UTACHEKA! Sheikh KIPOZEO Amwambia MAGUFULI "I LOVE YOU" Hadharani!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • UTACHEKA! Sheikh KIPOZEO Amwambia MAGUFULI "I LOVE YOU" Hadharani!
    Sheikh Kipozeo amemwambia Rais Magufuli 'I LOVE YOU' Mbela ya umati uliojitokeza makao makuu ya TTCL, Katika hafla ya upokeaji wa Gawio kutoka kwa TTCL ambapo Rais Magufuli, ndiye mgeni rasmi...
    Ilikuwa ni ndoto ya Sheikh Kipozeo ya muda mrefu kuwa siku akikutana na Rais Magufuli, uso kwa uso basi atamwambia maneno haya 'I LOVE YOU' na leo Mei 21, ndoto yake imetimia.....
    #SHEIKHKIPOZEO #RAISMAGUFULI
    www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

КОМЕНТАРІ • 254

  • @yahyasabil921
    @yahyasabil921 4 роки тому +1

    Na mimi ninampenda rais magufuli mwenyezi mungu atuhifadhie rais wetu mpendwa na kila shari , mwenyezi mungu amjaliye siha wa afya , hikma na busara aiongoze nchi yetu ya Tanzania (Ameen)

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 5 років тому +8

    Allah akulipe kheir kipozeo pia Allah akulinde magufuri na asante TTCL kuwaweka pomoja kipozeo na magufuri.

  • @alamoody3668
    @alamoody3668 5 років тому +4

    Mimi ni mkenya na nampenda rais wenu kwa juhudi anazofanya he is humbled person he's always straight forward trying he's best to remove all bad politics including bribery. Well done Sir magufuli yaani i wish kenya tungekuwa na rais kama wenu mungu atubariki sote.

    • @binarytanzania
      @binarytanzania 5 років тому

      Wew bana baki na ya kwenu kenya

    • @alamoody3668
      @alamoody3668 5 років тому

      @@binarytanzania what the fuck is wrong with you??? Hivi kwani ni makosa kuandika hiyo comment? Nani alikuuliza to reply on my comment falaa mmoja ww kumbavuuuu

    • @binarytanzania
      @binarytanzania 5 років тому

      😂😂😂😂

    • @JesseAkabwogi
      @JesseAkabwogi 4 роки тому

      That guy is from Tandale.... Like kibera if u get what I mean. Magufuli is ur president because he is the chair of east African federation....

  • @ibnually7428
    @ibnually7428 5 років тому +22

    Katika hadithi mtume (Rehma za Allah na amani zimshukie ) anasema: "Mambo matatu mtu akiwa nayo hupata utamu wa imani ......na akimpenda mtu hampendi ispokuwa kwa ajili ya Allah....."

    • @aligeraden3559
      @aligeraden3559 5 років тому

      Kwa "ajili" ya Allah

    • @ahmadabdul4126
      @ahmadabdul4126 4 роки тому +3

      Mtume s.a.w aliwaamrisha maswahaba waende Ethiopia na akawaambia hakika kule kunao mfalme muadilifu hapendi dhulma na hakuwa muislam hata mm pia nimkenya lkn nampenda magufuli sana nanamuombea allah ampe uongofu

    • @latifahmilkah4371
      @latifahmilkah4371 4 роки тому

      Kweli

    • @omaar5693
      @omaar5693 4 роки тому

      Lakini pia moyo umeambiwa kupenda anaekutendea wema so huyu mzee anapendwa na wengi ingawa hakosi MAHATERS

  • @jahbless4063
    @jahbless4063 5 років тому +6

    Mungu ambariki Rais Magufuli

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 років тому +12

    Sheikh, kuna mijitu inajitoa fahamu na kujivisha upofu, hawaoni mazuri hayo. Wana uchungu wa kuyeyushiwa dili zao za dhulma kwa nchi😖, asante Sheikh Kipozeo

  • @alexkabeho5609
    @alexkabeho5609 5 років тому +1

    Ni hekima sana sheikh kumpenda kiongozi kama Magu Raisi wa wanyonge, anastaihili kutambua kwamba badhi ya watu wanatambua kazi zake ❤️

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 роки тому +1

    Magufuli unapendwa sana.kwa kazi yako baba yetu mm zaidi nakupenda.

