Kujizonga kwa mawahabi kiaqida - msikilize mwanafunzi wa Albany // Ust Haji Upepo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 99

  • @arrawaahiyahtv9800
    @arrawaahiyahtv9800 10 місяців тому +2

    Maashaallaaah Habiib, piga kazi , ni ishara kuwa ujumbe umefika huo, wewe waache waropoke tu wewe piga sindano Habiib

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 10 місяців тому +1

    Allah akuhifadhi ustadhi

  • @Ahmed-l7k7k
    @Ahmed-l7k7k 10 місяців тому

    Maashaallaah ahsanta

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 8 місяців тому

    Kawaida neno likikugusa uttukana tu Ustadh endelea ujumbe umewafikia

  • @Abuuhurayrahsaalim
    @Abuuhurayrahsaalim 9 місяців тому +2

    Hakika kusoma kunakuhitaji khasaaa.....!,yaan kusoma kwako hata ingebidi kwa kiboko kutandikwa ili ukasome bx ungetandikwa namm ningekuwa wa mwanzon kukutandika viboko ndg somaa...! Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuna.كيف ياخ

    • @arifali3942
      @arifali3942 6 місяців тому

      Duhh wahabi nakuon katik ubora wako walim wako wameon km huyo sio mt wa kawaida wanamjua kigogo hicho

    • @bagalucha
      @bagalucha 6 місяців тому

      @@arifali3942 Usufi ni mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana zaidi ya Quran majumbani ,na misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan 4 місяці тому

      kajinga sana aka

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 9 місяців тому +1

    Itakadi ya kikafiri ndo wanaamini allah yupo popote unajifananisha na mayahudi na manaswara

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 місяці тому

    Wewe na Mashia huna tofauti

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 10 місяців тому

    Duh Allah atuhifadhi

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 5 місяців тому +1

    Kwa nini wamewekwa Muhammad :Bachu na Barahaiyan ni kwa sbb nao ni katika mawahabi wanaojiweka kimbelembele wapiga porojo za kiwahabi

