11 місяців тому +12

    MashaaAllah. Tuache Ushabiki... sheikh said alikua amejiandaa kielim,na alikua na lengo la kumaliza huu mjadala kabisaaa..kielim...na ndio mana alikua anataka kila Nukta ijibiwe then ndio mjadala uendelee..sasa Bachu akawa hataki kumaliza Nukta...anakimbikimbia Tu...sasa Bachu alipaswa kujibu lile swali then waendelee kama Mwenzake alivyojibu na kukubari kwamba hadith ni dhaifu then akamuuliza swali ambalo Bachu akawa anarukaruka..ili waendelee..

  • @hassanmangalekassim2951
    @hassanmangalekassim2951 11 місяців тому +5

    Sheikh faadhil..... Allah akuhifadhi endelea kuwatoa vigogo wengine wengi tu kama ustadh said

    • @samiinali1359
      @samiinali1359 11 місяців тому +2

      Kigogo wa kupiga piano

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 11 місяців тому +1

      @@samiinali1359HasbunaALLAH wa ne3mal Wakeel.
      Vigogo waliosoma na wanaojua kumsifu Mtume (SAW) na kumtetea.
      Ustadh Faadhil anaendelea kutoa vigogo MashaALLAH. 😊

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +6

    Bora Ustaadh Mazinge na wenzie wanafanya kazi nzuri ya kuwaelimisha Wakiristo na kuwa Waislaam.

  • @basmabasma6287
    @basmabasma6287 11 місяців тому +10

    Sheikh bachuu Allah yahfadhak.ameen.
    U nailed it.

    • @JumaSaria-jv4ej
      @JumaSaria-jv4ej 11 місяців тому

      Mmmh uyo mwanafunzi wa cbc

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому

      Bachu muongo

    • @AlwiMohammed-ej3qq
      @AlwiMohammed-ej3qq 11 місяців тому

      Bachu sio muongo....ila mafhum ya upinzani sio fasaha kufahamu.

    • @samiinali1359
      @samiinali1359 11 місяців тому +2

      Hao wamebashiriwa giza ,,hawaoni hakki,,Allah awaongoze waingie kwa hakki waache maulid

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 11 місяців тому +13

    Allah akuzidishie hekima na elima shekh Sayd umeweza kumtuliza bachu ❤❤❤nakupenda kwa ajili ya Allah bachu hatumii elimu anatumia akili ake inavomtuma

    • @aminahmed678
      @aminahmed678 11 місяців тому +3

      Sheikh said alipigwa 3 bila

    • @sadih5333
      @sadih5333 11 місяців тому +3

      Hapana wewe unakichwa kibovu kuelewa nini mantik ya huu mdahalo.

    • @salimasalim405
      @salimasalim405 11 місяців тому +1

      @@sadih5333 uyo shekhe wako mwenye kichwa kizima angejibu swali chenga nn ww

    • @samiinali1359
      @samiinali1359 11 місяців тому +2

      Kwa nini mada ibadilishwe,,ni kwamba aliogopa hakki kubainishwa na kuwa matwarika mutafedheka

  • @samxx411
    @samxx411 11 місяців тому +3

    Nimependa hapo mwisho mlimsifu mtume atakaenuna na anune na kama dhambi tuacheni tumuachie Mungu ndie hakimu. Mashallah

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf 11 місяців тому +2

      Acha upuuzi wewe huwezi kufanya dhambi

    • @sulekomesha2931
      @sulekomesha2931 11 місяців тому

      Kuwa ni mwenyewe busara hakuna anaepinga kuswaliwa Mtume hata mmoja ila kuzusha kitu hakipo kwenye dini Wala sera Wala Hadith.. Aya ya mwisho ya Quran insaema hakika Leo nimewakamilishia dini yenu.... Iweje Leo aje sheikh asema huu ni mwezi mtukufu? wakati Quran haikutaja kwenye ash hurul hurum? Mbona akifariki baba au mama hatufanyi sherehe ya mazazi au birthday siku ya kuzaliwa kwako kwani Fatima na Aisha na vipenzi wote wa Mtume hawakuitambuwa siku ya mazazi ya bwana Mtume? Iweje sie ndio tufanye sherehe kwani sie twaweza kumpenda zaidi ya mkewe na mwanawe na maswahaba wake..? Tuweni na busara Allah kutupa akili tuzitumieni hakika kesho tutakwenda ulizwa hakukujilieni muonyaji? wabillahi Tawfiq

    • @samxx411
      @samxx411 11 місяців тому

      @@JabirHaji-vj2nf yaani mie mpuuzi sio sawa wewe mwerevu ushaingia peponi

    • @samxx411
      @samxx411 11 місяців тому

      @@sulekomesha2931 Mi nadhani kaka tusirushiane maneno haya hayana maana, kwa Mungu mbora ni yule anaejinyenyekeza zaidi kwake mimi na wewe hatumjui nani ila Allah anajuwa, hivyo cha muhimu tuzidishe kujinyenyekeza kwa Allah ili tukaipate pepo mana hakuna mwenye uhakika baina yetu, mi nadhani kama unahisi kumsifu mtume kwa maulid hakufai sawa hakuna tatizo ila mimi nahisi inafaa, hata mimi kwa upande wangu upigaji wa dufu siukubali ila kumsifu mtume tu nitaendelea tu nadhani tustahamiliane ndio muhimu.

