HAJI UPEPO APATWA NA AIBU KUBWA BAADA YA MAJIBU MAZITO YA SHEIKH MUHAMMAD IS-HAQ.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 138

  • @BradothAdm
    @BradothAdm 6 місяців тому +2

    Shekh allaah akupe umri mrefu pamoja na uzee wako uzidi kubainisha hakki kwa hawa mashekh waovu

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 6 місяців тому +2

    Barakh Allah Kher sheikh

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka Місяць тому +1

    We shekh umekula mlungula acha uongo

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 6 місяців тому +4

    Wallahi hii dini imevamiwa na mashetani waislamu kuanzia mashia na makhurafi kujaribu kuchafua alichokuja nalo mtu Mohamed s.a.w. Mungu atulinde vitimbi zao na kutuongoza kwa njia ya haqi

    • @rashidjuma9169
      @rashidjuma9169 6 місяців тому

      { يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا يَسۡخَرۡ قَوۡمٞ مِّن قَوۡمٍ عَسَىٰٓ أَن يَكُونُواْ خَيۡرٗا مِّنۡهُمۡ وَلَا نِسَآءٞ مِّن نِّسَآءٍ عَسَىٰٓ أَن يَكُنَّ خَيۡرٗا مِّنۡهُنَّۖ وَلَا تَلۡمِزُوٓاْ أَنفُسَكُمۡ وَلَا تَنَابَزُواْ بِٱلۡأَلۡقَٰبِۖ بِئۡسَ ٱلِٱسۡمُ ٱلۡفُسُوقُ بَعۡدَ ٱلۡإِيمَٰنِۚ وَمَن لَّمۡ يَتُبۡ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ }
      [Surah Al-Ḥujurāt: 11]
      Ali Muhsin Al-Barwani:
      Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu.

    • @rashidjuma9169
      @rashidjuma9169 6 місяців тому

      «211» وعن عبد الله بن عمرو بن العاص رضي الله عنهما عن النَّبيّ صلى الله عليه وسلم قَالَ: ((المُسْلِمُ مَنْ سَلِمَ المُسْلِمُونَ مِنْ لِسَانِهِ وَيَدِهِ، وَالمُهَاجِرُ مَنْ هَجَرَ مَا نَهَى اللهُ عَنْهُ)). مُتَّفَقٌ عَلَيهِ.
      في هذا الحديث: دليل على أن من كف لسانه ويده عن المسلمين أنه كامل الإسلام، ومن هجر ما نهى الله عنه فهو المهاجر حقًا، فاشتمل هذا الحديث على جوامع من معاني الكلم والحكم.

    • @rashidjuma9169
      @rashidjuma9169 6 місяців тому +1

      «1559» وعن ابن مسعود رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: ((سِباب المُسْلِمِ فُسُوقٌ، وَقِتالُهُ كُفْرٌ)). متفق عَلَيْهِ.
      قال النووي: السبُّ في اللغة: الشتم والتكلم في عرض الإِنسان بما يعيبه، والظاهر أن المراد من قتاله المقاتلة المعروفة.

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 6 місяців тому

      Sasa wewe YAHUDI unachoshangilia nini?Bidaa yakufanya misabaka ya Qur an limefundishwa na nani?

    • @rashidjuma9169
      @rashidjuma9169 6 місяців тому

      { يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا يَسۡخَرۡ قَوۡمٞ مِّن قَوۡمٍ عَسَىٰٓ أَن يَكُونُواْ خَيۡرٗا مِّنۡهُمۡ وَلَا نِسَآءٞ مِّن نِّسَآءٍ عَسَىٰٓ أَن يَكُنَّ خَيۡرٗا مِّنۡهُنَّۖ وَلَا تَلۡمِزُوٓاْ أَنفُسَكُمۡ وَلَا تَنَابَزُواْ بِٱلۡأَلۡقَٰبِۖ بِئۡسَ ٱلِٱسۡمُ ٱلۡفُسُوقُ بَعۡدَ ٱلۡإِيمَٰنِۚ وَمَن لَّمۡ يَتُبۡ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ }
      [Surah Al-Ḥujurāt: 11]
      Ali Muhsin Al-Barwani:
      Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu.

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому +3

    Shekhe muhammad isihaqa wapasue hao wazushi, sisi tupo katika haqqi, tunacho sikitika sisi kwa watu wa maulid, wamezusha arafu wanatetea toka lini batwil ikashindana na hakki bila shaka batwil itaondoka itabaki haqqi zama hizo walitudanganya sana hawo mashekhe wa maulud wametulua sana michango yetu, kumbe tulikuwa tunalipa nguvu jambo la batwili allah atusamehe sasa kulu jaha lhaki wazaka lbatwil inapokuha hakki batil inaondoka

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 6 місяців тому

      We YAHUDI kweli kuabudu.
      Nenda kaabudu miungu yenu YAKIWAHABI mitatu Uluhiya,Rububia...

