Maombi yangu ni Mungu amuweke mwakasege miaka mingi sana kuna ambao tunakua kiroho na pia tunapata kiu zaidi ya kuutafuta uso wa Mungu tukimskiliza. Huyu baba Mungu amemchukua level zingne za kiroho. Yesu akupe miaka mingu MWALIMU
Ninapopita ktka magumu, nikiisilikiiliza mafundisho ya mtumishi ya mwakasege napata nguvu mpya,🙏Mungu akutunze na afiche uhai wako ndani ya Damu ya YESU 🙏🙏
Somo hili hakika limenilenga mimi na maisha Yale ninayoishi, nateseka ktk ndoa hii, ni naomba Mungu ambadilishe mume wangu, awe mtu wa kumcha Mungu, as he kutumia miadarati, lakini sijajibiwa na Mungu baba yangu, nitamrudia na kilio na unyenyekevu, nimuulize kwani I hajanijibu maombi yangu na Sasa ni km miaka mitano hivi ya mateso ndani ya ndoa yangu. Asante Sana mtumishi wa Mungu kwa neno hili, nimejifundisha mengi, barikiwa Sana. Amina... 🙏
Barikiwa sana baba, hili somo lilinitoa mahali,niliomba miez sita bila majibu lakini siku niliposikia somo hili niliingia kwenye mfungo kumwuliza Mungu kulikoni na akanijibu siku ya tatu, akanipa sababu za maombi kukataliwa niliamka nikamshukuru Mungu na nikauona mkono wake siku ya Tano,. Baba Mungu akuweke
Ameen...Ahsante Mungu kwa ajili ya utumish huu, na neno hili. Utupe neema baba ya kutokutazama matatizo yetu na ugumu wa maisha, bali utupe neema ya kuyaelewa na kuatamia maono uliyoyaachilia juu yetu. Uchungu, tabu, udhalimu, magumu yasitufanye tushindwe kuomba sawasawa na mapenzi na kulitimiza kusudi lako. Katika maisha yako ufalme wako uje.
Somo zuri sana. Mungu anabaki kua Mungu nyakati zote. Hata kama hajanijibu vile nilivyo tamani, bado anabaki kua Mungu mwema. Somo hili limenibariki sana sana sana.
Nakupenda Baba Mtumishi wa Mungu kila siku nakuombea Bwana akutie nguvu huduma hii bado tunaihitaji Sana na Kuna siku nimekuona katika ndoto ukiwa katika mto flani unabatiza nami nilikuwako huko
Asante mungu kwa kumtumia mtumishi wako maana nilipata hili neno nikiwa katka mazo magumu muno nami naomba unijibu maombi yangu juu yayale yote niliyoomba naamini kupitia neno lako takatifu napokea kwa jina la yesu kristo ameni mbalikiwe watumishi🙏🙏🙏🙏
Hii ni kweli hata Mimi limenitokea kwenye maisha yangu, nina mdogo wangu anaumwa ninaomba mungu kupitia somo Hilo mungu amfungue apone ninaamini mungu anakwenda kunijibu Sasa.
Hili somo kila nikilisikiliza napata kitu kipya. Mungu anabakia kua Mungu hata kama hajajibu vile nilivyo tarajia. Yeye anampango mzuri sana na sisi wanadamu.