    • @samxx411
      @samxx411 11 місяців тому

      @@JabirHaji-vj2nf naam wewe ni malaika hufanyi dhambi Mungu akuzidishie

  • @issamwakinyo3203
    @issamwakinyo3203 11 місяців тому +2

    Maashallah sheikh Said Allah akuhifadhi Kwa pamoja na walimu waliokufundisha

  • @DivNg27
    @DivNg27 11 місяців тому +9

    Sheikh said katulia sana Wallah

    • @aminahmed678
      @aminahmed678 11 місяців тому +2

      Hapa kawezwa vizuri sanaa

  • @ayauii
    @ayauii 11 місяців тому +2

    Said aulizwa suala mimba ya mtumi ilipoingia wanyama walizungumza hanajawabu .amebadilisha mada.nawakaanza ekting zao na kujipa ushindi hili jawabu nililingojea kwa sikunyingi wamefanya fujo na kuanza kulia kama mwanamke kumbe ana mambo yakitoto.hawa niwarongo nitaanza kusoma vitabu vakiwahabi hawa niwakweli waonekana wafuata mwendo wamtumi .kila kitu lazima kwa ushahidi.bachu shukran kwa kutuilimisha

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf 11 місяців тому +1

      Uhakika shekh hata hoja hana said omar

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 11 місяців тому

      Wewe umekaa Darasani lakini muogope mungu yote haya yanahifadhiwa na utayakuta acha utani na elimu

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 11 місяців тому

      Shekhe Said yupo sahihi kwa asilimia kubwa sana

  • @user-kh8kf6om6s
    @user-kh8kf6om6s 11 місяців тому +4

    Sheikh Saeed yuko juu sana

  • @marhabayarasul377
    @marhabayarasul377 11 місяців тому +15

    Alhamdulilah Alhamdulilah ushindi wa wazi kabisa umepata ust said ashirazy mungu akupe afya taam aamin

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 11 місяців тому +1

      Kweli

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 11 місяців тому +1

      Kabisaaaaaaa

    • @aminahmed678
      @aminahmed678 11 місяців тому +1

      Nani kasema ushindi ni wa Muhammad bachu

    • @samiinali1359
      @samiinali1359 11 місяців тому +2

      Labda amefunze kupiga piano😂😂😂

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf 11 місяців тому +2

    Said mambrui huna hoja hata moja kiswahili hujui huna elimu unatafta umaarufu tu bachu yupo sahihi kabisa unapotosha watu tu lkn allah akuongozeni nyote muijue hakki iko wapi

    • @user-np3br8tk8y
      @user-np3br8tk8y 11 місяців тому

      Wandawazim wapo wengi Kimberly. Kwan ukimsifu mtume unapata hasara gani

  • @SaidAhmed-tc2eo
    @SaidAhmed-tc2eo 11 місяців тому +3

    Shida kubwa ya watu wanaopiga matwari shida wana ugumu wa kuelewa mambo... Allah akuhifadh ustadh bachu

  • @abdullahimukaria1608
    @abdullahimukaria1608 11 місяців тому +4

    الله أكبر برك الله فيك يا أستاذنا سعيد

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf 11 місяців тому +4

    Wanao sapoti hoja za Said omar nyote akili zenu za zikaoimwe mental maana hamuna akili✍️ bachu yupo wazi bwana anaeleza kwa uwazi

    • @swaffaa12020
      @swaffaa12020 11 місяців тому

      Bachu ilkua ajibu tu kama clips zake ziloenea kuwa albarzanji Ni muongo Na ndio alipokwepa alikua kitakacho fuatia Kwa akili yako wewe labda muulize bachu ajua Zaidi Kwa Nini ameondoka

    • @user-np3br8tk8y
      @user-np3br8tk8y 11 місяців тому

      Bachu ni mbishi alobobea kwani akisema sijui ili afundishwe atakosa nn. Ushekhe si kufuga ndevu wee. Ajib swali half aone.. lkn anaona ataumbuka

    • @maalimhemedsalumu
      @maalimhemedsalumu 5 місяців тому

      Huo ni mtazamo wako baki nao mwenyewe

  • @irshadabuhafsi6585
    @irshadabuhafsi6585 11 місяців тому +1

    Kwa usanii MashaaAllah watu wa maulid wamebarikiwa sauti za usanii

  • @aboushuaibally
    @aboushuaibally 11 місяців тому +6

    Wenye macho mmekwisha ona na wenye masikio mmekwisha sikia haki imeonekana ila ushabiki bado umebakia

  • @allyomarysuleiman5232
    @allyomarysuleiman5232 11 місяців тому +9

    Kumbe ndio uwezo wa Bachu uo namba kufanya nae munaqas kwa mada yoyote anayoitaka muhim tufuate vitabu si porojo

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 11 місяців тому +3

    Ust Bachu shukran uko sawa

  • @user-ii8dt7td5l
    @user-ii8dt7td5l 11 місяців тому +4

    Asanteen sana Wana twariika shaaqhaafu

  • @MuslimChannelTZ
    @MuslimChannelTZ 11 місяців тому +1

    Sina elimu yoyote na ninatamani siku moja nipate elimu na mimi lakini...Shekh bachu yuko vizuri sana....swali la shekh saidy liliulizwa bila uthibitisho wowote ilibidi atetee kwanza maadiko kisha ndo ajenge swali kwa usahihi lkn kaleta swali bila wa uthibitisho wa swali lake...sasa maana ya kusoma ni nini...na kwa nini kakubari kwamba ni mnkar nakati alikua hajaelewa ???...nafikilia shekh bachu katengenezewa mazingila ili aonekane hayuko na elimu juu ya hilo....na allah anajua zaidi🙏

  • @athmanshire4768
    @athmanshire4768 11 місяців тому +5

    Mambo yalivoenda sio Sawa ustadh saidi Hamna kitu ukweli usemwe next time tujipange kumueka mtu wa kisawasawa.

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому +1

      Wacha ufala bachu ajibu ki ilimu sio atoe kwenye kichwa chake

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому

      Bachu ndio hana hoja ya kujibu.

