MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 202

  • @AngelAfric
    @AngelAfric 5 місяців тому +17

    Mungu hajalala amesikia atatenda kwa wakati wake kila mwenye Nia ya dhati kutoka kwenye janga Hilo na atamuinua kwa ukubwa.. Mungu ilinde Tanzania 🇹🇿 iondoe kwenye majanga haya na mengineyo yanayoitesa Dunia. AMEN

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 6 місяців тому +17

    Bwana wa Majeshi Mungu Mkuu uishiye Milele tunakuomba uwashe taa yako isiyozimika ndani ya mioyo ya watoto wetu wakujue wewe kuwa unatosha🙏🙏🙏

  • @ErickLusabara
    @ErickLusabara 6 місяців тому +9

    Hakika hii ni zaidi ya sanaa. Nawapongeza saaana kwa mlichokifanya, mmefikisha ujumbe kwa njia rahisi na yenye kuvuta hisia. Mungu aliponye taifa letu dhidi ya janga hili.

  • @robertmwanja-ld4hd
    @robertmwanja-ld4hd 5 місяців тому +4

    Hongereni sana ujumbe mzuri na umefika, mbalikiwe sana mwenyezi MUNGU awalinde.

  • @AngelinaChacha-gb3yh
    @AngelinaChacha-gb3yh 5 місяців тому +7

    Wimbo huu uibwe angalau kwa kila chombo cha habari walau mara moja kwa wiki jioni maana unaelimisha sana. Mungu ibariki Tanzania.

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 6 місяців тому +19

    Mtoto wa nyoka ni nyoka wallah, Mrisho hongera

  • @mcmlandali441
    @mcmlandali441 6 місяців тому +11

    Hiii ni zuri mno and so emotional hongera sana Mrisho Mpoto

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 5 місяців тому

      Inachoma moyoni inaniumiza mpaka natokwa na machozi imenifanya nimkumbukue rafiki yangu ambae kaka yake aliuwawa kwa kumchomwa kisu na producer nakabaki yeye na mama yake tu nae alifariki na kuzikwa pembeni ya nyumba yake karibu na gate ili mwanae asije uza nyumba lakini kwa akili ya unga akauza hakujali hata kaburi ya mama yake nyumba ilikuwa ya ghorofa na ukubwa wa eneo zaidi 5000sqm kwa mlioni Mia na 20 tu, inahuzunisha sana namuombea kill kukicha asirudie tena maana aliacha.

  • @MagrethMhina
    @MagrethMhina 5 місяців тому +16

    Mungu kumbuka watoto wetu ooh yesu asaidieeee matumbo mengi ya wamama yanaliaaaa kwa watoto kutumizaaa oooooh Yesuuuuuu

  • @estamarodaofficialtz5233
    @estamarodaofficialtz5233 6 місяців тому +9

    Asante mungu mkwakulitetea taifa la Tz mungu ibariki tanzania bariki viongozi waTz

  • @zuberimkuba2324
    @zuberimkuba2324 2 місяці тому

    Hongera sana kaz nzur kwa kufikisha ujumbe mzur ktk jamii

  • @juliethmagezi3104
    @juliethmagezi3104 5 місяців тому +12

    Ipo NGUVU YA MUNGU mahali apo....I can feel it

  • @FaridaSalum-l5w
    @FaridaSalum-l5w 2 місяці тому

    Hongera mjomba ujhmbe mzuri na wakusikitusha pia kiukweli nimelia japo nimesikiliza peke yangu,big up.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 5 місяців тому +8

    Wauza. Unga wamo humo wametulia kwenda kuziandaa hawapendi watoto wa wenzenu mnataka wafe wo te ili watot wenu wabaki

  • @yustinasindamwaka8072
    @yustinasindamwaka8072 5 місяців тому +9

    Ntaonyesha vijana wanaonizunguka wengi ni walevi hawatadhubutu Mungu ibariki na kuirehemu Tanzania

  • @RusiaMwambungu
    @RusiaMwambungu 5 місяців тому +2

    Daàaa kiukweli naomba wimbohuu uluxhwe kwenye tv tarehe 8/8/2024 ilimaelfu ya watu waweze kusikiliza angalau kazi ya MUNGU nanguvu yake ikawaponye vijana Amina

  • @victoriafaronendakwamakond4816
    @victoriafaronendakwamakond4816 5 місяців тому +2

