Bwana Yesu asifiwe. Nina ushuda kupiti. Huduma ya nenola. Mungu. Moshi. Uwanja wa mashujaa mamayangu. Alikuwa anaumwasana. Baadae yakwenda. Viwanja vya mashujaa. Kurudi namkuta kashaa poke uponyaji. Nasasa anendelea vizuri
Daah ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa huu ujumbe aisee nilipatà shida sana kukaa kwny guest kwa miez10 kwa ajili ya kazi nasiwezi kuhama kwakuwa ilikuwa nikambi nzima tuko pale ,hee nikaanza MAOMBI pale daah nilivamiwa namijitu ya ajabu nilipatà vita ambayo siwezi hata kueleza lkn nashukuru Mungu sana hakuniacha yaani 😢😢,unakutana na mmiliki anaonesha chuki kabisa naww daah hii nipoint kubwa sana watumishi wa Mungu tukiingia kwny hotel
Miaka ya nyuma nilikua Arusha nilikua nakuja sana kwenye kutaniko pale viwanja vya relin sasahv naish dar es salaam mungu azdi kukupa maisha marefu yenye baraka
Mungu akubariki sana mtumishi …kuna kitu nimejifunza hapo maana kuna saa huwa naomba lakni nashindwa kuelewa niombeje lakni to some extent nimepata mwanga❤️❤️❤️❤️❤️😱😱
Kweli baba Asante Yesu Kwa ajili ya haya maarifa Barikiwa. Kwakweli nashukuru Mungu Kwa maarifa haya naombea napolala tu,kitanda nk! Mengine hayanihusu! Ila hii baba alifundisha wapi mbona sijasikia Kwa style hii!?
Nilikodi shamba la kulima mpunga ekari 2 siku ya kupanda nikaomba kuzunguka mara saba matokeo yake mpunga ukaota na baadae ulisombwa na maji niliumia sana ila nikamshukuru Mungu
Bwana Yesu asifiwe. Nina ushuda kupiti. Huduma ya nenola. Mungu. Moshi. Uwanja wa mashujaa mamayangu. Alikuwa anaumwasana. Baadae yakwenda. Viwanja vya mashujaa. Kurudi namkuta kashaa poke uponyaji. Nasasa anendelea vizuri
Daah ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa huu ujumbe aisee nilipatà shida sana kukaa kwny guest kwa miez10 kwa ajili ya kazi nasiwezi kuhama kwakuwa ilikuwa nikambi nzima tuko pale ,hee nikaanza MAOMBI pale daah nilivamiwa namijitu ya ajabu nilipatà vita ambayo siwezi hata kueleza lkn nashukuru Mungu sana hakuniacha yaani 😢😢,unakutana na mmiliki anaonesha chuki kabisa naww daah hii nipoint kubwa sana watumishi wa Mungu tukiingia kwny hotel
Miaka mingi nimefuatilia mafundisho yako, yamenisaidia. Mungu akutunze pamoja na mkeo na familia yako.
Miaka ya nyuma nilikua Arusha nilikua nakuja sana kwenye kutaniko pale viwanja vya relin sasahv naish dar es salaam mungu azdi kukupa maisha marefu yenye baraka
Mungu akubariki sana mtumishi …kuna kitu nimejifunza hapo maana kuna saa huwa naomba lakni nashindwa kuelewa niombeje lakni to some extent nimepata mwanga❤️❤️❤️❤️❤️😱😱
Ili somo limekuja wakti sahihi Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Nabarikiwa Sana nikiskia mafundisho yakoo, hakika mwalim NEEMA ya Mungu iliyoko ndani yako Ni baraka kwangu
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu uzidi kutulisha neno lake tuimarike kiroho😊
Dah Asante Mungu nimesaidika Leo
Nabarikiwa Sana
Asante mtumishi wa mungu roho wa mungu atusaidie
Asante sana baba umenifungua ktk hili
Amen mtumishi wa Mungu ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu wangu na akutunze mwenyewe ilisha nipaga shida Sana hiyo
Asante Mtumishi Kuna jambo nimejifunza hapa
Asante sana baba haya maarifa yamekuja kwangu wakati muafaka
Amen
Amen mtumishi ninakuelewa baba
Amen somo zuri❤❤
Ameni Kwa mafundisho mazuri
Amen mwalimu
Amen sasa nimepata kitu cha kunisaidia baba
Amen somo zuli mtumishi wa mungu❤❤
Mungu alie yote katika yote akibariki wewe na kizazi chako
Amina bab hakika nimejifunz kitu hap
MUNGU aliyehai akubariki Sana baba
Asante sana mwalimu wangu.
Kristo mwlm l mwakaesege usiku wa Jana nmeota ulikuja kwangu ukanambia nitazaa watoto mawaziri neno ulinambia Nitulie ndoto ikaishia hapo
Nabarikiwa nikiwa madhabahu ya MUNGU ndani ya NEEMA YA YORDANI
Bwana kupitia madhabahu hii asaidie shamba letu lipate mtu mdogo wangu apate ada ya chuo
Amina Sana
✍🏾✍🏾✍🏾
Powerful
Hallelujah
Ee Mungu nisaide kuweza kuisikia sauti yako na niweze kuitii
Ubarikiwe sana mtumish wa MUNGU
Amen Neema tutafutane
Wafundishe sasa inakuwaje mpaka usikie sauti ya Mungu.
Kumbe hata wapangaji muda mwingine tunakosea kuomba.
Ameen
Kweli baba
Asante Yesu Kwa ajili ya haya maarifa
Barikiwa.
Kwakweli nashukuru Mungu Kwa maarifa haya naombea napolala tu,kitanda nk!
Mengine hayanihusu!
Ila hii baba alifundisha wapi mbona sijasikia Kwa style hii!?
Nilikodi shamba la kulima mpunga ekari 2 siku ya kupanda nikaomba kuzunguka mara saba matokeo yake mpunga ukaota na baadae ulisombwa na maji niliumia sana ila nikamshukuru Mungu
Neno la mungu kutoka kitabu gan?
Semina niliikosaaa BT yoteee aminaa
fuatilia somo lote
@@dwashiedward8692
Pole sana mpendwa
2nd to comment
Hivi huu ujinga huwa unawasaidia nini?
@@josephk90 wewe kuandika hivyo imekuongezea nini?
Emeenii baba
Amina 🙏
We shetani kasoro mkia
Shetani ni wewe hapo unayepinga neno la Mungu
Nifanye je ? ili nisikiye sahuti ya Mungu?
Nifanyeje niwezekujua kuomba kwa roho nakweli
Yesu nisaidie kusikia Sauti yako
Mnafiki Wewe acha uongo
Mmh jamni tumetofautiana Kwa mafundisho haya Kuna uongo duu Mungu pekee Akusamehe
Amen
Ameen
Amen
Amen
Amen