Somo hili nimelifikia kupitia mtandao na limenipa moyo Sana kua Kuna siku MUNGU atanijipu maombi yangu na kunifungulia milango hili niwatimizie mama pajoma na Babu wangu ndoto yangu itimie katika jina la mungu wangu amen
Tuna shukuru Mungu kwa maano hii ya kurusha tena solo ili , tume barikiwa tena tume pata kitu tena , ilpendeze Mungu kumu discute tena na tena na ku mbariki mtumishi wake. Kama kuna kipindi cha kufata tafazali mwalimu ita tu saidiya
Ee Mwenyezi Mungu hili somo nimelipata leo ila litanifungulia yote ninayoomba kila siku na Mungu atanyamaza tena sasa ni zamu yangu kujibiwa maombi yangu baba
Neno la Mungu linaishi. Hili neno limenifungulia moyo wangu. Nimejua Kati ya kuomba na kulalamika. Mungu akubariki sana mtumishi. Nitaandika njozi🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ee,Mungu umtazame huyu mtumishi wako ukamtendee mema sana sku zote za maisha yake utukufu wako ukawe pamoja nae nyakati zote, nampenda sana mtumishi wako huyu, Ee Bwana Mungu muumba mbingu na nchi wewe ulie alfa na omega axante kwa chombo chako hiki ❤
Mtumishi kuna mahubiri fulani niliwahi kiwa nayo nikayapoteza..yanahusu maombi ya kuzunguka kama babeli na kumwaga damu ya Yesu iliyotoka sehemu zote za mwili wake. Nayahitaji sana mtumishi.naomba nielekezwe mahali hata kama ni CD ninunue
Ninamtukuza Mungu kwa ajili yako my Spiritual Father through you my eyes open and thirsty of seeking God increase in me Glory be to God. Mungu akutunze baba na azidi kukuimarisha.Amen
Kweli somo hili limenigusa sana,, ee MUNGU nihurumie na unisikie ombi langu,, mtumishi wa MUNGU asante kwa fundisho hili, nimelipokea kwa imani,,, BWANA YESU ASIFIWE
Jambo hili limekuwa moja kati ya ombi langu la evey day kana kwamba Mungu anipe kipawa chako mzazi wangu wa kiroho.nakufua toka D.R.Congo tume barikiwa saaaaaaaaaaaana kupitiya mafundisho yako babangu.naami kupitiya haya ninayo yapokea kutoka kwako...Mungu atanipa majibu kwa swali yangu.Mungu akubariki sana baba na piya abariki watakatifu wote kwa jumla
Kunajambo lilikuwa likinitesa niliomba niliomba sana Lkn ckujibiwa nilipata wazo kumuuliza mungu nashukur alinijibu na kitabu Cha wathesolanike 5-10-17 nikapata nguvu yakusonga mbele japo nilikuwa nimechoka sana
Kwa mara ya kwanza roho mtakatifu amenisemesha nimeamka nikiwa nimevunjika moyo sana sioni nuru nikawa naskia tu fungua UA-cam nafungua nakutana na neno hili tena nikiwa mtu wa kwanza kabisa😭
Asante Mungu nimeimarika ,nimejifunza, zaidi nimepata amani, utulivu. Mungu endelea kunifundisha kujua sababu na kusudi la maisha yangu, na mtoto wangu lakini zidi kuniunganisha na ndugu zangu , jamaa, na wanaonizunguka popote nilipo niweze kuishi sawa na mapenzi yako. 🙏
Maombi yangu ni Mungu amuweke mwakasege miaka mingi sana kuna ambao tunakua kiroho na pia tunapata kiu zaidi ya kuutafuta uso wa Mungu tukimskiliza. Huyu baba Mungu amemchukua level zingne za kiroho. Yesu akupe miaka mingu MWALIMU
Manukwa kweli na kubadilika ama kukua ti mdomoni
AMEN
Ameniiii aleluya
Ninapopita ktka magumu, nikiisilikiiliza mafundisho ya mtumishi ya mwakasege napata nguvu mpya,🙏Mungu akutunze na afiche uhai wako ndani ya Damu ya YESU 🙏🙏
Mungu akupe mengine ya zaidi mwalimu
Asante baba nilipo sikiliza somo hili Mungu amenijibu nmepata kazi thnx God hakika ukuu ni mkubwa sana ❤❤
Somo hili hakika limenilenga mimi na maisha Yale ninayoishi, nateseka ktk ndoa hii, ni naomba Mungu ambadilishe mume wangu, awe mtu wa kumcha Mungu, as he kutumia miadarati, lakini sijajibiwa na Mungu baba yangu, nitamrudia na kilio na unyenyekevu, nimuulize kwani I hajanijibu maombi yangu na Sasa ni km miaka mitano hivi ya mateso ndani ya ndoa yangu. Asante Sana mtumishi wa Mungu kwa neno hili, nimejifundisha mengi, barikiwa Sana. Amina... 🙏
Usijali Mungu ni mwema atakutendea
Akika mungu atakusaidia usikate tamaa kuomb
Ww miaka mitano unateseka tu! Hii n mpya
Amen.
