Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo uone jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana mteule.
Hakika wewe ni Mwalimu, Biblia ni ile ile lakini wewe unaeleweka zaidi kuliko wengine, unaeleweka hata na yule ambaye hana elimu kabisa, Mwenyezi Mungu akuinue uwafikie wengi zaidi waokolewe 🙏🙏🙏
Baba Asante Sana kwa Mafundisho yako Yaani nimekufwatilia 2019.Kiroho Changu Kimekuwa.Barikiwa Zaidi na Watu Wako Wote.Hongereni Maana Ministry. Mungu Wa Mbinguni AwaBariki Siku Zote!Nawapenda Wote🎉
Mungu WA MBINGUNI akutie Moto tena,wokovu ni wako daima,kushindwa kwako siyo kushindwa kwake,hakuokoi au hakukuokoa Kwa kuwa unastahili Bali ni Kwa kuw yeye ndiye anayestahili na yeye ndiye MSTAHILI WAKO HAKUNA KINACHOWEZA KUKUTENGA NA UPENDO WAKE MILELE,Kama ni dhambi alikulipia,Kama NI kifo amekufa na kufufuka Kwa ajili yako,Mungu akutie nguvu mtoto wake
Warumi 8: 37. Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda. 38. Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo, 39. wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na UPENDO WA MUNGU ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo uone jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana mteule.
Hakika wewe ni Mwalimu, Biblia ni ile ile lakini wewe unaeleweka zaidi kuliko wengine, unaeleweka hata na yule ambaye hana elimu kabisa, Mwenyezi Mungu akuinue uwafikie wengi zaidi waokolewe 🙏🙏🙏
Hakika nimeelewa Barikiwa sana
Mungu uzidi kumwinua mtumishi wko
Asante sana mwl hakika nimepata kitu kikubwa cha kijifunza na kukua Kiroho Mungu akuongezee zawadi ya umri zaidi.
Najivunia uwepo wako mzee wangu mungu akupe miaka mingii yakuishii
Mungu/MUNGU
Penda sana mwalim mwakasege♥️🙏 MUNGU azidi kuku linda
Mungu akulinde uzeee usijekwako kwakaribu
Asante sana mwalimu kwa ajili ya hiki kipande...naamini Mungu ana kusudi na maisha yangu
Amina Baba wewe ni aicone yetu Mungu wa mbinguni azidi kukutunza kwa ajili yetu
Tunakupenda mzee wetu Mungu akutunze sana 🎉
Mungu akupe wewe wingi ck ❤
Professor MWAKASEGE
Asante Yesu kwa kunipa kibali cha elimu hii ya Neno la Mungu
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Lile somo uliotoa pale Shinyanga nyunyiza dam ya yesu nimelielewa sanaaaa Mungu akubalike mwakasegee
Amen,baba nmebarikiwa sana.
Mungu akulind mzee wang
The Kingdom economic strategist we have in our times.
Msalaba nikwakila aaminiye🙏🙏🙏
Ee Mungu nirudishie miaka yangu kumi iliyoliwa na nzige. Amen.
Amen
Ameen dady am proud of u❤❤
Asante Kwa neno la uchumi nimebarikiwa🙏
Glory to god glory to god
Mtumishi mungu akubariki naomba mtumishi utuombee kwa jili ya ndoa yetu ijayo
Hakika nimekuelewa mwalimu ubarikiwe
Asante Mungu kunijilia nyakati hizi katika jina la Yesu Kristo Amina.
Amen Amen papa uhishi
Mungunakubaliki sana
Tunakupa baba ubarikiwe sana
Asante Kwa Ujumbe huu ,Mungu uishie Milele. Abarikiwe Mtumishi wako huyu milele yote
Asante Yesu kwa mtumishi wako Mwakasege Tanzania
Hii kweli njoo ule ushibe kiroho hakika nmejifunza kikubwa sana
AsanteYesu kwa ufunuo huu
Hallelujah
Mungu akupe nguvu z
Mwagaseke Arusha
Asante sana mtumishi
Amen baba 🙏
Amina, ubarikiwe Baba.
NAKUELEWA SANA BABA
BE BLESSED MY DADY🙏🙏🙏
MUNGU nikumbuke unirudishiye 2024 kwenda 2025 mimi ni mshinda nasahidiya mshindi
Hongera Sana kwa somo zuri?
amina
Ee yesu tusaidie tuokoke
Haleluyah
Kuna jambo kubwa sana nimejifunza
God bless you Man of God 🙏
Amina barikiwa mwalimu
Baba Asante Sana kwa Mafundisho yako Yaani nimekufwatilia 2019.Kiroho Changu Kimekuwa.Barikiwa Zaidi na Watu Wako Wote.Hongereni Maana Ministry. Mungu Wa Mbinguni AwaBariki Siku Zote!Nawapenda Wote🎉
Mungu akuhifadhi siku zote baba angu😅
Amen 🙏
Amina Amina Amina
I'm blessed
Barikiwa sana
Courage l'homme de Dieu
Ni baraka kubwa kusikia neno hili
eee Mungu naombaa nlijeshee miaka yangu iliyoliwa
Neno zuri
Asante babba
Ubalikiwe
Amina
Mungu nilidishie miaka yangu 14 ya ndoa ilitoliwa na nzige
Ameen Baba
Haleluyaa.🙏
Kazi.nzuri.mwalimu.mungu.akutunze.milele.yote
Amen
AMEN
Ameniiii
Hakika mtumishi
R D C GOMA ubakiwe baba
Ameen
Aminaa
🙏
mwalim Mimi nakuombea uzidi kutulisha neno ila nimeludi nyuma saivi Mimi ni alexzanda Nairobi ninaitaji maombi yako
Mungu WA MBINGUNI akutie Moto tena,wokovu ni wako daima,kushindwa kwako siyo kushindwa kwake,hakuokoi au hakukuokoa Kwa kuwa unastahili Bali ni Kwa kuw yeye ndiye anayestahili na yeye ndiye MSTAHILI WAKO HAKUNA KINACHOWEZA KUKUTENGA NA UPENDO WAKE MILELE,Kama ni dhambi alikulipia,Kama NI kifo amekufa na kufufuka Kwa ajili yako,Mungu akutie nguvu mtoto wake
Warumi 8:
37. Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
38. Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo,
39. wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na UPENDO WA MUNGU ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu.
🎉🎉🎉
Amen amen amen 🙏🙏🙏
😊
❤❤❤❤
Emen🎉
Ninajifunza
Amani
🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏
Hili somo zuri cjui full nalipataje?
Ee bwana nirejeshee
MUNGU WETU HADHIHAKIWIW
Mana.
Semina inayofuata baada ya kahama ni wapi?sion matangazo
Mwalimu Mwakseg unafundish vizr lkn sio mtumish unaefuatilia comments za watu na hat sim yako haipokelewagi
🦾Hili Neno la Mungu linatosha kujenga msulii wa Imani
Ufalme wa M ungu umetekwa na wenye nguvu
Emen
Tulishe kondoo tunakula mwl
Jamani naomba naomba naomba, nipate namba ya mtumishi wa BWANA yeyote ambaye anayo
Roho yangu inaenda kuangamia, yeyote atakayefanya hiv ameiokoa nafsi yangu
Umeshaipata?
Barikiwa mtumishi wa Mungu unaeleweka sana
God Bless You Abundantly Mwalimu
Amen 🙏🙏
Amen!!!
Hallelujah