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      @@IsmailSanga ww Ni mjinga kweli unakaririshwa na ww unafuta hivyo shaui yako kuna mtu anamiungu mi 3 katika uislamu soma dini ww usibuluzwe na mashekhe zako wanaokudanganya hawo kuna Imani ya kiislamu inasema miungu wa 3 hilo mnalizuwa ninyi mtaulizwa inyi na ujinga wenu hojja hamna ndo kazi yenu kutukana tuuuh! hata muhammadi makafir wa makka walimwambia hivyo hivyo ana miungu wwili usivamie vitu usivyo vijuwa jahli ww wamekwambia tahuweed zimegawanyika sehemu 3 so mungu kagawika sehemu tatu ninyi ndo mnakufuru mnae tamka mambo haya ya miungu wa 3 kaleta nani kwenye uislamu huu?? Inamana mtume unaemfata ww ni tofauti na wanaomfata wahabi unaosema muhammadi alikuja fundisha miungu wa 3 mbona mnaingia kukufuru ninyi masufi ilmu hamnaga kabisa watu wa bidaa mnakaririshwa na mashekhe zenu kama wakristo wanavyokalilishwa kuchukia uislamu bila kuujuwa ndo kama ninyi

    • @user412
      @user412 6 місяців тому

      Mupo kwenye haki uhakika Ila mwambie Muhammad Ishaka ajithido hiyo ibara kuifafanua huko mbele kwanini imetumika neno حميا ؟؟؟
      Kwasabaabu ukiangalia hizo ibara kwenye Barazanji kutokana na umakini wa mtungaji ametumia neno hilo kwasababu amefananisha kutokana na shida na upweke... Ndio akatumia neno حميا sivyo, alivyoyafsiri Muhammad Ishaka

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      @@user412 ww imamu nawawi katafil watu kumbe mnasifu pombe kwenye maulid afu munaitikia swala laa akutajwa mtume swala laa anasifiwa mtu mwenye nywele nyeupe kichwani mnasema swala laa utumbo mtupu maulidi uhozo tuu watu wanayalazimisha tuu Ila nchi nyingi yamekufa mmebaki ninyi watanzania na wa Iran ndo munaendeleza hiyo bidaa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      @@IsmailSanga watu wa maulidi Allah awaongoe kwa kule kupotea kwenu maana maulid Ni msiba ugongao nyoyo

  • @DulayoOmary
    @DulayoOmary Місяць тому

    Mashaikh pambanani kwakwitetea lailahaillallah musigombani nyie kwanyie jamn munawapa njia makafir

  • @nurdiniabdillahi3558
    @nurdiniabdillahi3558 2 місяці тому

    Mzee jitafari sana mahana ngonjela zako zina mashiko

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 6 місяців тому +2

    Shekhe upo sahihi

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 6 місяців тому +1

    Huwa nasema ktk comment zangu kuwa haji upepo hana elimu,anakuja anatoa matusi sasa leo aibu tupu kwa haji upepo

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 4 місяці тому

    Mimi nilijua utasema HAJI UPEPO tafsiri azozitoa ni za uongo KUMBE UMEKUJA KULALAMIKA
    AYA LALAMIKA

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 6 місяців тому +2

    Maulid yafanyike, Historia ya MTUME isemwe kwa upana kabisa ,MTUME asifiwe sana, wali uliwe kwa umoja na furaha kisha tusubiriane kiama , atakayetoboa ndiyo huyohuyo.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 4 місяці тому

      Kabisaaaa!"WAL MASHEEEEEKHEE!JAZIAA JAZIAAA!WAL MAAMUMAAA! RADHIA RASHIAAAA!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 4 місяці тому

      Leteee waaaali tuleeee!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 4 місяці тому

      Haya Upepo zigo hilooo!

