Ifahamu historia ya Jay Z ‘Shawn Corey Carter

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • KUHUSU KITABU CHA BEYONCE NA JAY Z: MAISHA, MAPENZI NA MAUMIVU
    Mwaka 2015 ulikuwa wa historia kwangu. Ni mwaka ambao hamu ya kuingia kwenye fani ya uandishi wa vitabu ilishamiri zaidi. Pengine kutokana na kupumzika kidogo kwenye masuala ya utangazaji wa redio na kuingia kwenye uandishi wa habari za burudani, kulinifanya nijikute nikifurahia sana uandishi na uchambuzi wa masuala ya burudani.
    Kuwa mhariri mkuu wa tovuti ya bongo5.com, kuliniongezea maarifa mengi yanayohusu kiwanda cha burudani si tu Tanzania, bali duniani kwa ujumla. Katika ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii, tumejikuta tukiwa na uwezo wa kuyafuatilia maisha ya kikazi na binafsi ya wasanii tuwapendao. Kupitia fursa hiyo tumeweza kuwa na uharaka wa kufahamu masuala mengi kuhusiana na maisha yao binafsi.
    Uhusiano wa kimapenzi au ndoa za mastaa duniani, vimekuwa ni vitu vinavyovuta zaidi hisia za watu wengi. Kama walivyo watu wengine, mastaa nao hupitia changamoto nyingi ambazo zinaweza kuwa hazihusiani na kipato lakini zimekuwa na nguvu kubwa kiasi cha kuathiri maisha yao. Kama walivyo binadamu wengine, mastaa nao hupitia maumivu na majaribu ya dunia.
    Pamoja na kujitahidi kuficha masuala ya ndani, bado vyombo vya habari vya udaku vimekuwa vikiibua mambo mengi mazito. Hicho ndicho kilichonivutia kuanza kuandika mfululizo wa vitabu vya ‘Maisha, Mapenzi na Maumivu.’ Nimeamua kuanza na Beyoncé na Jay Z wanaochukuliwa kama ‘Rais na first lady’ kwenye kiwanda cha muziki duniani kutokana na mapito na misukosuko waliyoipitia wakiwa pamoja ambayo pengine yamedumu kwenye midomo ya watu na vyombo vya habari kuliko mastaa wengine waliofunga ndoa.
    Kwenye kitabu hiki utafahamu undani wa maisha yao ya utotoni na kabla ya kuwa mastaa, walikutana wapi na jinsi walivyojitengeneza kuwa miongoni mwa mastaa wenye nguvu zaidi duniani. Ninaamini utafurahia undani wa maisha yao.

КОМЕНТАРІ • 78

  • @dan-konjembe5913
    @dan-konjembe5913 6 років тому +4

    Nakuja kusikiliza History of JAY-Z, Diamond platnumz and Omar Is 🔥 🔥 this side, Pamoja Big brother from Tz

  • @vanessanyanda4148
    @vanessanyanda4148 6 років тому +6

    My Fav rapper of all time..
    Can't wait fo OTR II..

  • @alikiba9723
    @alikiba9723 6 років тому +10

    Jay-Z noma dah jama anatisha sana ase 🔥🔥👌👌+1

  • @sinatatizonamtu
    @sinatatizonamtu 6 років тому +21

    Hizi ndo story tunazoziitaji sio zile za harmorapa next twende Kwa shakira au nelly na wengine kibao🔥🔥🔥

  • @dayanaleo7537
    @dayanaleo7537 6 років тому +6

    Nice sana jamani kaka sky muwe mnatuletea maisha ya hawa watu maana yananoga sana story za maisha yao ninzuli sana

  • @aliounendiaye9076
    @aliounendiaye9076 5 років тому +2

    we mkaka napenda sauti yako nzuri ivi na ww mzuri kama sauti yako mm ni mtanzania ila kwa sasa nakaa nepari ningekwepo tz ningekutafuta big up boy

    • @abdullahomarabdullah322
      @abdullahomarabdullah322 3 роки тому

      Ni mzur handsome maa shaa Allah ana mvuto flani hv na ni gentleman maa shaa Allah ...yuko vzur na ana mke mrembo na mzur maa shaa Allah na kitu kizur zaid mkewe nae ni mtangazaj hodar mwnye sauti ya kipekee pia...

  • @masiihiddajjaal
    @masiihiddajjaal 6 років тому +5

    Huyo mtu hatari sana, waiting sehemu ya pili #sns

  • @donaldmalongo1214
    @donaldmalongo1214 5 років тому +3

    Nikategemea utazungumza kuhusu dini yake inayozungumziwa na watu... Umeeleza vingine tofauti

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 6 років тому +4

    Napenda mno story za wasanii wa mbele please tuletee na za wengine twapenda kufaham

  • @teknodramaboy8376
    @teknodramaboy8376 5 років тому +2

    Nice story brother big up brother #jay z

  • @georgewamush3856
    @georgewamush3856 6 років тому +7

    Una saut nzur sana ya kumwe rewesha m2

  • @antonymutharimi254
    @antonymutharimi254 5 років тому +2

    from 254 still with you

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 років тому +21

    no 1 kusikiliz simuliz hili

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 5 років тому +1

    Daaar story nzuri kweli

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 6 років тому +6

    Big up bro sky we love u live long 😍😍😍

  • @chamygama6049
    @chamygama6049 6 років тому +2

    dah Yan brosky upo vzur

  • @emanuelcharles8349
    @emanuelcharles8349 6 років тому +1

    Upo vizuri man

  • @fadhilileskar3210
    @fadhilileskar3210 5 років тому +1

    Story nzuri sana

  • @travisweche4487
    @travisweche4487 6 років тому +2

    Big up.....

