Majibu kwa mpiga kelele (Abu Khaula) Allah amuongoze

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 92

  • @abdallahshomari793
    @abdallahshomari793 4 місяці тому +4

    Sheikh Abuu Khawlah Mbwana Abd (ALLAH AMUHIFADHI)

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 19 днів тому

    Jazaaka Allahu khaira sheikh ustadh Haji Upepo, Allah akuhifadhi duniani na akhera

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 5 місяців тому +6

    جزاك الله. خيرا وأتاك. الله عمرا طويلا

  • @HamiduAwadhi-lg5kc
    @HamiduAwadhi-lg5kc 3 місяці тому

    Mashekh mnasikitisha Sana kwasababu nyinyi hamlinganiani Bali mna tuonyesha nani anaseza kutukana zaidi mcheni allaa linganieni katika njia nzuli iliwasikilizaji wawe nahamu yakusiliza nyinyi tumieni ufaham ilisisi nasi tupate chakujifunza katika dini nasio matusi mnayo tuonyesha allaa awongoze

    • @suleali4915
      @suleali4915 2 місяці тому

      Itafikia siku watu Imani ya dini itawatoka kutokana na nyie mashehena

    • @MkwizuMkufya
      @MkwizuMkufya Місяць тому

      hakuna matusi hayo ni majibu ukitaka kusoma nenda darasani na ukitaka kulinganiwa mbona klp zipo nyingi tu za kulingania kila kitu kina mahalapake Yani upotoshe uwachwe unaachwaje ngoja sindano ingiie💉

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 3 місяці тому

    Allah akuhifadhi

  • @AjatAJAT-ef8tm
    @AjatAJAT-ef8tm 4 місяці тому

    Wadanganya Waislamu

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v 4 місяці тому +4

    Kweli masufi ni mapumbavu. Maneno ya imam shafi

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 4 місяці тому

    ALLAH AKUHIFADHI SHEKHE WETU AMIN
    WAELIMISHE MAWAHABI WARUDISHE AKILI ZILIZO WARUKA MAWAHABI

  • @hafidhsalim9237
    @hafidhsalim9237 4 місяці тому +1

    Maalim nakuomba ukishawasomesha hao mawahabi halafu usiache kuamka usiku kuwaombea dua Allah awaongoze.

  • @arifali3942
    @arifali3942 5 місяців тому +5

    ALLAH AKULINDE SHEIH WETU NA NI VYEM TUKIWAJIB HAWA MAWAHABI MAAN UWAHABI NI KM MARAZ YA KUAMBUKIZA NI SAWA NA CORONO KIPINDUPINDU NA MAGONJWA MENGIN .UFAHAMU WAO NI OVYO SSAANNA HAWA WANAOJIITA MAWAHABI

  • @lubuva708
    @lubuva708 5 місяців тому +4

    Watakuunga mkono masufi wenzako kama wakina Yusuf diwani

    • @VuaiAli-zt9ib
      @VuaiAli-zt9ib 5 місяців тому

      Na watampinga pamoja na kumchukia MAWAHABI.

    • @arifali3942
      @arifali3942 3 місяці тому

      Na atuchukiw na mawahabi

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 Місяць тому

    Huyu mwehu ..😂😂😂😂😊

  • @saidimtoni1148
    @saidimtoni1148 4 місяці тому

    Allah akuhifadh shekh wang

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 4 місяці тому

    WEWE MTOTO UMEJIFANYA MJUAJI MAULAMAA WENGI NA MABINGWA HAJAKOSOWA MAULAMAA ITAKUA NYANYA. CHUNGA KAULI ZAKO NA HAMU ZAKO ZA KIJINGA MUNGU ATAKUHOJI YOUMU ALKIYAMA

  • @AbulqassimAshirazy-yd7th
    @AbulqassimAshirazy-yd7th 4 місяці тому +2

    Wewe ni mpotoshaji.sio masufi nyinyi, wazushi wakubwa mnao mzushia Mtume.