  • @t1910j
    @t1910j 5 років тому +10

    Kwani kumpenda mtu ni vibaya. Hata mimi I love him so much kwa yote mazuri anayofanya kwa nchi yetu.

  • @chrishani3056
    @chrishani3056 5 років тому +10

    "The trouble with most of us is that we'd rather be ruined by praise than saved by criticism.”

    • @boscomaboga1021
      @boscomaboga1021 5 років тому

      My be that's true men

    • @algwiji
      @algwiji 5 років тому

      Hell of a saying there. So damn true

  • @emmanuelellymwakyusa2900
    @emmanuelellymwakyusa2900 5 років тому +1

    .....ALLAH AKBAR ......SHEIKH KIPOOZEO ni MTU wa FIKRA pana MUNGU ametupa REHMA KUWA NA ROHO zenye uvuvio wa MWENYEZI MUNGU

  • @johnkatindasa1750
    @johnkatindasa1750 5 років тому +4

    I am also Love Magufuli. We need you so much.

  • @sadakimenya1898
    @sadakimenya1898 4 роки тому

    Sheikh kipozeo unajitihada yakuchangamsha baraza Masha Allah

  • @husnakusoma2241
    @husnakusoma2241 4 роки тому +1

    Love ur president I'm from kenya

  • @kisyerikotack2430
    @kisyerikotack2430 5 років тому +16

    mashallah umesalimu vizur sana ndo uislam huoooo

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 років тому +1

    Mashallah sheikh 🙏👍👍👍👍

  • @alhadhaji5086
    @alhadhaji5086 5 років тому +5

    Ifi kweli Sheikh kipozeo Unampenda huyo Basi juande kufufuliwa nae Enyi Masheikh Mcheni Allah njaa zitawapeleka pabaya.Ww kuna Masheikh kibao wako ndani unakuja hapo ili uwapumbaze Waislaam. Njaa mbaya khfu zimekutanda kila upande. Waislaam kuweni macho Allah anatuonyesha Wanafiki hao kweli Azandiki hudhihirisha Uislaam akaficha Ukafiri. Allah awaongoze. Ewe Allah tubainishie wale wasiokuwa miongoni mwetu na Mpe umri Mrefu na umtowe khofu Sheik Ponda na wenye msimamo kama wake. Kipozeo Jee Hujui kama Masheikh wako ndani au ndio ni Uamsho unaogopa usijewakera uwapendao

  • @azeezaabdalla4673
    @azeezaabdalla4673 4 роки тому +1

    Ata Mimi namwambia magufuli laisi wangu love you love you 😊😊😊

  • @pendokatindasa2281
    @pendokatindasa2281 5 років тому +2

    Safi sana Sheikh wangu.

  • @khanrashidi394
    @khanrashidi394 5 років тому +3

    Dah al akhy kipozeo njaa itakuuwa mwenyewe mboni haja nashobo nawewe dah sheikh omary bashir Allah akulehemu

  • @beninternationaltv3136
    @beninternationaltv3136 5 років тому +25

    Tanzania kwakweli inchi nzuri natamani kufitaka Tanzania mimi ni nkongo nduguzangu ila kwa inchi yetu daaa kumupata raiisi kama huyo mtihani

    • @mapsfa8563
      @mapsfa8563 5 років тому +2

      Karibu sana ndugu uje utembelee Tz

    • @beninternationaltv3136
      @beninternationaltv3136 5 років тому +4

      fadhili mapunda ndakuja kwakweli asante

    • @geographyteacher.2961
      @geographyteacher.2961 5 років тому +3

      Karibu sana Tanzania! Tuna kila aina ya vivutio lkn amani, upendo na mshikamano ni nguzo zetu, karibu mno!!

    • @b9media144
      @b9media144 5 років тому

      😂😂😂😂 unaongea hvy wakati sahz upo tandale😂😂😂 watu bhana

  • @omarjeylani9144
    @omarjeylani9144 5 років тому

    I love you too Mr and my favourite president of all the president in the world. Wewe ni raisi wa kuigwa na kupendwa. Raisi wa wanyonge. Unatetea haki. Hupendi dhulma. Ni mkweli anasadia wa mama na watoto.

