Watoto wa lut walizikwa makulo isanzu na wengine walichukulowa ma kupelekwa dar na aliye bali ni mtoto moja wa kike ambaye aliluka ukutan na kukimbolia kilum na alifanikiwa kuzaa uzao wa bibi .zetu sita mungu amlaze mahal pema pepon😢😢😢😢😢bb yetu mtoto.wa mama jasir lut
Huyu mzee ni hazing kubwa kwa watanzania. Nanivema andike kitabu kinacho elezea historia kiundan vijana wetu wapate kuijua historia ya nchi yao kama jinsi profesa kabud anavyo ieleza historia hatua had hatua. Mwisho niiombe serekali wamuangalie mzee huyu kama dhahabu kwa nchi yetu.
Singida my singida..Tunawezatengeneza Kitabu kikubwa ambacho wanafunzi wote wa mkoa wa singida ikiwezekana tanzania nzima waisome hii historia na kujua kua tumetoka wapi na tupowapi..Mkalama-ibaga ndo kwetu.
Unapingaje jambo bila ya wewe kuleta lako tulijuwe? Mbona wewe hujatuambia lako kabla ya yeye kutuambaia lake!! Jenga hoja kisomi!! Acha ujinga!! Huyu ni msomi wa ngazi ya utafiti (PhD)!! Hasemi jambo bila kulifanyia utafiti kwanza. Analifanyia utafiti kwanza jambo na akiridhika ndio analitolea maelezo. Huo ndio usomi wa ngazi ya Uprofesa!! Ninakupa siku tano ili na wewe utuletee la kwako!! Usipofanya hivyo basi tutajua kuwa wewe una chuki binafsi!!! Yaani una wivu mbaya kuhusu kisomo chake!!! Na wewe kasome kama yeye!!!
Tusiwe na tabia za kuzarau wasom. Matokeo ya wivu umbumbumbu na kukosa mwelekeo Profesa kabud.ni msomi mbobevu hazina ya taifa na dira ya historia ya nchi hii
Namuona mweshimiwa mwigulu akifatilia nakusikiliza kwa umakin chuma kinaunguruma mwenyez mungu ampe umri mrefu afya njema profesa
Hongera sana profesa kabudi Kwa historia nzuli ya nchi yetu
Prof Kabudi I salute you for the valuable history knowledge you are imparting . Umetuheshimisha sana mkoa wa singing
Asante
Ametusariti kwenye katibampya, Huyu jamaa ametuibisha kumwita magufuli mungu kishenzi
Kweli Professor Kabudi ni safi anaeleza vizuri sana . Ni kweli mkumbuke sana
Pumzikane Salama. Mungu Baba Mwenyezi Atashughulika na watu Wote. waliohusika na vifo vyote.
You must be genius, honorable Kabudi
Participatory Rural Appraisal - kumbe ilibuniwa Singapore. Well done Professor Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi, msomi nguli na mbobezi duniani.
kabudi🔥🔥🔥🔥 absolutely genius 🔥🔥🔥
Mmmh kweli ww ni profesa,nimekukubali.
Honorable Kabudi,wewe unastahili kuitwa profesa
Usomi na profesa,unastahili.MUNGU akulinde.
We jembe we ukweli ni mzalendo kweli pia una upendo mungu akulinde ❤❤❤❤❤
Fresh
Jamaa aliwapa somo wa Kenya
Hi
HIKI DR MAMA KICHWA TUWENAYE
Huyu ni Prof kweli
I saute you sir
Nakukubali mzee
Watoto wa lut walizikwa makulo isanzu na wengine walichukulowa ma kupelekwa dar na aliye bali ni mtoto moja wa kike ambaye aliluka ukutan na kukimbolia kilum na alifanikiwa kuzaa uzao wa bibi .zetu sita mungu amlaze mahal pema pepon😢😢😢😢😢bb yetu mtoto.wa mama jasir lut
Mhe,upo juu kiistoria,je baazi ya viongozi wenzako vipi
Kabudi wanahistoria NA fasihi tunakuhishimu hongera
Samia hajabugi kwa kabudi mtu na nusu kabudi njoo njoo njoo🎉🎉 endelea 🎉
Wewe unajidan'ganya kua na ndugu Oman😇,
Kwan huko huko Oman ni mbinguni?