    • @arifali3942
      @arifali3942 4 місяці тому

      Naon unaropokw t kufa kwa chuk zako

  • @HamiduAwadhi-lg5kc
    @HamiduAwadhi-lg5kc 3 місяці тому

    Tufundisheni dini nasio matusi

  • @salimmohamed3603
    @salimmohamed3603 4 місяці тому +2

    Yaani wewe mjinga huna mada ela kupinga pinga tuuuu

    • @arifali3942
      @arifali3942 3 місяці тому

      Kuping walianz mawahab

  • @user-zk5jk2he6v
    @user-zk5jk2he6v 4 місяці тому

    Huo ndioujinga wamasufi imethibiti tawasuliyamatendoyako siyamwingine

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 4 місяці тому +1

    Mashaallah mwenyimungu akulinde

  • @suleali4915
    @suleali4915 2 місяці тому

    Aloo watu kwa jinsi mashekhe mulivyo ata dini haitoaminiwa tena

  • @HajiMabrouk
    @HajiMabrouk 3 місяці тому

    Ww babu acha kupiga watu radi sitabiy nzur

  • @mustaphakawanda4138
    @mustaphakawanda4138 5 місяців тому +1

    Kuhusu kutawasuli n hayo matendo dalili zime thubutu na kufanya lakin ibada kwa wafu zimekatazwa n hadithi ninyingi zipo wazi sio zako zenye mashaka

  • @YahyaRais-wv1bx
    @YahyaRais-wv1bx 3 місяці тому

    Soma kwanza mana ata huna uadilifu mbona sati umeypeleka harakaharaka ewe haji upele

  • @HuseinMbwana-vw1uo
    @HuseinMbwana-vw1uo 4 місяці тому

    Kweli makhurafi ndugu wamashia mwakmbilia sifa zaidi kuliko taaluma

  • @HuzeifaMsomali17
    @HuzeifaMsomali17 5 місяців тому +1

    Hawa majamaa kazi yao kujiona wao ni bora mbele ya wengine

  • @matwilainoorfoundation
    @matwilainoorfoundation 3 місяці тому

    Mashehe wa kisasa wameingia ktk changamoto za mtandao mpaka unajisikia aibu ....mnataka nini Qur'an haijaacha kitu maelekezo yote yapo mnafeli wapi nyiyi???

  • @MohamedMkwepu
    @MohamedMkwepu 4 місяці тому +3

    Wewe ni Jahiil

  • @user-bj6yz7gy1v
    @user-bj6yz7gy1v 2 місяці тому

    kusoma unababaisha kijana ukasome wacha cifa

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 4 місяці тому

    Huyu nae kumbe Moja kati ya washenzi na WA puuzi Kwan si kweri wew ndiye mweu na kafir yaan unakaa unatetea usufi nafikr wew ni punguani wa kwanza kutetea usufi

    • @darajanida
      @darajanida 3 місяці тому

      ndugu yangu umekusudiya au umepitikiwa kumuita muislamu mwezako kafir

  • @iddially9770
    @iddially9770 4 місяці тому

    maana unaropoka tu unadanganya wenzako wahabi ni nn? maana yake

  • @uqbahzahor2340
    @uqbahzahor2340 4 місяці тому

    Shekh kuna kijana mharibifu aitwa shafi nikhabith Sana

  • @rushu1232
    @rushu1232 4 місяці тому

    Mijiwahabi ni mijirongo sana hapa msa tulishandana juu ya masaala ya kuabudu makaburi ikabidi tuchukue gari natukaeenda makaburi yote hapa msa hatukupata mtu hata mmoja aliokua akiabudu kaburi.

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 4 місяці тому

    Wee dawa Yako ipo atakimbia mitandaoni kama wenzako ambao walijitokeza kama wewe wakajuta kwa nini wameingià kwenye mpambano

  • @user-bj6yz7gy1v
    @user-bj6yz7gy1v 2 місяці тому

    hahahahahaha masufi sio hawa walio korogwa na dunia na ushirikina masufi wa sasa hamuingiii munaingia kwenye ushirikina wa kuchinjia majini nakuabudia makaburi na kula saana

  • @iddially9770
    @iddially9770 4 місяці тому

    ww ni upepo tu unapita suna inabaki ila yaumi saaghat

  • @lubuva708
    @lubuva708 5 місяців тому +1

    Ili ujue wewe ndio jahili murakkab Kwanza hujui uwahabi ni nini halafu pili wakina Nani ndio wahabi wewe inabidi ukojoe ukalale maana unasikitisha Tu bado kaa Chini ufute ujinga.

