DR.SULLE BILA KUPEPESA MACHO HAWA HAWAWEZI KUOA MASHARITI YAO NI MAGU MNO/JAPOKUA WANA PESA NYINGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • #drsulle #health #trending #tanzania

КОМЕНТАРІ • 426

  • @fatmakhamis4960
    @fatmakhamis4960 Місяць тому

    Alhamdulillah❤❤❤

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk 5 місяців тому

    MashaAllah

  • @DhaharaniJongo-gt2un
    @DhaharaniJongo-gt2un 5 місяців тому

    Namkubar sna dr sule

  • @JumaSaidi-zk6fu
    @JumaSaidi-zk6fu 8 місяців тому

    Docta unatisha sana

  • @HamidaJuma-x8y
    @HamidaJuma-x8y Місяць тому

    Shekh nisaidie naumwa tatz kichwa tyu nikupat wap

  • @Salma-u7y3f
    @Salma-u7y3f 7 місяців тому

    Allah akupe maisha malefu

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 9 місяців тому +1

    Hayo ndio mahubiri mazuri ambayo kila mtu wa imani yoyote anasikiliza na anakuunga mkono siyo ile mipasho yako ya kukashifu ukiristo pamoja na sikukuu zake huko ni kupungukiwa kwa hekma ukitaka wakusikilize watu wa dini zote unapaswa kuhubiri mahubiri kama haya

  • @lucylubna6194
    @lucylubna6194 8 місяців тому +1

    Tawheed na akeeda umefeli dr sule waelekeza makosa muislam wa kweli hana cha majini ,uchawi wala mizimu yeye utegemea mola wake tu ALLAH na yuamswalia mtume juu mwenye kuswalia mtume ,mtume u mswalia mara kumi na Allah kamuswalia mtume na malaik , Allah akamulisha waisilamu kumuswali mtu...so mambo na rizik Allah ashamuandikia mja hutopata ila alichokutayarishia.. karatasi zilifungwa kalamu kuinuliwa.... Allah pekee ndie anakupa pesa na kukunyima yote kwa mitihani yake subra ndio ufanikio kwa hali yeyote ile unaokubana nayo...

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn Місяць тому

      Subhanallah watu kama hawa ndio wanachafulia uislamu jina

  • @UfunuoSt
    @UfunuoSt 10 місяців тому

    Dr. Unataka kunishawishi kwamba wewe nawe ni kama wale wa chumi, na mafut? Au una tofauti gani?

  • @Yussuf3145
    @Yussuf3145 5 місяців тому

    Doctor sulle nitawapataje hao majini wa kiislamu

  • @mohanafas3286
    @mohanafas3286 5 місяців тому

    Uchumi ndo niini...?

  • @kwamnkurumah8574
    @kwamnkurumah8574 10 місяців тому

    Fundisha kabisa hawo

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 8 місяців тому

    Mashallah singida mmefikiwa na neema hii

  • @ApolinaireKalenga-w2q
    @ApolinaireKalenga-w2q 9 місяців тому

    Asante dr. Mungu aku zidishiye elimu Sana.

  • @MwanasitiAli-c6g
    @MwanasitiAli-c6g Рік тому

    Kumbe ata n biology

  • @AliAbdalla-se8rp
    @AliAbdalla-se8rp 7 місяців тому

    Hj

  • @PashaTz
    @PashaTz 10 місяців тому

    Uli zungu mzalo liko sahii sheh

  • @HassaniKilongola
    @HassaniKilongola Рік тому

    Allah akbar

  • @NarmeenHarith-tt4ui
    @NarmeenHarith-tt4ui Рік тому

    Walnz tena

  • @ShwaibuManyota
    @ShwaibuManyota Рік тому

    و هكذا أنت ساحر

  • @lothikilimba7769
    @lothikilimba7769 10 місяців тому

    Watambue ukweli japo unauma

  • @PT2016-3
    @PT2016-3 Рік тому

    Mbona hakina UNABII... biblia iko juu

  • @mohanafas3286
    @mohanafas3286 5 місяців тому

    Singida ndo niini

  • @mussajangwa4878
    @mussajangwa4878 Рік тому

    Mabod gudy Tena

  • @AmisseSumail-x9j
    @AmisseSumail-x9j Рік тому +1

    Alhamdulilah

  • @KazembeMkazembe
    @KazembeMkazembe 10 місяців тому +1

    Tutabisha tuu ukwer ndo uwo shekh endelea kutupa elim

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Рік тому

    Nakukubali shehe.