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 11 місяців тому +9

    Bachu wacha kutuhukumia tunawaskiza nyote jibu swali maneno ni ya uongo au ni ya kweli sio kuruka huku na kule

  • @HusseinSaid-hb5fr
    @HusseinSaid-hb5fr 11 місяців тому +8

    Ila Muhamad bachu mjanja sana kumbe ndio mana Munaqasha wa tanga yule sabass alikwama. Sheikh sayyd amelifanyia kazi hilo sababu bachu hataki kujadiliana kiilimu bali kiakilia tu

  • @bitijy5694
    @bitijy5694 11 місяців тому +33

    Said wanikunbisha Raila aenda court na lorry zima la vitabu lakini hana ushahidi wowote

    • @muayyadAnnaufaly
      @muayyadAnnaufaly 11 місяців тому +2

      Someni masomo ya lugha kwanza Kisha muje mushindane .majahili wakubwa

    • @issamohamed7079
      @issamohamed7079 11 місяців тому +1

      Irrelevant comparison ....Raila anaingiya wapi hapa?

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 11 місяців тому +1

      MashaALLAH Tabaaraka ALLAH Ustadh Said amekuja na vitabu kidogo katika vyengi mno. Lakini Bachu amekuja na kartasi nyengi kutoka google nafkir ama? 😂
      Ibara tu zinatatiza mwataka kujadiliana kisha 😢

    • @ismailkiza
      @ismailkiza 11 місяців тому +1

      huyo amabae hakuja na lol la vitabu amejib kitugan zaidi ya kukubari kuwa barazanji inahadith thaifu maan yake nimaneno ya uwongo

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 11 місяців тому +2

      Alikaririshwa kauli hii "mimi narudia pale pale😂😂😂" ili munaaqasha uonekane kitoto kwasababu ya utoto wake mwingi

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +5

    Bachu mjanja hana majibu ila anatafuta jamaa ajibu mwenyewe

  • @abdullsalaammahamed9415
    @abdullsalaammahamed9415 11 місяців тому +6

    It was narrated that Ans bin Malik said:
    "The Messenger of Allah (ﷺ) said: 'Whoever gives up telling lies in support of a false claim, a palace will be built for him in the outskirts of Paradise. Whoever gives up argument when he is in the right, a palace will be built from him in the middle (of Paradise). And whoever had good behavior, a palace will be built for him in the highest reaches (of Paradise).'"
    حَدَّثَنَا عَبْدُ الرَّحْمَنِ بْنُ إِبْرَاهِيمَ الدِّمَشْقِيُّ، وَهَارُونُ بْنُ إِسْحَاقَ، قَالاَ حَدَّثَنَا ابْنُ أَبِي فُدَيْكٍ، عَنْ سَلَمَةَ بْنِ وَرْدَانَ، عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ‏ "‏ مَنْ تَرَكَ الْكَذِبَ وَهُوَ بَاطِلٌ بُنِيَ لَهُ قَصْرٌ فِي رَبَضِ الْجَنَّةِ وَمَنْ تَرَكَ الْمِرَاءَ وَهُوَ مُحِقٌّ بُنِيَ لَهُ فِي وَسَطِهَا وَمَنْ حَسَّنَ خُلُقَهُ بُنِيَ لَهُ فِي أَعْلاَهَا ‏"‏ ‏.‏
    Grade: Hasan (Darussalam)

    • @sargentwalker1114
      @sargentwalker1114 11 місяців тому +2

      May Allah bless you brother Amin Amin Amin ya rabb best comment May Allah reward you Amin ya rabb

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +4

    Bachu anaona aibu kwa hao anao wadanganya. Ndio maana kila mara awataja waliokuwa nje. Msanii tu

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +5

    Bachu usijifanye msanii wa kusema hapo.

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 11 місяців тому +6

    Mashallah sheikh Muhammad Bachu umeshinda Allah akuhifadhi

    • @SociedadeSust1234
      @SociedadeSust1234 11 місяців тому +2

      Allahuma Amiin

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 11 місяців тому

      Sri ameshinda 😂

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Ww mwehu amishida nn mnafik sema ukweli japo ni uchungu bachu asome

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Amekimbia bachu kwenye kiti wee twarika sio mchezo

    • @user-nh2wt4yd7w
      @user-nh2wt4yd7w 11 місяців тому +1

      Mnafiki ni babako

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +3

    Usilie umemtetea Mtume maa shaa Allah

  • @swaffaa12020
    @swaffaa12020 11 місяців тому +2

    Vitabu vilikua vya mngoja tu ajibu Bachu uwongo wake Na amelitambua Hilo angejuta yeye asema asomesha Na ust said amsomesha Yeye kila ibara arekebishwa tafsiri Yake

  • @user-yk4mv7ex8o
    @user-yk4mv7ex8o 11 місяців тому +6

    Ustadh said mungu ndio atakulipa inshaAllh

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 9 місяців тому

    Bachu Allah akupe umri, kwa kuwafichua hao wamzushiao Mtume wetu, urongo leo umewanasa

  • @usseneandurabe9733
    @usseneandurabe9733 11 місяців тому +2

    Nyinyi masufi mwaka uu munazalilika bure bachu ni mwana chuoni mkubwa kwaiyo musikae nae kwenye TV nendeni mukasome kwake Zanzibar

    • @chancelorharubu2731
      @chancelorharubu2731 11 місяців тому

      Mwanachuoni anashindwa kujibu swali!

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Ww bachu nani unawazimu na bachu wako mwanachuoni kakimbia

    • @usseneandurabe9733
      @usseneandurabe9733 11 місяців тому

      @@fikafikan8484 bachu amekuja kuwatibu mataira wanaume wanalegea kama majike

    • @usseneandurabe9733
      @usseneandurabe9733 11 місяців тому +1

      Masufi Sibirini jaannam kwa wizi wa vyakula vya mayatima

    • @cheapunderage8228
      @cheapunderage8228 11 місяців тому

      @@fikafikan8484km ww utaa kaa ikiwa mtu anshindwa kujenga hoja wala swali

  • @seifimplex8155
    @seifimplex8155 11 місяців тому +1

    Ukweli kama shekh said unataka kuisaidia umma ungejibu kwa sababu waumini twataka ukweli wa kitu na sio mtu kwani katika kitabu hazungumziwi mtu kinatizamiwa kile ambacho watu upoteshwa nacho hata mtume aliteleza kwa kuifanya halali kua haramu lakin Allah hakumuuhukum yeye ila alihuku kile alikifanya mtume

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 11 місяців тому +1

    Shukran ma ust .