  • @mustaphakawanda4138
    @mustaphakawanda4138 5 місяців тому

    Ukimaliza tuambie imam shafii (Allah amrehem) sio mtu thika amewazushia masufi au Hana Elim kufikia hao wanazuoni wako.!

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 4 місяці тому

      Wewe ndio uliokua sio ((Thika )) lmam Shafii ni lmam wetu na hata fiqhi yake ndio fiqhi yetu .
      Na ndio maana tunaitwa (( mashafii)) shafiiyyah . Kwaivo
      IMAM SHAFII kwetu NI THIKA
      NA MAWAHABI NI UVUNDO .
      Na lmethibiti : Kwa lmam Shafii amewasifu na kufaidika yeye mwenyewe na masufi ..
      Na tunajua ubabaishaji wa MAWAHABI na kuyakataa maneno yake anayozungumzia kuhusu MASUFIl .
      ETl : Amesema lmam Shafii " Mtu hawi sifii asubuhi ila jioni atakua ni mwendawazimu"
      Halafu wananyamaza tu apo apo hawaendelei mbele. Maana wanajua wakiendelea mbele zitabainika (( Tadliisi zao )). Na ukataji wao maneno .

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v 4 місяці тому +1

    Tafuta masjid ufanye radi wacha kujifingia chumbani

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 4 місяці тому

      MBONA HUWAAMBII AKINA KASIMU MAFUTA NA RIKODI ZAO ZA AKINA MULLA MAFUTA MAANA HATA SUDESI ANAONEKANA KWENYE TV LAKINI MAFUTA YUMO NDANI YA TENKI LA MAFUTA HATA HATUMJUWI SIJUWI NI MAYAHUDI?

  • @mustaphakawanda4138
    @mustaphakawanda4138 5 місяців тому

    Mijisufi miabudu makaburi hilo lilifanywa kipndi mtu yupo hai na huwezi kuwafananixha mashekh zako na mtume wa Allah (rehema na amani zimfikie).

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 5 місяців тому

    Sufiiiiiiiiiiiiiiiii

    • @arifali3942
      @arifali3942 5 місяців тому +1

      Unamjuw nan sufi au unasema tu mche Allah sikiliz kauli za wanachuoni

    • @GoldenBoy-xm5gn
      @GoldenBoy-xm5gn 5 місяців тому

      unarushiwa mchanga wa macho nawe unakubali misufi sasa ni mizushi tuuu

    • @GoldenBoy-xm5gn
      @GoldenBoy-xm5gn 5 місяців тому +2

      mbona huyasemi na yale maneno ya Imamu shafii na hata imamu maliki alipocheka kwa upumbavu wa masufi

    • @arifali3942
      @arifali3942 5 місяців тому +1

      @@GoldenBoy-xm5gn GOLDEN BOY JINA LAKO NI ISHARA WEWE NI MTU WA AINA GANI WAACH MASHEKHE WW HUELEWI NA HUFAHAM NA SUFI NA NAN SIO SUFII JE HAYO MANENO YA MASHEIKH ALIYO YANUKUU UMEYAEKEWA ?

    • @GoldenBoy-xm5gn
      @GoldenBoy-xm5gn 5 місяців тому

      @@arifali3942 jibu hoja usikimbilie majina kama nielimu jibu kielimu mimi nasema kasema imamu shafii huuingii kwenye usufu asbuhi mchana wake utakuwa ni mwenda wazimu ayo maneno yapo nayo mwambie ayasseme kitabu manaqibu shafii cha al imam baihaqi na akasema imamu maliki juu ya uwovu wa hiyo misufi

  • @iddially9770
    @iddially9770 4 місяці тому

    wahabi maana yeke nn?