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 9 місяців тому

    Nafurahi sana ninavyosikia Mungu akiitwa "Nngu"😊

  • @sebastianmusamali2726
    @sebastianmusamali2726 Рік тому

    @sebastianmusamali001...hujambo,nipo Kenya,naeza penda unipe nambari yako kupitia email tujadiliane nataka usaidizi na ushauri wakokuhusu mali....nahangaika sana Daktari

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 9 місяців тому

    Ila kweli waisilamu kwa kweli,aisee,ndo maana mudi aliwambia msome Qur'an kutokea Julia kwenda kusho.majini?

  • @maureenatienoowuor1784
    @maureenatienoowuor1784 5 місяців тому

    Walai tena watu niwachiwi hapa inje

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 9 місяців тому

    Kumbe mkwara ote huo nikuuza mafuta tu,nikama uko kwamwaposa tu😂😂😂

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 6 місяців тому

    Hakuna shelkh hapa ni shetanitu ametumwa kuharibu dini la waislam uyo, mtazameni vizuri hama madili ya mungu uyo

  • @HusseinSaid-ht7kp
    @HusseinSaid-ht7kp 10 місяців тому +2

    Huy shekhe mungu ampe maisha marefu sana maana anafundisha mawaidha mazuri sana

  • @SalimSeif-k7l
    @SalimSeif-k7l 10 місяців тому

    Mashaallah Shekh Yuko vizuri

  • @Musashomari-h4g
    @Musashomari-h4g Рік тому

    ❤❤

  • @MussaNkombanira
    @MussaNkombanira 11 місяців тому

    Atamiminamukubr

  • @DagrasKaragane
    @DagrasKaragane Рік тому +5

    Nimekuelewa Shekh upo sahihi kabisa japo mi ni mkirsito but unaongea point takatifu MUNGU akubariki ❤❤❤

    • @nunischwele8686
      @nunischwele8686 Рік тому

      Jitahidi mwenyezi mwenyezi mungu akuongeze uweze kuslim uweze kuingia kwenyee dini ya kweli ya Allah (s.w) naamin utanishukuru san ,Amiin 🙏

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 Рік тому

    Ukosawa shekhe

  • @ala1608
    @ala1608 9 місяців тому

    Nitumie namba yake Dr. Sul

  • @PedruAdamo
    @PedruAdamo 7 місяців тому

    Queli queli sule

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan Рік тому +4

    Waislam ndugu zangu nawahusieni jman Haturuhusiwi kua na ushirikiano na majini wawe wazur au wabaya hairuhsiwi Allah amekataza hlo jmna Hawa masheikh sjui wetoa wapi hzo elim at majini watakupa utajiri...

    • @AM-rr3jr
      @AM-rr3jr Рік тому

      Lakini nawasikia wakisema kuna majini wema na wabaya, hawa wema ndio wanaleta hela mbona mi najua hela zinatoka kwa Mungu, uislam gani huu wa kuletewa hela majini?? Mungu wa waislam hana hela ila mashetani ??? Jaman dini nyingine lakini....,

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan Рік тому +1

      @@AM-rr3jr Hapana sio kwamba Allah hana hela, ni kweli wapo majin wa aina hzo mbili ulzosema Kitabu cha Mungu Quran tukufu imetuzuia ss waislam kushirikiana na majini na yenyew yamezuiwa hvo kwahyo hao masheikh unaowaona wanatamba mitandaoni wakidai wenyew ni mabingwa wa majin wao niwashirkina na wanachafua sura halisi ya uislam labda nkwambie ewe ndugu@AM uislam hauusiani kabsa na majin ukimkutauislam asema hvo basi huyo ni mshirkina

