LIVE: MAOMBI YA KUZUIA UHARIBIFU MAISHANI MWAKO
Вставка
- Опубліковано 19 жов 2023
- Zab 103:4
Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Ewee mungu wangu. Mimi violeta Najiunganisha na maombi haya Usiku wa leo , katika madhabau ya Siri za Bibilia usiku huu, nazivunja na kujitenganisha na Kila Nafsi chafu,roho za umauti,magonjwa,Ajali,taarifa mbaya,ndoto mbaya, zinazoniandama,najitenganisha,na maadui ninaowajua na nisiowajua.Naita Amiri Jeshi mkuu kwenda kuharibu Nila Nia Mbaya za maadui zangu moto wa roho mtakatifu kuziharibu kila Nafsi na roho chafu zinazonifuata.katika Jina La yesu Christo nimepokea uzima. Na maadau zangu nimewatumia moto wa yesu kristo kuteketeza kila maeneo Yao na njia zao naziziba kwa nguvu zako,,kila mapando ya Maadu zangu nayaharibu,chochote Adui alichokipanga kwangu na watoto wangu wote katika Jina la Yesu kristo Ninaibatilisha sasa katika Jina la yesu.Amen
Ewe mwenyezi mungu kuanzia usiku huu ninajiunganisha na maombi ya usiku ninathubu makosa yangu katika hii madhabahu
Naomba mungu ukabadilishe maisha yangu naomba bomalangu watoto uwatoe katika kilamiskosi uwafungue akikizao kilalaana walizo sukumiwa uwafungue toe kwa madhabahu ya madeni naumaskini fungua doayangu Kila kilicho liwa na nzinde naomba kikanirundie mbariki na muombaji wakilausiku ananijaza amani katika maisha yangu ameen🙏🙏
Naomba maombezi ya biashara yangu ya spare zamagari uchumi afya nyumban familia watoto wazazi kibali Cha kazi nyota yangu ingae Kwa jina la YESU kristo amen
Eeeh yesu naomba uniponye tatizo la kusahau ,tatizo la miguu,uniondolee tatizo la ndoto za kichawi kwangu na ktk familia yngu ,uilinde familia yangu kwa damu yako yenye nguvu
Naomba Toba juu ya maisha yangu na wazazi wangu na jamaa zangu wote Mungu tufutie dhambi zetu kwa damu ya mwanakondoo ambazo zinatunyima utukufu mbele za uso wako baba mwenye enzi yote,,
Mungu baba muumba mbingu na nji naomb neema kweny maisha yangu biashar yangu afya yangu na nyumba yangu Ee Mungu baba naomb ukasikie kuomba kwangu
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏
Mungu wangu na muumba wangu.nangojeq neema yako katika maisha yangu na nyumba yangu
Asante YESU napokeya biashara yangu KUBWA
Naomba mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina
Mungu baba yangu maombi yangu ya Leo ya usku aomba yesu kiristo )Leo iwe mwisho wa magu yote ninavyo yapitia kwenye afya ndoa watoto wangu uchumi na familia yangu kwa ujumla Ameeen
Asante mungu kwakuwa wewe ni mungu wa rehema unaenda kuniepusha na roho za madeni roho ya ajali roho za Mauti roho za kukataliwa mm pamoja na watoto wangu na ndugu zangu amen
Asante YESU Kwa uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi
Bwana naomba unapowasamehe watu makosa yao emungu nisamehe na mm unijibu maombi yangu napitia wakati mgumu sana katika maisha yagu baliki familia yangu naomba hayo ebwana
Ameeeeeeen.....all is well in the namee of Jesus Christttttt i pray 🙌
Mungu wangu maombi yangu ya siku ya leo mungu ukayasikie mungu wangu,relationship yangu ikarudi mungu kupitia kwa jina yesu
Katka madhabahu hii kwa njia ya Yesu BWana Nina omba yesu uwe majibu katka Sala zangu zote maombi yangu katka madhabahu
YESU Niko hapa naleo sitoke Ma dhabahuni kwako YESU Niko hapa mahali unapotajirisha wengine YESU Niko hapa mahali unapota
Bwana Yesu asiwe ,naomba uniombee Mtumishi ndoa yangu ilivunjika miaka 11 Sasa naomba lakini sijapata majibu.