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 11 місяців тому +2

    Nimesubiri huu mjadala kwa siku nyingi ila ningejua itakuwa utoto wa hivi nisingepoteza mda mwangu,huyu jamaa anaetetea maulid hana chochote

    • @user-yb3mz2jg9j
      @user-yb3mz2jg9j 11 місяців тому +1

      Em wew kama umeona hana kitu tuambie hukum yakusema kitu ni uongo imetoka kwa wapokeaji gan?

  • @sadambakari2579
    @sadambakari2579 11 місяців тому +5

    Bachu wawezakuwa umesoma unaelimu lakini ufahamu huna. Ndio maana wazee wetu walikuwa wanaomba dua hiv. Rabbanaa zidinaa ilima waruzuknaafam. Omba Sana dua hii na wenzako kama wewe ufahamu wenu mdogo sana mlichojaaliwa ni ubishi

    • @yusufmohdali2617
      @yusufmohdali2617 11 місяців тому +1

      Subiri khilafa ijee mutajua hamu jui

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 11 місяців тому +1

      Huyo mwenye ufahamu alijibu nini zaidi ya kutapatapa? Vitabu vingi mezani na hajakisoma hata kimoja 😂😂😂

    • @sadambakari2579
      @sadambakari2579 11 місяців тому

      Asome kitabu chanini wakati kaswali Kidogo kahiyo hadith ya point yakwanza ya swali lake ameshindw asa huyo ulitaka asome nn

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 11 місяців тому +1

      Swali lenyewe ni la kitoto
      Auliza kuhusu mtumiaji wa hadithi Dhwa'iyf kuitwa muongo kwani huwa inatazamwa kauli ya mtu au mtu mwenyewe?
      Alafu kwani huyu mtu (Barzanji) ni katika wapokezi wa hadithi Dhwa'iyf hadi tumhukumu kuwa muongo? Hatuna haja na Barzanji ila tunakosoa uongo aliyouandika katika kitaabu chake ili mtetezi wake alitetee kwa dalili
      Mtu akizungumza uongo sio kwamba yeye maisha yake yote ni muongo kwamba ukweli wake wote utatoweka. Kinachozungumziwa hapo ni uongo uliomo katika kitaabu chake alichokiandika yeye.
      Swali liko wazi ila kitoto kilikita na kuganda kukariri swali lisilo la msingi ili kitaabu cha Barzanji kisidhihirishwe uongo wake

  • @menk136
    @menk136 11 місяців тому

    Barakallahu fik ya habibi Sheikh said mola mlez akuweke sanaa katikaa hilo

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 11 місяців тому +4

    Salaamun Aleikum
    Hongereni kwa mjadala, ma sha Allah!
    Ila inasikitisha, mtu anasema "nimekuja kumtetea barzanji" Qur'an iko wapi?? Qur'an inatuambia nini kuhusu hivi vitu. Ila alhamdulillah
    Kama Allah ananavyosema .....
    { إِذَا زُلۡزِلَتِ ٱلۡأَرۡضُ زِلۡزَالَهَا (1) وَأَخۡرَجَتِ ٱلۡأَرۡضُ أَثۡقَالَهَا (2) وَقَالَ ٱلۡإِنسَـٰنُ مَا لَهَا (3) یَوۡمَىِٕذࣲ تُحَدِّثُ أَخۡبَارَهَا (4) بِأَنَّ رَبَّكَ أَوۡحَىٰ لَهَا (5) }
    [Surah Az-Zalzalah: 1-5]
    Hii ndo zalzalah. Sasa.... alhamdulillah nashukuru Allah kwa kuweza kushuhudia..... alhamdulillah. Najua ni mwanzo Tu ila alhamdulillah

    • @MuhamadHatib-bc1kb
      @MuhamadHatib-bc1kb 11 місяців тому +2

      Mashaallah shkh said mungu akubarik na akuhifadh bachu kagonga ukuta Hana ispokuwa kuongea t maneno Hana ushahid wala dalili ya msingi kabbisa

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +2

    Bachuu ujanja huna hapo. Umebakia na ukaidi tu. Na ujeuri mwingi tu. Jibu suali bachu usiruke ruke hapo.

  • @sama-_8368
    @sama-_8368 11 місяців тому +4

    ♥️♥️♥️♥️ hongera Ustadh Said, Umemuweza hadi anakuja kujisomea hapa.

    • @usseneandurabe9733
      @usseneandurabe9733 11 місяців тому

      Cheza na bachu wewe ka kimia

    • @adanalio2625
      @adanalio2625 11 місяців тому

      nyie waislamu kweli ?

    • @FarajiMaulidi-qe5jf
      @FarajiMaulidi-qe5jf 11 місяців тому +1

      Haki haijifichi. Hadiyth dhaifu munkari haitumiki acheni hoja zisizo na mashiko hii ni din

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +3

    BACHU WAJA KEJELI JIBU HOJA. NAONA. USHASHINDWA. UMEBAKIA MIPASHO TU.

  • @MohamedMatata-iu9mm
    @MohamedMatata-iu9mm 11 місяців тому

    Alhamdulilah Bahar juu yabahari huwitwa maji maashaallah Hakika Allah ajalie wepesu katika uwislam

  • @hajrahhamisi7934
    @hajrahhamisi7934 11 місяців тому +2

    Bachu Jibu swali sio Mara Kuku,Mara ng’ombe Mara maziwa Mara mafuta ya taaa😂😂😂😂porojo nying maskin Ila umepata size yako siulisema wewe 1st class halaf naskia ulijikojolea 😂😂😂😂

  • @jumafaki2891
    @jumafaki2891 11 місяців тому +1

    Namshukuru m, mungu kwa kutudhiria ukweli tumefahamu mawahabi wamefedheheka kazi yao ni kupindisha haki lakini leo wamekiona

  • @husseingitonga8921
    @husseingitonga8921 11 місяців тому +3

    Huyu sheikh wenu wa maulidi hana hoja kelele tu na ndio hali yenu.