    • @AM-rr3jr
      @AM-rr3jr Рік тому

      @@anwary_sultan Ahaa kumbe? Na hii kitu naona huyu Shehe kaanzisha mihadhara na naadae anatangaza kuuza mafuta kama wanavyofanya mitume na manabii wa uongo je katika Uislam mafuta hayo yanakubalika? Na hayo ni yale yale ya mitume au mengine?? Sorry kwa usumbufu

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan Рік тому

      @@AM-rr3jr Bila samahan me kwa ss waislam ni vizur kuelewesh mtu Pale ambapo hajaelewa ikiwa ni halal. Kuhusu mafuta ss waislam Hatujapewa tiba wala dawa ya aina yyte inayohusiana na mafuta kwahyo hyo yote ni upotoshaji wa baadh ya masheikh wenye kuchezea dini. Labda kuna baadh ya mimea kama mizaituni mafuta yake ni tiba kwahyo tuneza tumia hyo kawaida kama mitishamb mingne ya kiafrika bila kuhusish iman ya dini au nguvu flan, waislam tumepewa dua yan sala za kuomba iwapo unashida mfano kusomea maji baadh ya aya za Quran na kunywa basi so vingnevo haya mengine uyaonayo ndugu ni ushirikina kiufupi waislam tupo na miongozo inayotwambia nn cha kufanya ktk kila jambo kupitia Quran na Sunna ukikuta tiba, dawa maelezo ytte hayapo umo ni upotoshaji na ushirkina..

    • @AM-rr3jr
      @AM-rr3jr Рік тому

      @@anwary_sultan Asante kwa ufafanuzi

  • @KatelezuMalole-um5qj
    @KatelezuMalole-um5qj Рік тому

    Acheni uongo mtume si nabii wala mtume

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 Рік тому

    Dini isitumike Kwa bishara mijadala itengwe dini pekee Niagara pekee

  • @hajisalum4767
    @hajisalum4767 Рік тому +9

    Jini anaefungamana na binadamu hata kama atamtaka huyo binadamu awe anafanya ibada huyo ni jini mbaya, jini mzuri hawezi kufangamana na binadamu kwa namna yoyote ile

    • @MengiRashidy
      @MengiRashidy 10 місяців тому

      Wewe ujui kitu msikilize shee

  • @NtomokaNtomoka
    @NtomokaNtomoka 10 місяців тому

    Allah akuongoze shekhee wanguu

  • @fatmaathman9817
    @fatmaathman9817 11 місяців тому +1

    Acha kupotosha watu

  • @SwalehMsangi-yh3qq
    @SwalehMsangi-yh3qq Рік тому

    Hapa hatuna sheikh tena

  • @NdoileSelemani-zj6dl
    @NdoileSelemani-zj6dl Рік тому +1

    Maa shaa allah

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Рік тому

    Huyu nae si mganga au

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 11 місяців тому +1

    Shehe mm nakukubali Sana ila naona biashara nyingi kuliko mawaidha unachanganya dini na biashara acha kufanya ivo watu wa mungu hawana tamaa ya utajiri

  • @MussaJuma11
    @MussaJuma11 9 місяців тому

    Et kama mlokoke😂 nimeipenda iyo

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan Рік тому +3

    WAISLAM HATURUHUSIWI KUSHIRKIANA NA MAJINI KWA AINA YYTE YA USHIRKIANO, najua wengi mnaamini na mtapotea kwa kumsikiliza huyu Sule hlo analosema kwenye uislam hakuna...