  • @lanazibrahim1210
    @lanazibrahim1210 5 років тому +2

    Even me I love magufuli

  • @focusmsimbe8946
    @focusmsimbe8946 5 років тому

    Mungu irehemu Tanzania na kutupa Amani kwa viongozi wote wa kidini na serikali yetu Upendo udumu haki itendeke kwa kila mtanzania na pia Mungu atupe kuwaheshimu viongozi wote wa dini na serikali...Mungu ibarki Tanzania,,, Ameen

  • @mohamedmbelwa8529
    @mohamedmbelwa8529 5 років тому +1

    Mimi ni Islamic lakini kwa mambo haya tunakatishana tamaa, kuna waislam wenzetu wapo jela tungekuwa tunatumia nafasi ndogo tunayopewa kuwatetea ingesaidia

  • @mtipulaiddy6694
    @mtipulaiddy6694 4 роки тому +1

    Yan we kipozeo unashidwa hata kuuliza mwaka w7 muamsho awajapata haki yao unaongea upuuz unauruma nawaislam wenzio subhuanallah awatakua radhi mayaud namaswara mpaka mfate milazao

  • @hujjatulasrsocietyoftanzan8420
    @hujjatulasrsocietyoftanzan8420 5 років тому +1

    That's nice

  • @minmaxc485
    @minmaxc485 3 роки тому +1

    RIP JPM

  • @salehehamidu500
    @salehehamidu500 5 років тому +9

    Enyi mlioamini msiwafanye baba zenu na watoto wenu kua ni vipenzi vyenu kama watapenda ukafiri wakaacha imani yakweli..babako mzazi hana nafasi sikwambii mtu sidamu yako ..
    Wallahu aalam..Rabbanaa laa tuaakhiznaa innasiina au akhtwaana...

  • @bekanjechele1554
    @bekanjechele1554 5 років тому +4

    Kweli yule marehem ustaadh Ilunga H.Kapungu Allah amlaze mahali pema, aliwai kusema nchi imetawaliwa na mfumo, sikutegemea Kipozeo angeweza kuongea pumba mbele ya mhe rais.

  • @mohammedsaidi6892
    @mohammedsaidi6892 5 років тому +4

    huyoo binadamu tuuu enyi masheikhe muogopeni allah s w

  • @paull8659
    @paull8659 5 років тому +16

    Tz inalia😭😭, nyie waislamu VIONGOZI BAKWATA, acheni unafiki🥺. Wenzeni mashehe wako ndani miaka 8, watu wanadhumuliwa( Kibiti na kwingine), kuuwawa, kuteswa, kutekwa ,hapa unaongelea " I love you...🙈" halafu unazungumzia ndege, badala ya kumuomba raisi asimamie haki🤔🤔. Hizo ndege waislamu wa kawaida zinawasaidia nini? Nyie BAKWATA hamuoni haya maovu? je mnasimamia haki ya watu? Allah wenu ni ibilis au ni Allah ambaye mtume wake ni Mohamad S.W.W? Tz inalia 😭😭

    • @alhajbau9987
      @alhajbau9987 5 років тому +1

      wengine wanfiki tu, baada ya hapo wawtetee wenzao wapo mahabusu miaka yote hiyo, unasifu ndege wakti kuna watu hata nauli ya basi hana.... mashekhe wetu wnateseka hata hukmu ya mahakma hakuna nini tunafanya, akina lulu wenye kesi za kuua wapo nje kwakua ni msanii..

    • @aminamauhfoda9201
      @aminamauhfoda9201 5 років тому +1

      Ni wajing Sana Kuna mashekh huu nimwaka wa nne wamo ndani ya gereza na rais anajua yaani hawa mashekh Ni mtihani kwakweli unasifia Mambo ya kipumbavu

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 5 років тому +2

      wale Masheikh si kama wapo Ndani eti kwa sababu ya Dini Laah Wale wameshitakiwa Kama Wanavyoshitakiwa kina Mbowe,Siasa ila kwa kuwa tu Zanzibar asilimia kubwa ni Waislam
      Ila suala hili lipo nje ya Nchi inamaana ni Sheria ya Wamarekani ndio Imewashitaki kama Washukiwa wa Ugaidi.Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun.
      Mungu awape subra ili walipwe makubwa zaid ya Waislam wote.

