HILI NI HARAM ! INASIKITISHA // SHEIKH KIPOZEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 86

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 4 місяці тому +2

    nashumshukuru allah aliejalia ile sauti yakuwakosoa mashekhe wakibidaa kuwafikia na wakajua kuwa haifai kuisikiliza qur'aani akiisoma mtu unaeruhusiwa kumuoa,namuomba allah anisamehe makosa yangu.

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 4 місяці тому

    Mashallaah sheikh wangu kipozeo Mashallaah unajuwa kufahamisha uma.
    M.mungu akubariki uko na hekima sana.

  • @IddyMarriam-z7r
    @IddyMarriam-z7r 4 місяці тому +2

    Mashidano ya Quran kareem yaendelee kila mwaka in sha Allah

  • @MohamedHirsi-ki1lz
    @MohamedHirsi-ki1lz 4 місяці тому

    Masha Allaah sheikh

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 4 місяці тому

    Bismillah mashaallah ❤

  • @MoodyOne-g5t
    @MoodyOne-g5t 4 місяці тому

    Kikao chochote kinachokaliwa kwa ajili ya kumtaja mungu na kumtukuza kwa sifa zake na ukubwa wake basi mungu mwenyewe amekirizia pamoja na malaika wake maana pale kuna watu walisilim wawili kabla ya mashindano kuanza na wanne baada ya masindano kuisha sasa uharam uko wap jamani msiwapoteze watu ingieni darasni msome ili muelewe

  • @MwanahamisiKondo
    @MwanahamisiKondo 4 місяці тому

    Amiiin

  • @AbdulAbdul-i7h
    @AbdulAbdul-i7h 4 місяці тому

    Mmoja wapo ni wewe sheta kafili wewe flaun nin

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 4 місяці тому +1

    Masalafiya jadidah ndio wanapenda kutukana Waislamu wengine

  • @KhalfanMrisho-jp7ol
    @KhalfanMrisho-jp7ol 4 місяці тому +6

    Kama yule babu anae waita wanadi sala ya alfajiri wanabweka muonyeni masheikh wetu.. Allah amrehemu mzee wetu Kaneng'eneka alitufanya watoto wengi kuiendea swala ya alfajiri

    • @amanobrahima4897
      @amanobrahima4897 4 місяці тому +1

      Yule mwamba wakuitwa bachu !!

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 4 місяці тому

      Aonywe na dharauliwe tu kwani Kuna watu wanaitwa halif taarifu yaani pinga upate umaarufu ndio Kama yule babu mjinga Kama wajinga wengine tu yule

  • @Worldunite
    @Worldunite 4 місяці тому +3

    Sheikh wangu sielewi kwanini umejiingiza ktk hili wakati wajua wazi kwamba hata saiti ya mtu AJNAB yatamanisha

  • @w4058
    @w4058 4 місяці тому

    Kweli kabisa Sheikh wetu

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 4 місяці тому

    Ni kweli hakuna ubishi katika hilo umesema yule alikuwa ni Dada yake sasa je ile mizigo iliyokaa pale ni Dada zenu mashekh Leo uzalendo unawashinda kwa kumfurahisha Samia lakini kumghadhibisha mwenyenzi mungu

  • @ednamachocho3059
    @ednamachocho3059 4 місяці тому

    MASHEIKH WETU ONGEENI BASI TUWASIKIE (JE NI SAWA HAO MABANATI WALIVYOFANYA TAFADHALI TUFUNGUENI ILI TUELEWE

    • @Worldunite
      @Worldunite 4 місяці тому

      @@ednamachocho3059 ndugu,siku hizi viongozi wetu wengi wa dini zetu (sio wote)wako kidunia/kisiasa/kimaslahi zaidi na ndo maana tumeporomoka kiimani

  • @rashidiramadhani4342
    @rashidiramadhani4342 4 місяці тому +2

    HUYU ZAMAN ALIKUWA ANANYOOSHA BAADA YA KUPEWA MRIJA ANYONYE SKUHIZ KAWA WA HVYO KABISA

  • @FadhiliMakasi-vb9dl
    @FadhiliMakasi-vb9dl 4 місяці тому +2

    Basi wanawake wasiongee mitaani.