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 11 місяців тому

      Kwaiyo nyie mnaotolewa majini na mwamposa ndo mnaelimu ya mbinguni et

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan 11 місяців тому

      @@yusufuheri6524 Assalaam aleykum Yusuf kama waitaka people ya Allah fuata Quran, sunna na mafunzo alotuachia Rasurullah S.a.w. kama huna haja na hlo kuna jehannam pia we endeleeni kumfuata sheikh na imamu wa mskitini kwako njia za sunna na Quran achana nazo. Ila narudia kukuhsia tena na kuihusia nafsi yangu Uislam na majini hamna uhusiano wa aina yoyote mtume hakung'orewa meno, kutukanwa, kubezwa, kudharauliwa ili ww hapo yusuph uwe muumini wa kuamini katka nguvu za majini wakati ALLAH AZZAWAJAL muumba wako aliekueko, aliyeko na atakaekuwako yupo naww.

  • @ndayikezaoscar3467
    @ndayikezaoscar3467 11 місяців тому

    Sasa Sheikh we unataka watu waje uwafundishe kupata utajiri wa majini??? Sasa hapo Mungu yu wapi??? Msiwe ivo masheikh bhana.
    Inalillahi wa Ina Illeihi Rajiun

  • @albertshayo2433
    @albertshayo2433 Рік тому

    Mpole kama mlokole... mmmh haya shekhe

  • @wahshiy-dizzier-nm5rx
    @wahshiy-dizzier-nm5rx 10 місяців тому +2

    mungu akuweke shekhe mwenye bodyguard nakukubali sanaaaaa

  • @Kobe_Sungura-2024.
    @Kobe_Sungura-2024. Рік тому +1

    HAKUNA JINI MWEMA ANAYETUMIKA KWA HAYO UNAYOELEZA, NA HAKUNA MASHARTI MEMA.... MAANA WAKO WANAOAMRISHWA KUSWALI NA HAO MAJINI.... JE, HUYO ANAYESWALI KWA SHARTI LA MAJINI, WANAKUWA WANAMSWALIA NANI... JINI AU ALLAH??!
    MNAPIGA VITA USHIRIKINA KWA KUWAPA WAISLAMU USHIRIKINA MBADALA..... HIYO SIO DAAWAH YA TAWHEED KABISA.... HUO NI UJANJA UJANJA WA KUKUSANYA PESA KAMA WATU WA UPAKO..
    UISLAMU HAUNA MAFUNDISHO HAYO, MNATUMIA UJINGA WA WATU NA DINI YA ALLAH KWA MASLAHI YENU..
    INASIKITISHA SANA
    MAJINI WEMA WAPO KAMA WALIVYO WEMA KATIKA BINADAMU ILA HAWANA HAYO!
    MNAZITUMIA CHANGAMOTO ZA MAMA ZETU NA DADA ZETU VIBAYA... HUO SIO UADILIFU!

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 Рік тому +2

    Somo zuri...mimi ni mkristo lkn napenda sana kufuatilia mawaidha ya kiislam

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Рік тому +1

      Maashaallah Allah akuongoze kwauwezo wake uje kwenye Dini ya haki🤲ya uislam

    • @chingychingy2066
      @chingychingy2066 Рік тому

      @@hanifatanzania7258 inshaalah mwenyezi mungu anifanyie wepesi kwa ilo

    • @RajabIssa-vx4rv
      @RajabIssa-vx4rv Рік тому

      Karimu kwenye nuru ya uislam

  • @eliudkimari-wt5cl
    @eliudkimari-wt5cl Рік тому

    Shehe nakubali

  • @3kingsmusictv873
    @3kingsmusictv873 10 місяців тому

    MashaAllah ❤️ alhamdulillah kwa elimu

  • @aliodero2092
    @aliodero2092 Рік тому +8

    Huyu sheikh wetu ameanza kupotezwa na ibilisi hawa wa suti ni kina nani na mafuta na ya kufukuza majini hii haiko mbali na ukiristo. na majini kupeana utajiri ama kuizuia utajiri hii sio ukweli utajiri yote iko kwa Allah. Majini watoe utajiri wapi? Wajiadhari hivi ndio shetani hupoteza watu wa elimu

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Рік тому +1

      hayo mafuta yana visomo vya ruqyah yamesomew quran hayana tatizo ni tiba

    • @fridageorge2809
      @fridageorge2809 Рік тому

      Majini na ukristo wapi na wapi!!? Unajisahaulisha!!?