Barikiwa sana baba, hili somo lilinitoa mahali,niliomba miez sita bila majibu lakini siku niliposikia somo hili niliingia kwenye mfungo kumwuliza Mungu kulikoni na akanijibu siku ya tatu, akanipa sababu za maombi kukataliwa niliamka nikamshukuru Mungu na nikauona mkono wake siku ya Tano,. Baba Mungu akuweke
Mungu akubariki sana Baba Kwa kusikiliza na kuitii sauti ya Mungu, Barikiwa milele
Amen, nimebarikiwa Sana mtumishi Mungu akubariki sana nilikata tamaa ili kwa neno hili naamini Mungu atafanya kitu juu yangu na familia yangu
Asnte sana mtumishi wa Mungu kwa somo hili nimepata kitu kikubwa sana Yesu akubaliki sana
Somo limekuja wakati sahihi kwangu, Barikiwa sana mwalimu
Balikiwa kwa somo zuli
UBARIKIWE SANA BABA, Leo nimejifunzaa kitu kipya. MUNGU AENDELEE KUKUPA MAARIFA ZAIDI KWA AJILI YA TAIFA LETU🙇🙇🙇🙇
Amina mtumushi ,najiambatanisha na madhabahu hii Mimi na familia yangu ,naomba Mungu anijibu sawa na haja za moyo wangu! Amen.
Ameen...Ahsante Mungu kwa ajili ya utumish huu, na neno hili. Utupe neema baba ya kutokutazama matatizo yetu na ugumu wa maisha, bali utupe neema ya kuyaelewa na kuatamia maono uliyoyaachilia juu yetu. Uchungu, tabu, udhalimu, magumu yasitufanye tushindwe kuomba sawasawa na mapenzi na kulitimiza kusudi lako. Katika maisha yako ufalme wako uje.
AMINA MUNGU ALIYEIANZISHA SAFARI YA MAISHA YETU ATUTETEE KWA DAMU YAKE YESU KRISTO TUNAMWAMINI ATATENDA TUSIKATE TAMAA
Somo zuri sana. Mungu anabaki kua Mungu nyakati zote. Hata kama hajanijibu vile nilivyo tamani, bado anabaki kua Mungu mwema. Somo hili limenibariki sana sana sana.
Mweee Mungu huyu ni waajabu, Mungu akuongezee miaka mingi uishi mtumishi, barikiwa sana baba.
Nakupenda Baba Mtumishi wa Mungu kila siku nakuombea Bwana akutie nguvu huduma hii bado tunaihitaji Sana na Kuna siku nimekuona katika ndoto ukiwa katika mto flani unabatiza nami nilikuwako huko
Mungu mtie Ng v mtumishi aendelee kutufundisha tusaidie kuelewa mungu nisaidie nijue kupambanua njozi au maono
Asante Mungu kwa somo hili kubwa sana kwenye maisha yangu. Limekuja kwa wakati sahihi sana . Asante Yesu wangu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Barikiwa sana baba,,,,Unatufundisha Mengi 🙏🏿Mungu wetu anajibu❤️
God bless you 🙏🏽 From 🇷🇼Rwanda
Asante mungu kwa kumtumia mtumishi wako maana nilipata hili neno nikiwa katka mazo magumu muno nami naomba unijibu maombi yangu juu yayale yote niliyoomba naamini kupitia neno lako takatifu napokea kwa jina la yesu kristo ameni mbalikiwe watumishi🙏🙏🙏🙏
Asante Roho Mtakatifu kwa kuachilia somo hili .Mungu .Mungu awabariki watumishi wake
Bwana Yesu Asifiwe Nashukulu kwa hili Somo Nimemuomba Mungu kwa Mda Mlefu ila ajanijibu Natumia Somo hili Kumuuliza tena Mungu Wangu Nina imani Naye
Ubarikiwe baba tunajvunia kua nawewe katka nchi yetu ya Tanzania
Hii ni kweli hata Mimi limenitokea kwenye maisha yangu, nina mdogo wangu anaumwa ninaomba mungu kupitia somo Hilo mungu amfungue apone ninaamini mungu anakwenda kunijibu Sasa.