    • @mohamedkwiga6870
      @mohamedkwiga6870 5 років тому +1

      Kipoozeo umezidi Kupooza Tanzania hali mbaya

    • @alhajbau9987
      @alhajbau9987 5 років тому

      Baba Faisal ss kwanini hawshtakiwi tukjua, wapo tu ndani wakati kina lulu wnye kesi za mauwaji wapo nje ila mashekhe wapo ndani, hapa pana jambo tusdanganyane.. na si kwasababu n Zanzibar hata wngekua ni wabara madhali n mashekhe lazma tuseme..

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому

    Sheikh umeongea vizuri!!

  • @dianamadege1703
    @dianamadege1703 5 років тому +1

    Sijaona kibaya hapo kampenda Rais wake kuna ubaya au sabab kaongea kingeleza angesema nakupenda sana tusinge shangaaa

  • @justinwakudat6792
    @justinwakudat6792 5 років тому

    Mashallah🙏

  • @poschasbae9511
    @poschasbae9511 5 років тому +5

    Tatizo letu waswahili shida sana sasa mlitaka amwambie I hate u so much achen usenge muda mwingine

  • @zainabuhamza873
    @zainabuhamza873 4 роки тому

    Mashallah

  • @mozzaliuleiza9288
    @mozzaliuleiza9288 4 роки тому

    Uislamu mseto yani hawa hawafai kuitwa mashekh

  • @suleimansuleiman2436
    @suleimansuleiman2436 5 років тому +6

    Mtume (s.a.w) alisema, mtu atafufuliwa na ampendae, kwa hiyo unae huyo wendanae....

    • @mansooronlinetv535
      @mansooronlinetv535 5 років тому

      Bro kasomee

    • @mansooronlinetv535
      @mansooronlinetv535 5 років тому +1

      Hii dini imekj rahc kbsa usiilete khitilafu kaka

    • @justinwakudat6792
      @justinwakudat6792 5 років тому

      🤣

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 5 років тому

      @@mansooronlinetv535
      Mtume s.a.w amesema mtu atafufuliwa na kile akipendacho, hiyo ni sahihi labda we hujui dini pili akasema tupendane kwa ajili ya Allah na kuchukiana kwa ajili ya Allah, mansoor kasome dini, upate mwanga wa Akhera na dunia

    • @salehehamidu500
      @salehehamidu500 5 років тому

      Enyi mlioamini msiwafanye baba zenu na watoto wenu kua ni wapenzi wenu kama watapenda ukafiri wakaacha imani yakweli ...apa baba umekatazwa sembuse mtu hujahusiana

  • @MohdAli-mi8wv
    @MohdAli-mi8wv 5 років тому +6

    "Ilove you kweli" hivyo anavyotutesea mashekhe akiwaeka rumande bila makosa badala yakumwambia afanyavo sivo wewe unaongea upuuzi.

    • @shammysleyman7112
      @shammysleyman7112 5 років тому

      swadaktaa

    • @tumatuma6478
      @tumatuma6478 4 роки тому

      yupo kwa maslah yake

    • @khadijamussa3996
      @khadijamussa3996 4 роки тому

      Km wanamakosa hakuna haki ya kusamehewa wacha waadhibiwe✅✅

    • @MohdAli-mi8wv
      @MohdAli-mi8wv 4 роки тому

      Wewe pumba kabisa... Sasa kama kuna kosa sio lionekane waazibiwe kutokana nakosa lao!! Mbona kosa halionekani. Unajina zuri lkn matamshi kinyesi

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 5 років тому +2

    We all Love Magufuli our best President 💖

  • @issaajgar7868
    @issaajgar7868 5 років тому +10

    Njaa inakusumbua unajipendekeza ili upewe shavu,apo ulipo unatetemeka.

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 4 роки тому

    Shekhe wangu kipozeo mbona hamumwambii ukweli huyo jamaa. Sawa kanunua ata mkapa alinunua pia mashekh wetu wako ndani mpaka leo inauma Sana viongozi mnashindwa kumwambia huyo jamaa yenu

  • @burhanisaidi9811
    @burhanisaidi9811 5 років тому +10

    Kuna dajjal atakuja mwisho wa dunia lakin kabla ya yeye watakuja madajjal wadogo wadogo, mtume aliuza maswahaba mnawajua madajjal hao wakajibu hatuwajui, akasema ni wanachuoni waovu, ndio madajjal watakaokuja kabla ya masih dajjal.