    • @Kobe_Sungura-2024.
      @Kobe_Sungura-2024. Рік тому

      ​​@@nahlahassan-fd6leKWAHIYO RUQYA NAYO NI BIASHARA.... AU UKAE NYUMANI USUBIRI WENYE HIYO SHIDA..
      KWAHIYO KAMA DAWA NI HIYO RUQYA NA SIO HAYO MAFUTA, MSOMAJI WA RUQYA NI YEYE TU NDIYE SPECIALIST..
      KAMA ANAKUSUDIA KHERI KWANINI ASIWAFUNDISHE NAMNA YAKUYASOMEA... NA AWAELEKEZE MAFUTA YANAKOPATIKANA WAPI..
      WAISLAMU WASIOKUWA NA MIONGOZO HAWATOACHA KUFATA TARATBI ZA WATU MAYAHUDI NA MANASWARA KATIKA MAISHA YAO, NA MBAYA ZAIDI WAKIYAHUSIANISHA NA DINI..... MTUME WETU, SALA NA SALAMU ZIWE JUU YAKE KISHATUFINDISHA HIYO FITNA... YAKUFATAFATA KILA KITU KUTOKA KWA WATU HAO!

    • @Kobe_Sungura-2024.
      @Kobe_Sungura-2024. Рік тому

      ​​@@fridageorge2809MMESAHAU NINYI NDIO WENYE KAZI YA KUFUKUZA MAPEPO KILA SIKU MAKANISANI NA HAWAONDOKI
      AMA PROPAGANDA YA UISLAMU NA MAJINI, ENDELEENI KUMEZESHANA HUKO HUKO VIJIJINI..
      HAKUNA KITABU KILICHOPINGA USHIRIKINA KWA NGUVU KAMA QUR AN, NA HAKUNA DINI INAYOPINGA USHIRIKINA KAMA UISLAMU, NDIO MAANA HUUKUTI UTATU KWETU..
      AMA WASHIRIKANA WAPO KATIKA WAISLAMU NA WAKRISTO ITATEGEMEA NA MAENEO...
      JE, NI ULAYA AU UARABUNI?!
      NI MIKOA YA PWANI AU BARA..
      KWANINI WAGANGA WA MBEYA NA RUKWA NI WAISLAMU?!

  • @DafudaDotto
    @DafudaDotto 9 місяців тому

    Wadanganye waisliam huo uongo
    Na uislamu ni uchawi mtu tena ulivyo muongo pindi uislamu haukaja hapakuwepo na wataraam mbona huo ni uongo hazarani

  • @allymnzava3818
    @allymnzava3818 Рік тому +1

    Assalaam alaykum. Jamani, mtakaoangalia hii video huyu mtu anawapoteza. Hakuna jinni mzuri anayeshirikiana na binadamu, jinni yeyote anayeshirikiana na binadamu ni mbaya hata kama anakupa masharti ya kuswali. Hayo masharti ya kuswali ndiyo shirki yenyewe sasa kwa kuwa utakuwa unaswali kwa kumtii jinni na sio Allah! Ametoka kusema kuwa mtu akitibiwa na mganga akasema asingekuwa yeye nisingepona ni shirki, sasa hiyo ina tofauti gani na hizo pesa za majini badala ya kumuomba Allah. Jiepusheni na hawa wanaojiita mashehe kumbe sio! Huyo anawatapeli apige pesa ya dawa zake na kuwaingiza kwenye shirki ndugu zangu. Huo anaotangaza ni ushirikina ndugu zangu.

