brother umetangaza vizur sanaa kiasi kwamba mtu hata ambae hamjui anaweza kucreate picha flani hii millard unamtu aiseeee congrats kaka...... rest in peace legend
Daaaah yani ata awo masupar star awamfikiiiii uyu baba hata kidogooooo, wataishia kubadili wanawake mwisho wasiku olaaaah Tz I naitaji watu kama regnalid mengiiiiii sio show off Rest in peace reginard mengi 😭😭😭🙏🙏
Mwee Tanzania Imepoteza Mtu Muhimu sana jamani kumbe Ni big bilionea ivi Mzee Dah! ...Yani hapo robo ya Misaada kwa Matajiri wa Tanzania Ambao ikitokea Tatizo la nch Uwa wana Tia mikono yao moja wapo Mzee wetu Mengi daah Pumzika kwa Amani Baba yetu Babu yetu 🙏😭
brother umetangaza vizur sanaa kiasi kwamba mtu hata ambae hamjui anaweza kucreate picha flani hii millard unamtu aiseeee congrats kaka......
rest in peace legend
He is my roll model, today and forever,I really appreciate him
Nawapenda milard mpo vizur sana, hongera kwa mtangazaji
Taarifa ninayoweza kuifungua kwa uhakika ni Millard Ayo. Rest In Peace Dr. Mengi
Laaa! Superb narration
UMETANGAZA VIZURI BIG UP KWAKO SAUTI NZURI
Baba mengi tutakukumbuka sana mwenyezimungu ailaze roho yako mahali pema amina
R.i.p meng hakika ulikuwa shujaa milele tutakuenzi
Hongera sana mtangazaji
Hadi Raha ur voice brother,
Inna lililahi wainna Lilah rajunn 😭Kiukwel inauma Sana
Mungu akulinde akuongoze
utajir wake aliutumia vizur Mungu amlaze Mahal pema pepon amina
Noma sana kumbe alikuwa MTU mkubwa hiv
Daah..apumzike mzee wetu ..rest in paradise DR.mengi
ALHAMDULILLAH 🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtangaziji kila kitu kiko on point big up 👍 👍
Hili swala LA Umr Lina mkangajik kwa waandish, Wengn wanasema amezaliwa 1942, Wengn 1944 but R. I. P legends
Amen
Alie elewa vizuri hiyo tweet ya Mengi anisaidie asee
Mwakyoma upo vizur sana
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa Amina.
Amiin
Rest in peace, mengi mungu akulaze mahal pema
R.I.P Mengi
pumzika mzee wetu kazi uliokuja kuifanya duniani uliifanya kikamilifu.
Pasko uko vizur kaka... RIP Mengi
asante bro kwa hisitoria nzur
Mtangazaji uko vizuri hongera sana
Pumzika kwa aman r.i.p
R.I.P mr mengi
Rest in peace Dr
R.I.P...DR..MENGI
R I P Babu😓
R.I.P
Ndomana napendaga sana habari za millard ayo
Apumzike kwa amani
hongera mtangazaji sauti inashawish mtu kusikilza had mwisho.
RIP father
Huyu mtangazaji apewe tuzo
Mungu ampumzishe pema Mzee we2
Amekufa na mengi
Dah yani ....pumzika Kwa amani na mwanga wa misele ukuangazie
Siyo kwa vyeo hivyo alikua anameneji vp
Rip mzee mengi
Rest in peace,Mr.Mengi.
Estory nimeipenda sana inafunza nini mana ya maisha
ua-cam.com/video/-LIw6OIJNiE/v-deo.html huzuni nyingine
Daaaah yani ata awo masupar star awamfikiiiii uyu baba hata kidogooooo, wataishia kubadili wanawake mwisho wasiku olaaaah Tz I naitaji watu kama regnalid mengiiiiii sio show off Rest in peace reginard mengi 😭😭😭🙏🙏
Nakuombea kwa mungu baba akulehemu akupokee vyema
Ni mtu pekee ambae amefariki na hakuna coment za kijinga . Ujue ni kwa kiasi gani alikua mtu wa watu
Mwee Tanzania Imepoteza Mtu Muhimu sana jamani kumbe Ni big bilionea ivi Mzee Dah! ...Yani hapo robo ya Misaada kwa Matajiri wa Tanzania Ambao ikitokea Tatizo la nch Uwa wana Tia mikono yao moja wapo Mzee wetu Mengi daah Pumzika kwa Amani Baba yetu Babu yetu 🙏😭
Ile Cinema na mke wake na mapenzi ya mtandaoni waiangalie.Yule siyo Mengi nayemjua. Kuna kitu kilikuwa Kinapikwa.
Kweli kabisa mi nimeumia walla
Nilitegemea kumsikia Millard alie simulia katisha sana tena sana kamfunika mpaka adi Millard
R.i.p Mengi
Rp! fodha
Amenigusaaaaa kuliko woteee kiukweli 😭😭😭😭😭
KIUKWELI KABISAAA REGINALD MENGI, MUNGU ATAMPOKEA BILA TATIZO LOLOTEEEEEEE NA MALAIKA WATAMZUNGUKA KILA KONA
Ungekw Muslim ingependz!!
Unaliwa wew
Wee udini umeingiaje hapo awna akili kabisa ww
R.I.P
R.I.P Mzee wetu Dr Mengi
jaman mungu ampe makazi mema huyo mzee hakuna anae mtaja kwa mabaya
R.I.P