    • @hamzahassan8839
      @hamzahassan8839 5 років тому

      Labda sheikh unamanisha ninikusema hivyo

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 5 років тому

      kwahiyo hadithi yako inatufundisha nini? mana kilichofanyika hapo na udajjal ni vitu 2 tofauti... fafanua vizur au umetoka usingizini ikakuta video ishajipley ungerudisha nyuma kabla ya koment.

    • @burhanisaidi9811
      @burhanisaidi9811 5 років тому

      @@captenndunga6745 ikiwa ufahamu wako uko vizuri natumai utakua umefahamu laa kama kichwa chako umebeba kama pambo bas kwa msaada tu katika uislaam hakuna masuala ya kujipendekeza kwa maadui wa Allah ni haraam, wanachuoni waovu ni wale wanaotupa imani zao kwa ajili ya dunia.

    • @burhanisaidi9811
      @burhanisaidi9811 5 років тому +3

      @@captenndunga6745 enyi waumini msiwafanye maadui zangu na maadui zenu kuwa ndio vipenzi vyenu mkawaacha waumini wenzenu! Na atakaefanya hivyo bas amekula hasara!!!! Magufuli I love you so much!!! Hahahahahaha!! Mnatafuta utukufu kupitia makafiri? Tambueni utukufu wote ni wa Allah! Yeye ndie mwenye utukufu.

    • @burhanisaidi9811
      @burhanisaidi9811 5 років тому

      @@hamzahassan8839 sio mie ni mtume huyo! Mi nimenukuu tu!!

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 років тому

    Good job 👍🏻

  • @viladhatv4473
    @viladhatv4473 5 років тому +16

    Umeona ndege tu, hujaona mashekh wenzako walioko jela?

  • @rahmashabani6483
    @rahmashabani6483 5 років тому +3

    Nimeamini kuna waielqm baadh yao ni roho mbaya.sheikh kipozeo kusemq anqmpenda rais imekua nongwa! duuh.qmchukie baba wawqtu kamfanyia nini kwani.mqgufuli anqpendwa na wqtu wote sio kipozeo tuu.acheni toho mbaya nyie.

    • @dominicboniphace5375
      @dominicboniphace5375 5 років тому

      Kweli kabisa kuña watu wanauzi

    • @mamawa3mamawa321
      @mamawa3mamawa321 5 років тому

      Dunia hii watu washaingiza watu peponi na wengine Motoni,sababu Kipozeo amemwambia rais I LOVE YOU,wanafanya dini kama yao

  • @romaisaameenameenameenyara2827
    @romaisaameenameenameenyara2827 4 роки тому

    Yaani sheikh mzima umepata fursA yakuongeza na Rais wenda onyesha njaa yako, badili yakumkabili na kumwambia Kuna waislamu wenzetu(mashekh wako magerezani wanateseka sahi takriban 10years wamefungwa bila HATIA, waenda onyesha njaa yako? ULIVYO mwambia I love u umepata nini? Kwanini msifuate nyayo za za viongozi mashujaa kama Jafar na WENGINE?? INNALILLAHI Wainailahi RAJIOUN

  • @asfarsham9037
    @asfarsham9037 5 років тому +1

    Sh wangu kipozeo leo umeniudhi.nlizani utamwambia kuhusu masheikh wetu walikuwa ndani bila ya hatia kwa miaka.

  • @drchinamodi6373
    @drchinamodi6373 5 років тому +1

    daaah kipoozeo anatetemeka sana wallah hahhahahah unafanya mchezo we Dr magufuli huyo ni Raisi wa Dunia nzima si tu Tanzania

  • @khamisshaaban4599
    @khamisshaaban4599 3 роки тому

    sheikh ubwabwa oyeeee

  • @feisaltamimi6231
    @feisaltamimi6231 5 років тому +5

    kipozeo ulicho kifanya pale kizuri ni jinsi ulivyosalimia tu. ninavyokuonaga sivyo ulivyo pale ungegusia masheikh waliopo jela hata kwa nidhamu

    • @wambiemalata8186
      @wambiemalata8186 5 років тому

      Feisal Tamimi iacheni sheria ifuate mkondo wake. Kama ikithibitika hawana kosa watatoka na ikiwa vinginevyo basi wao hawana tofauti na wananchi wengine waliofungwa na kutumikia vifungo vyao jela kwa mujibu wa sheria.