  • @NasibuJuma-e6u
    @NasibuJuma-e6u 8 місяців тому

    Mwendawazimu hajasoma wee

  • @abulhassanchannel2741
    @abulhassanchannel2741 10 місяців тому +1

    يُعلَّمون، الوهابية ما هنا مذهب الوهابي، إنما هو طاعة الله ورسوله، الوهابية تدعو إلى ما قاله الله ورسوله، الشيخ محمد بن عبد الوهاب رحمه الله الذي تنسب إليه الوهابية هو رجل قام في النصف الثاني من القرن الثاني عشر يدعو الناس إلى ما قاله الله ورسوله، يدعو الناس إلى عقيدة السلف الصالح، إلى اتباع رسول الله ﷺ والسير على منهج أصحابه في الأقوال والأعمال.
    فهو حنبلي المذهب ولكنه وفقه الله لدعوة الناس إلى إصلاح العقيدة وترك الشرك بالله  وترك البدع والخرافات التي قام بها، وتخلق بها المتصوفة أو أصحاب الكلام، فهو يدعو إلى عقيدة السلف الصالح في العمل وفي العقيدة، وينهى عما عليه أهل الكلام من بدع، وما عليه بعض الصوفية الذين خرجوا عن طريق الصواب إلى البدع، فليس له مذهب يخالف مذهب أهل السنة والجماعة، بل هو يدعو إلى مذهب أهل السنة والجماعة فقط.
    فإذا دعوت أحدًا إلى التوحيد ونهيته عن الشرك، فقالوا: الوهابية فقل: نعم، أنا وهابي وأنا محمدي أدعوكم إلى طاعة الله وشرعه، أدعوكم إلى توحيد الله.
    فإذا كان من دعا إلى توحيد الله وهابي، فأنا وهابي، وإذا كان من دعا إلى توحيد الله ناصبي فأنا ناصبي، وإذا كان من دعا إلى توحيد الله شيعي فأنا شيعي، المهم الدعوة إلى ما كان عليه رسول الله ﷺ وأصحابه، والتلقيب بالذي ينفر به الناس عن الدعوة لا قيمة له.
    الواجب على المؤمن أن يتقي الله، وأن يستقيم على أمر الله، ولو قال الناس له ما قالوا، ولو قالوا: منافق، ولو قالوا: وهابي، ولو قالوا: شيعي، ولو قالوا كذا، إذا عرف أنه يدعو إلى توحيد الله وإلى طاعة الله ورسوله كما قال الله ورسوله، فلا يضره المشاغبون والمنفرون بالألقاب التي يخترعونها له، كما أن الرسول ﷺ قال له الكفار: صابئ، وقالوا له: مجنون، وقالوا له: شاعر، وقالوا: كاهن، وقالوا: ساحر، ما ضره ذلك، استمر في دعوته إلى الله، وعلم الناس توحيد الله، ولم يبال بقولهم له: إنك ساحر أو كاهن أو ما أشبه ذلك.
    فهكذا أتباع الحق، لا يضرهم إذا قيل لهم: وهابي، أو قيل لهم كذا أو قيل لهم كذا، أو قيل: مشدد، أو قيل: منفر، أو قيل: متطرف، أو متعمق، أو كذا أو كذا يلقبونه حتى ينفروا منه الناس، لا ما يضرهم هذا، عليه أن يصبر وعليه أن يوضح للناس الحق وأنه ليس عنده شيء يخالف شرع الله المطهر الذي جاء به محمد عليه الصلاة والسلام.
    فالوهابية هم هذا، الوهابية دعاة إلى توحيد الله وإلى طاعة الله ورسوله، وليس لهم مذهب جديد، إنما هم دعاة إلى توحيد الله، وإلى اتباع رسوله محمد ﷺ، وهم في الفقه في الغالب على مذهب الحنابلة، إلا إذا وجدوا شيئًا في المذهب الحنبلي يخالف الأرجح من أقوال العلماء، لوجود الدليل الذي يؤيد ما قاله الآخرون، أخذوا بالدليل. نعم.

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 8 місяців тому

    Musitukane jibuni mutuweke Sawa lakini ukitukana unafanya maneno ya Ustadh upepo yaaminike

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 8 місяців тому

    Nimrongo vipi Ustadh upepo na ameleta ushahidi wa sauti kuweni wakweli

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 6 місяців тому

    Sasa huyo Bachu na Barahiyyan wamefuata nini hapo?

  • @IsmailMasule
    @IsmailMasule 10 місяців тому +1

    Juha ww huna eljmu shia wew

    • @bensonamusavi-hy4yt
      @bensonamusavi-hy4yt 7 місяців тому

      Kwlii Shia huyu

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Sindano Zina wachoma kweli kweli majibu hamna ila matusi mungu awaongozeni kwenye manhaj sahihi

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 10 місяців тому +1

    Chanal ya kijahil

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Hivi umekosa kazi ukaangalie channel ya kijahil astaghafirullah mche mola wako na uwe na inswaf na uwachane na taasub

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 10 місяців тому

    Stawaa sio kukaa haji usidanganye

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 8 місяців тому

    Vita vyote na vikao kwa wingi kumepambazuka kuwapinga mawahabi lni wamewaambia acheni uzushi kumsingizia mtume uongo

  • @seifseif24
    @seifseif24 9 місяців тому

    Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh akhii ww ni muislam mwenzangu usifiche haqi ukaikuza patwil kwanza soma elimu ya dini yko wala usikurupuke utakuja kuumbukaa

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 8 місяців тому

      Kaficha Haki ipi apo ucjifanye unajua kuongea

    • @bagalucha
      @bagalucha 6 місяців тому

      @@HemedSerious Usufi ni mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana zaidi ya Quran majumbani ,na misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 10 місяців тому +2