Nina Imani hata mm atanijibu
Baba Mungu akubariki sana, umenigusa yaani naona Mungu kanyamaza lkn Asante kwa somo niendelee kuomba
Ameeen baba Neema ya Mungu iendelee kuongezeka juu yako Mara dufu
Haleluya haleluya! Groly to god groly jina la bwana libarikiwe mno. Na mungu akupe maisha maisha marefu na yenye heri pamoja na uzao wa nyumba yako
Barikiwa mwalim
Amen Mungu nisaidie nitimize lile kusudi uliloniletea duniani nisiishie njiani
AMEEEN 🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa
Amen
Mungu naomba usinyamaze..naomba ujibu maombi yangu usinyamaze Baba
Mungu akupe maisha malefu mwalimu 🙏🙏🙏❤️
Ahsante Baba na Mama Mwakasege na team nzima ya mana ministry
Hili somo kila nikilisikiliza napata kitu kipya. Mungu anabakia kua Mungu hata kama hajajibu vile nilivyo tarajia. Yeye anampango mzuri sana na sisi wanadamu.
Asante mtumishi wa Mungu hili neno limekuja wakati sahii kwangu Ee Mungu usinyamaze nikuombapo 🙏🙏🙏
For the first time kusikia hii massage nimekua nikisema kama nina uwezo wa kuuliza mungu maswali nigeweza
Asante Mtumish wa MUNGU kwa kutufundisha kutokata tamaaa. Tuendelee kumuomba Mungu.
Amen mtumishi mimi nayitwa judi naomba uniombe mimi na mtoto wangu maisha yetu magu sana kuna wakati mimi nakatatama ya maisha naomba utuombe
Asante mwalimu wangu Mungu naomba nisaidie njozi niliyo iyota mara kwa itimie aminaa 🙏🏿 🙏🏿🙏🏿
Nabarikiwa sana na mafundisho yako yananipandisha viwango vingine . Nipo songea natamani Sana nipate mafundisho yako yenye mlolongo kamili.
Barikiwa Mwl ,,Somo zuri sana sana.
Ameeeeen mtumushi hili somo lako limekuwa dawa kwangu Mungu kajibu mpaka NASHANGAA kwakwwli ubarikiwe Sana sana mwalinu Mwakasege🙏🙏🙏
Nashukuru kwaneno ilii linanifaya nipigeatuwa nimuhulizemungu kwanini aujibu amen ubarikiwe ddy
Somo hili nimelifikia kupitia mtandao na limenipa moyo Sana kua Kuna siku MUNGU atanijipu maombi yangu na kunifungulia milango hili niwatimizie mama pajoma na Babu wangu ndoto yangu itimie katika jina la mungu wangu amen
Asanre sana Mwalimu Mwakasege kwa kweli neno hili kwangu linanihusu kabisa Eee Mungu wangu nakuomba usinyamaze nikuombapo ombi langu
Tuna shukuru Mungu kwa maano hii ya kurusha tena solo ili , tume barikiwa tena tume pata kitu tena , ilpendeze Mungu kumu discute tena na tena na ku mbariki mtumishi wake. Kama kuna kipindi cha kufata tafazali mwalimu ita tu saidiya
Amen,Mungu akubariki sana.naendelea kujifunza mtumishi.