  • @emamuharamain4552
    @emamuharamain4552 4 роки тому

    Sheikh unatetemeeka kiss unaongea mbele ya rais, badala kumuuliza hapo vp mashekh wenzio waliopo jela watoka kwa utaratibu gani unakaz ya kumsifu, Kununua ndege ni wajibu wake km kiongozi sio msaada hapana, Nyie ndio mashekh mnaotutia mashaka na ushehe wenu,,.. ila allaah akusamehe sana.

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 4 роки тому

    Watu walikuwa wanajitafunia bila kujali kama tunakuwa tunakitu kinachoitwa taifa

  • @tugalegaleboxinggym5064
    @tugalegaleboxinggym5064 5 років тому +1

    Njaa bhna

  • @idrisasalum8013
    @idrisasalum8013 5 років тому +7

    Hakuna mtu anaethubutu kumwambia awatoe ndani wale walioekwa mahabusu mwaka wa Sita hakuna ushahid hivi ni vishehe njaatu vinaganga njaaa wapigania matumbo full kujipendekeza

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 5 років тому +1

      Nenda wewe basi kamwambie rais hayo unayosema

    • @aminamauhfoda9201
      @aminamauhfoda9201 5 років тому +1

      Kwakweli Ni mtihani ila mungu yuko pamoja nao

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 років тому

      Safi sana hjazuiwa kwenda wewe kumwambia!!!

  • @selemanijeanpierre7931
    @selemanijeanpierre7931 5 років тому

    Safi

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 5 років тому +4

    Hii ndiyo imagine tunayoiwakilisha waislam! Chance ya sheikh kuongea mnapeleka mtu bogus, hana knowledge kazi uchepe tu! Waislam wote tunaonekana watu wa kula wali na kucheza dufu tu! Very shame

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 років тому +2

    Njaa tu ndio inamsubua huyo mzee eti asifia ndege wakati wafanya biashara maduka wanayafunga na kurudi vijijini kuna watu wako mahabusu kwaka wa 6 sasa kisha ukae najikanzu lako na jikofia useme l love you pumbavu zako kwani usimwambie asimamie haki na aache batwili??

  • @2boyyusuf537
    @2boyyusuf537 4 роки тому

    Wewe semea dini sio mamb ya siasa mbna Mandalay majukum kwa mungu

  • @jamil1547
    @jamil1547 5 років тому +3

    Rufiji hakuna hata kiwanja cha ndege utakuaje na furaha ya and you can not go to rufiji with airplane ni mabasi tu Tena mabasi yenyewe ni mabovu is so sad kasema kwa sababu ya ndege

    • @fredymbaruku3244
      @fredymbaruku3244 5 років тому

      Hakuna kiwanja unauhakika

    • @jamil1547
      @jamil1547 5 років тому

      @@fredymbaruku3244 fredy sina huwakika kipindi naishi mtwara hakukua na kiwanja labda kijengwe sasa kama kipo I'm very sorry but people from there we want more than that because we are very poor

  • @mulangilakabwarebenson5128
    @mulangilakabwarebenson5128 5 років тому

    I AM BURUNDIAN
    MAGUFURI ,I LOVE YOU INDEED AND SO MUCH.
    KAMA NA WEWE UNAMPENDA UYU RAIS, SEMA KAMA MIMI.
    TOFAUTI YA KUMPENDA RAIS MAGUFURI NI HII:
    WANAO MPENDA HUONA MBALI
    WANAO MKATAA HUONA MBELE.
    KAANGENI INCHI YENU TANZANIA KWA VUES NA LIKES.
    HISTORY WILL TELL US.
    CHADEMA'S MACHINE IS STILL WORKING....
    WEKENI MKAA WA MOTO MFUKONI. CONTINUE

  • @loveofficial74
    @loveofficial74 5 років тому +6

    Mjiandae kula ndege

  • @salmamasuod1472
    @salmamasuod1472 5 років тому +4

    kipozea nais kuna kitu ulipanga kuongea ila ulivyomuona rais yote yameluka na ujajua ulichoongea lbda uludie kuangalia hii video et wasema ilove you mh rais na hongera kwa ndege nais alikuwa lengo lako siku nyingine jipange kwa hoja.

