Acheni ukafiri nije katika uislam ili mpate uzima wa milele maana hakuna sehem yoyote kweny hio biblia unayosema ukristo ni dini hakuna yesu asema vingine ninyi mwafanya vingine
Wanapenda sana kulinda HESHIMA ZAO kuliko kukemea CORONA ambayo inatishia ibaada kwa waumini wao!! FEDHA ,HESHIMA, UHAI vimeharibu watumishi wa Mungu wakubwa!!! Lakini YESU anawatu tutavuka tu. Ameni!!!
Mmefanya jambo la baraka sana kutambua mchango wa mtumishi Mungu. Tuwatieni nguvu watumishi wa Mungu ambao wanakesha kutuombea sisi na Taifa.
Amen MUNGU Baba wa Mbinguni awabariki nyote watumishi wa MUNGU
Mungu akutunze
Hakika MUNGU ambariki mwl Mwakasege.kwa juhudi ,unyenyekevu,uvumilivu, kuliheshimisha kanisa .
Mmefikiri vyema sana hakika niwazo kutoka rohoni
Ni kweli katika kizazi chake, amefanya sehemu yake. Anastahili kupata tuzo.
Mungu akuongoze zaidi mwakasege injil Yako Iko vizur sana
Bwana yesu azidi kukutunza mwalim c.mwakasege. maana wewe ni zawadi mungu aliyotupa hapa Tanzania
Endelea na unyenyekevu huo Mwakasege
Baba Mungu akubaliki mno kwa hekima hiii
Asante BWANA YESU kutupatia mtumishi huyu.
Damu ya Yesu iendelee kukufunika
Barikiwa Sana.
Mtawatambua kwa matendo yao.
Mungu akupe afya njema mzaliwa wa kwanza wa Taifa
Amen Amen
Baba nakumbea kwa Mungu azidi kukupa hekima na ufahaam, kiukweli naipenda huduma mungu alioiweka ndani yako.
Praise the LORD
Woow my rabii u deserve it... hata tunzo mbinguni utapata tunzo la milele
Amen Mungu azidi kulinda Baba
Ubarikiwe sana Baba Mungu akuinue zaidi na ni kweli Biblia ya kwenye sim ipo tofauti sana haifai inapotosha
Exactly the one. God on you're side mwakasege
Let God be with all of us translators. AMEN
U deserve it baba!!!!
We baba ulikuja kwa KUSUDI
Mungu akuinue zaidi na akupe Neema ya kuiona mbingu ili uketi pamoja nae ktk ufalme wake ktk kristo Yesu
Makafiri bn mwajipa moyo hakuna lolote hapo biblia sio kitabu cha mungu ni uongo wa mikono ya waandishi
Acheni ukafiri nije katika uislam ili mpate uzima wa milele maana hakuna sehem yoyote kweny hio biblia unayosema ukristo ni dini hakuna yesu asema vingine ninyi mwafanya vingine
Mpo kwaajl ya maisha ya Dunia 2 lkn hamna dini jitambueni musife hali nimakafiri njooon katika dini ya hak ya uislam kama yesu
@@Zuwenamachela pole sana sana, ungekua unajua usingedhubutu kuoengea kitu , ungenyamaza tu
Soma Quran 10:102
Honour is given where honour is due. Congratulations Mwalimu. I thank GOD for you. Thank you Sir.
He deserve it 👏
Halleluya
Wanapenda sana kulinda HESHIMA ZAO kuliko kukemea CORONA ambayo inatishia ibaada kwa waumini wao!! FEDHA ,HESHIMA, UHAI vimeharibu watumishi wa Mungu wakubwa!!! Lakini YESU anawatu tutavuka tu. Ameni!!!
Amen kabisa...
Next time Mungu awape neema mtuandalie biblia yenye cover jeupe
Anastaili
Tutapataje bibilia hiyo tafadhali, tununue wapi
tembelea tovuti yetu; shop.biblesociety-tanzania.org