Mwenyezi mungu naomba unapo bariki watu wako namm usinisahau pamoja na kuponya ndoa yangu
Asante yesu kristo kwa uwaminifu umenionyesha
Najiungamanisha na madhabahu hii Mungu anitoe hii nchi ya lrak
Najiunganisha mazabauni mwako mungu nifunguriwe kwenye roho madeni nifunguriwe kiuchimi napitia katika changamoto hii
Sijui ni maombi ya lini najiunganisha Kwa jina la Yesu Yesuuu nissidie
Ameen. Natuma malika baba ukawafungue Mamaangu Monica na Mtoto wake Nicholas anaumwa ugojwa uso julikana ukawaponye katika jina lako Yesu Moto ukawazunguke
Asante Yes kwakumlejesha Mwanangu Nyumban Asante baba wa mbingun kwa kumweka mwanangu Katika mikono yako ya kukutumikia wew Bwan. Naamin kwa Jina LA Itakuwa ivyo bwan katika Jina LA Yes Amin🙏🙏
Asante YESU Asante pia kwaajili ya mtumishi wa MUNGU
Asante YESU Asante masihi nnamshukuru Mungu kwa kila jambo
Amen eeyesu najiunganisha nazabahu yasir zabblia usikuwale nikafanikiwe ktk maisha yangu nawatoto wangu wakawe vichwa kwajina layesu
Bwana naomba uniondolee mafatilizi na malipizi katika maisha yangu na wafunuliwa yangu wote na unilinde Mimi nafamilia yangu yote nakupenda MUNGU wangu
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN Asante YESU
Mwenyezi Mungu naomba unipe kibali chakukubalika Amen
Asante Yesu, wewe ni mwaminifu kwangu. Najua ushatenda
Asante MUNGU baba wa mbinguni Kwa kunipa kibali Cha kukubalika katika maisha yangu utukufu na heshima unastahili ewe baba yangu nijalie kukutukuza Ili ufrahie uwepo wangu hapa dunian,Kwa Imani nikuamin na kukutegemea .amen!
Asante yesu Asante pia kwaajili ya mtumish huyu
Ameen ameen ameen🙏🙏
Mungu naomba uniuganishe na maombi iliniweze kufunguliwa
Asante Yesu maana umesikia na utatenda Leo🤲🙏
Amina kupitia maombi haya nimefunguliwa🙏
Mungu niwezeche kupoke kupoke.uwezowakuombanakupoke.napokeeeeemamulaka.yakuomba usiku.wamanane.wala.sitachi.ndwa.tene.mungu.ubariki bariki mutumichi wako namuogeze.mafuta.yaroho.mutakatifuu
Amina.amina.amina
Ameeen Mungu akanibariki sasa ni zamu yangu nimeonaa na kushuhudiwaa ukibariki wengine nami nibariki Yesu Kristo wa Nazareth
MUNGU naomba funguwa pale wameshafungiya ndoa Yangu,na kazi
Mungu akutunze.mtumishi unanisaidia kunipa matumaini mimi nilikutwa na uvumbe kizazi presha madonda ya tumbo mara ajali
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wamungu
Asanteee Yesu wangu nimeona mkono wako usiku huu
Ubarikiwe mutumishi wangu 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🧎🧎🧎🧎😪😪
Nipo katikati ya maombi haya naomba asante mtumishi Barikiwa
Mungu lejesha Afya yangu Mungu baba nisaidie nijifungue salama
Bwana yesu asifiwe asante kw neno la mungu naona maguswa namafundisho nirikataatamaa nirudi kaniacha nafarijika dada namimi bado ninayo nafasi maan nirijikataa mwenyewe nimepona sinanafas yakuish
Amen 🙏🙏🙏 Asante yesu
Napokea Imani kuu kwenye maisha yanggu
Eeee MUNGUU nakuomba uniondoleee kiburii cha uzima na roho ya umauti iondokee na kusambarTika na magojwa yoote leo mwisho Amani itawale juu ya mahusiano yangu yazidi kuwa mapya kilaa siku
