MWILI WAKO UKITOA ISHARA HIZI 5 NI MUNGU ANAONGEA NAWE. By Pastor Mbasha.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 102

  • @agneskaranei493
    @agneskaranei493 2 години тому

    Amina . Zidi kuomba nasi. Twanyenyekea.

  • @SuzimaryLupatu
    @SuzimaryLupatu 58 хвилин тому

    Barikiwa

  • @LydiafoyaLydialydia-x9l
    @LydiafoyaLydialydia-x9l День тому +2

    Namba unisaidie mtumishi,nikiwa naomba nahisi moyo unauma sana kiasi kwamba tumbo linakua linakaza sana kiasi kwamba natamani nipige kelele niwambie watu habari za mungu nateseka sana

  • @meshackmahrina1492
    @meshackmahrina1492 16 годин тому +1

    Jesus Christ 🙌🏽🙏🏿

  • @Rehemapaulo-l8j
    @Rehemapaulo-l8j 15 годин тому +1

    Amen MUNGU Akubariki Sana

  • @PatriciaSidi-c4w
    @PatriciaSidi-c4w 21 годину тому +1

    Amen barikiwa sana Mtumishi wa Mungu ❤❤❤ unavyo ongea vyote nikweli mungu azidi kukufunulia zaidi ❤❤❤❤

  • @SofiaUsanje
    @SofiaUsanje День тому +1

    Amina mtumishi wa MuNgu ,kwa kiasi Fulani nimefunguliwa kuhusu ndoto .naitwa Sofia musa Niko songea Mungu baba na akubariki

  • @BakaliJidali
    @BakaliJidali 18 годин тому

    Ameen ni kweli kabisa mtumishi hua naamka nashangaa usingiz hakuna wakat mwngne naanza kuomba mungu akubariki

  • @clarisumazi
    @clarisumazi 19 годин тому

    Amen amen barikiwa mtumishi Mungu azidi kukupa ufunuo zaidi

  • @EngrithKemunto
    @EngrithKemunto 21 годину тому

    Amen nimejifunza kitu wee kutojua ndo huku sasa barikiwa ila mm mostly nikiota namwona mwajiri wangu sasa sijui nini kinaendelea

  • @Rehemapaulo-l8j
    @Rehemapaulo-l8j 15 годин тому

    Amen MUNGU Akubariki Sana Mtumishi

  • @marysteward6203
    @marysteward6203 21 годину тому

    Amen, nimejifunza jambo kubwa mtumishi

  • @JUSTAELIZEUS
    @JUSTAELIZEUS 18 годин тому +1

    Kweli baba ubalikiwe

  • @Mary-z5i1s
    @Mary-z5i1s 2 дні тому +1

    Amina 🙏🙏🙏mimi mara nyingi naota kama naona samaki wengi na pia pesa

  • @VicentTarra
    @VicentTarra День тому +1

    ni kweli mtumishi mimi Mungu anisamehe sana niliposikia somo hili nimetokwa na machozi. mara nyingi moyo wangu unakosa raha najisikia uchungu sana moyo unahangaika ila nashindwa la kufanya lkn siku hiyo haliishi lazima kutatokea tukio kubwa la kitaifa. mfano ajali ya kariakoo nilishindwa kukaa ndani roho inahangaika nakosa cha kufanya naingia chooni maana ndani watoto wananisumbua kwa muda huo kuomba lkn sielewi pa kusimamia niombee eneo gani

    • @VicentTarra
      @VicentTarra День тому

      maporomoko ya katesh, ajali nyingi za barabani kila linapotokea siku hiyo mi roho itahangaika sana kila ninachokifanya nashindwa najihisi kulia ila nakosa Cha kufanya. Asante sana mtumishi hili somo Mungu amelileta kwa ajili yangu. ubarikiwe mtumishi

  • @LilianMutai-lv8qg
    @LilianMutai-lv8qg День тому +1

    Amen 🙏🙏 ubarikiwe 🙏🙏

  • @PapaNoah-e8m
    @PapaNoah-e8m 19 годин тому

    Ameneeee mtumishi wa Mungu

  • @jumahmovine
    @jumahmovine День тому

    Ameeen 🙏 Mungu kusidishie neema ila mutumushi mm ninapo ataa ndoto nikiamka huwa sikumbyku kabisa.nisaidie

  • @maazuu-dm7zr
    @maazuu-dm7zr 21 годину тому

    AMEN 🙏.God bless you so much

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 20 годин тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu.