  • @ABURADHWIYA
    @ABURADHWIYA 4 місяці тому +2

    Dini haiendeshwi kwa tamaa za nafsi

  • @w4058
    @w4058 4 місяці тому +1

    Tena kuna wazo zuri tu tukilifanya kwa umakini tutastaafid vizuri sana kutolewe michango ya kuwasaidia maskini wajane watoto wa kiume ambao wahangaika kimaisha wanchukuwa mikopo yenye riba tulifikirieni sana tukinga'ng'anie kulifanya hili tutapunguza umasikini kwa Waislam na waaikouwa Waislam

  • @babuumohd4290
    @babuumohd4290 4 місяці тому

    Kipozeo unajichanganya aliekua akisoma qur'an saidna omar radhi za Allah zimfikie alikua ni dadake sio mnakusanyana waume mnawaskiza wanawake sauti zao mkiwatamani mumezini

    • @salummbunga4167
      @salummbunga4167 4 місяці тому

      Qur'an itasomwa tena mwakani pale pale kwa mkapa biidhni llah kama imekuuma chomoa

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 4 місяці тому

      ZINAA inaanzia mbali sana mpaka ikaitwa ZINAA sharti watu waelewe. ZINAA mpaka kuitwa ZINAA si kama Watu wanavyo fikiria na qala so jambo jepesi ki hivyo. Kina mama qameshihirisha walicho hifadhi ujuzi walio nao mbele ya wenzao wanaume na wanawake ulimwenguni Watu wameona nie habari njema na wengine wahifadhi Qur'an. Hii inaleta UDUGU.

  • @jumaajambiamusa8214
    @jumaajambiamusa8214 4 місяці тому

    Saws sawa ila kwa yeye swahaba wa mtume kama kamsikia dada yake kwan kuna shida gan kwa dada yake wakat hafay hata kumuoa sisi twa sema hawa wana wake ajinabii shekhe apo vp

  • @muhidiniwadhifa3600
    @muhidiniwadhifa3600 4 місяці тому +1

    Kheri ipi iliyotajwa ?

  • @w4058
    @w4058 4 місяці тому +1

    Hahaha 🤣

  • @AhmadAbjad
    @AhmadAbjad 4 місяці тому

    Wanaokosoa hawatumii akili. Yale mambo ya heri. Sheikh Bora umenena

  • @Idd-t4m
    @Idd-t4m 4 місяці тому

    Ukikosa ufahamu umenyimwa kilakitu hata usome vipi we mzee mashindano hayo kama swahaba wa mtume angekua hai asinge hudhuria mashindano hayo

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy 4 місяці тому +2

    Duh kweli wewe hujielewi

  • @MohamedAlly-dq2rl
    @MohamedAlly-dq2rl 4 місяці тому +2

    Mimi ninvyoona huko mbele mtawaruhusu waaadhini pia

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 4 місяці тому +1

    Wanatumiwa na Iblis kuugawa Uislamu. Kuna wengine wanasema eti TV ni Haram,hata kama ni channel za Kiislamu.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 місяці тому

    Hapa bado elimu inahitajika. Masheikh wetu pia na Mufti wa Tanzania jaribu sana kutafuta ukweli katika mambo yanayotakiwa kufanywa hadharani kabla halijafanyika, kuwa Mufti siyo kuwa na elimu zidi ya unao waongoza, hili la wakina mama uwanja wa Mkapa limeletta mtazamo tofauti kwa wasomi. Vizuri liweke wazi wewe mwenyewe kama una elimu nalo au tangaza upate msaada wa elimu juu ya jambo hilo.

    • @KiringoMtemi
      @KiringoMtemi 4 місяці тому

      MAKA MBONA WATU WANACHANGANYIKANA WAUME KWA WAKE MNAWACHANGANYA MAAMMA WAMSILUZE NANI MAANAKE ATA ALIE MBELE HAJULIKANI

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 4 місяці тому +2

    Walitaka waimbe wavae uchi wangelifurah hão ni wanafk

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 4 місяці тому

    Lakin nchi nyingi wanawake hawapawi hii fursa wanawake kushiriki mashindano kwanini???

  • @brutzuberi
    @brutzuberi 4 місяці тому

    swadaka

  • @MohamedAlly-dq2rl
    @MohamedAlly-dq2rl 4 місяці тому +1

    Kabla hujatuma ujmbe huu ungetafuta utaratibu kwanza

  • @Islamic_halal_videos-h2s
    @Islamic_halal_videos-h2s 4 місяці тому

    Walaniwe hawa wanao poteza wakisilamu

  • @muhidiniwadhifa3600
    @muhidiniwadhifa3600 4 місяці тому

    Ww ni sheikh ubwabwa

  • @mollelyally5213
    @mollelyally5213 4 місяці тому +1

    Kwelii kipozeo njaa imekuponza Allah akuongeze utoke kwenye huo ujahili,,yule ni dada yake ummar ukiongea weka akiba utaumbuka.