    Wewe mjinga Acha polojo na uzushi

    • @abdallahsiraji9919
      @abdallahsiraji9919 10 місяців тому

      Dah uko ktk Akida inayoruhusu kutukana.Wengi sana mnatukana hapa ktk comments. ITAKUA HAMKO KTK AKIDA SAHIHI WANA HAMFATI MAFUNDISHO WALA TABIA YA MTUME.
      MATUSI NI SUNNA YA IBILISI
      ALLAH AWASAMEHE NA AWAONGOZE AAMIN

    • @mohamedswalehe4442
      @mohamedswalehe4442 8 місяців тому

      Mjinga niwewe usiyejielewa

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Yamebaki matusi na kejeli ilimu hamna

  • @lukmanshehe9765
    @lukmanshehe9765 6 місяців тому

    Nenda kasome kwanza halafu ndio uradi watu upepo

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Wakusoma ni wewe ama haji upepo hivi si vichekesho kwani mtume s.a.w. amesema mwenye ezi mungu alikuwepo na hakuku na kitu chochote hadithi hii utaipata katika sahihi bukhari

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 10 місяців тому

    Duh sasa wamkuu nyinyi wenye elimu izo ndo comments zenu duh ndo elimu muloipata ndio imefindisha ku comment ivyo. Duh hatari

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 8 місяців тому

    Hawa ni kweli ni majuha au wanapotosha kwa maslahi yao

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan 4 місяці тому

    we ka brain kako ni kadogo sana that's why akaelewi ata maana ya kushuka in the last third of the night kapuuzi haswa

  • @MohammedAdam-s4r
    @MohammedAdam-s4r 10 місяців тому +1

    Acha upuuzi wewe fanya ibada.haya mambo ya kujikweza hayana nafasi katika uislam. Nyinyi ndiyo mnapalilia makundi katika Zama hizi

  • @bensonamusavi-hy4yt
    @bensonamusavi-hy4yt 7 місяців тому

    Huyu n shia

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Umekosea majibu sasa haji upepo ni shia sindano zimewalemea mcheni mola nakuweni wakweli

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 10 місяців тому

    Masufi ni dini sawa na dini ya paulo

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 8 місяців тому

      Acha ujinga juha ww

    • @bagalucha
      @bagalucha 6 місяців тому

      @@HemedSerious Usufi ni mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana zaidi ya Quran majumbani ,na misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Khabari zenu tunazo uwahabi ni tawi la kiwahabi nyinyi mawahabi aqida zenu ni moja juu ya kumpwekesha mola kwa vigawanyi vya tauhid

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 10 місяців тому +1

    AHSANTE SANA .. LETE NONDO

  • @bensonamusavi-hy4yt
    @bensonamusavi-hy4yt 7 місяців тому

    Sheikh kwli hauna elim please naomba kasome 😭😭😭😭😭

  • @IssaAlly-b7w
    @IssaAlly-b7w 10 місяців тому +1

    Acha upumbavu dogo usitumie akili yako tupu kwenye dini.

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 8 місяців тому

    Uchizi huanza hivo hivo wewe unaanzakidogokidogo ila sisi tunajuwa uzishi kuzuwa hata mtume mumemzulia aliyokuwa hayajuwi kabisa mukawambia watu niibada Allah akuongoze juwa uwongo unajulikana hata mukaupamba Sina inapanda hali inadhihini mwisho utafata hata wewe TU inshaallah

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan 4 місяці тому

      uyu so kua anaanza ashakua chizi tu juzi juzi apa alikua analingania watu eti ni uislam kwenda kumuomba maiti makaburini akuombee kwa Allah yan ni kehu aswaa

  • @AjatAJAT-ef8tm
    @AjatAJAT-ef8tm 10 місяців тому

    huna ushaidi kijana kusoma Nahwu sikusoma vitabu vote

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Sawa Mimi nakubaliana na wewe haji upepo hana ilimu wewe mwenye ilimu letehoja zako tuzione Wacha BLA BLA nyingi