    Mungu akubariki Rais wetu

  • @SamwelSimion-l5g
    @SamwelSimion-l5g 4 місяці тому +1

    Nyimbo nzur ila nikisikia sifa kwa binadamu nachukia bora umshukuru mungu

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 6 місяців тому +9

    Mama Samia wewe ni mama nakupenda mnoo MAOMBI YANGU NA DUA ZANGU MUNGU ASIKUACHE ASIKUPUNGUKIE MAMA WEWE NI MAMA MAMA HAWEZI BADILIKA AKAACHA WATOTO WAKE MAMA NAKUOMBEA SANAAA UTUFIKISHE MAHALI SAHIHI MAMA NAKUOMBEA SANAAA

  • @WillyKibiki
    @WillyKibiki 4 місяці тому

    Yasin broo umeuwa god bless you kwa huu ujumbe umefika kaka

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 6 місяців тому +6

    Kweli haramu ni tamu .mmmmmh..china Wa. Tanzania..wakishikwa wanadungwa .sindano ya.sumu .na kuchomwa .kwenye .pipa . Lakini wao.wakikatwa..hatusikui.chochote..😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭

  • @felistakibiki7307
    @felistakibiki7307 2 місяці тому +1

    Imeniliza sana. Hakika ujumbe umefika

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 4 місяці тому +3

    Ujumbe mzuri ila hapohapo watu wa selikali ndo wanayofanya hayo.inasikitika mnno😢😢😢😢

  • @nsubisiseth2993
    @nsubisiseth2993 5 місяців тому +2

    Very touching message

  • @judithmwakibete3036
    @judithmwakibete3036 6 місяців тому +8

    Kwa yo yote aliesikiliza ujumbe huu Ana nafasi ya kusemezana na kijana wa jinsia yote juu ya janga hili

  • @emmymwakabana
    @emmymwakabana 6 місяців тому +2

    Hongera sana kazi nzuri

  • @EmmaKirua
    @EmmaKirua 6 місяців тому +2

    Nimeipenda hii mungu akupe hekma zaidi

  • @Jameskisinga
    @Jameskisinga 5 місяців тому +1

    It's very good song for the society god help us to mantain our life

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 6 місяців тому +28

    BWANA YESU ULIE KETI MBNGUNI KONE KITI CHA ENZI NAKUOMBA UWASAIDIE WATOTO WETU

  • @lazaroeliphas8353
    @lazaroeliphas8353 5 місяців тому +1

    God bless Tanzania God bless Africa

  • @JuniorVsllence
    @JuniorVsllence 5 місяців тому +1

    Party two hii,hongera kaka mrsho mpoto,hii ni zaid ya sanaa

  • @zaishanga1622
    @zaishanga1622 6 місяців тому

    Mamangu kipenzi chetu pambana mama tembo hashindwi na mkonga wake pambana mm big up mungu akutunze kwa ajiri yetu!!

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 6 місяців тому +10

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiii wimbo unagusa sanaaaa .......MAMA YANGU SAMIA NAKUPENDA MAMA NAKUOMBEA UFANIKIWE KUWALEA WATOTO HAWA WA MTAANI WATOTO WETU HAWA NAWAOMBEA SANAA .....

  • @zaishanga1622
    @zaishanga1622 6 місяців тому +13

    Naomba hii nyimbo ipigwe kwenye azam tv two kabla ya kuanza pambano la yanga tarehe 8 mwezi ujao ili maelfu ya wengi itaonekana na wengi maana hao wateja wengi hawana cm ya whtsup naona watajipata na wataokoka 80 cio Tanzania na nchi jirani pia watapata tiba ! Na pia iwe inapigwa kila cku kwenye tv Amun

  • @mamaabubakari2752
    @mamaabubakari2752 5 місяців тому

    Ni dhana njema kuangalia chanzo cha tatizo, uwajibikaji dhaifu wa wazazi. Hongera sana kwa ujumbe mzito wenye kuleta athari pia.

  • @RehemaMgoba-v4z
    @RehemaMgoba-v4z 5 місяців тому +5

    Mungu isaidie Tanzania

  • @KissBoytz-t9i
    @KissBoytz-t9i 6 місяців тому +31

    Kama nawew umeludia malambili kama Mimi ngonga like😢

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 5 місяців тому

    Mashallah kwa kufikiaha ujumbe mzuri kwakeeli dunia imearibika

  • @SakinaMwanga-v4t
    @SakinaMwanga-v4t 5 місяців тому

    mungu ibariki Tanzania mung u walinde watotowetu

  • @blessingmapazia9545
    @blessingmapazia9545 5 місяців тому

    Bwana Yesu Kristo naomba waponye watoto wetu walio kwenye makundi mabaya

  • @mimiMaiko-p6i
    @mimiMaiko-p6i 6 місяців тому +2

    Touching song, moyo unatetemeka

  • @kalamuyangu1
    @kalamuyangu1 6 місяців тому +7

    Mbegu bora iliyopandwa juu ya mtoto huyu yapaswa kulindwa kwa gharama kubwa.