  • @PascaLwesso-sf4qi
    @PascaLwesso-sf4qi Рік тому

    🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🔴🔴🔴🔴🔴❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥

    • @PascaLwesso-sf4qi
      @PascaLwesso-sf4qi Рік тому

      🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

    • @PascaLwesso-sf4qi
      @PascaLwesso-sf4qi Рік тому

      🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

    • @PascaLwesso-sf4qi
      @PascaLwesso-sf4qi Рік тому

      🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

    • @PascaLwesso-sf4qi
      @PascaLwesso-sf4qi Рік тому

      🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

    • @PascaLwesso-sf4qi
      @PascaLwesso-sf4qi Рік тому

      🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

  • @Direct-0000
    @Direct-0000 Рік тому

    huu ni utapeli.... mtumishi wa mungu ana lindwaje..? uuzwaji mafuta tena... kwanini asigawe bure ayo mafuta badala ya kuuza ili apate baraka kwa mungu ....kweli wakina mwamposa mpo wengi..

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 10 місяців тому

      Ayo mafuta yakutoa bule anayaokota tu mabalabalini?
      Ushawai kwenda kumpa ata sabuni yakuogea?
      Kabla hujamshauli mtu afuate uyatakayo wewe ushawai fanya ivyo?
      Kashawai kukuambia hatoagi sadaka ?
      Kama mtumishi wa mungu atakiwi kuwa na walinzi kwanza mtumishi wa mungu hafuatwi na watu wenye fujo?

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 9 місяців тому

    shehe si unamuamin allah unatembea na walinz wa nini 😂

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 Рік тому

    Wamefikiwa

  • @IbrahimPhilipo
    @IbrahimPhilipo 9 місяців тому

    Nikweli huyu sule nimemuelewa

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 Рік тому

    Dah,Dr.Sulle siku hizi ana ma bodyguards?

  • @amanisaid9863
    @amanisaid9863 Рік тому +4

    Huyu mganga ila anatumia akili sana😂

  • @nkurunzizaalphonse
    @nkurunzizaalphonse Рік тому

    Coroan came from the devil.

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Рік тому +1

    🤝👏👏👏

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 9 місяців тому

    Mfanya biashala wa mafuta

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 Рік тому

    Kuna tofaut gan kat ya sulle na mwamposa wote wauza mafuta wapigaji tu

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 Рік тому +3

    Dr.sulle Mimi nikupe 🌹💐🥀 mapema maana huwa huyumbishi maneno

  • @MkBoneface-dl4hn
    @MkBoneface-dl4hn Рік тому +4

    Allah Akbar allah akubariki Dr sule Mimi abubakr Mugeni Congo djimbo la Maniema kasongo nimekuombea Allah akupe umri mrefu usife MPa unifunze hata erufi modja inshaallah Allah anikubalie

  • @jaliabahat1520
    @jaliabahat1520 Рік тому +1

    tuachage roho mbaya kwani sule kuwa na walinzi kunaubayagani husuda tu

  • @asalafiyahhussein7767
    @asalafiyahhussein7767 Рік тому +1

    Walinzi wa nn ustadh?

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 Рік тому

      Si anataka kuuza mafuta sasa nan atalinda pesa mnafiki huyo hana lolote, ety mtume anaelimu kubwa wkt alikua hajui kusoma wala kuandika

  • @gmbrown1429
    @gmbrown1429 Рік тому +2

    Majini yanyo mtii Mungu 😂😂😂nyie bwana wakaushi kweli kweli😂

    • @kunsule9261
      @kunsule9261 Рік тому

      Majini wanao mtii Mungu wapo. Na wasio mtii Mungu wapo. Kama Tulivyo wana adamu na majini ndiyo hivyohivyo. Kama hulijui hilo basi Uchache wa elimu.

  • @chirorophus6927
    @chirorophus6927 Рік тому +12

    Mashallah Alhamudulillah Dr. Al-hajj mwenyezi mungu akuweke

  • @jumakatanje955
    @jumakatanje955 Рік тому +4

    Sasa sheh si uwatoe hao walizi na utumie hayo mafuta kujilinda?