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂 uliza Acha ujinga

    • @abdallahsiraji9919
      @abdallahsiraji9919 10 місяців тому

      Usitukane kuwa na subra na soma sana ukiwa na Ilmu ya kutosha hata hasira zitakupungua na utaepuka kufanya makosa ya dhambi
      Allah akufanyie wepesi na akujaalie Ilmu hekma na subra wewe na mm
      Aamin

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 10 місяців тому +2

    Hii ndio akili yako kuran haijasema hivo jahil wewe

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 5 місяців тому

    Mawahabi sio watu wa haki hata ukimwambia ukweli watabaki kukataa kubisha na kutukana ndio wanachokijua Ahlul tauhid 3 kufru mtume s, a, w kafundisha tauhid moja hii mumetoa wapi enyi watu wa Najid alikozaliwa mwanzilishi wa kiwahabi

    • @KhamisAbdallakhamis
      @KhamisAbdallakhamis 3 місяці тому

      Uyo haji wenu upepo amekwisha hakuna asiemkosoa watu wote wamepotea ila yeye tu,

    • @KhamisAbdallakhamis
      @KhamisAbdallakhamis 3 місяці тому

      Mawahabi ndio waliosema Allah anashuka ,si ni mtume ,swallallahu alayhi wasallam wapi mtume kasema ,kuwa si Allah anaeshuka ni rehma ,au swahaba gani kasena hivyo ,

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 10 місяців тому

    Wewe badili ulete dalili kwa quran wafata watu zuzu 2

  • @drmahwa8166
    @drmahwa8166 3 місяці тому

    Hivi wewe jahiri unacho kiongea unakielewa?

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 10 місяців тому

    Mimi nina wasiwasi na imani ya hawa masufi mnajitia kumjua Allah kuliko Mtume SAW hiyo maana umeipata wapi kwa ushahidi kitabu na suna wewe sufi

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Na mawahabi nyinyi peke yenu ndio muku kwenye manhaj sahihi walibakia wote ni washirikina jee aqida mumeitowa wapi ya kukufurisha waislamu wenzenu jee mumeitowa kwa mtume ama maswahaba ama tabii tabiina

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 10 місяців тому

    Masufi mkikosolewa mwalaumu uwahabi

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 10 місяців тому +1

      Tetea akida yako wewee !!
      Wewe mungu wako ni yupi ?? ambae ana viungo ?? aliekaa ktk kiumbe chake ARSHI ??
      Ni yule wa Albaniy au yule wa mawahabiy ??

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 9 місяців тому

      ​@@saidihaji3739alafu ukianza kusema aliyestaw kwenye arshi yake kwa kujinadi hapo sasa haubishani nasisi umeanza kubishana na Allah mwenyewe sisi hatuna cha kukujibu tena

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 10 місяців тому

    Mtume kasema anashuka mola wenu?? Au zinashuka rehema za mola wenu??
    Anaetangaza huo msamaha ni mola wetu au ni rehema zake ndio mtume kasema zinatangaza??
    Mtume anasema mola wenu anashuka wewe unatia shaka!!

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 6 місяців тому

    Nadhani hata uwezo wa kuchambua Logic za kawaida hauna!!
    Sualii!!? Je, Hii Hadith ni sahihi?
    Na kama hii hadithi ni sahihi..
    Allah anaposema nani anahitaji msamaha ni msamehe je ni nani mwenye shida nimsadie!! Je, Huwa hizi nii neema ndio zinazo nadii au ni yeye Mwenyewe Allah bi dhat!!?

  • @AbuufawzanaSalafiy
    @AbuufawzanaSalafiy Місяць тому

    ما معنی وهابي !
    اعتاد الناس أن یطلقوا کلمة وهابي علی کل من یخالف عاداتهم ومعتقداتهم وبدعهم ولو کانت هذا المعتقدات فاسدة تخالف القران الکریم والأحادیث الصحیحة لا سیما الدعوة إلی التوحید ودعاء الله وحده دون سواه.
    أطلق أعداء التوحید علی الموحد کلمة ((وهابی)) نسبة إلی محمد بن عبد الوهاب ولو صدقوا لقالوا ((محمدی)) نسبة إلی اسمه محمد, وشاء الله أن تکون ((وهابی)) نسبة إلی الوهاب وهو اسم من أسماء الله الحسنی, فإن کان الصوفي ینتسب إلی جماعة يلبسون الصوف, فإن الوهابي ینتسب إلی الوهاب وهو الله الذي وهب له التوحید ومکنه من الدعوة إلیه.