  • @user-kh8kf6om6s
    @user-kh8kf6om6s 11 місяців тому +3

    Bachu hana lolote😂😂😂
    Sheikh Said ameshinda mjadala kwa urahisi sana

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 11 місяців тому +2

    Hivi sheikh said mbona umeshinwa kutetea uwongo uliopo kwenye barzanji

  • @aliramadhan-bo1wr
    @aliramadhan-bo1wr 11 місяців тому +6

    Hilo swali jepesi sana kwa mtu mwenye elimu ila ndugu yangu bachu bado ni mwepesi sana ktk elimu

    • @muhammadgadham2321
      @muhammadgadham2321 11 місяців тому +2

      Hilo si suali.. Bali ni mtego wa kutoweza kutetea ushirikina Wenu katika vitabu vyenu mkidai kuwa ni mapenzi ya mtume

    • @thefoodshaikh811
      @thefoodshaikh811 11 місяців тому +1

      Si swali hilo bali ni mtego wa shirk na uwongo.

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 11 місяців тому

      @@muhammadgadham2321mtego gani? 😂 Kama BALBALA Bachu ameona mtego basi si autegue? Mbona ameshindwa kutegua ama ameona ameshindwa ki elimu?

  • @MohamedSani-nd3es
    @MohamedSani-nd3es 11 місяців тому +4

    Bacho Rudi madrassa ukasome. Tena ibtidaiya.

  • @burhanmuhammed2234
    @burhanmuhammed2234 11 місяців тому +1

    Ww ustadh said umetwaliisha na aboud na fadhili, hakujenga hoja hta moja khurafiyuna

  • @user-hd8ne3te1n
    @user-hd8ne3te1n 11 місяців тому +1

    Kwa maoni yangu: Huu mjadala haukiwa Kwa ajili ya kurekebishana na kupeana elimu. Ilikuwa ni mashindano mmoja amshinde mwenzake kama alivyowashinda wa kwanza na mwengine asishindwe akadharaulika na akadharirisha kundi lake. Kwa ujumla hakuna aliyekubali kuwekana Sawa katika dini. Allahu aalamu

    • @mahdalymohmed7109
      @mahdalymohmed7109 11 місяців тому

      Ni kwa kumuakfisha bachu asikufurishe wala kuwatukana wanazuoni kwa kujigamba

  • @user-kh8kf6om6s
    @user-kh8kf6om6s 11 місяців тому +2

    Sheikh Saeed Hoyeeee!!!

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 11 місяців тому +2

    Sh Muhammad umejibu kielimu na kwauwazi kabisa ,sote tumeshuhudia kuwa huyu jamaa anaongea hovyo2 bila kujibu kwamsingi wakilimu ,analeta mihemko kutuchanganya waislam, lkn tumeshapata faida ,tunaelewa vyema kwahilijambo halipo kisheria wala kiakili tu zakawaida.
    "nani anauwezo wakusikia wanyama kwakisemezana "
    mimi kwahili tu nimerdhika na nimefaidika na wewe Sh Muhammad.
    Allah akulipe kwajuhudi zako zakumtetea Mtume wetu na kutuelimisha sisi waumini inshaallah.

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Amejibu nn mnafik ww hajajibu lolote muogope Allah mrongo kama bachu

    • @burhaanmamboleo3551
      @burhaanmamboleo3551 11 місяців тому

      ALLAAH ametunukulia vya kutosha kuzungumza kwa wanyama.....kasome Quraan alafu ndy ubaate.

  • @jumafaki2891
    @jumafaki2891 11 місяців тому +5

    Bachoo ngoma mzitoo

  • @athmanshire4768
    @athmanshire4768 11 місяців тому +5

    Mi mtu wa twariqa lakini Leo tulivoaibika ukweli usemwe,jameni

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Ww twarika wawapi mnafik bachu ajibu kilimu hapa bachu ameshindwa kuthibitisha na watu kabla mjadala swali lolote likiulizwa liyolewe ushahidi kwenye quran hadithi wanazuoni bachu hajajibu

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 11 місяців тому +1

      Kama Nimtu Nenda Kakae Kwenye Cha Sheikh Bachu Ujibu Maswali

    • @abdullsalaammahamed9415
      @abdullsalaammahamed9415 11 місяців тому

      Niulize mshindi anajulikana vp hapa?

    • @Naaam353
      @Naaam353 11 місяців тому +1

      Aibu ipi ww mnafiki,swal kaulizwa anarekebisha swal ndio usomi gani sasa
      Bachu kama ni sheh atoe ilmu nasio kurekebisha swal

  • @karamakarama4639
    @karamakarama4639 11 місяців тому +1

    Sheikh bachuuu achana na waabudu makaburi.Hao waache tu waendelee na shirk zao nasisi tutakuwa mashahid mbele ya ALLAH,hao watu wa twarika wakikana.

  • @binadimseif2668
    @binadimseif2668 11 місяців тому +1

    Kueni naakili hao wameleta swali ili kuilinda barzanji isijadiliwe mbona hawakuonesha usahihi . Wamejitungia swali lisilo namantik wakiwa nauhakika wataficha aibuzao.

  • @aminasheikh1838
    @aminasheikh1838 3 місяці тому

    Wacheni siasa mingi!!! The guy he’s right in his interpretation!

  • @AhmedWetaka101
    @AhmedWetaka101 11 місяців тому +2

    Confucius: The Chinese philosopher said "Real knowledge is to know the extent of one's ignorance,."