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui 4 місяці тому +1

    Unazeeka vibaya

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 6 місяців тому +2

    العلي si mila

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 5 місяців тому

    Kuacha wali kwa ajili ya kutafuta radhi za Allah ni bora ila ukioenda sana wali wa maulid utafuatatamaa zako za kimwili tu hutaona haki milele maana umetanguliza matamanio ya nafsi na nafsi ni adui wa mtu wake mwenyewe

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 6 місяців тому

    Dhamira ya waitikiaji ni kwa Mtume sio kwa msimamo wako ndiyo maana mwitikio wa pili humtakia rahma Mtume.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Amna kitu maulidi uongo mtupu umejaa mle anatajwa mtu hodari wa kuchoma nyama mnasema swala lau duu hamna jipya nyie kumbe mshahiri kasifia pombe mnamswalia mtume watu kuto kusoma kiarabu ndo shida wao huitikia tuu swala lau mtunga maulidi kawaachia msiba mkubwa huwo ugongao nyoyo mnatokwa na mishipa kuvimba kutetea pombe ilotajwa ndani yake watu wa maulid waongo na mmepotea kweli tumuombe mungu awaongoze mi mnaponichekesha sehemu moja et ikifika saa 6 usiku kunakisomo wanasimama watu et mtume anakuja maulidini subuhana uongo ulio dhahiri huu mtume aje maulidini atoke kabulini kwake kwahiyo kila mfungo sita anafufuka kaburini. Kwake anakuja kuuzulia utoporo wenu huo mmmh maulidi yakiwa wamegongana 6 sehemu tofauti kila sehemu mtume aenda Sasa kuhudhuria kwenye maulid yao huyu atakuwa kiumbe gani kila maulidi audhuria Ni malaika mtoa roho maana ukisema hivyo utampa sifa asizostahili atoke kwenye ubinadamu aje kwenye sifa so za ubinadamu ndo tunasema maulidini upo uongo wa wazi kabisa ambao auhitaji darbuni kutizama

  • @HarounAsaa
    @HarounAsaa 6 місяців тому

    Kuna koment za maghurafy au wafas wa maghurafy zinahitaji kujibiwa lakn naona hyna haja kwaiyo mm nawaambia ebu kuwen Makin Sana na dini yenu(كتاب الله وسنة رسول الله)

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 6 місяців тому

      We YAHUDI kweli.
      Nenda kaabudu ile miungu yenu mitatu RUBUBIA..

    • @SaidMadai
      @SaidMadai 6 місяців тому

      Sunna y ibilisi mnayoifata hakuna vigawanyo 3 vya tauhid alofundisha mtume muache ukafir

    • @HarounAsaa
      @HarounAsaa 6 місяців тому

      Yan muna chekesha

    • @HarounAsaa
      @HarounAsaa 6 місяців тому

      Hem ikiwa munapinga vigawanyo vya tauheed naeka namb yang au wambie masheikh wenu waek mdahalo juu ya Hilo ikiwa hawatoondoka uwanjan na kulia

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 5 місяців тому

    Ujanja wa masufi wote pita nao kaika dalili za Quran na sunnah tu lakin wao hujaribu ujanja ujanja lugha kwa wasokuwa wanaielewa unatapeliwa hapo

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 місяці тому

      Kwani Quraan haijatumia lugha?

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 4 місяці тому

      @@IbraFareed sawa imetumia lugha lakin maswahaba walikuwa wanajua lugha kuliko sisi ila walisa kwa mtume S.A.W wajue vizuri maana Allah ndiye pekee anajua maana na kisha mtume wake S.A.W na ndio maana ukitumia lugha ujuayo wewe kwa akili yako unapotea kwelikweli vibaya, Allah anapozungumza neno linakuwa na maana pana na laweza kukutatiza ukitumia akili yako ya lugha na hata mtune wake S.A.W ndio maana Jibril alitumwa kumsomesha dini hii na hata hao makafiri akina Abuu Lahab walijua lugha sana lakin hawakujua wala kufuata haki, Allah akawapa kuwa walete hata mfano wa aya kwa hiyo lugha yao na maandishi hayo hayo ndio wanatumia kama alif laam mmiin na herufi nyingine lakin hawakuweza kuleta mfano kwa kuwa hizi sio aya za ati mtu aelewe kwa ati ajua lugha, wanakaa darasan wasome kwanza miaka hata wanaotafsir sio ati kwa kujua lugha wataweza bali wakae darasan hii ni dini ya Allah

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t 3 дні тому

    Kamamaulidi sio ibada je? Kuwatukanawatu niibadaaaa?