Ee Mwenyezi Mungu hili somo nimelipata leo ila litanifungulia yote ninayoomba kila siku na Mungu atanyamaza tena sasa ni zamu yangu kujibiwa maombi yangu baba
Asante mtumishi wa mungu kwa Somo.sifa na utukufu Ni kwa mungu aliye juu.amina.
Neno la Mungu linaishi. Hili neno limenifungulia moyo wangu. Nimejua Kati ya kuomba na kulalamika.
Mungu akubariki sana mtumishi. Nitaandika njozi🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ee,Mungu umtazame huyu mtumishi wako ukamtendee mema sana sku zote za maisha yake utukufu wako ukawe pamoja nae nyakati zote, nampenda sana mtumishi wako huyu, Ee Bwana Mungu muumba mbingu na nchi wewe ulie alfa na omega axante kwa chombo chako hiki ❤
Mtumishi kuna mahubiri fulani niliwahi kiwa nayo nikayapoteza..yanahusu maombi ya kuzunguka kama babeli na kumwaga damu ya Yesu iliyotoka sehemu zote za mwili wake.
Nayahitaji sana mtumishi.naomba nielekezwe mahali hata kama ni CD ninunue
Barikiwa mtumishi wa Mungu hakika nilivurugika mno ila kwa neno hili ninaona nuru tena
Asante Mungu kwa kunikutanisha na hili neno maana ni leo tu ndo nilikuwa najiuliza mimi kama mimi 🙏🙏🙏be blessed mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU umetutia moyo na kutokukata tamaa naomba MUNGU ajibu maombi yangu Amina
Hallelujah Hallelujah sifa kwa Bwana azidi kukupa maono Mtumishi wa Mungu aliye hai.
Hallelujah
Ninamtukuza Mungu kwa ajili yako my Spiritual Father through you my eyes open and thirsty of seeking God increase in me Glory be to God. Mungu akutunze baba na azidi kukuimarisha.Amen
Mungu akupe maono zaidi ya mafundisho yako zaidi somo hili na lile la kuombea lango au mzaliwa wa kwanza
Amen🙏👏🏻👏🏻👏🏻barikiwa sana mutumishi , hakika nimebarikiwa sana hakika bwana unaweza na ninaamini utajibu sawasawa na mapenzi yako 🙏🙏
Bwana Yesu asifiwe wapendwa nauliza ratiba ya semia mwenzi huu anaye jua anisaidie asante
Kweli somo hili limenigusa sana,, ee MUNGU nihurumie na unisikie ombi langu,, mtumishi wa MUNGU asante kwa fundisho hili, nimelipokea kwa imani,,, BWANA YESU ASIFIWE
Jambo hili limekuwa moja kati ya ombi langu la evey day kana kwamba Mungu anipe kipawa chako mzazi wangu wa kiroho.nakufua toka D.R.Congo tume barikiwa saaaaaaaaaaaana kupitiya mafundisho yako babangu.naami kupitiya haya ninayo yapokea kutoka kwako...Mungu atanipa majibu kwa swali yangu.Mungu akubariki sana baba na piya abariki watakatifu wote kwa jumla
Napenda Sana babangu na Mwalimu wangu. Hanaga mapicha picha ya miujiza. Nabarikiwa sana sana kumsikiliza.
Kunajambo lilikuwa likinitesa niliomba niliomba sana Lkn ckujibiwa nilipata wazo kumuuliza mungu nashukur alinijibu na kitabu Cha wathesolanike 5-10-17 nikapata nguvu yakusonga mbele japo nilikuwa nimechoka sana
God please hear my cry. I trust in you.
Amen my Father nitazidi kumkumbusha Mungu
Ameen Asante sana mwalimu Mungu akulinde na kukufunika pia
mungu akupe maisha maref baba ili uendelee kumtumikia mungu
Haleluya mtumishi
Mungu akutunze
Tunapata ufahamu
It worth listening and listening and listening again 🙏🙏 Mungu akubariki Baba 🙏🙏
Mungu akubariki mtumishi asante kwa mafundisho yako mazuri yananivusha sana
😍
Amen, nimebarikiwa sana.
