HISTORIA YA KWELI YA GENIUS GINIMBI, TAJIRI MLA BATA, ALIYEZIKWA KIBILIONEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 111

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 Рік тому +104

    Zipo siri nyingi sana nyuma mafanikio ya kila mtu !! Jitahidi sana nyuma ya mafanikio yako awepo Mungu !!

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td Рік тому +9

    Millard ayo gonga👊 kwaiyi historia yaginimbi mzibwabwe nilikuanampenda Sanaa umenikumbusha mbalisan from 🇧🇮🇧🇮 penda san 👊👊👊👊

  • @laurenciamsheleja1873
    @laurenciamsheleja1873 Рік тому +28

    Ila Mungu Acha aitwe Mungu Ginimbi na mali zake bd alikufa na akaziacha tumtegemee Mungu sana haya yote ni ubatili tu

  • @OfficialTeacherTz
    @OfficialTeacherTz Рік тому +1

    Kiingereza ni dili jiongeze ingia youtube yangu kasome BUREEEEEE utapata kazi ❤❤❤

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +2

    Subhannallah, lakini utajiri wake haukuweza kuokoa uhai wake 😢

  • @FatumaIssa-kw3vv
    @FatumaIssa-kw3vv Рік тому +2

    Subhana'Allah

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +8

    Daah dunia hii kuna watu wana maamuzi magumu atari kwa sababu wanajua duniani tunapita kwahiyo wanaamua kula maisha kwanza duniani

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 Рік тому

      Kula dunia alafu kwa Mungu ukaneemeka pia ni vizuri, kuliko iwe kinyume chake ni majuto 🥲

  • @saradaniel4579
    @saradaniel4579 7 місяців тому

    na katika maisha tunayoishi hakuna ambae amewahi kusema ukweli pesa anapataje.....
    .. R.I.P hero,mic him,man of vibe....!#ginimbiforafrica

  • @joozeycraft2361
    @joozeycraft2361 Рік тому +12

    Alijua atakufa mapema,alijua nini anafanya,alijua Bata zilikuwa dakika za mwisho,alijua hatma ya na maumivu ya ufanisi wake.
    Tunapenda Maisha ya ufahari,tena tuyapate kwa muda mfupi,hivyo basi Tamaa zetu,Mauti

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 Рік тому +1

      Laiti tungekuwa tunajua Dunia ni pinje ya mchanga, tusingelipoteza muda na hii Dunia🥲🥲🥲🥲

  • @user-bl3rq8fj9u
    @user-bl3rq8fj9u Рік тому

    Yule boya anajiita amina chifu good love

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 Рік тому +9

    We live Once bora ame enjoy ela zake May His Soul RIP

    • @HansBwoi
      @HansBwoi Рік тому

      We live everyday but we die once 😂

    • @shcraightup
      @shcraightup Рік тому +1

      No We live twice,
      The second Phase of life is Optional
      Ni wewe sasa kuchagua kumcha Mungu na kwenda Mbinguni au kumtukuza Ibilisi na kwenda naye Jehanum 🤷🏿‍♂️✊🏿✊🏿 UBARIKIWE 🦾🦾

  • @vivianavivy3656
    @vivianavivy3656 Рік тому +10

    Ginimbii R.I.P

  • @visusajonas4354
    @visusajonas4354 Рік тому +14

    Dunia tunapita, tukia pamoja na Mungu baba inatosha

  • @ShomaryGango-db4rv
    @ShomaryGango-db4rv Рік тому +7

    Dunia bhana utaleta jeuri lakini mwisho wake kifo

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 Рік тому +5

    Huyu jamaa aliishi 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @anethteodos6208
    @anethteodos6208 Рік тому

    Yesu anatosha

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 Рік тому +6

    Kavu, kwahyo hyo ndo historia ya kweli au umesilimlia matukio yake?

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Рік тому +2

    Tajiri wa dola 50 milion ame kufa akiwa miaka 36 daah kifo kiacheni

  • @jasminimussa6214
    @jasminimussa6214 Рік тому

    Mbona walikiuka mashaliti yake sasa maana WATU hawakuvaa nguo nyeupe ila na yy angeondoka mwenyewe kwa nn aondoke na WATU wasio husika au walishiriki sanaaa katika kula naye ndiyo maana mmmh….🙌🏽

  • @geeva99
    @geeva99 Рік тому +9

    Kwamujibu wa hii video hakuwa tajiri, alikuwa mtu ambaye bado anaexperience hela, tajiri hawezi kuwa na historia kama hii, tajiri anazungumziwa kama kampuni au kipande fulani muhimu cha jamii na sio kama bar au night club

    • @lybuboyka1986
      @lybuboyka1986 Рік тому +2

      Exactly mamen

    • @jostamzxkaole3113
      @jostamzxkaole3113 4 місяці тому +1

      🤣🤣🤣🤣:we bhana kipind unaandika hii koment ulikua umeshika vitabu❓..#kwanza hii story aipate jamali april(profesa) ili tuifaidi vizuriii.. yaezakua alisaidia jamii namna frani

    • @geeva99
      @geeva99 4 місяці тому

      @@jostamzxkaole3113 😂😂😂😂

  • @Mr_smart.code_10
    @Mr_smart.code_10 Рік тому +7

    Brother una sauti nzuri ila hujui kutupa content.. content yako nyepesi mno halafu hakuna point uliyo iweka hapo.. Millard ayo ni brand kubwa so jitahidi kutupa content heavy.. nimesikiliza hata ya muamari gadafi hamna kitu

    • @muhammad_alhinai
      @muhammad_alhinai Рік тому +1

      Sawa mwambie huyo Millard Ayo akuajiri wewe mwenye content nzuri basi 😂 unatupigia kelele tu unafoka foka.. Jifunze kukaa kimya kwenye mambo mengine.