  • @HedebJuma
    @HedebJuma Місяць тому

    Ww mwenyeo watukana watu usijichekeshe

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm 6 місяців тому +1

    Kijana ameyakanyaga😂😂😂😂

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 6 місяців тому

    Nyinyi masufi watu wa baatil njoooni sasa mjibu haya ili tujue uongo wa Sheikh Ishaq na mawahabi wengine ujulikane hoja hujibiwa na hoja zenye kubeba dalili ktk Quran na Sunnah
    Leo Masufi mmfikia hatua ya kumkosoa Mtume sala na Salam zimwendee kwamba kuna kheir ibada hakuzifindisha wala hakuzijua nyinyi sasa ndo mnazijua na mnawafundisha waislam kheir na ibada hizo
    Mna mkosoa Mtume wa Allah kuna kheir na ibada hakuzijua wala hakuzifundisha nyinyi sasa ahlul lhawaaa walfarqa ndo mwazijua na kuzifanya
    Jibuni hoja kwa dalili sio matusi dhihaka kebehi na maneno ya yasiyoya kielimu

    • @MusaYusuphu-y2l
      @MusaYusuphu-y2l 6 місяців тому

      Jibuni hoja tafadhali,kama mnawaona wale wanaopinga maulidi wamepotea,la sivyo mkae mkijua wengi katika vijana na watu wa mrengo wa kisufi wanaingia kwa wingi latika huo mrengo ambao ninyi mnawaita ni mawahabi kwa kushindwa kwenu kutetea hoja wanazotoa hao mawahabii

  • @DulayoOmary
    @DulayoOmary Місяць тому

    Jaman asaivi hakuna kupamban namakafir waisilam wao kwawao wanapondan je kafiry siatapata njia rahisi yakuibomowa dini

  • @HassanSalum-w5v
    @HassanSalum-w5v 28 днів тому

    Yuko unguja msikiti wa nyumba 2 mwanakwerekwe

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 6 місяців тому

    Kwa hiyo akitajwa Mtume tu maulid inakuwa halali?, kwa kuwa kuna aya inayotulazimisha kumtakia rahma Mtume(S.A.W), hauoni kuwa maulid ni mila nzuri kwa sababu ndani yake kuna ibada ya kumtakia rahma Mtume?.

  • @user412
    @user412 6 місяців тому

    Mwambie Muhammad Ishaka aendeelee kuifafanua hiyo ibara kama ilivyoelezwa katika مدارج السعود. Aoneshe namna mwenye kushetehesha iyo ibara alivyoonesha kwanini imetumika neno حميا hapo ili kunasibishwa na kitu gani???
    Mwambie amalizie hebu.
    Kisha tukirejea neno حميا lina mana nyingi pia, katika fasihi limetumika kama ni تشبيه

    • @user412
      @user412 6 місяців тому

      وإضافة الكأس إلى حميا للبيان والضمير عائد لرسول الله وشبه السرور بشراب الخمر في كون كل يحصل خفة في البدن وحركة فيه وفي كونه يسري في الجد وذلك أسهل من حمل الكأس على معنى الإناء لانه يحتاج إلى التكلف لأن الإناء لا يشربو روي أنه لم يبق في تلك اليلة دار إلا أشرقت ولا مكان إلا دخله النور وله ابة الا نطقت
      Mbele kuna maneno hayo alitakiwa ayamalizie

  • @RayaAlySalumRayasalum
    @RayaAlySalumRayasalum 3 місяці тому

    Mze kasome bad hujawa unamakosa yawazi

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 5 місяців тому

    Wanaompinga sheikh wetu hapa hakuna alokuja na dalili ila kejeli tupu wallaahi hakuna katika masufi comment zao niloona ni ya kielimu zaidi ya kuona mipasho na kejeli na hasira na dharau tu

  • @jakuabdull34
    @jakuabdull34 6 місяців тому

    naona unapapatika lakini kiuhalisia unachokisema hakieleweki inapofikia hatua hukubaliani nayo ww sawa waachie wanaoamini kwani hata huyo mtunzi wa kitabu ni sehemu ya Mashekhe mimi naona yanayoendelea ni majigambo tu ambayo hayatatusaidia chochote ila hasara

    • @SalumMruma
      @SalumMruma 6 місяців тому

      Ww ndio unapapatika naenda kasomeshwe uelewe

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 6 місяців тому

      @@SalumMruma kwaelimu hiyo inayotolewa na hao wanaojiona wana elimu kwa kupinga juhudi ya wanachuoni wengine tena kwa hoja dhaifu basi bora nikitumie hiki kidogo nilichonacho kwa yakini kiweza kunisaidia kuliko kupotoshwa kwa watu wanaowinda pesa kwa kusingizia dini

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 6 місяців тому

    Sisi sote ni watu wa bidhaa na sisi sote ni watu wa suna,acheni haya yako mengi ya kufanya

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Hakki lazima ibainishwe shekhe hatuwezi ona watu wanaharibu dini kuzusha tukanyamaza itakuwa so uislamu tufumbie uovu hapn

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 6 місяців тому +1

    Maulidi si ibada ni mubaa ukitaka Fanya usipo taka isifanye

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Unafanya kibali cha nani hii dini shekhe akijawa chama kila mtu akijiskia ufanya lake hii Ni wahy toka mbinguni mtume akuongeza wala kupunguza aloteremshiwa na ili Jambo liwe ibada lazima liwe limetoka kwa Allah kupitia mtume huu so ukristo shekhe unaweza mkakaa mkaamuwa kuingiza Jambo Fulani bila kibali shekhe

    • @rashidjuma9169
      @rashidjuma9169 6 місяців тому

      Adana ya kwanza katika ijumaa mihrabu ya misikiti na minara yake misahafu shahada za madrasa misabaka ya qurani hivi vyote viliteremshiwa wahyi .