    • @saidaly8201
      @saidaly8201 Рік тому

      Ww huna akili mbn mtume alikua na majesh Sasa mbn asi muambie mungu tu awapige makafir kama uislm unakuletea shida na ww nenda kwa yesu Cristo tuachie dini yetu

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 10 місяців тому

      @jumakatanje
      Unaakili za kishamba

  • @AbuuAbdilRahmaan
    @AbuuAbdilRahmaan Рік тому +4

    MZEE SULEY... UNAKATAZA SHIRK MOJA YA KUTUMIA MAJINI MABAYA...UNATANGAZA SHIRK YA KUTEGEMEA RIZK YA MAJINI WEMA...ZOTE SHIRK TU...

    • @AbuubakarLinus-sr5ox
      @AbuubakarLinus-sr5ox 10 місяців тому

      Mimi nimemsikiliza ila kwa hili hapana. Majini wema watabakia kuwa wema kwa upande wao na si kwa mafungamano na binadamu eti wakupe utajiri utajiri huo unatoka wapi ? Huyu Sure mmmm

  • @MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud
    @MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud Рік тому +11

    Mungu ndio mwenye utajiri ila Sio majini shekha kumbuka Mungu Hana mshirika

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan Рік тому +1

    Sheikh hapo kwenye kushirkiana na na majini nadhan uislam hauruhusu kushirkiana na majini... hapo sheikh kaongeze kisomo cha dini asee majini haturuhusiwi kushirikiana nao wawe wazur au wabaya hyo karma alipewa Nabil Suleiman pekee yake...

  • @jumannemuhammad2073
    @jumannemuhammad2073 Рік тому +11

    Allahumma swal'alaa Muhammadi,yah rabbi swalli alayhi wasalimu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹

  • @eishstoner6692
    @eishstoner6692 Рік тому +3

    Astaghafirullah hawa masheikh hawafai waislamu

    • @saidmadizi9152
      @saidmadizi9152 Рік тому

      Kw nini Hawafqi

    • @eishstoner6692
      @eishstoner6692 Рік тому

      @@saidmadizi9152 sababu moja wapo ya sisi kutokuana majini ni kutojihusisha nao iweje mtu asema waeza omba upewe jini mzuri na akakuletea Mali..tena akastitiza kuna mafuta yapo yakuondoa majini wabaya ukaletewa wazuri

    • @eishstoner6692
      @eishstoner6692 Рік тому

      @@saidmadizi9152 haifai wale n viumbe wa Allah nawako wazuri lakni wazuri wanaofanya ibada lkni sio wale wakujihusisha n binadamu hao sio n wabaya

    • @eishstoner6692
      @eishstoner6692 Рік тому

      @@saidmadizi9152 leo yy asema eti sijui mke aeza kuja na jini akaleta Mali...risk atoae n Allah basi

  • @AlexEduinBitogwa
    @AlexEduinBitogwa 11 місяців тому +1

    Shehe mungu akubariki san unahubiri vizuri san unaongea vizuri sana huna upande wakuegemeya unaongea ukwerisan

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Рік тому +53

    Mash Allah na Alhamdulilah Mtume wetu ni Professor wa maProfessor ni mjuzi wa wajuzi kwa uwezo wa Allah alie muwezesha kupitia Quran yetu takatifu Quran haijaacha kitu. Tusemeni Alhamdulilah kwa Neema hii ya Uislam.

    • @aminanahimana8759
      @aminanahimana8759 Рік тому +3

      آمين يا رب العالمين

    • @OmarNzili-nd2mh
      @OmarNzili-nd2mh Рік тому

      Alhamdulillah

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 Рік тому

      Acha ujinga wewe. Mtume wako ni chizi. Si ndio alisema homa inatokana na joto la motoni 🤣😂😅 kasome Sahih Al Bukhari 3262

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Рік тому +3

      @@ikabako2454 Mwenyezi Mungu atakulipa kwa hii kauli yako. Uchizi ukupate wewe kabla hujakufa. Namuomba Mwenyezi Mungu aitikie hii Dua yangu huku nimefunga leo saumu !! Hii kauli ikuridie wewe uwe chuzi kabla ya kufa kwako Amiin Rabbil Alaamin.