  • @ANRAHIMKADUMA
    @ANRAHIMKADUMA 4 місяці тому

    Na uku kwenye Uislam sasa kumekuwa kama upande wa 2 Mtu akisoma Juzuu Ng'ama na yeye naye Shekhe Wasome ndio wakosoe Kwani pale kuna Mw/ume kamgusa M/ke wakati Wasoma?

  • @Musical1997-f4w
    @Musical1997-f4w 4 місяці тому +1

    Nani kakwambia kama uwislam nidini. Tangu lini mungu akaishi saud arabic uwislamu niushetwani kufuga majini ndio mnaweza

    • @ANRAHIMKADUMA
      @ANRAHIMKADUMA 4 місяці тому

      Wewe ni mbwa kasoro mkia na WAZAZI wako

    • @mwanakhamiskhamis3115
      @mwanakhamiskhamis3115 4 місяці тому +1

      Allah akuongoze

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 4 місяці тому +1

      Mwenyezi Mungu akuhurumie na akuongoze kwenye njia iliyonyooka

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu 4 місяці тому

      Ugu mzuka nago gumetokezea wapi hapa

    • @HamdaniMmbaga
      @HamdaniMmbaga 4 місяці тому +1

      Allah akusamehe

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 4 місяці тому

    Mashindano haya ni Bidaa tena munkar sana.Mikhaalafat ni mingi na huyu bwana ni mpuuzi.
    Na hakuna Mustanbituuna kama unavodai.
    na kama hoja yako mizik watu hawana shaka ktk hilo.
    Na hakuna Faida Ktk hayo mashindano kwan Mtoto atahifadh quraan Kwa ajili ya zawad ile ikhilaasw inaondoka.
    Nadhan zile Qaaida zilizowekwa na Maulamaa ktk mashindano mmezivuruga na hamfati kwa hyo ndio mana hamjui mwaenda wapi.

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 4 місяці тому +2

    Wewe mzee elewa huu si wakati wa kusema bila dalili wapi wanawake wamekusanyana na wababa na masauti yakipaa hujui sauti ya mwAnamke ni uchi au ww unajitowa ufaham

    • @IvetaSteven-b9z
      @IvetaSteven-b9z 4 місяці тому

      Vipi sauti ya mwanamune inafaa kwa mwabamke kuisikiliza?

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 4 місяці тому

      @@IvetaSteven-b9z ndo maana wanawake wawe wengi swala ikifika hawataazina na quruani hairusiwi labda wenyewe tu kusiwe na wanaume tu some tuiache kufata mikumbo

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 4 місяці тому +1

    Hacha kutumia akili zako.

  • @Stoper17
    @Stoper17 4 місяці тому +1

    Ila kuna madhaifu yamejitokeza tumieni akili

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 4 місяці тому

    Una sema kweli sheikh wetu yani ime kuwa ni ku ayi bishana

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 4 місяці тому +1

    Hao wanao kusowa wanatafuta umaarufu mitandaoni

  • @mammukaratu2084
    @mammukaratu2084 4 місяці тому

    Uislam ni mwepesi ila unafanywa mgumu...Wanawake wamevaa stara wana recite quran shida ipo wapi.... Wanaume inamishen macho yenu na mzilinde tupu zenu...

  • @MohamedAlly-dq2rl
    @MohamedAlly-dq2rl 4 місяці тому +1

    Mnapoongea nyinyi haupo utaratibu mkijibiwa mntafuta utaratibu

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 4 місяці тому

    Sheikh wetu kwani ujui sisi waislam
    Kila.siku kila tunacho kifanya ni lazima tugombane

  • @MansourAbubakar-l2b
    @MansourAbubakar-l2b 4 місяці тому

    Ndo mana Suleiman aliomba hekima

  • @maase2023
    @maase2023 4 місяці тому +1

    Mashindano ya quraan ni utafutaji pesa tu wala haupo kwa uislam! Watu wanatafuta pesa tu