  • @abuuyusratv3796
    @abuuyusratv3796 11 місяців тому +4

    💉 sheikh mohammad umewatibu baraka llah fkah❤❤❤

  • @yusufuzuberi9884
    @yusufuzuberi9884 11 місяців тому +1

    Yani afadhali ya sabasi kigo kajitahidi kuliko huyu jamaa akajibu swali kwa khadithi dhaifu anataka dalili inayo thibitisha kwamba mtu anae tumia khadithi dhaifu kua ni muongo sasa ww ukisha tumia khadithi dhaifu wataka tukuiteje

  • @user-or5dx8wy3v
    @user-or5dx8wy3v 11 місяців тому +2

    Kazi yenuu kujisifia thu lkn nkiambiwa mutowe khadithi hakuna hii ndio kazi zenu tushajua kwamba wanyama walisema mimba ilipoingia yote hayo hamukujibu

  • @EdhaOmar-jd6os
    @EdhaOmar-jd6os 11 місяців тому +5

    Na kama sio taklif bachu kasome tena kuanzia alif

    • @zuzadomikano3765
      @zuzadomikano3765 11 місяців тому +1

      Naam Bacho bado mchanga mno !!
      Ustadh Said i ulishibishwa na ukaiva kiilimu ,mbona huna milima yavitabu mbeleyako ,umeniosha Bila MAS hkara !!!

  • @AhmedWetaka101
    @AhmedWetaka101 11 місяців тому +2

    Imam Abu Hanifa said saying "I don't know is half of knowledge".

    • @faridhassan6834
      @faridhassan6834 11 місяців тому

      Sheikh nipe hii kwa kiswahili inshaalah nipate faida

    • @AhmedWetaka101
      @AhmedWetaka101 11 місяців тому

      @@faridhassan6834 Imam Abu Hanifa alisema, "Sijui ni nusu ya maarifa."

  • @sierabravo848
    @sierabravo848 11 місяців тому +2

    Huyu akusemesha bure shekh bachu.amekuelewa sana lkn ajifanya kua haelewi.

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 11 місяців тому +1

    Mnahasira sana elimu hamna barzanji mnashindwa kuitetea

  • @RayRey-ji1em
    @RayRey-ji1em 11 місяців тому +6

    BACHO NA MAWAHABI NYOTE WANAFIKI MUNAPINGA SHEREHE YA MTUME KISHA MUNASHEREHEKEA KWA KUWA MUMEPINGA SHEREHE YA MAZAZI YA MTUME WANAFIKI SANA WALLAHI

    • @latifahali8228
      @latifahali8228 11 місяців тому +1

      Nyiny baada ya kufanya ya maana munabishana😊

  • @abdallahmkomboz2679
    @abdallahmkomboz2679 11 місяців тому +7

    Wallahi hata mm machozi yamenitoka kwa hio swala ya mtume hapo mwisho iliosomwa...kuona ni nani aliechezea akili zetu waislamu mpaka leo tunazozana eti huu ni uongo haiwezekani ili hali ipo ithbati ...Kudhoofishwa kwa hadithi haimaanish uhakika mtume (s.a.w) hakusema.
    Tukumbuke atakae mtolea mtume salamu basi nae mtume huirejesha salamu hio
    (Yaa Nabiy Salaam alaika)

    • @irshadabuhafsi6585
      @irshadabuhafsi6585 11 місяців тому +1

      Kwa usanii muko sawa

    • @user-yb3mz2jg9j
      @user-yb3mz2jg9j 11 місяців тому

      @@irshadabuhafsi6585 bila kusoma mtatuona sana wasanii ukiwa unajua kitu majibu n yamenyooka alaf heri kunyamaza kuliko kusema kitu usichokijua kwasababu unapotosha wengi angekuwa anajua majibu ya uongo huo angejibu lakin sas

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 11 місяців тому +2

    Vitabu vyathibitisha kuwa hadithi ni Munkar na watetezi wake wathibitisha kuwa nikweli hadithi ni munkar lkn
    Sh Said bado anataka sisi tuliokuwa hatujajikita katka hio Bahari tuamini kuwa kilichozalikana kutokana na hadithi Munkar nichasawasawa na huyo alokileta huku akijua kuwa analeta jambo kutokana na hadithi munkar tumuone kuwa nimtu wasawawa .
    hii kwa wanazuoni wetu nyinyi mnatupotosha sio sawa.
    Munkar ni munkar haifai kufatwa.

    • @user-yb3mz2jg9j
      @user-yb3mz2jg9j 11 місяців тому

      Tunarudi pale pale kwa said munkar ni wapi imesemwa ni uongo?

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +3

    Bachu usitafute hifadhi ya dunia. Jibu hoja hukooo

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 11 місяців тому +1

    Huyu kijana kaja kiubishi kajigamba saaana kuthibitisha kashindwa 😅😅😅

  • @alberkaentltd7135
    @alberkaentltd7135 11 місяців тому +1

    takbir
    allahu akbar

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 11 місяців тому +1

    Mbona hawa masufi ni waongo sana mbona watu tumeangalia live

  • @mwinyimwakaniki4516
    @mwinyimwakaniki4516 11 місяців тому +1

    Bachuuu juu Barzanje iko na hadhith dahifu na kwa hiyo tuweke kando.