    • @rashidjuma9169
      @rashidjuma9169 6 місяців тому

      Vyote vilizuliwa baada ya mtume kufa sijui viko na vibali maulidi ndio yalikosa kibali.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      @@rashidjuma9169 vyote vilivyozuluwa ni batwili ww hadithi za mtume nyingi kakemea uzushi kwani hamuzioni hizo au mnakanusha tuu, maulidi, matanga ,arobaini khitma, talkini, kwenda na majeneza kwa sauti, ali ya kuwa mtume kasema laaa tutba ljanaeza bisauti wala nnari msiyafate majeneza yenu kwa sauti na moto ninyi mkasema muhammadi mjinga huyu twende kimya kimya tubakosa thwawabu yani kila jambo mmemkosoa mtume na kuyabeza mafundisho yake na kuzuwa bidaa mnanini ninyi watu hivi shetwani ndo kawavuruga kiasi hicho subuhana llah, taabu na shida alizopata mtume na mateso juu ya watu kufikisha dinni ninyi mkaamuww kufanya yenu kila mnalojiskia na kujitahidi kulitetea japo halina dalili pale mtakapo pewa dalili mtaishia kutukana na kukejeli wallahy ninyi mnadhima kwa Allah na huo uzushi wenu katika dinii na allah awaongoi watu madhalimu atamuongoa mwenye kutaka kuongoka asotaka Allah umwacha kupotea ninyi mnajuwa wafanya kheri mnalipwaaa kumbe mnaongeza madhambi tuu, hakuna kheri yoyote unayofanya ww ambayo hakufundisha mtume unadhani utalipwa inakwenda patupu na allah alimwambia mtume sitokubali maombi au duwa zao mpk wakuweke ww mbele na ndo ntajibu kwahiyo mzee maulidini na bidaa zingine ni kutwanga maji kwenye kinu mshahara kukohowa kwani si wapo waislamu wabaswali sijda kubwa lakini siku yakiama wataona ibada zao vumbi mtupu na yatapulizwa mema yao kama upepo upilizwavyo vumbi, na mwenye kuzusha katika dini mtume anasema anaraaniwa na allah maanake wanawekwa mbali na rehma ya Allah na ata akiomba duwa mzushi kufanya duwa Allah kaweka pazia hapa kati yake mpk aache uzushi hivyo sisi mwatukejeli na matusi lakini ipo siku mtatamani kurudi duniani muda ambao kila mtu kitamfaa alichokifanya Allah anasema hakuwa muhammadi ila mfikishaji tuu na sisi ni wafikishaji tuu tunaelewa hatukuanza hapa tulipo tulianza huko ulipo ww kwenye upinzani wa sunna za mtume lakini al hamdu llilahy Allah katuongoza kwake

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      @@rashidjuma9169 tuludi kwa mtume alisema faaleykum bisunnat wasunnat hurafai rashidin mahadiina min baadi, shikamaneni na sunna zangu mimi na mwenendo wa maharifa wangu waongofu adhuu bi nawaj shikamaneni kwa meno mawili ya magego =mtume kasema tushike mwenendo wake na mwenendo wa maharifa wake waongofu ni mawswahaba nao tufate mwenendo wao, sasa ukisema adhana ya kwanza ni ilikuja kwa otahman bin afana sasa jambo la swahaba linakuwa ni bidaaa,, au kitabu cha quruani kuhifadhiwa katika masahafu hilo ni bidaa? Minara ya msikiti hilo ni bidaa? Au hujaelewa maana ya bidaa?? Inakuaje unasibishe minara ya msikiti useme ni bidaa au gati useme ni bidaa utakuwa huna akili vzr sabu quruani iliandikwa kwenye ngozi za wanyama kwenye mawe badae wakakusanyia kwenye kitabu kimoja isipotee hilo ni bidaa?? Mtume aliposema kulu muhudathat bida wakulu bidaat dhwalala wakulu dhwalala fiinnar alikusudia minara ya misikiti au adhana ya swahaba inakuwa bidaa?? Wakati kasema tufate mwenendo wake na mwenendo wa maharifa wangu waongofu jitahidi msome maana ya bidaa viongozi wenu wanawapoteza ni kama wachungaji tuu vipengele vinavyotatiza hawasomeagi waumini wao ndo kama ninyi watu bidaa hamuoni athari sabu si ndo mmezishika sasa unafikili shekhe atazungumzia bidaa kwa kuwa mwenye mfanyaji so hadihti zipo mtume alizokemea kuzusha katika dinni munazifunika tuu, ndomana sijawahy ona misikiti ya watu wa maulidi wakizungumzia bidaa mtu shekhe analingania miaka 20 dahawa lakini huwezi kusikia anakemea bidaa Sabu akisema nayey inabidi aache