Mungu akubariki na kukupa maisha marefu tufundishwe na Roho wa Mungu kupitia wewe.
Somo hili limenifungua sana macho,nimegundua nilikuwa siombi ila nalalamika..naomba msaada kama tutaweza kulipata hili somo lote
Kwa mara ya kwanza roho mtakatifu amenisemesha nimeamka nikiwa nimevunjika moyo sana sioni nuru nikawa naskia tu fungua UA-cam nafungua nakutana na neno hili tena nikiwa mtu wa kwanza kabisa😭
Daah...Amina mtumishi
Amina sana
Amina
MUNGU ATUSAIDIE!!!
Usial Mungu atakudumia
Amen,nashukru saaana kwa SoMo hili
Amina kubwa,
Mungu nikumbuke mali niko maisha sirahisi emungu pigana na madui zangu na wale wanao nipiga vita🙏
Mtumishi. Mungu Mimi huwa nabarikiwa Sana na mahibiri yako mungu akutumie kama apendavyo yeye
ubarikiwe mtumishi wa mungu namungu akupe maisha marefu
Asante Sana kwa somo kwani tumefunguliwa MUNGU akubariki Sana mwalim
Asante kwa neno la MUNGU mtumishi wa MUNGU heshima utukufu na mrudishia MUNGU kwaajili ya utumishi huu Amina
Amen poster be blessed in the name of Jesus christ
Ameni Mtumishi,Mwenyenzi Mungu akubariki sana
Amen... Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu
Hili somo ni zuri sana nimelitafuta mno sijalipata liwekeni lote watu wajifunze
Mungu aendelee kukuzidishia baraka mwalimu.
Mungu akulinde, nakupenda sana ww na familia Yako.
Mungu naomba ujibu haja ya moyo wangu kwa wepes amen
Amen, somo hili n nzuri, nataman nipate mwenderezo wake nlimalize lote
Asante Mungu Mm Naomba Ufunue Njozi Zangu
Asnte kwa somo zuri baba yangu nimeelewa nakupata nikiwa mby ubarikiwe
Wakati ninaopitia ni mgumu sana mungu nijibu na mim kama ulimjibu habakuki najua sistahili nisamehe bwana ninahaja nawe tena asante mtumishi na mim
Barikiwa mtumishi wa mungu kwa mafundisho Yako🙏
Zawadi ya mungu kwenye maisha yetu mungu aongeze miaka elfu juu yako
Hakika Mungu anipe nami majibu ya maisha yangu,Asantee Mwl.sitanyamaza kumwomba Anitendee
Amina Baba Mungu aendelee kuwatunza na kuwapa kibali
Amen mwalimu nalichukua hili ni langu na nitaleta majibu
Inafundisha sana Mungu aendelee kukupa maisha marefu
Mungu. Akujalie. Miaka. Mingi. Uifanye. Kazi. Yake. Endelea. Kulisha. Kondoo. Wa. Mungu. Amina
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Nimeguswa sana na hili somo naomba muendelezo wake ili niweze kumaliza na kujifunza zaidi
Ahsante 🙏🏾🙏🏾
Mungu akupe maisha malefu huku ukituombea injili msingi wake usiharibike leo walakesho mpaka Yesu mnazareti anarudi. Amen
Asante Mungu nimeimarika ,nimejifunza, zaidi nimepata amani, utulivu. Mungu endelea kunifundisha kujua sababu na kusudi la maisha yangu, na mtoto wangu lakini zidi kuniunganisha na ndugu zangu , jamaa, na wanaonizunguka popote nilipo niweze kuishi sawa na mapenzi yako. 🙏
Ubarikiwe sana baba,maana umetulisha chakula charohoni nimebarikiwa sana nanimepata ujasiri mkubwa nanimejifunza kusema namungu,AMEN....
Mungu akubarikii Sana Mwalimu Nimebarikiwa sana na hili somo Amen.
Asante kwa mafundisho mazuri baba