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 11 місяців тому +4

    Nimeusikiliza huu mjadala ila inaonesha mabrui hana ushahi , Muhammad bachu anafafanua kila kitu ila watu wa maulidi wamebaki na ubishi

    • @sadambakari2579
      @sadambakari2579 11 місяців тому

      Hajajibu

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Tukulize bachu kajibu nn kama ww sio mnafik toa jibu alilojibu mwisho kakimbia

  • @user-rq5vx5cg9o
    @user-rq5vx5cg9o 11 місяців тому +3

    Hapo hatutapata ufumbuzi sababu haqi na baatwil havikai pamoja hivyo ili yaishe funga mjadala haqi yenyewe inajipambanua

  • @user-fb7xt4kr1s
    @user-fb7xt4kr1s 11 місяців тому +2

    Sheikh Bachu nakuelewa sana huyo dogo hajui nini anazungumza kakalilishwa na masheikh zake ila ukweli tumeujua leo kwenye kitabu cha barzanji kuna uongo mwingi ambao hauna dalili za kielimu

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Wacha wee kakimbia kwenye meza bachu mwenye ilimu hakimbi alikua ajibu sijui swali wacha unafik ww na bachu wako

    • @user-fb7xt4kr1s
      @user-fb7xt4kr1s 11 місяців тому

      Bachu leo kaonesha ni jinsi ana elimu kubwa kuliko hao watu wa twaliqa na nilichopenda zaid huyo ustaadh said kukubali kuwa hadithi zilizomo kwenye al barzanji ni uongo mtupu

  • @ayauii
    @ayauii 11 місяців тому +2

    Said nimuongo hana ajualo ni ekting tu kaja nayo

  • @usseneandurabe9733
    @usseneandurabe9733 11 місяців тому +1

    Nyinyi masufi ni watu hatar sana nyinyi ni wazulumaji wakubua sana,na mutapata moto wa jaannam
    Muna subir watu wafiwe alafu munawaambia wakupikieni ubwabwa nyinyi masufi nyinyi mumuogope Alla

    • @hamicjuma1838
      @hamicjuma1838 11 місяців тому

      Nyie wawahabi mbon mnatabia chafu kama uyo bacho hapo kumuita imam Jafar barzanj muungo

    • @usseneandurabe9733
      @usseneandurabe9733 11 місяців тому

      @@hamicjuma1838 masufi tabia zao kama majibua

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf 11 місяців тому +2

    Kumbe huyu said omar hana hana hoja anaji babaisha tu kashindwa kujibu suali asipumbaze watu hana lolote mjinga mkubwa kupotezea watu muda tu

  • @islamicreligiontv2718
    @islamicreligiontv2718 11 місяців тому +6

    ربنا فغفر لنا ذنوبنا و كفر عنا سيآتنا وتوفنا مع الابرار🤲

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid 11 місяців тому

      فاغفر

  • @Captainome
    @Captainome 11 місяців тому +6

    Kasome tena saidi ndugu vitabu vyote ulivyovipanga hapo hata kimoja hukueza kutumia kutoa dalili kweli si kila asomae hunufaika na elimu soma tu uambiwe umesoma barzaji ni urongo utabaki kuwa urongo 4hrs umeshindwa kutetea hoja.pole sana kaka.

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 11 місяців тому

      @Captainome 😂
      MashaALLAH MOLA amzidishie ilumu na tawaadhu3 Ustadh Said.
      Simba aliyezalikana na Masimba aka Ustadh Said Omar. 😊

    • @Captainome
      @Captainome 11 місяців тому +1

      @@alwysaggaf simba hata kitabu kimoja ameshindwa kufungua simba upi yupi huyoo.bora yule wa tanga alijitahidi kutia balba huyuu maiti kabsa

    • @umarmuhammad6712
      @umarmuhammad6712 11 місяців тому +1

      ​@@Captainomewwe ustadh said hawezi endelea mbele mpka huyo shekhe lako bachu aseme kuhusu Hadith munkaar, anahepa swali ili afwate anavotaka yeye , 😂😂

    • @Captainome
      @Captainome 11 місяців тому +2

      @@umarmuhammad6712 kumbe pia ww huelewe kilivunja munakasha.munauliza kitu ambapo hakipo kisha mataka majibu mbona hujajibu hoja akioitoa bachu.

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 11 місяців тому

      @@Captainome Wa Tanga Sheikh Sabas alikua Simba na Ustadh Said pia ni Simba 🦁
      Bachu ameshindwa sasa hakukua na dharura kuendelea kufungua vitabu tena (by the way amefungua angalia vizuri, ama macho yako na machozi? 😂)

  • @irshadabuhafsi6585
    @irshadabuhafsi6585 11 місяців тому +2

    Kumbe hivi ndivo wanavotudanganya watu wa twarika

  • @Shabalala99275
    @Shabalala99275 11 місяців тому +6

    Bachu bachu bachu weeee hhhh jibu swali 😂😂chuma kime kaza😂

    • @khamsoelly1875
      @khamsoelly1875 11 місяців тому +1

      Hati kujib swali yeye kazini kupekua vitu visivo sisi tupo huku inje twataka kupata elimu ila yuwaruka mada haendi na hoja tutamfaham vip

  • @hassanisihaka910
    @hassanisihaka910 11 місяців тому +11

    Bachu Chaliiiiiiiiiiii
    { وَفَوۡقَ كُلِّ ذِی عِلۡمٍ عَلِیمࣱ }
    [Surah Yūsuf: 76]
    Kila mwenye Elimu yupo wa juu yake
    Bachu unabaleghe kiilimu Sisi twajua asili yenu Mlikuwa Mashia baba ako asingelihama kwenye Ushia wew ungekuwa shiya.
    Babu yako kazikwa kishia na ndo maana
    Sasa wamkufurusha baraza nje ,unakuwa mtovu wa Adabu kama mashia kumkufurisha Abbakari, Omary na Athuman
    Kuwa na Adabu juu ya wana wazuon.

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому +1

    BACHU USHAKWAMA. USITAFUTE HIFADHI NJE YA MDAHALO

  • @saidnaggy5209
    @saidnaggy5209 11 місяців тому +3

    Kuanzia leo nakaa kando na vutabu vya maulid mpaka haya maswali ya bachu yajibiwe

    • @burhaanmamboleo3551
      @burhaanmamboleo3551 11 місяців тому +1

      Ukikaa kando ww ndy nn...utapunguza nn🤣

    • @thefoodshaikh811
      @thefoodshaikh811 11 місяців тому +1

      Ni covid 19 washirikina dunia nzima hawatajibu.