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Рік тому

      @@ikabako2454 kauli hii ijurudie kwako labda In shaa Allah .

  • @mundhirhassan2708
    @mundhirhassan2708 Рік тому +3

    Ikumbuke siku ambayo utabeba mizigo yako na ya wale ambao uliwapoteza lkwa ujinga, na ni mzigo mbaya utakao beba

  • @operabetaoperabeta8813
    @operabetaoperabeta8813 Рік тому

    Mabadiliko ya MWEZI anayoeleza yalishatokea hata kabla ya mtume Muhammad,na Hadi leo mabadiliko hayo yanaendelea, mfalme Suleiman mwana WA mfalme Daudi mfalme WA TAIFA la Israel alisema HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA.

  • @KhadijaAbdallah-xb3uh
    @KhadijaAbdallah-xb3uh Рік тому +2

    Aka kashekhe kana tafuta pesa msikalaumu😂😂😂

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 Рік тому

    Sasa ao mabauzaa wanafanya nini hapo tena wanalinda kitu gani iko

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 Рік тому

    Hakuna jini mzuri hiyo haipo jini ni jini tu,

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 Рік тому +8

    Inno lillah wa inna ilayhi raj'uun..!!Waislam someni elim za kisheria ili kuepukana na matapeli kwenye vazi la Uislam..!! Allahu musta'aan

    • @abasmaalim5423
      @abasmaalim5423 Рік тому +1

      Sheikh anatoka katika njia ya sawa sababu ya pesa. Tunamuomba Allaah afya na salama. Elimu ya dini ndo ufunguo wa maisha

    • @shabanbaheza4711
      @shabanbaheza4711 Рік тому

      Acha ujaahil ww salafy mavi

  • @alexraymond1623
    @alexraymond1623 10 місяців тому

    Dunia na vyote viijavyo ni mali ya BWANA, Jini hatoi mali fanya kazi kwa bidii siku sita ya Saba fanya ibada ya mwenyezi Mungu wa kweli utabarikiwa

  • @saidali-xv8yh
    @saidali-xv8yh Рік тому +4

    Sulei mbona unasema majini wanaweza kukupa utajiri, huoni kwamba hiyo ni shirki?.

    • @MaalimYussuf-qy9ic
      @MaalimYussuf-qy9ic Рік тому

      Kama wewe ni mwislamu soma history ya nabii suleiman utajiri wake kaupata vip

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 Рік тому

      Ni utajiri wa kutahiniwa!

    • @aljalilatiba9873
      @aljalilatiba9873 Рік тому

      @@MaalimYussuf-qy9ic
      NABII Suleiman Aliomba Dua kwa Mungu Allah TABARAQA wataalah

    • @MaalimYussuf-qy9ic
      @MaalimYussuf-qy9ic Рік тому

      Aliomba duwa ya nin

    • @MaalimYussuf-qy9ic
      @MaalimYussuf-qy9ic Рік тому

      Mim nimekuwambia utajiri wake ameupata kupitia hao majini lakini hakuwa mshirikina kama unavyosema wew

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 Рік тому

    Sasa hao wajamaa wamesimama nyuma yako ni wanini?

  • @KobaRadjak
    @KobaRadjak Рік тому

    Naaam Dr Sule

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Рік тому +2

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @meshackmayenga969
    @meshackmayenga969 Рік тому

    Majini tena yana urafiki na binadamu???Da hapo shekhe umedanganya umma
    Majini ni mashetani tu hayapo mashetani mazuri na mashetani mabaya.Unafundisha ushirikana. Njoo kwa Yesu upone.