    • @tuphujekumuhkunonyiile3739
      @tuphujekumuhkunonyiile3739 5 років тому

      Ukweri kuna maojiano alisemaga iloneno labda aongezee namengne ilaalikuwa anakiu naye iyo faragha

  • @kidaumtumbwi1128
    @kidaumtumbwi1128 5 років тому +4

    Kipozeo hiyo I love you yako haina mpango kwanza ungemwambia hivi. " Ningekuomba Mzee Magu ikiwa utawatoa Masheikh wetu Jela basi kwanza ni kumshukuru ALLAH na jambo la pili ungemshukuru Magufuli kwa kumwambia hiyo I LOVE YOU.

    • @ethanuk9437
      @ethanuk9437 5 років тому

      Watanzania bhana kama sheik wamekosa kwann wasifungwe ...acheni udini

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 4 роки тому

    Ndege ina thamani kwa kipoozeo kuliko mashekhe wenzako walioko nadni? duh

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 5 років тому +1

    Yani hy Shekh au kichekesho ?? Ajioneshe tu kwamba anampenda hy Rais
    Shekh pesa

    • @shamimkingazi8925
      @shamimkingazi8925 5 років тому

      Si twampenda sana kama wewe wamuona kichekesho sis darsa zake zinaingia kichani uku tuko na tabasam

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 5 років тому +2

    Mapenzi yako sheikh si ya kudumu. Hakika wewe hii ni mara ya pili naona unajizalilisha mbele ya binaadam mwenzako. Mara ya Kwanza pale ulipoalikwa na Diamond na kuufyata .

    • @benjohnson1763
      @benjohnson1763 5 років тому

      Unatamani sheikh angekuambia wewe I love you so much.wacha mdomo, matusi na wivu

  • @jumabajurah6346
    @jumabajurah6346 5 років тому +2

    Duh sins usemi hapo nmefunga mie

  • @mohammedsaidi6892
    @mohammedsaidi6892 5 років тому +3

    hamjasoma kwa ajili ya allah bali mmesoma kwa masilahi yenuuu nyie masheikhe

  • @ibrahimally7735
    @ibrahimally7735 4 роки тому

    Jaman h baba mbona umemuandama msanii wetu diamond acha majungu piga kaz mtoto wa kiume au kama hauna raman njoo uwe tanboi wangu

  • @khamisabdallah8014
    @khamisabdallah8014 5 років тому +3

    Yani mashekhe wa bakwata wanapenda kujipndekeza

    • @fredymbaruku3244
      @fredymbaruku3244 5 років тому

      Khamis Abdallah Allah anakuona acha maneno ya kujichumia laana kwa Allah

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 роки тому

    Atar

  • @afsaabdallahshamteshamteab4597
    @afsaabdallahshamteshamteab4597 5 років тому +7

    Sasa hizo ndege sisi zakazigani tunataka wanao dai pesa zao walipwe

  • @abdulmarhaba3918
    @abdulmarhaba3918 5 років тому

    Huye sheikh was akitafta kiki tuh

  • @umuhani5316
    @umuhani5316 5 років тому

    Umepatikana unasua sua tu

  • @bakarimwamsho7090
    @bakarimwamsho7090 5 років тому +4

    Hawa mashekhe wetu ni shida mawadha yao na vitendo tofauty mashekh wapo ndani wamesahaulika amusemi munasifia watu mpaka sass wanadai pesa zao za korosho mwezi8 sass wewe unasifia duh a tali kweli

    • @beka4862
      @beka4862 5 років тому

      Mashehe mbona mumekuwa wanafiki sikuizi

    • @manyaramrema6531
      @manyaramrema6531 5 років тому

      Bakari sio masheikh tu bali hata viongozi wa dini zingine wamekuwa wanafiki sana!