    • @MoodyOne-g5t
      @MoodyOne-g5t 4 місяці тому

      Naam pia ukisoma our an Allah anakufulia rizk so ndio pesa zenyewe na wengine wapata gari,wengine nyumba Sasa vile vimetoka peponi bila pesa ndugu yangu msiongee kutaja ushabik kikao chochote anapotajwa mungu na mtume wakemungu mwenyewe amekirizia ingieni darasani Msome muelewe msiwaingize watu motoni kila kitu Haram mmetoa wap

    • @maase2023
      @maase2023 4 місяці тому

      @@MoodyOne-g5t hiyo imegeuzwa kuwa biashara sasa! Watu wanafanya mashindano hayo kisha wanapiga mapicha na video wanawapelekea waarabu ikisha msaada wanapewa na hapo ndio mambo supa! Maana dini wenyewe ni waarabu na ndio wanawapelekea

    • @maase2023
      @maase2023 4 місяці тому

      @@MoodyOne-g5t hayo mashindano hayafanyiki kililahi ila ni deal ya kupata pesa toka arabuni! Ww tazama watayarishaji wanavoneemeka my friend! Watu watafutaji bana !

    • @KiringoMtemi
      @KiringoMtemi 4 місяці тому

      HAMUONI KAMA HAYA YANAYOFANYWA INAWEZA KUHAMASISHA TUKAPATA WANAWAKE WENGI KUINGIA KATIKA UISLAMU KWA KUPITIA NJIA HII??AU MNATAKA WANAUME TU NDIO WABADILI DINI KUJA KONYE UISLAMU?HII NI FURSA KWA AKINA MAMA ẀENGI KUVUTIWA KUINGIA KONYE DINI YA UISLAM

    • @maase2023
      @maase2023 4 місяці тому

      @@KiringoMtemi ww una fikra hizo ambazo ni njema ila hao watayarishaji hawapo huko uliipo wao wanatengeneza mazingira ya pesa ili wanunue magari ya fahari ! Yachunguze uyaone

  • @Worldunite
    @Worldunite 4 місяці тому +1

    Syedna Omar alisilimu kwa sbb ya kumsikia dada yake kusoma qur'an, alikuwa ni MAHRIM wake na kwamba hawezi kumtamani dada yake, pale uwanjani mazingira yalikuwa tofauti, lzm ulitambue hilo sheikh wangu, hapo hujatetea haki

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 4 місяці тому

    Wewe unaesema haifai mabinti kusoma kitabu Cha mungu pale haifai sawa kwani ulilazimishwa kusikiliza au uliambiwa upeleke Binti Yako wewe mabinti wako wapeleke bichi wakaogele acheni ujinga sisi tuacheni tuwapeleke mabinti zetu wakaahamasike

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 4 місяці тому

      Dhahiri wameonyesha hasharani ujuzi walio nao kama bisharaa njema katika kuhifadhi neno la Mola wao na uchaji Mungu nayo ni bishara nzuri vilevile INAUNGA UDUGU.
      Kla kwa wasiyo juwa wanasema HARAMU LAKINI SI HIVYO.

  • @JimmyKates
    @JimmyKates 4 місяці тому

    Hao wapingaji wa kusomwa quraan ni washenzi tu na wanafiki wakubwa waende wakazuie waimba miziki baa

    • @AusiSaidi
      @AusiSaidi 4 місяці тому

      Kutukana peke yake sio jibu toa dalili au nishabiki usie na elimu jambo la dini usilete porojo za vijiweni .

  • @aishajuma7800
    @aishajuma7800 4 місяці тому

    Wanaopinga kufanywa kwa mashindano ni wajinga

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 місяці тому +2

    wewe sijui unajielewa?
    Kuwaweka mabanati mbele ya wanaume (ajnabi)wakighani qur'an,huo ni uovu ulipindukia ktk dini ya UISILAM!!
    omar bin l'khatwaab alisikia sauti ya dada yake,na hilo ni jambo sawa!!

    • @Worldunite
      @Worldunite 4 місяці тому +1

      ...sijui masheikh wetu wanatupeleka wapi, maana neno AJNAB hawatilii maanani, hawajui hata sauti ya mtu AJNAB yatia matamanio

    • @hamishasan7737
      @hamishasan7737 4 місяці тому

      Wamefanya makosa

    • @Worldunite
      @Worldunite 4 місяці тому

      @@hamzakimaro3764 sahih💯

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 4 місяці тому

      Wanajua sifatu .zinawasumbua

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 4 місяці тому +1

    Wajinga ndivyo walivyo