  • @TumainiOmarMapur
    @TumainiOmarMapur 14 годин тому

    Bwana yesu axifiwe

  • @IreneAlphonce-zi3if
    @IreneAlphonce-zi3if День тому

    Amen. Mtutumishi. Tunabarikiwa. Sana. Na kipindi. Chako

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 17 годин тому

    Mungu akubariki

  • @Selpha-b6t
    @Selpha-b6t День тому

    Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ni ukweli kabisaaaa

  • @HONORATHAFAUSTINE
    @HONORATHAFAUSTINE 18 годин тому

    Barikiwa mnooo❤

  • @LucyMonyi
    @LucyMonyi День тому

    Barikiwa sana mtumishi, na Mungu azidi kukutumia zaidi kila wakati uwe unatulitea mafudisho na ufunuo

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 3 дні тому +1

    God bless you 🙏

  • @sango.ningejua5243
    @sango.ningejua5243 17 годин тому

    Ubarikiwe sana.

  • @JUSTAELIZEUS
    @JUSTAELIZEUS 18 годин тому

    Ameeen

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 19 годин тому

    ❤❤❤ameeen

  • @Marthamodest-l7q
    @Marthamodest-l7q 2 дні тому

    Amen Mtumishi mimi ubarikiwe, pia huwa kuna siku kwenye paji la uso panacheza sana maana yake ni nini

  • @PriscaLyimo-s5c
    @PriscaLyimo-s5c 3 дні тому +1

    Amen... 🙏

  • @EdithaEdithathadeiswai
    @EdithaEdithathadeiswai 3 дні тому +2

    Ameni .kwa kweli unafunisha vizuri .mungu aendee kukutumia.

    • @NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dm
      @NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dm  3 дні тому

      Aminaa nashukuru sanaaa kwa neno lako la baraka... karibu endelea kujifunza pamoja nami.

    • @vicknessngenzi6146
      @vicknessngenzi6146 22 години тому

      Nimejaribu sana kuomba kuhusu Mme wangu au ndoa ila mpaka Sasa sina uhakika Mungu anataka nifanye maamuzi gani juu ya maisha yangu ya ndoa. Niko mbioni kuachana na Mme wangu japo nilitamani sana muongozo wa Mungu kwa hili ili nipate amani kuwa Mungu Yuko namimi

  • @NathanaelCosmasAlfredy-eg4ff
    @NathanaelCosmasAlfredy-eg4ff День тому

    Amen mtumish nashukuru kwa mafundisho🙏

  • @michaelmumbokalu5930
    @michaelmumbokalu5930 2 дні тому

    Wee bariwa sna mtumishi nimejifunza kitu hpo

  • @HafsaShukuru-sq8bs
    @HafsaShukuru-sq8bs День тому

    Asante Mungu kwa kunifunulia hili

  • @kulwashimiyu
    @kulwashimiyu 21 годину тому

    Nzuri sana

  • @editaruta4845
    @editaruta4845 День тому

    Nakushukru mtumishi wa mungu

  • @JacklineBrighthon
    @JacklineBrighthon 2 дні тому +9

    Kuna siku nilikua nimelala nikawa katika ndoto nikaota namuona Yesu ananiambia mwanangu unayo nguvu kubwa sana ya kuomba lakini unashindwa kutumia akasema ata hapo ulipo mwanao amezungukwa na wabaya wako sikuelewa iyo ndoto inamaana gani

    • @susumakomanya9762
      @susumakomanya9762 День тому

      Mbona ndoto iko wazi kabisa hiyo

    • @hildabaruti7244
      @hildabaruti7244 День тому

      Ndoto ipo wazii

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 23 години тому

      Mimi niliota nimeona sura ya Yesu ukutani na kile kikombe wanachowekea scramenti kanisani na mwanga mkubwa saana

    • @SophiaJoseph-n4o
      @SophiaJoseph-n4o 21 годину тому

      ​@@tinnahagustinolyelu4247sura ya yesu ama sura ya Sanam la yesu hapo Kuna vitu viwili tofauti

    • @DionizyDidas
      @DionizyDidas 19 годин тому

      Iyo ndoto yako Iko waz haitaji tafathiri

  • @TabizaAa
    @TabizaAa 3 дні тому +1

    Amen God bless you 🙏🙏

  • @StansilausLeonard
    @StansilausLeonard День тому

    Ubalikiwa sn

  • @SaumWangeci
    @SaumWangeci День тому

    Ameen ahsanti sana

  • @ZuhuraAbdul-d1p
    @ZuhuraAbdul-d1p День тому

    Ubarikiwe sana mtumishi, nilikuwa najiskia dhaifu kabla lakin niliposikiliza hii video ninajiskia nguvu na amani ndani yangu,

