Nimekua muumini wa mafundisho yako kupitia "u tube" be blessed Pastor mafundisho yako yanafungua Sana uwelews wangu tangu nianze fuatilia. Nipo Dsm Kigamboni.
Pastor ubarikiwe huwa nakuelewa sana hasa kwenye hapa neno najifunza vingi sana kwako na mabadiliko nayaona kutoka kwangu kwenye maisha yangu Asante Mungu 🙏🏿
Amina mutumishi wa mungu ubarikiwe sana kwaimani napokea mafundisho yako yakakae ndani yangu makuniongoza sawa sawana mafundisho yako aminaa uwe na hekima atakulipa mungu unatufungua wengi nimepitia vingi ila wewe uwe mwalimu wa wana wa mungu waokoe nami moja wapo love is 🙌🙌👏
MUNGU Wetu Asante Kwa NENO LAKO. Thank You Lord for connecting me to this servant from a distant country. Umemifunulia Siri zako za ajabu kupitia Kwa huyu Mtumishi Wako. Asante Kwa Mtumishi Wako Pt. Mkabwa, ambaye umemuinuwa Kwa ajili ya kutuondolea upofu, uziwi Na upumbafu Wa kiroho. BABA YETU WA MBINGUNI zidi kumbariki, na kumtumia.
i like Pastor Mukabwa, he spent more than an hour speaking the gospel, sijamsikia akiongeya mambo mengine ila neno la Mungu. Ubarikiwe Pastor,
Kwanza kabsa pastor ubarikiwe Sana unatuelimisha Yani unatutoa uchafu ulioko ndan ya masikio yetu eeh mungu wangu uniongoze🙏
Nimekua muumini wa mafundisho yako kupitia "u tube" be blessed Pastor mafundisho yako yanafungua Sana uwelews wangu tangu nianze fuatilia. Nipo Dsm Kigamboni.
Asante sana Mungu kwa Neno lako bariki mchungaji wako na umzidizie nguvu ya kutuhubiria neno lako
Ubarikiwe mtumishi
Baba neema ya Mungu iwe juu hadi cku ya mwisho umlaki Bwana YESU
Mungu aendelee kukubariki.
Asante sana kwa mafundisho mazuri.
Nimepata mengi barikiwa mtumishi mzuri
Pastor ubarikiwe huwa nakuelewa sana hasa kwenye hapa neno najifunza vingi sana kwako na mabadiliko nayaona kutoka kwangu kwenye maisha yangu Asante Mungu 🙏🏿
Mungu,apewe,sifa
Kwamutumishi
Mutumishi.tunamupata,Mia.kwa
Mia,huku,burundi.abalikiwe
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wooooow my Prophet be Blessed ❤❤❤❤❤❤❤❤trueeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu haneni inje ya neno lake
Amina mtumishi ubalkiwe sana najikuta umekua baba angu wa kiroho
Huyu mtumishi wa Mungu ana kitu kinaitwa madini kichwani mwake. Mungu aendelee kumbariki.
I'm blessed by your teachings pastor. God bless you more
Tunning from Kampala Uganda be blessed pastor
You make me most of the time to get back to the Lord , be blessed Pst
Nabarikiwa sana na kufunguliwa sana0🙏
Bwana akurinde mtumishi wa Mungu. Mabarikiwa Sana.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akizidishe,nimefurahi sand eeh,neno moto moto
Uwa na barikiwa Sana na maubiri yako man of God may you be lifted Sana.
Amen pastor unanibariki
Ubarikiwe sana pastor George kwa neno lako takatifu hakika nimebarikiwa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤oooh Hallelujah Hallelujah be Blessed ... Niederösterreich oye
Asante mtumishi wa Mungu
Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi WA Mungu Glory to God ❤❤❤
amen😇😇😇😇😇😇😇
Mmmmmmmh....hakika Mungu anawatu aliojisazia mojawapo ni wew mtumishi Geoge aiseeeee
Barikiwa sana mtumishi,
Ningekuwa Mwanza mimi ningehudhuria ibada zote nisikose madini,Mungu akubariki Pastor
Mchungaji Mungu akure maisha marefu ili uendelee kufundisha neno la Mungu watu wake.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤My goodness you are amazing man of God❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤glorious glory Glory ❤❤❤❤Amen
Ubarikiwe pastor
Nimejifunza mengi kupitia hili neno,, Mungu akubariki sana pastor,na akuongoze zaindi
Amen Amen Nabarikiwa na kufundishwa sana katika channel hii barikiwa sana mtumishi
Nakutazama kutoka kenya nimebarikiwa sana mungu akujaze na neno ili uendee na kutubariki asanti
Baba mchungaji umenibariki kabisa miye njo Niko conservent kwa neno vraiment que Le bon Dieu vous bénisse
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa kutulisha neno lenye uzima
Amin,Mungu azidi kukuinua tupate mafundisho mazuri
Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu sikuwa najua haya yote
Asante mchungaji kwa hilo somo
Asante mtumishi kwa neno mungu akubaliki
Amen Amen Amen Neno nzuri ya baraka Asante mtumishi wa mungu
❤Amen
Powerful 👏 nimejifunza mabo mob sana BE BLESSED
Nimebarikiwa sana
Mungu aendelee kutumia mchungaj ubarikiwe sana na Mungu.