  • @musajafeti6364
    @musajafeti6364 5 років тому

    Da kaka mkubwa unajua kutangaza kitu yn unachambua kitu kimoja moja mpaka kitu kinaeleweka da one love bro

  • @superwomen233
    @superwomen233 6 років тому +2

    waooooo kweli hakuna kukata tamaa

  • @gotlyrics8774
    @gotlyrics8774 2 роки тому

    From The Joint

  • @mayaulageitangeitan6176
    @mayaulageitangeitan6176 5 років тому

    Safi sana naomba history ya wizkid

  • @aymanyassin8746
    @aymanyassin8746 6 років тому +5

    King of Illuminat

  • @gracejohn4256
    @gracejohn4256 5 років тому +1

    Nice

  • @bahathmuro7145
    @bahathmuro7145 8 місяців тому

    My daughter kuzaliwa siku moja na Jay Z en me team December

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 років тому +7

    Huyo ndio jiga buana kichwa na nusu

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 років тому +2

    👌👌👌❤️❤️

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +1

    Good story thankx bro sky

  • @robinmusic8333
    @robinmusic8333 5 років тому

    Salute sns

  • @fredricknarsis8240
    @fredricknarsis8240 5 років тому +1

    Niaje

  • @georgewamush3856
    @georgewamush3856 6 років тому +2

    Nime ipenda

  • @priscajustine2183
    @priscajustine2183 5 років тому +2

    Duu babu yangu kabisa

  • @aymanyassin8746
    @aymanyassin8746 6 років тому +2

    If you don't know

  • @justineb1536
    @justineb1536 6 років тому +1

    👌👐👌

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 5 років тому +1

    Stori ya diamond platinum please

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 5 років тому

    Dah maisha ni safari ndefu

  • @saidiabaheya6801
    @saidiabaheya6801 6 років тому +2

    Anaakili sana uyu jama nabdomana anamafanikio sana ss tunakibilia kisema ni devil

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 5 років тому

    nampnda sana na storry imekuwa fupi mnooooo. ebu ongeza jmn

  • @msharafudavid4798
    @msharafudavid4798 5 років тому

    Necccc

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 4 роки тому

    🔥🔥🔥🙌😍

  • @twahirnasa1574
    @twahirnasa1574 6 років тому +6

    Kitabu kinapatikana wapi

  • @moseslukanga9745
    @moseslukanga9745 5 років тому

    Nimependa hii hadithi ya jay z

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 роки тому

    Tuna Jay z wa kwetu bongo Latisha Sana aje amchukue pachaake

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 6 років тому +1

    Maisha yan changamoto jamn

  • @geofreyniyonkuru5724
    @geofreyniyonkuru5724 5 років тому

    hii ni nzuri kama alimnunulia BABA ake nyimba

  • @wisperfect8413
    @wisperfect8413 5 років тому +1

    Ttxo cc tz tunafanikiwa uzeeni wao miaka 17 washakuwa mabillionair

  • @rahimajuma688
    @rahimajuma688 6 років тому +5

    69 duh hata sijui nilikuwa wapi maana mama ngu ndo kwanza alikuwa shule

    • @starvista823
      @starvista823 5 років тому

      Rahima Juma ulikua kiunoni kwa baba yako😂

    • @thenextmvp8568
      @thenextmvp8568 5 років тому +1

      Rahima Juma mimi mama na baba hawajazaliwaw

  • @kamandab7976
    @kamandab7976 5 років тому

    Nilikua ni mesha miss iki kipindi kinoma noma

  • @foreverrich7978
    @foreverrich7978 5 років тому +1

    story znye maanq

  • @princekijay5450
    @princekijay5450 6 років тому +2

    Sns

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 3 роки тому

    Afya yako;-
    Tambua mabadiliko 10 ya rangi za mkojo na ishara zake👇👇👇..
    www.mrbunduki.com/2020/05/tambua-mabadiliko-ya-rangi-za-mkojo.html?m=1

  • @richardmorrice9591
    @richardmorrice9591 5 років тому

    diamond kuma acha usenge uyo babako

  • @wanenetv9672
    @wanenetv9672 6 років тому +1

    DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: ua-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html

  • @taborastreettv4841
    @taborastreettv4841 5 років тому

    Apo poa kk

  • @deogratiusmarandu7355
    @deogratiusmarandu7355 3 роки тому

    Baada yahapo tupe wa 2pac

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 5 років тому +2

    Halafu wajinga wanakaa tu na kuseni ni friimason jamani watu wanahaso sana kwenye maisha jamani daaa

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 4 роки тому

    Sio yule mond kashika baba alikimbia alituasha bas simpend ona watu awo wanaenda kutafuta baba babazao tena wanavuta unga na walev umbwa

  • @yusuphmpetu1795
    @yusuphmpetu1795 5 років тому

    😈😈😈

  • @msharafudavid4798
    @msharafudavid4798 5 років тому

    Necccc