  • @ruganoantony
    @ruganoantony 3 дні тому +1

    Amen ubarikiwe sana mtu wa Mungu

  • @goodluckjoel9203
    @goodluckjoel9203 День тому

    AMEN

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 День тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉Amina

  • @rovenajohn4548
    @rovenajohn4548 22 години тому

    Ameni

  • @editaruta4845
    @editaruta4845 День тому

    Amina

  • @YohanaKen
    @YohanaKen 2 дні тому

    Amen

  • @JoannaHank
    @JoannaHank 2 дні тому

    Ameen Baba

  • @annewangui547
    @annewangui547 9 годин тому

    Kuna kipindi nilikua na shida saana nikawa nakata tamaa nikaota ndoto naambiwa niandike kwa mkono mimi ni wa YESU milele.

  • @anithamsofe1259
    @anithamsofe1259 19 годин тому

    Mara ya kwanza nakusikiliza ila hakika ujumbe wako umenipa funzo kubwa Mungu akubariki mno

  • @dianadenis8486
    @dianadenis8486 2 дні тому +1

    Mtumishi ahsante Kwa tafsiri.
    Jana niliota nilikuwa mahali kama kwenye taasisi Fulani nafanya kazi,nikawa nimefunga mizigo yote kama vile nanindaa kuhama. Nikaona sina kamba ya kufungia godoro. Nikaenda kununu kamba. Njiani nikakutna na gari dogo kin mzungu na dreva wake yule mzungu akashuka hakunisemesha. Alitoa file akanipa akanioneaha ishara nikakuta na wengine wamejiorodhesha pale. Nikaandika majina yangu na taarifa zangu zingine za kazi. Nikamrudishia Lile file akaondoka. Maana yake ni nini

    • @tagomshana4032
      @tagomshana4032 День тому

      Asante mtumishi Mimi nafatilia sana chanel Yako Lakini nililala nikaota nauza ndizi za kuiva nzuri sana nikajibandika beseni kichwani lakini watu wakawa wananidokolea zile ndizi sasa nilifika mahali natua beseni nikakuta mkononi ninapesa kidogo na ndizi zipo kidogo nikalalamka sana lakini nikawarudia wale walonidokolea ndizi waliponiona wakasema tulichukua lakini sikwania mbaya wakalipa lakini gafla nilizinyanyua zile ndizi Ili nizihesabu lakini zile ndizi zote ikavunjikanjika nikawa nalalamika sana naomba baba unitafsitie ndoto hii inamana Gani maana baadae ya kuamka siku nzima nilikosa Raha saaaana

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 22 години тому

      Mwenzako niliota nipo kwenye sherehe niliyokuwa nafanya kazi jamani kila nikisogea kwenye meza ya chakula wananiambia nisubiri mpaka chakula kimaisha Cha kushangaza nikaona Mimi na mtoto wangu hatukula kile chakula kabisa kimeisha Sasa najiuliza kwanini Mimi tu na.mtoto wangu akaingizwa hapo sikuelewa

    • @shakiranyoni
      @shakiranyoni 20 годин тому

      Mungu alikuepusha ww na mtt wako kwa mtazamo wangu ktik ulimwengu qa kiroho hkukuwa chakula sahihi huenda kingekuletea shida mwilin ww na mwanao au Mungu anakutahadhalisha unaweza kwend kwenye shehere usile kile chakula mna kwwnye shereh nying watu hufanya maagno na km si shreh bs utaenda kweny kusanyiko la wtu hivyo usileee xhchte.

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 19 годин тому +1

      @@shakiranyoni Asante my dear halafu Mimi Nina kitu Fulani naweza kwenda mahali hata kwa wenyeji wangu nikikuta wapo tofauti najisikia kukosa Amani basi hata kama nilipanga kushinda au kulala Huwa nasalimia tu nakaa dakika chache naondoka yaani nikihisi kitu nakutaga nakuja kusikia ni kweli Sasa nikiota msiba ni lazima nitasikia msiba mtu ninaemfahamu hivo

  • @SouzetteMasenge
    @SouzetteMasenge День тому

    Asante sana baba,nami kuna wakati mwingine niwe nime lala ao labda si lale ,lakini inafikiya najiskiya kama vile ulimi wangu kinywani una vimba gafla ,ao inakuwa na uzito mkubwa hadi 'ashindwa ku jielewa.ina maana gani ?