  • @mariakilasile8792
    @mariakilasile8792 5 місяців тому

    Nimeipenda sana njia hii ya risala, hakuna anayeponyoka kuisikiliza hii, very touching. Tupeni elimu namna ya kuwasaidia hawa tulionao huku mtaani. Tunawasaidia kuwalisha lakini wanahitaji kazi tufanyeje?

  • @SafielMsuya-d2k
    @SafielMsuya-d2k 2 місяці тому

    Yesu alitetee taifa letu la Tanzania

  • @khaylatmwinyi8675
    @khaylatmwinyi8675 4 місяці тому

    Mtoto wa nyoka n nyoka...,hongera kaka mwisho mpoto

  • @MwinjilistiJestusMhelela
    @MwinjilistiJestusMhelela 5 місяців тому

    Hakika mmefanya wanders sanaaaa...
    Hapa kilichobaki in KUOKOKA TU, MUMPE YESU MAISHA YENU...!!!
    Maana kuacha dhambi Ba kumwamini YESU na kuokoka ni vena zaidi ya kuacha madawa ya mulevya na kula ngada...!!!
    YESU ANAWAPENDA
    BY
    JESTUS MHELELA

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 2 місяці тому

    Very emotional song 😭😭😭

  • @DereckNdunguru
    @DereckNdunguru 5 місяців тому

    Mungu akubariki kipaji chako

  • @peterlucas7246
    @peterlucas7246 5 місяців тому +10

    I was thinking that am strong ....i find myself very weak while listening this song😭😭

  • @TausiGeorge
    @TausiGeorge 5 місяців тому +1

    Naumia mm hili janga linaniumiza mm malengo yake yote yameisha kwenye madawa angalau kidogo afya ni nzuri 😭😭😭😭

  • @EvaPatrickboko
    @EvaPatrickboko 5 місяців тому +2

    Mungu bariki watoto wetu

  • @GervasMalimi
    @GervasMalimi 4 місяці тому

    We ino jowakunifanya nilie mimi kisa kusikiliza nyimbo hii😢😢😢😊

  • @THEEaglz
    @THEEaglz 5 місяців тому +1

    Kubwaa sanaaa my g

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 6 місяців тому +7

    Kwakweli inaumaa.sana madawa.ya.kulevyaa imeangamiza watu wengi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤲😭😭😭😭😭😭

  • @DavidAnthony-bk1lm
    @DavidAnthony-bk1lm 6 місяців тому +4

    Ni kweli madawa ya kulevya ni hatari Kwa taifa letu

  • @annalugano5246
    @annalugano5246 5 місяців тому +1

    Hadi machozi yamenitoka ,Mungu saidia watoto wetu

  • @JakcsonShija-h1f
    @JakcsonShija-h1f 5 місяців тому

    Mungu akuinue katika kipaji chako chauimbaji

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk 5 місяців тому +1

    Mungu lbariki Tanzania 🇹🇿

  • @FredricktheonestShayo
    @FredricktheonestShayo 5 місяців тому

    Mmetisha kinomanoma❤❤❤❤

  • @fahmiabdi7539
    @fahmiabdi7539 6 місяців тому +6

    Ujumbe unasikitisha na ufahmuka na najikuta naliaaaa

  • @daudkindy5807
    @daudkindy5807 5 місяців тому +1

    Ujumbe mzur sana

  • @edwinraymond3404
    @edwinraymond3404 4 місяці тому +1

    Kwaiyo mjomba kashaanza kumuwela mtoto kwenye system 😅😅😅

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv 6 місяців тому +3

    Bonge la movie leny ujumbe mzito

  • @novatht8377
    @novatht8377 2 місяці тому

    Daaaa nimelia hata sielewi 😢😢😢

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 6 місяців тому +2

    Wapi stive nyerere .aje asikie..kizungu au kingereza.😂😂😂😂😂

  • @tatumatango2207
    @tatumatango2207 5 місяців тому +14

    Najuta kuusikiliza mbele za watu,,bora ningeusikiliza nyumbani nikalia vzr,,maana naona aibu nalia mbele za watu😢😢😢

  • @AnaraelMpungu
    @AnaraelMpungu 5 місяців тому +1

    Duuu.upo.vizuri.dogo

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 4 місяці тому

    Nyinyi fanyeni wazimu tu hapo. Mujaze matumbo yenu na kulala usungizi mororo. Mnaowangoza wanalala njaa. Serekali haina haqqi za kibinaadamu. Julie i wazimu apo lkn mtakwenda kujibu mbele ya alla mb'wa nye.