Huyu mzee bilaaibu anajifanya nimkweli kumbe nimusariti yaani ametusariti CC watz ametuacha kwenye mahangaiko yakatibampya
Huyu mzee ni hazing kubwa kwa watanzania. Nanivema andike kitabu kinacho elezea historia kiundan vijana wetu wapate kuijua historia ya nchi yao kama jinsi profesa kabud anavyo ieleza historia hatua had hatua. Mwisho niiombe serekali wamuangalie mzee huyu kama dhahabu kwa nchi yetu.
Hani sana
Singida my singida..Tunawezatengeneza Kitabu kikubwa ambacho wanafunzi wote wa mkoa wa singida ikiwezekana tanzania nzima waisome hii historia na kujua kua tumetoka wapi na tupowapi..Mkalama-ibaga ndo kwetu.
Vizuri sana. Sasa munasubiri ndugu, mpaka awe ametoweka ndipo mutaandika!
School dem Prof.
Naam swadakta
Waweza kuwa raisi wa nchi hii una akili sana. hongera mwanafalsafa.
Hawa ndio viongonzi wanaotakiwa sasa Kwa nchii hii
Ndugu yetu kumbe. Mimi nimeishi sana Isuna.
Mh. Umesheheni elimu ya kutosha. Usiache kuzuru taasisi za elimu ya juu ili kuwamegea nasaha na shehena ya historia maridhawa uliosheheni.
Je....umeyasiki hayo......ujui tanganyika
Msimsahau jabari wa lugha ya kiswahili Joram Nkumbi,mwana wa Singida.
Jabali la kiswahili litoke singida. Kiswahili kwao pwani ya zanzibar na majabali ya kiswahili ni waswahili watu wa pwani.
Umemsahau Tundulisu
Usijali Lisu atakumbukwa na wajerumani na wabelgij
Atakumbukwa uchaguzi wa 2025.
Huyu baba namkubari sana
NAKUKUBALI BABA
❤❤❤❤👏👏👏👏💯
Kabudi wewe ni Mtu makini sana na Hazina ya Taifa hili. Wanaokuzarau ipo watakuelewa tu
Huyu mzee anavitu vingi sana ila cjajua kwann rais alitengua uteuzi wake
Please Rais mkumbuke Kabudi jua mumefanya kazi wote Enzi za JPM.
Mbn ni mshauri wa rais ikulu ...au mpk watangaze
@@enthusiastic6110 ni mchongo not so seriously
Sawa ameshamkumbuka sasa hivi ni waziri wa sheria na katiba.
Inapendeza, Kabudi ana uwezo mkubwa sana
Wewe ni hazina kubwa sana hapa kwetu
Mzee joseph sinde warioba butiku imekaaje
Halafu mtu hajui hata historia ya mkoa wake anajihita mzalendo wa nchi na huyu tumwambiaje anajua mambo kibao
Da haki nilishabakizaga kukusikilizaga wewe tu
Mavichwa hayo manayo peperusha ni Kodi zetu wadhulumu nyie
Mtu na nusu
Mbojo
Mkojo isije Iramba ibaki kwa wanyaturu
Huyu ni kichaa usomi wa bure amenities kukaririshwa ujinga na kuniita msomi ..mavi
Usikimbie ukweli, leta unachojua
Unapingaje jambo bila ya wewe kuleta lako tulijuwe? Mbona wewe hujatuambia lako kabla ya yeye kutuambaia lake!! Jenga hoja kisomi!! Acha ujinga!! Huyu ni msomi wa ngazi ya utafiti (PhD)!! Hasemi jambo bila kulifanyia utafiti kwanza. Analifanyia utafiti kwanza jambo na akiridhika ndio analitolea maelezo. Huo ndio usomi wa ngazi ya Uprofesa!! Ninakupa siku tano ili na wewe utuletee la kwako!! Usipofanya hivyo basi tutajua kuwa wewe una chuki binafsi!!! Yaani una wivu mbaya kuhusu kisomo chake!!! Na wewe kasome kama yeye!!!
Wewe unajua kukata mauno tu huna akili hata ya kujieleza
Wivu tu
Tusiwe na tabia za kuzarau wasom.
Matokeo ya wivu umbumbumbu na kukosa mwelekeo
Profesa kabud.ni msomi mbobevu hazina ya taifa na dira ya historia ya nchi hii
Nakukubali mzee