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 День тому

    Namba hazionekani vyemaa

  • @IsabellaKangale
    @IsabellaKangale День тому

    Mimi hupoteza sana usingizi wa maneno saa nane ,wakati naomba napata usingizi nashukuru Kwa mafundisho

  • @avelinafurahaoisso5491
    @avelinafurahaoisso5491 День тому

    Naomba nisaidie mtumishi mimi naota ndoto nyingingi sana ambazo sielewi ila kuna hii labda niko kwenye shida nikaomba alafu naishiwa maneno ,pia sauti haitoki,au naota niko kwenye labda mapambano afu gafla napaishwa juu kupiga na adui walio chini ,yani ninyingi jemani hizi ni za mara kwa mara

  • @KambaleNzuundodieume-wt9kc
    @KambaleNzuundodieume-wt9kc 2 дні тому

    Nachukuruu

  • @LinahSimiyu
    @LinahSimiyu 2 дні тому

    Bwana yesu asifiwe man of God 🙏🙏🙏 mm naomba tu unisaidie kuhusu hii ndoto,,sai ni siku ya nne nikiota nimejifungua mtoto 🫄...Ilihali Sina mimba na Sina hata bwana,, naomba unifungulie plz🙏🙏

    • @acjdar24-g9x
      @acjdar24-g9x 2 години тому

      Shetani ni mwongo sana, hapo maana yake unamahusiano ya sio jasmine

  • @Lucy-t7n
    @Lucy-t7n 17 годин тому

    Mimi jicho langu la kulia linacheza kilasiku jamani lilianza toka mwezi wanane mpaka leo jicho linacheza tu kila siku linaacha kucheza nikiwa na lala jamani nishara gani hiii inanishutua

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv День тому

    Asa satisa

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 День тому

    Zingatia L na R

  • @esternsimbila5359
    @esternsimbila5359 6 годин тому

    Hali ya kuamka usiku wa manane hii kila siku inanitokea kuanzia saa 8,9 au 10 lazima niwe macho usingiz nakosa kabisa

  • @DoreenCaspian
    @DoreenCaspian 2 дні тому

    Mungu ni ROHO na meandamu ni ROHO pia ...na MUNGU AONGEI NA MWILI ANAONGEA NA ROHO YA MWAMADAMU

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 19 годин тому

    Chanika maeneo gani?

  • @AgnessHassan-o3y
    @AgnessHassan-o3y День тому

    Ukiota wapiga mbw ngumi na asbh mkono unauma mpaka leo kwahiyo ilikuwa nikweli?

  • @StelaGodfrey
    @StelaGodfrey 3 дні тому +3

    Naomba unisaidie mtumishi huwa naota mazingira ya shule niliyosoma zaamani

    • @NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dm
      @NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dm  3 дні тому

      @@StelaGodfrey ndoto hii nimeielezeaa iangalie hapo chini.

    • @neemakarisa1496
      @neemakarisa1496 2 дні тому

      Kataa hiyo roho mi nashukuru MUNGU sioti Tena ulini tesa sana sahii na shukuru nilijua Kwa Nini

    • @PamelaJaphet
      @PamelaJaphet День тому

      Roho ya ucheleweshaji

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn День тому

      Bwana Yesu asifiwe Sana Mungu anakujulisha uombee Roho ya umasikini iko nyuma yako Kila jambo lako unalofanya ktk maisha yako alikamiliki mtafute mchungaji Daniel Joshua RGC kafundisha na maombezi kafanya

  • @SimonKinyajui
    @SimonKinyajui День тому +1

    Nilikuwa nimelala nikaota nikibishana mtu ghafla nyoka akatokea akasema ni rafiki yangu nikamwambia asinidhuru mi Sina ubaya sikujua vile n
    Kulienda nikajipata nikishindana na mwanamke nguvu iyo ndoto Ina maana ngani mchungaji

  • @mercyMukiri-gn2ex
    @mercyMukiri-gn2ex 2 дні тому

    niota nakimbizwa na pikipiki alafu uyo alikua kwa pikiki aazna kusema anendesa shetani niliamka naema roho inapiga sana

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 День тому

    Namba hazionekani vyemaa

  • @Lydiaowino
    @Lydiaowino 2 дні тому

    Amen

  • @KambaleNzuundodieume-wt9kc
    @KambaleNzuundodieume-wt9kc 2 дні тому

    Nachukuruu

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 День тому

    Namba hazionekani vyemaa

  • @esthernabangi9577
    @esthernabangi9577 2 дні тому

    Amen

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango 2 дні тому

    Amen

  • @abrahammwakatumbula6663
    @abrahammwakatumbula6663 День тому

    Amen

  • @IbrahimTweve-h7o
    @IbrahimTweve-h7o День тому

    Amen

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv День тому

    Amen

  • @rovenajohn4548
    @rovenajohn4548 22 години тому

    Amen