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 6 місяців тому

    MAWAHABI MNAJIZONGA KITABU KINASEMA MAULID YANAJUZU NA YANADALILI KTK DINI AU HAMJAFAHAMU APO??
    KUJUZU MAANA YAKE NINI TUAMBIE??

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Kujuzu manake kitu kisipo faa hakina sheria so wajibu upo ee mnatetea utoporo wenu huo maana maulidi utoporo alotunga hayo kawaachia musiba ugongao nyoyo lete quruani au sunna yametajwa wapi?? Hayo maulidi yenu mnatetea hewa ndomana yatabaki kuwa uongo na wanaofanya wapo wanajuwa kabisa Ni urongo kwavile njaa ndo zawabakisha na misimo hiyo kingine mnaona aibu kuacha itaonekana mawahabi wanasema kweli ndomana mnapopewa hojja hamleti dalili daili zenu ninyi Ni matusi mtupu! Maulidi uhozo mtupu

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 6 місяців тому

    Mbona neno العلي Lina wachanganya

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 6 місяців тому

    Shekhe unapokubali nukuu maana yake umeikubali na utakuwa ni mtetezi wa hilo,hivyo kama fulani kasema maana yake na wewe unasema.

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 6 місяців тому

    Dini na Dalili

  • @RayaAlySalumRayasalum
    @RayaAlySalumRayasalum 3 місяці тому

    Kultu nilisema

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 6 місяців тому

    Huwezi kuzungumza historia ya mtu bila kugusa jamii aliyokuwa akiishi nayo, ndiyo maana wamo na hao wachoma nyama lakini dhamira inabaki kuwa kwa Mtume

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Duuhu wasoma maulidi waongo xana Ila Allah awaongoze kwa kule kupotea kwenu maana alifunga maulidi kawaachia musiba kweli tumuombe Allah amsamehe huko aliko madhambi yake maana kaacha balaa zito urongo uliowazi mfano Mimi mnanichekeshaga sehemu moja maulidini inapofika saa 6 usiku utakuta watu wote mnasimama et mtume anauzulia maulidini usiku ule kiamu rayli mnaita yaani et mtume afufuka kaburini kwake aja kwenye utoporo wenu huo maana maulidi Ni utoporo Sabu si hakuna tthawabu yeyote mnayopata zaidi kuchuma madhambi yani mtume anafufuka kaburini kwake kila mfungo sita anawatembelea watu maulidini kwahiyo kwa siku yakisomwa mji tofauti kila mji anauzulia mtume ikiwa Ni hivyo maulidi ya kiwa 10 kwa siku mji mmoja kila mji anaenda pale hapa kuna kitu kimejificha kuna kaitikadi kamejificha kuwa huyu mtume watu watakuwa wamemtowa kwenye sifa za uwanadamu either mkampa sifa ya mungu au mkampa sifa ya malaika Sabu kiumbe wa namna hii mwanadamu huwezi kuwa na sifa hizi hata siku moja na mtume wakati yupo hai alisema Mimi binadamu kama ninyi nakula naenda choooni nasahau kama ninyi tofauti yangu Mimi na ninyi kwangu unashuka ufunuo basi Sasa ninyi kusema hivi mmemtowa kwenye sifa hii kuna kasifa hapa kamefichika ambako amepachikwa mtume

    • @noors7030
      @noors7030 6 місяців тому

      Niko nawe nahawa masharifu ndo walk tupoteza

    • @hassanmitayo1875
      @hassanmitayo1875 6 місяців тому

      @@AbdulIssa-o7e kama umekubali kufungwa kifikra fungwa wewe, hivi ukifafanya sherehe ya kuzaliwa baba au mama yako mzazi, ukataja sifa zake zote nzuri ukamsifu na kumuombea dua mzazi wako kwenye sherehe hiyo, utaandikiwa dhambi?, MTUME(S.A.W) amesifiwa na MUNGU Aya nyingi tu kwenye Quran tumia akili zako vizuri usikaririshwe

    • @hassanmitayo1875
      @hassanmitayo1875 6 місяців тому

      @@AbdulIssa-o7e mmeona maulid tu kuwa haramu?, Mtume alipiga kidole nyie mnapigapiga kidole huo sio mchezo kwenye swala?, hamsomi BISMILLAH kwenye Surat fatiha mnaitia Shaka Quran, taraweh ya kisomo cha juzuu moja kwa siku ndiyo aliyoswali Mtume?