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 11 місяців тому

      Bachu hana suali. Katakiwa ajibu hoja kashindwa. Wacha ujinga huo

    • @saidnaggy5209
      @saidnaggy5209 11 місяців тому

      @@user-ki4sg8yz9j hebu sikiliza vizuri bachu aliuliza swali mapema sana .wapi wanyama walitamka wakati mimba ya mtume ikiingia? Kuhusu ahdith dhwaifu bachu alitoa hadith ya Muslim kuwa hadith dhwaifu huwezi itumia

    • @saidnaggy5209
      @saidnaggy5209 11 місяців тому +1

      Sasa walikuwa wanajadili kuhusu yaliyomo ndani ya barzanj sio jaffar barzanji.

  • @idarusalwi7962
    @idarusalwi7962 11 місяців тому +1

    قراءة الكتب ليس بحجة؛"كمثل الحمار يحمل أسفارا "
    Kusoma vitabu si hoja uelewa ni ndio hoja.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 4 місяці тому

    bachu kilichomponza 1 tu.. aliona yupo juu kielimu na hakuna anaemzidi kumbe ndio anaenda kuchemka!! bachu asome sana tena sana....angekua ana elimu sana na maarifa asingeweza kumshambulia said barazanji... inaonekana kuwa huyo barazanji mwenyewe hamjui angemsoma sana kisha akajua jamaaa alikua ana fani gani katika elimu ( kiukweli kabigwa kwenye mshono na hapa kachemka)

  • @sulekomesha2931
    @sulekomesha2931 11 місяців тому +3

    maana ya munkari kwanza ni nini? na kama sote twajuwa maana ya munkar sasa mjadala si kwamba lazima wanazuoni na ma ulama mpaka waseme. mtume wetu ashasema mwenye kusema chochote hakikutoka kwangu basi ataregeshewa mwenyewe. maadamu ni hadithi dhaifu au kama mlivo kubali munkari basi hapana mjadala maneno ya kuzungumza wanyama ilipo ingia mimba ya mtume.. jamaa mtume si wenu tu ni wetu sote na huu mjadala sio kutukanana..shukran Sana kwa Al Ihsan na Al Hajjri

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 11 місяців тому +1

      Kama umekubali Hadithi ni Munkari basi mbona hataki kufuata Hukmu ya Hadithi ya kigawanyo cha Munkari?
      Hadithi ya Munkari inakubalika katika masaael ya Seera au Mambo ya kheir kama alivoelezea Ustadh Said.
      Lau kama Bachu anakataa hilo basi angetoa Dalili kuelezea kwamba Hadithi ya Munkari haitumiki na anyoitumia ni muongo (ama hata maandishi ya kitabu chake ni uongo- manake topic imebadilishwa juu juu )

    • @sulekomesha2931
      @sulekomesha2931 11 місяців тому

      Kuwa ni mwenyewe busara hakuna anaepinga kuswaliwa Mtume hata mmoja ila kuzusha kitu hakipo kwenye dini Wala sera Wala Hadith.. Aya ya mwisho ya Quran insaema hakika Leo nimewakamilishia dini yenu.... Iweje Leo aje sheikh asema huu ni mwezi mtukufu? wakati Quran haikutaja kwenye ash hurul hurum? Mbona akifariki baba au mama hatufanyi sherehe ya mazazi au birthday siku ya kuzaliwa kwake? kwani Fatima na Aisha na vipenzi wote wa Mtume hawakuitambuwa siku ya mazazi ya bwana Mtume? Iweje sie ndio tufanye sherehe kwani sie twaweza kumpenda zaidi ya mkewe na mwanawe na maswahaba wake..? Tuweni na busara Allah kutupa akili tuzitumieni hakika kesho tutakwenda ulizwa hakukujilieni muonyaji? wabillahi Tawfiq

  • @user-cu8xc5yl9x
    @user-cu8xc5yl9x 11 місяців тому +10

    Muhammed bachu mjanja Leo kanasaa kwenye tundu bovu😂😂😂 kama waswahili walivyosemaaa ndege mjanjaa hunasa kwenye tundu bovu😂😂😂😂

    • @yassinm69
      @yassinm69 11 місяців тому +1

      Elewa kwanza

    • @nassiryahya
      @nassiryahya 11 місяців тому +1

      Wapi alipo nasa au said ndio kanasa

    • @khayraatmohamed6234
      @khayraatmohamed6234 11 місяців тому +1

      Haki ww Ndio mjinga sanaaaa maana Hata huelewi kinachosema

    • @user-cu8xc5yl9x
      @user-cu8xc5yl9x 11 місяців тому

      Weww ndio mpumpavu unafata ushabikii tuu ! Kwanza hao mawahabii wenzenu hawamkubali Muhammad bachu ! Unataka kumteteaa kwahiyoo unayaona anayo yafanya ni sw ! Kutukana masheikh na wanazuoni wakubwaaaa! Wewe ndio mjingaa usojielewa unafuata mkumbo tuu panyaa wa kiwahabii weee

    • @user-cu8xc5yl9x
      @user-cu8xc5yl9x 11 місяців тому

      Ukitaka usitake Leo Muhammad bachu kapata kidumee kaamua akimbieee

  • @user-np3br8tk8y
    @user-np3br8tk8y 11 місяців тому

    Maalumat gn na jibu umeshindwa kujib.suala moja tu linakushinda .umefurukuta weeee lkn jamaa kakukomalia.. kwan hujui kujibu sijui ni moja ya elimu.. pole weee

  • @aboushuaibally
    @aboushuaibally 11 місяців тому +2

    Yaani watu wa twariqa ujanja ujanja said siungejibu hoja tu acha ujanja

  • @omarkubeli1199
    @omarkubeli1199 11 місяців тому +1

    Basi tuambieni hayo maneno ni kweli ama ya uwongo