  • @nagmynamahin2463
    @nagmynamahin2463 5 років тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 i love u sooo much

  • @binsultan5495
    @binsultan5495 5 років тому +8

    Kuna mashimo ya moto yameekwa spesheli kwa ajili ya mshehe wanafikii....... Kweli shehe wa bara sawa na mlevi wa pemba

  • @hassanhemed8782
    @hassanhemed8782 5 років тому

    Huyo sio shehe

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 5 років тому

    😁😁😁llove u so much

  • @abuubakarkhamis8421
    @abuubakarkhamis8421 5 років тому +1

    nina kuelewaga sana Sheikh wangu ila hapo umeyumba, sasa unampendaje kafiri kams sayyid na omary angekuwepo zama hzi basi ange kuchapa makwaju sanaa kwa hayo maneno yako mabovu

  • @ruqaiyyawaziri4287
    @ruqaiyyawaziri4287 5 років тому +1

    Ushuz kabisa hili sheikh njaaa tu

  • @hemisrashidi6041
    @hemisrashidi6041 5 років тому

    Et nimezionja

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 років тому +3

    Hakuna sheikh hapo wala dini ya kiislam sawa?hio ni siasa na waliokuwepo hapo ni makafiri na wanafiki sawa?Uislam sio dini rahisi kama wanavyofikiria watu sawa?maadui wa Uislam wamo ndani ya dini ya Uislam ndio hao wanafiki sawa?nauliza suali kafiri na m'nafiki kwani hora nani????

  • @umikram6755
    @umikram6755 5 років тому +5

    Nj AA.MBAYA

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 5 років тому

    I hope wakati maghufuli aliposimama alimuambia sheikh I Love U too Very Much😂😂

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 років тому

    dah kweli siyasa mtihani rais juu ya kazi kibao mpaka nywele za kicwani kuna baki pande mbili tu za katikati zote zilisha fyekwa juu ya siyasa.poleni rais

  • @hafsamohd7931
    @hafsamohd7931 4 роки тому

    Nguzo yatauhid alwalaa walbaraa kumpenda muislaam nakumchukia kafir tuache kutafuta mapenz kwamakafir

  • @stevek8318
    @stevek8318 4 роки тому

    What the hell ??

  • @JK-um6op
    @JK-um6op 4 роки тому

    Shehe tapeli👆🏻 huyu.

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 5 років тому

    Hikma

  • @adijaadija8339
    @adijaadija8339 5 років тому

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @fadhilsalum100
    @fadhilsalum100 4 роки тому

    Pichzangono

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 років тому +1

    Mzee acha hizo do!!!

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 5 років тому

    Hawa majinga ndo zitakua kuni za jahannam mim mdomo wangu hauwezi kumuita huyu ni msomi kabisa 🤔

  • @al-bsaidykhalef6897
    @al-bsaidykhalef6897 5 років тому

    Hakuwa na la kusema et Ilove you so much. Ameogopa huyo hampendi

    • @asumanmoshi1642
      @asumanmoshi1642 5 років тому

      Soma, elimu, yanduniani, upate, poiti

    • @Almisbahy9551
      @Almisbahy9551 5 років тому

      Kipozeo Hajakurupuka Kusema Hivyo Ttzo Lako Hujui Tu, Kipozeo Aliweka Hiyo Ahadi Zaman Sana Akasema Cku Nikikutan Na Maguful Ntamwabia Nampenda

  • @matrixalson6452
    @matrixalson6452 5 років тому

    Ataolewa huyu

  • @philipohizza814
    @philipohizza814 5 років тому

    Kenge ww

    • @khadijamussa3996
      @khadijamussa3996 4 роки тому

      Unamtukana mtu usiye mjuwa bs unampa daraja kubwa kwa allah

    • @philipohizza814
      @philipohizza814 4 роки тому

      @@khadijamussa3996 kwani nimetaja mtu !!!!! Nashangaa Mimi nimecomment tu

  • @chrishani3056
    @chrishani3056 5 років тому +3

    You love him so much because he bought planes and you got a chance fly in one? Why does this sheik, a community leader sound and talk like a 5 year old?

    • @kingmark6787
      @kingmark6787 5 років тому

      Shekh kipozeo kwisha habari yako