    • @hassanmitayo1875
      @hassanmitayo1875 6 місяців тому

      @@AbdulIssa-o7e kama nyie sio wazushi inakuwaje mnaswali taraweh mwezi mzima msikitini badala ya kuswali kama Mtume yaani siku tatu msikitini nyingine nyumbani?.

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t 3 дні тому

    Kama unamuelekeza mfate nyumbani siokwenyemtandao unamkosoa mwezako ww mwenyewe ukokwenyemakosa

  • @AbumndhualijumaAbumndhua-vu8bx
    @AbumndhualijumaAbumndhua-vu8bx 6 місяців тому

    Tunaombanambazashekhe

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 6 місяців тому

    Haha mimi na enjoy kweli kuwasikiliza hawa makomedi wakiwahabi. Hawana jipya ni yale yale. Yani mawahabi hujisemea tu lkn hawajui misingi ya mambo mengi wanayosema. Huyu jahili anaedai kuwa maulidi si ibada kwanza hajui hata taarifu ya ibada ni nini.mawahabi huacha msingi wakarukia matawi.

    • @fezamore7064
      @fezamore7064 6 місяців тому

      Tupe tarif ya ibada sheikh wetu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 6 місяців тому

      @@fezamore7064 soma majmaul fatawa vol.1 cha ibn taymiyah ametafsiri ibada kuwa ni jambo lolote zuri unalofanya kwa ajili kujikurubisha kwa Allah. Je kumfurahikia mtume katika maulidi si jambo zuri?

    • @MusaYusuphu-y2l
      @MusaYusuphu-y2l 6 місяців тому

      Tupe dalili kuwa kumfurahikia mtume kwa akili yako unavyo fikiri kwa namna hii mnavyo fanya kuwa ni ibada,halafu ibada hiyo wasiifa nye wema waliotangulia, ila wewe leo ikawa ndio ibada

    • @MusaYusuphu-y2l
      @MusaYusuphu-y2l 6 місяців тому

      Yaani masufi ninyi leo ndio muijue dini kuliko maswahaba na wema waliotangulia?wao wasigundue kuwa kukusanyika kusherehekea mazazi ya mtume kuwa ni ibada? leo ninyi mdio muje mugundue kuwa jambo hili ni ibada?basi kama ni hivyo ,kuna ibada ambazo mtume swala llahu alaihi wasalamu hakutufundisha ,sasa mumegundua kuwa mtume kuna baadhi ya ibada mtume alizificha

    • @fezamore7064
      @fezamore7064 6 місяців тому

      @abiabi9353...Hivi hii kweli ni sheria inavyosema kufanya jambo zuri ili ujikurubishe kwa Allah wanagapi wanaona kwa akili zao wanafanya jambo zuri lkn hawapo kwny haqii mfano wa mashia kujipiga piga na ukizuru miili yao na wanahakika ni jambo zuri na wanajikurubisha kwa Allah

  • @mussasaid-uc3xc
    @mussasaid-uc3xc 6 місяців тому

    Huyo albeidh akuogope ww acha uzushii kufasiri hicho kitabu tu washindwa wafasiri unavyotaka ww na watoa maelezo kinyume na makusdio ya mtunzi mawahabi mna matatizo

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 5 днів тому

      Wewe ndo una matatizo ya kung'ng'ia bidaa

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 6 місяців тому

    Naujua uwahabi ni tawi la katoliki mungu 3 hawako kwenye quran na sunnah mumewazulia wapi kama sio katoliki acheni ushirikina

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 6 місяців тому

    ULIAMBIWA NA USTADH SAIDI NENDA MOMBASA UKASOME,UMEKIMBILIA KWA MAYAHUDI WENZAKO.

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 5 місяців тому

      Matusi yako utayalipia kwa kumpathawabu kila muisla sisi ni mawahabia tunakusomesha dini wewe unatuita wayahud Allah anajua umetukera mno kwa kutuita jina la watu walolaaniwa tusi hilo utalipa thawabu wallaahi Allah anakuona unapewa dalili kistaarab unatukana???