  • @AishaHamisi-tl9ek
    @AishaHamisi-tl9ek 10 місяців тому +1

    Ukiwa kwenye bidaa ni kama mwendawazimu na ww kama unaelimu it's munakasha ufundishwe

  • @mrmmanga4314
    @mrmmanga4314 9 місяців тому +1

    Hebu twambie huyo aliesema kuwa Allaah anachoka?, ikiwa ww ni mkweli.
    Halafu mtu akifungua tu clip zako, anajua ww hamna kitu.....
    Eti muungane kutetea twariqa, sio muungane kutetea sunna....
    Masufy na akili za usufy (kupeperuka).

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Nenda ukasome haji upepo keshalitolea dalili hilo kwenye hadithi ya mtume lakini nyinyi mawahabi mukaichukulia maana ileile kuwa mungu anachoka subhanaka hadha buhtanun adhwim

  • @FuadHamed5804
    @FuadHamed5804 10 місяців тому

    قلة العلم

    • @FuadHamed5804
      @FuadHamed5804 10 місяців тому

      Soma ujue unasoma nn ndio uelekee ummah uwaambie ujinga wako

  • @abubakarmutayoba723
    @abubakarmutayoba723 10 місяців тому

    Wewe ni mbumbumbu jahir wa kisufi na kiizibiya, nenda kwa wajinga wenzio wa kishia ili undelee kusoma elimu ya magumashi, jitu lolote la kibidaa halina hata akili😮😮

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Wacha matusi dini ni nasaha nenda ukasome na uwachane na taasub

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 10 місяців тому +1

    Mhammd ibini idris shafii qal
    mwenye kuitafsir aya yake Mwenyezi mngu arahman alal arishi staw bimaan jalsa fahuw mauslm fahuwa lkafir
    neno staw linamana kumi
    wanamsemo huse al itibai manhaji salaf salh et ibni temia ni salf inalilah waina ilaih rajon
    ibni teimia karne ya 7 nenda ktk kitbu asihir zahab ukrasa wa 445 anamtaja ibun teimia alikuwa akitowa farasazake ktk mskiti jamia al amawi ulioko dimishk siria kutokan itikadi yake mbovu aliulizwa vp Allahw yuwateremk ktk wingu wadunia alikuwa ktk membar akasem kama hiv navyoshuka mimi
    alihukumiwa kwa ukafir
    imam shaukani badru matwale
    imam zahabi sihru zahb
    alhfidhi ibn hajar hayisami kitbu hadith fataw
    728 ibni teimi anafumgwa jela

  • @mozzaliuleiza9288
    @mozzaliuleiza9288 5 місяців тому

    Acha ukhurafi Allah yuko juu ya Arsh yake tukusadikishe wewe au Quran we ndo unajivuruga kwa sababu ya ujinga wako

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Kabla hajaumba arshi alikuwa wapi Lete jibu

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan 4 місяці тому

    😅😂😂😂 jamaa unadhihilisha upuuzi wako elimu ya dini huna kazi kuleta mpasuko katika uislam ww mawahabi wamekufanya nn, ww siku za hvi karibuni siulikua unatetea ibada za kuomba wafu wakuombee kwa Allah ss wahabi na ww whose crazy yaa sheik🤣🤣🙌🙌 in short ww ni matokeo ya ahalu bidaah