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 5 місяців тому +6

    Mpoto kapata mrithi

  • @fintanchavala2145
    @fintanchavala2145 6 місяців тому

    Well organized
    Hongereni kwa ujumbe murua

  • @Shilala666
    @Shilala666 16 днів тому

    Daah kweli aliyenacho uwongezewa

  • @daxmtiwandege5063
    @daxmtiwandege5063 5 місяців тому

    🌹🌹🌹 Dogo ameua

  • @mbonigabasamueli1860
    @mbonigabasamueli1860 6 місяців тому +2

    Mara nyingi Mtoto hufanya kazi ya babaye, Mrisho ndagukunda

  • @MathiasMpundukwa
    @MathiasMpundukwa 6 місяців тому

    Nakupenda mrisho hii ni zaid ya move

  • @JoycebarakaEster
    @JoycebarakaEster 5 місяців тому

    Kazi nzuli kaka

  • @FridaGodson
    @FridaGodson Місяць тому

    mungu walinde watoto wetu

  • @hashimposho-ju6nz
    @hashimposho-ju6nz 4 місяці тому

    Wimbo mzuri ila najiuliza serikali haijui madawa yanapitia wapi

  • @reginalotashu1529
    @reginalotashu1529 3 місяці тому

    So emotional 😢😢😢

  • @JoyceChacha-i3w
    @JoyceChacha-i3w 5 місяців тому

    Wimbo mzuri sana

  • @MalikAwannn-f9f
    @MalikAwannn-f9f 2 місяці тому

    Polen san wandug Zang sas mtu akitak kusaidia uw mama atamupataaj?

  • @ElizabethKaroli
    @ElizabethKaroli 4 місяці тому

    Aaa jamaniii this is too emotional

  • @kelvinryoba779
    @kelvinryoba779 6 місяців тому +1

    😂😂😂safi sanaaaa

  • @zackzack9730
    @zackzack9730 5 місяців тому +5

    Ukwel watoto wetu watakua kwa usalama zaidi endepo madawa yakitokomea

  • @PaschalPaulo-k6m
    @PaschalPaulo-k6m 5 місяців тому

    Nice❤

  • @Mojabo-qi7sv
    @Mojabo-qi7sv 5 місяців тому

    Amina alla aepushie ili janga

  • @Passy-gj9nc
    @Passy-gj9nc 5 місяців тому +1

    Mungu uwaponye watoto wetu

  • @challemartin
    @challemartin 5 місяців тому +12

    Mungu waponye watoto wetu wakike na wakiume

  • @BenedictSamweli
    @BenedictSamweli 6 місяців тому +1

    Inaumiza lakini ndoomaishahalisi ila mungupekee nisuluhisho yahayamamboyote. Naitwa Benedict kutokakibaha mailimoja.

  • @shamimujamaly8197
    @shamimujamaly8197 5 місяців тому

    Nimelia daaa 😭😭😭

  • @StellaMawanz
    @StellaMawanz 2 місяці тому

    Da hakika ukiwa mzazi lazma ulie

  • @AnnaKulwa-k3g
    @AnnaKulwa-k3g 4 місяці тому

    Unagusa sana huo wimbo 😢😢

  • @shakiramshule342
    @shakiramshule342 6 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤ amina

  • @BenedictSamweli
    @BenedictSamweli 6 місяців тому +1

    😂daaah wimbowauchungusana ukikaa kwamakini Italian sana wengine wasiojua watakushangaa

  • @BinBiNasir
    @BinBiNasir 6 місяців тому

    Nimeipenda hii😭😭

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 6 місяців тому +1

    Huu wimbo baada ya Pusha kuomba radhi hapo ilitakiwa iingie sauti ya mtu kama Masele Mlevi, ingenoga sana

  • @HarunMsigwa-od1gd
    @HarunMsigwa-od1gd 5 місяців тому

    Hapa ndo sanaa🎉

  • @arya-star53
    @arya-star53 5 місяців тому +1

    Haki nimelia kwa uchungu😭

  • @lucypatrick7830
    @lucypatrick7830 4 місяці тому

    Kuna watu wakubwa na wafanyabiashara wa hayo madawa unakuta wapo hapo, watoto wa wenzao wanaangamia wao wanaingiza vipato kwa ajili ya watoto wao, dah Mungu tusaidie

  • @AndrewAgustino-b5o
    @AndrewAgustino-b5o 6 місяців тому +1

    Serikari naomba mjenge Simba house nyingi nchini nazitoe huduma bure upite msako mtaan kuwakama waraibu wote WA madawa wakatibiwe jaman yanawatesa watu

  • @mariamabdul7686
    @mariamabdul7686 5 місяців тому

    ujumbe🎉

  • @SaffinaMajura
    @SaffinaMajura 26 днів тому

    Kweli kilawimbo unamaana yake