Nitamwita Mungu wa Mbinguni
Yeye anisaidiae
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Nnakabizi majira haya kwako kwa jina la Yesu
Utukufu una Wewe Mungu milele na milele
Ahsante Baba kwa kuniamsha na kuamsha wengine
Ameen,ubarikiwe sana mtumishi Mungu akukumbuke pia.nami nimepokea ahadi za Mungu
Amen 🙏 🙏 mawazo yako meme , MUNGU wetu ulie mbinguni yakatimie Kwa maisha
Asante yesu kunikombowa
YESU Niko hapa mazabauni Pako
Asante bwana yesu kwa kunipa uhai had sasa🙏🙏👏
Nimebarikiwa sana na maombi haya
Nitoe kwenye vifungo Mungu wangu
thank you jesus nimebarikiwa na maombi haya🙏
ASANTE YESU KWA NEEMA hii, Jana skupata nafasi ya kushiriki but Leo nimejiungamanisha na maombi haya kwa Imani kubwa, nakushukuru MUNGU
Anami Namshukuru mungu kwa siku ya Ijumaa nilipata Neema ya Maombi, Lkn leo Nimejikuta Navutiwa Kingia Tena Kwenye Maombi, Asante Yesu.
Amen ubarikiwe mtumishi wamungu
Asante yesu napokea bishara yangu😊😅😮😢🎉😂❤
Mungu Wang wewe ni yote kwang🙏🙏😭
AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN asante YESU
Ubarikiwe mtumish wa mungu
Mungu nakuomba ulinzi kwa familia yangu🙏
Najiunganisha na Haya maombi baba naomba nitendee muujiza wangu baba nipatie mtuu sahini tena nakwangu baba nipatie ndoa yenye baraka baba kila roho inayo nifanya nikipata mwanaume haipiti miez anasambaratika baba naamuru kwa jina la Yesu nai ng'oa kwa damu yako mwanakondoooo
Mungu wangu fungua familia yangu
Asante YESU
Yesu. Niko hapa naleo sitoke ma dhabahuni kwako. Yesu Niko hapa mahali ambako una inua wengine Yesu niko hapa mahali unapotajirisha watu wengine Yesu niko hapa ambako unatoa ndoa za wengine na Mimi leo zamu yangu na Mbingu zifunguke kwajili yangu nipo mahali tunapokutanaga sikia baba sikia baba sauti yanguuuuuuuu
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏
Asante yesu♥️
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Amen ubarikiwe sana mtumishi
Asante yesu 👏👏👏
Asante yesu
Ninaomba ulinzi wa safari ya mwanangu nasra katika safari yake mungu shika safari yao yote katika siku mzima mungu
Asante Yesu
Amne 🙏 🙏 🙏 🙏
Bwanayesu naomba uponye ndoa yangu lakini pia unapowapatia watumishi wako kazi namm nikumbuke kunipatia kazi nzuri
Napokea yote mema Kwa Jina la yesu.Amen.
Mungu ni Mkuu kwangu
Thank you Jesus
I receive I receive I receive
Amenamen amen amen🙏🙏🙏
Thank you jesus
Yesu ni muweza yote
Amen in Jesus name
MUNGU Naomba niondoleee Kiburi Cha uzima na roho ya mauti kwenye maisha yangu family yangu na biashara naomba nijaze roho mtakatifu ndani yangu. Baba🙏🙏🙏tunaomba MUNGU Tenda Mema kwenye hii safari yetu ambayo tunatalajia kusafiri 10/12/2023 Iwe ya baraka malaika wako wakatuxunguke baba tufanikishe safari Justina Jeyden na Jordan baba ukawafunike kwa damu yako baba
Kansa isambaratike kabisa katika JINA LA YESU KRISTO, natamka uponyaji natamka uponyaji napokea uponyaji katika JINA LA YESU KRISTO aliye Hai, Ameeen
Amen 🙏
Amen 🙏🙏
Naomba baba maombi juu ya watoto wangu na biashara yangu izidi kung'aa nimiliki na kutawala Amen
AMEN AMEN AMEN