  • @shazyahya4121
    @shazyahya4121 10 місяців тому +1

    Nimekusikiliza nimegundua elimu yako ndogo sana kuna tofauti kubwa sana kati ya Ansaar na waabudu makaburi ( watu wa twarika ) kwanza we unawezaje kuamini mtu aliekufa anarudi siku ya maulidi hii sio kufuru mi niwashauri tu waislam njia sahihi ya kufauru kwenye mgongo huu wa ardhi ni kufuata Qur'an na Sunnah ndio ndia ambayo wahabi wanafuata hao wengine ni waganga njaa tu mkono uende kinywani kila siku wanashinda makaburini kuomba Maiti ziwasaidie Nyie fanyeni uchunguzi tu mtagundua ndio maana watu wa twarika wengi ni waganga wa kienyeji daily kitoa kafara ya damu ili watu wafanikiwe kwenye biashara wakati yeye mwenyewe maskini mpaka kwenye nyao na Akili

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 місяців тому

      Wewe kama mkweli UNGEJIBU hoja kwanza na sio kulalamika. WAABUDU makaburi WANAABUDU vipi? Lete dalili zako?

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 10 місяців тому

      @@hilalkhalfan1452 iyo pia ni hoja we akili kisoda usie jitambua

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 місяців тому

      @@shazyahya4121 kwanza nakujibu mawili kisha ntakujibu la tatu ili ujue tena kuwa dini ni dalili na sio akili zako. Yaani akili zako sio dini yetu bali dini yetu ni ile tuliopokea kwa salaf swaleh(ndio sufi). Nyengine ni propaganda zetu tu. Jawabu la kwanza.
      Ukisema mganga ana njaa halafu anaombea watu kwanza ujue Mtume saw ni masikini akilala na njaa kisha anaombea watu kwasababu sifa za TASWAWWUF sio wote wanajiombe mijipesa kwahio hio sio hoja, wameridhika nafsi zao. Na kaburini sio wote wanaenda kuomba chakula nitakuonyesha mfano kwenye jawabu la tatu.
      La pili. Tunachinja sio kukulisha wewe damu, Bali Allah sw kamhusia Mtume saw kuwa achinje "INNA AATWAINAKA LKAUTHAR....." KILA MWENYEZI MUNGU SW AKASEMA " HAHITAJI LAHAMU KUM WALA DIMAAKUM lakini ni uchamungu wenu "
      ☝️Ni Qur-an hio ujue, Mwenyezi Mungu sw kahusia tuchinje lakini hahitaji damu zenu wala nyama za wanyama wenu ila ukichinja ni uchamungu (katika kuomba). MTUME SAW pia kahusia nyumba iliozidi mitihani basi mchinje. Sasa fakra zako unajitahidi iwe sheria za dini ili fikra zako sio dini yetu na itabaki kuwa fikra tu. JAWABU LA TATU NASHUKA CHINI