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 5 днів тому

      Akasome bidaa mwanasuna hawez kusoma kwa khurafi mtetea bidaa

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 6 місяців тому

    Bidaa ni nyingi tunazo zifanya waislamu madhehebu yote mfano adhana ya kwanza kwe ijumaa, misahafu, mihrabu ya misikiti na minara yake ,majengo ya madras, shahada za ibdiaaiyya idadi thanawi dukturaa .... Mashindano ya qurani na vyenginevyo vyote ni bidhaa hasana kwa sababu havikuwa zama za mtume lakini nyinyi mnaona maulidi pekeyake ni bidhaa.

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 5 днів тому

      Kasome usuululfiqhi utajua maghulamaa walivyo pita
      Pia kitabu cha imamu shatuby

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 6 місяців тому

    MAWAHABI hamana jipya nendeni mkaabudu ile miungu yenu mitatu RUBUBIA NA ULUHIYA..

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 5 днів тому

      Hamna mada ya tauhiid ktk vyuo vyenu ndio maan hamjui tauhiid

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 5 днів тому

      @jumabeja956 Niheri kutojua hiyo tawhid ya mayahudi kuliko kuijua.
      Mnawapoteza waislaam kwamaslahi ya MAYAHUDI.

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 5 днів тому

      @@IsmailSanga
      Nyie ndo mwapoteza watu

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 5 днів тому

      @@IsmailSanga
      Kung'ng'ania bidaa kwa ajili ya matumbo
      Na kula ubwabwa maulidini
      Maulid bila ubwabwa hamwendi nyie

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 5 днів тому

      @jumabeja956 We endelea kupokea hizo pesa za kutoka saudia ili ununulie Mchele,endeleeni kupoteza watu kwa mafundisho hata mtume hayajui,Mnazusha mpaka kwenye akida wahuni wakubwa nyie. Mda si mrefu utakuja kujilipua wahuni nyie.

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h 6 місяців тому

    Tatizo nyie huwalazimisha watu maana ya uelewa wakwenu pasi na kuulizia makusiduo ya mtungaji wa aliekusudia.kwa hio nyie mawahabi hulazimisha mambo na hilo mwalijua kabisa.bila ya kulazimisha makusudio yenu hamuwezi pata ufanisi upande wenu tena mwahofia kuambiwa hamna elmu.kwa hio ushindani hamta umaliza hadi kiama kitakapo simama..

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Kila Jambo la kheri alifundisha Muhammad umati wake akuacha hata moja lakheri asifindishe, sisi tupo katika haqqi tunamfata mtume wetu kwakuwa akufundisha maulid wala hakufanya yeye na swahaba zake akuna alifanya na dinni Ni wahy toka mbinguni aloteremshiwa mtume awafundishe waja wake mtume katudundisha kusherekea iddi asifindishe hayo maulidi yenu?? Inamana kama mtume aliwacha Jambo hilo ninyi mabwana tuambieni mna ilmu zaidi ya kumzidi mtume wa mwenyezi mungu?? Karne ya 7 yanazushwa hayo maulid muhammadi hayupo duniani watu Wana kaa vikao vya kuongeza Jambo katika dinni Aya tuambieeni huwo wahy wa maulid walipata wapi walotunga hayo maulidi ikiwa mtume mwenyewe alidunga kila juma 3 kwa kule kuzaliwa kwake na aliulizwa na maswahaba zake ya rassulluh laah tunakuona unafunga kila jumatatu akawaambia hii Ni siku nlozaliwa Mimi ndo nafunga Sasa mttume alifunga ninyi mnakusanyana kupiga maatwari dufu, dhikri za kukohowa kama mabeberu na kusoma milango ndani yake mnashirki mkijuwa mwafanya kheri kumbe mnaofanya madhambi mtupu na mtakwenda ulizwa kwa Allah mlitowa wapi uzushi huo kwanza mnadhambi ya kumkosoa mwenyezi mungu na kumkosoa mtume wake mtume alipiga Vita uzushi na kuzusha kwenye dinni hadithi nyingi zipo wazi ninyi mashekhe zenu wanaziona xana tuu,hawasemi wanazinyamazia Sabu wakisema watawakimbiwa na wafuasi wao ilihal wanaficha hakki na kueneza batwil sisi tupo katika hakki ninyi tupeni majina yote mtakayotuita hatutaacha kumtetea mtume na kutetea dini ya Allah chukueni mchukiavyo Allah anazidi kututia nguvu tukaneni mueezavyo hatujali mtume mwenyew alitukanwa sana alikejeliwa sana alipokuja kuwakataza watu batil na kuwaambia washike hakki na ndo ilivyo daawa ya hakki huwa inapingwa kwa propaganda nyingi yaliwakuta mitume yote ya mungu

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 5 днів тому

      Ni kulazimisha au kutafsiri walicho andika maulana wenu??