    • @darajanida
      @darajanida 3 місяці тому

      khurafi manaake nin

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 5 місяців тому

    Tauheed tatu kisha ukachukua jina la mtu linakua madhihab yako ipo shida mi kidogo nina mashaka na uwahabi

    • @user-ib2lw8kr9v
      @user-ib2lw8kr9v 5 місяців тому +1

      Hizo tawhid tatu zisome vizuli zielewe lasivyo utaendelea kupotoshwa wengi tulikua kama nyie ila Sasa alhamdulillah Kwa kulijua suna nafsi zimetutulia Allah azidi kutuhifadhi ktk suna nanyi karibuni kwenye suna

  • @user-om7ov3ji3r
    @user-om7ov3ji3r 4 місяці тому

    Dalili ya kutawassal mbeleyake umetupa je dalili ya kutawassal kwake ata akifa ujatupa ipowapi mana omar aliomba mvua kupitia Abbas mbona ajenda kaburini kwa mtume s a w je uoni kama tawassul nikwamajina ya allah matendomema na utu alohai ila wewe ujui maana ya tawassul washirikina nyie waabudia makaburi hata mkakataa lkn munalifanya bali shida maana ya tawassul hamuijui

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 5 місяців тому

    Sheikh Hajj upepo mawahabi wana maradhi kwenye Qulub zao. Wasemesha watu tu

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 4 місяці тому

    Matasisi wote ni wahuni tu woote wapumbavu kaz ni kutukanizana mitandaoni, pumbavu nyie, mtume alikuwa muislam inatosha.

  • @ramadhaniissa6703
    @ramadhaniissa6703 5 місяців тому

    Mungu akulipe Sana ust haji umetoa dalili na marejeo hiyo ndo dini wenzetu wapo kwenye dili

  • @user-rt9bn4ot6j
    @user-rt9bn4ot6j 4 місяці тому +1

    Wewe kijana mche Allah na uongo wako uwo

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 4 місяці тому

      MUWONGO NI WEWE NA MAWAHABI WENZIO MNAO MCHUKIA ALLAH NA MTUME WAKE WASI TAJWE WALA WASISIFIWE AKILIZENU ZINATAKIWA ZIPULIZWE NA UPEPO ILI VUMBI LA MAUBONGO YENU YATOKE

  • @HuzeifaMsomali17
    @HuzeifaMsomali17 5 місяців тому

    Yaani hawa majamaa kazi yao ni kuropoka without Knowledge

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 5 місяців тому

    wahab niyule mwenye twhd 3 au wahab mi yahudi

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 5 місяців тому

      Akili zenu masufi ziko kwenye vishundu kusuhusu tauheed

    • @omarbawazir3705
      @omarbawazir3705 4 місяці тому

      Tawhidi 3 kama utatu wa manaswara fitna ya yahudi rafiki wa saudi

  • @user-bj6yz7gy1v
    @user-bj6yz7gy1v 2 місяці тому

    hahahahahaha masufi sio hawa walio korogwa na dunia na ushirikina masufi wa sasa hamuingiii munaingia kwenye ushirikina wa kuchinjia majini nakuabudia makaburi na kula saana

  • @HuzeifaMsomali17
    @HuzeifaMsomali17 5 місяців тому

    Hawa majamaa kazi yao kujiona wao ni bora mbele ya wengine

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 5 місяців тому +1

      Ndio Kwa sabb tumesimamia pale alipo simama mtume na swahaba zake sio nyie wazushi

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 5 місяців тому

      ​@@saidimkwinzu9106wewe ni muhabi pimbi ww

    • @sharifaothman-qi9ce
      @sharifaothman-qi9ce 4 місяці тому +1

      Ktk elimu bd mjinga sn huwezi kuwa aalim tn ww ndio mjinga allah akusamehe sn na umekuja kutetea usufi

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 4 місяці тому

      @@sharifaothman-qi9ce ww mwanamke acha chuki kwa masufi, nenda kwa mawahabi Kule, ww mwanamke ulokosa adabu inaonekana huna adabu hadi huko kwenu, jaahili wewe