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 місяців тому

      @@shazyahya4121 QUR-AN ALLAH SW ANASEMA
      وَلَا تَقُولُوا لِمَن يُقْتَلُ فِي سَبِيلِ اللَّهِ أَمْوَاتٌ ۚ بَلْ أَحْيَاءٌ وَلَٰكِن لَّا تَشْعُرُونَ
      YAANI " WALA USISEME (WEWE MPUMBAVU WA KIWAHABIA) WALIOKUFA KATIKA NJIA YA MWENYEZI MUNGU SW NI MAITI, BALI NI WAHAI LAKINI (NYINYI WAPUMBAVU WA KIWAHABIA) HAMJUI"
      ☝️HIO NI AYA YA QUR-AN IMEWAKATAZA NA NI KUFRU NA UKAFIRI KUWAITA WATU WA MAKABURINI AMBAO WAMEKUFA WAKIISIMAMIA DINI YA ALLAH SW MKAWAITA MAITI. kwahio bado SHAHAWA za fikra zako hatuwezi kufanya ndio dini yetu. Kama wewe ulilishwa matango pori ukaambiwa ndio Qur-an na sunna, basi Qur-an ndio hio usiifanye ngeni na sunna ndio hio. Tena maimamu katika tafsiri zao wamesema, ROHO ZA WAJA HUTOKA MAKABURINI MWAO NA HUENDA POPOTE KUPELEKA UJUMBE. yaani hata roho ya kafiri inaweza kuleta ujumbe kwa waliopo duniani licha ya kuwasema Ati unamashaka na Mtume wa Mungu, swahaba alimuota abuu JEHEL kafiri alio laaniwa na kupewa ujumbe. Wewe unajua lipi kwani BADALA KWENDA KUPIGA GOTI UKASOMA, UMEKAA KWENYE U TUBE KUJIPUMBAZA AKILI YAKO KAMA MNAVYOPUMBAZANA MADARASANI MWENU. kama wewe huamini kuwa nabii Mussa as alionana na Mtume saw juu ya kaburi anaswali na kisha nabii Mussa as akaonana tena na Mtume saw mbinguni wakati anatuombea tupunguziwe swala kwanzia 50 hadi swala 5 tunazoziswali Leo na ni mapokezi ya hadithi sahihi ya safari ya Mtume saw alipokwenda na mbinguni, kama wewe huamini basi wewe ni Sawa tu na wale MAKAFIRI WA MAKKA WALIOKANUSHA SAFARI YA MTUME SAW NA SAIDI NI SAWA NA SAYYID NA ABUUBAKAR RA AMBAE ALIPOAMBIWA TU YEYE AKAAMINI NA AKASEMA ANAAMINI ZAIDI YA HILO.
      # ulivyoona sijakujibu kwa urefu kufru zako na pirojo zako ulifkiria unajua sana au?!!! #
      Posho nyengine hio,
      Sasa katika hadithi sahihi, Mtume saw amesema, alioniona ndotoni basi kaniona kweli, nyengine basi ni Sawa na yakdha. JEE WEWE ULIFKIRIA KUWA MTUME SAW UKIMUONA NDOTONI NI KIVULI AU HUWA HAJAKUFIKIA KWELI APO ULIPO LALA?. IKIWA HUAMINI KAMA MTUME SAW ANAENDA POPOTE KWA KWA YOYOTE ANAMUONA ANAPOTAKA NA HUAMINI KAULI YAKE MWENYEWE MTUME SAW BASI WEWE (MUWAHABI) HUNA TOFAUTI YOYOTE ILE NA MAKAFIRI WENGINE. NA NDIO MAANA NYIE MAWAHABI (KWA JINA LA BANDIA NI SALAFY AU ANSWARU SUNNA) LIMEANDIKWA HISTORIA YENU HAINA DHEHEBU KATIKA MADHEHEBU 4 YA AHLUSUNA NA TAWI LA KIYAHUDI (MAKAFIRI) LILILOTENGENEZWA KUTUSUMBUA WAISLAMU AMBALO MTUME SAW ALISEMA NAJDI NI PEMBE YA SHETANI YAANI ATAZALIWA NAJDI BWANA WENU NDIO HUYO -( MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI NAJDI). MAPOKEZI YA HADITHI SAHIHI MUTTAFAQU ALAIHI.
      🙋‍♂️

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 10 місяців тому

      Unataka kusema Mtume kafuata uwahabi je!uwahabi ni Sunna au bid.a je uwahabi umetajwa katika Qur.an au hadithi kama hakuna tutajie ijapo kua swahaba mmoja aliyefuata au aliye aliyeuzungumzia uwahabi ukijibu tu nakuwa wahabi

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 10 місяців тому

    hivi wewe JAHIL haji upepo,hujui chochote ktk elm ya dini ya uisilam kushinda MASWAHABA?
    acha kutafuta sifa na ukubwa kupitia kuikaishifu mafundisho sahihh ya kuwapelekea watu wajinga kana wewe wakatatizika na IMAANI yao ya HAKI!!Wenzako waliokuwa kama wewe akina MUSALLAM alkadhib waliishia papaya!!

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 5 місяців тому

      Hivyo masahaba walimfanya Allah kuwa ni tajsim subhanallah hakika huku ni kuwasingizia maswahaba watukufu wa mtume s.a.w.waliosoma kwa mtukufu wa daraja mtume s.a.w. uwongo ulio dhahir naudhubillah an dhalika