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana mtumishi wamungu kwa hili neno ...kiukweli umeninua kiroho
Ubarikiwe mtumishi nimebarikiwa Sana na ujumbe huu wa saut ya Mungu. Napende Sana huduma yako
barikiwa sana pastor
Am blessed Asante...mtumishi
Amina mutumishi wa mungu ubarikiwe sana kwaimani napokea mafundisho yako yakakae ndani yangu makuniongoza sawa sawana mafundisho yako aminaa uwe na hekima atakulipa mungu unatufungua wengi nimepitia vingi ila wewe uwe mwalimu wa wana wa mungu waokoe nami moja wapo love is 🙌🙌👏
Amen nimebarikiwa sana
⁰⁰⁰
Mungu akubariki mtumishi kwa Neno hili nzuri sana
Mungu akutie nguvu mchungaji unanibaliki sana 🙏 kila neno lako linanihusu mm, nimejifunza sanaaa
Mungu bariki huyu mchungaji wako mpee maisha marefu
Amen am in the verge of listening to the voice of God in the matters am facing
Mungu akubaliki San mtumishi Wa mungu hii neno imenigusa
I have been always loving Pastor George🔥❤️.
He is a TRUE MAN OF GOD
Mungu akubariki sn mtumishi wa Mungu kwani umefundisha sehemu muhimu sn
Mungu akubariki sana na hongera sana Kwa kupata neema hii ya kupokea chakula cha Bwana Kwa ajili ya kuwalisha watoto wa Yehova.
Amen Amen, Mungu naitaji kusikia sauti yako🙏🏾🙏🏾
Asante mwenyezi MUNGU kwa kutupa mafundisho mazuri kupitia kwa watumishi wako,,jina lako liinuliwe milele na milele tunaposikia neno lako aminaaaaa
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukutumia.
MUNGU Wetu Asante Kwa NENO LAKO.
Thank You Lord for connecting me to this servant from a distant country. Umemifunulia Siri zako za ajabu kupitia Kwa huyu Mtumishi Wako.
Asante Kwa Mtumishi Wako Pt. Mkabwa, ambaye umemuinuwa Kwa ajili ya kutuondolea upofu, uziwi Na upumbafu Wa kiroho.
BABA YETU WA MBINGUNI zidi kumbariki, na kumtumia.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu❤
barikiwa sana Mungu akutinze kwa ajiri ya ufalme wake
Barikiwa sana mchungaji kwa fundisho lako🙏🙏
Nakufatilia kutoka Dar. Nabarikiwa mno baba
Powerful i have being blessed🎉🎉watching from kenya😊
Amen, huu ujumbe ni wangu, Lord I will listen to your voice always.
Mungu wangu mpe mtumishi wako maisha marefu ili azidi kutuelekeza njia yako
Ameeni
Thanlks fof crucial teachings
Nabarikiwa sana mko upande gani
Glory to God
Naomba mungu anipe kibali cha kuisikia sauti ya mungu ubarikiwe mtumishi wa mungu
Mwenyezi mungu akupe maisha malefu
Na mungu hakuongezee neema mtumishi
Mungu akubariki kwa neno zuri
Najikuta nafurahia injili ya huyu Pastor 🥰
Nakuelewa mchungaji
❤❤❤❤ Ameeeni
Mungu nipe neema ya kuweza kusikia sauti yakooo bwana yesu
Amen,Tumekuwa tukipata hasara mara nyingi kwa kutokujua sauti ya Mungu kwa usahihi
Nakubaliana na neno ambala nalifuatilia barikiwa sana mtumishi
Great teaching and foundation of the word! Thanks Man of God.🇰🇪
Nimebalikiwa sana neno lako
Ameen, barikiwa mtumishi
Amen,nimekuwa mpya ubarikiwe sana
I'm really blessed.
Asante Yesu kwa kumuinua mtumishi wako ili tupone.
Mungu akubariki sana mtumishi.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Asante Yesu nimesikia sauti yako Leo nafuatia heshima na utajili wangu wangu ktk jina la Yesu kristo aliehai 🙏🙏🙏
You have been a blessing to me since yesterday 🇰🇪be highly blessed
Hii ni nzuri Sana nimepata kitu
Mungu akubariki baba
Hallelujah Amen nimebarikiwa sana na kufunguka macho thank you lord🙏🏻🙏🏻
Amen mungu wambinguni akupe mafuta mengine unanijaza kirohooooooooo❤❤❤
Asante kwa ujumbe mzuri Mtumishi wa Mungu ubarikiwe , ila imekata aliposema simama nilijua tunaongozwa maombi . Barikiwa nimepata kitu
Amina baba akika na barikiwa kwa mafundisho yako mungu akulinde baba
mungu atuepushe na hizo xauti za iblisi ziwezekushindwa kwa damu yake yesu
Ameen ubarikiwe
Mutumishi wa mungu nabarikiwa sana naimaubiri
Mungu anisaidie sana Kuna sauti nyingi sana duniaani ebu mungu atusaidie kama mabiti na vijana wakiume