    • @musers9699
      @musers9699 Рік тому +2

      @@muhammad_alhinai ana haki ya kumkosoa kwa sababu yeye ni subscriber wake

    • @chrisswaller960
      @chrisswaller960 Рік тому

      Fanya yakwako sasa mjomba 😂😂😂😂 alafu tafuta ela ,,,

    • @user-ct3pq1lh1m
      @user-ct3pq1lh1m Рік тому

      Nyumbu ww fany ww

    • @Yussuf3145
      @Yussuf3145 Рік тому +2

      kweli hakutueleza alichokiandika

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому

    Mmekumbuka nini leo hadi mnaleta habari za kadungule qma mnatabiri kitu😢😢

  • @michaeljames3480
    @michaeljames3480 Рік тому

    Freemason

  • @methodmwenda1373
    @methodmwenda1373 Рік тому

    wait a minute@ founder

  • @eliyamgaya6860
    @eliyamgaya6860 Рік тому

    R I P king 👑 of south: poverty die

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому +1

    Umaarufu, udanganyifu wa mali vimefanya vijana wengi kuuza nafsi zao kwa lucifer. Ginimbi pamoja na kila alichokuwa amevuna amenufaika na nini?. What shall it profit a man to gain the whole world and get lost of his own soul?. Yesu yu karibu malangoni.

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Рік тому

    Mbwembw kibao saiv yup kaburin🙄🙄

  • @DottoManzi-nj5lj
    @DottoManzi-nj5lj Рік тому

    Kama kuna masikini na matajiri wapo pia

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 Рік тому +1

    Sio msafi maganda ya champaigne anatupatupa ovyo

  • @donaldkiza2493
    @donaldkiza2493 Рік тому +4

    Sasa wewe umesema historia ya Kweli mbona unatuchanganya . Wewe umeongea kuhusu Kula Bata tu duh kweli umenimalizia MB zangu. Kwani story hiyo ya Kula Bata Kila mtu anaijua, nilifikiri una jipya 😂😂😂 umetuingiza cha kike

    • @alphamedia8624
      @alphamedia8624 Рік тому

      Kabisa mb zetu zimeenda bure mbona maisha yake mengine hajasema
      Mbona hajasema magari yake yalivyowaka Moto na mengine kuzima ghafla siku ya mazishi

    • @janeongala6684
      @janeongala6684 Рік тому

      😂😂😂😂😂 ww unawaza mb zako tu umenichekesha sana😂😂😂😂😂

    • @justinembatta1785
      @justinembatta1785 Рік тому

      😂😂😂

  • @gadesbaba
    @gadesbaba Рік тому

    Mema Alio yafanya ndiyo yatakayo muokoa alipo

  • @lameckmagunya7013
    @lameckmagunya7013 Рік тому

    Du huyu jamaa alikuw tajir san

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 Рік тому

    Leo analiwa na wadudu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 Рік тому

    huyo alikuwa mwabudu shetwani

  • @mpingeally923
    @mpingeally923 Рік тому

    Siyo ajari wewe achane utapeli wa strori uyu jamaaa shemeji yake ndio vice president afu alikuwa mkuu wa majeshi uyo shemeji yake , kwasababu shemeji yake ndo mkuu wa majeshi viongozi wa serikari walimtumia ginimbi kuiba hela za serikari na kuwekeza kwa ginimbi,ginimbi aliuawa kwa kupigwa bomu na gari stori zimefichwa fichwa

    • @samchabwas3712
      @samchabwas3712 Рік тому

      Sio kwamba alikuwa anamiliki mali za kishetani.? au inakuaje hapo tena?

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 Рік тому

    Unaweza zikwa kibilionea unakokwenda ukapokelewa Kwa Adhabu kali

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Рік тому

    Wakati zimbabwe mafukara, kibao yy abachezea hela

  • @SilivestaTesha-xg1si
    @SilivestaTesha-xg1si Рік тому

    Tutakutana huko kuzimu

  • @helpmerunaway2651
    @helpmerunaway2651 Рік тому

    Eti gari aina ya whaaat .?😂😂😂

  • @allyjumaally8353
    @allyjumaally8353 Рік тому

    Hapo ndy utaskia acha wewe walikuepo

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Рік тому

    Alikua atakufa kutokana na masharti na baba yake alikua anakaa nae mbali anamjua mwanae ni zombie

  • @samwelmushi6162
    @samwelmushi6162 Рік тому

    Ushetani mtupu

  • @renatusmahombwe3093
    @renatusmahombwe3093 Рік тому +1

    Mzee vipi Ginimbi shusha madini acha hizo

  • @josephk90
    @josephk90 Рік тому +1

    Post ya ovyo kabisa, ndo historia gani hii tena miaka mitatu baada ya kifo😮

  • @MikiGermany210
    @MikiGermany210 Рік тому

    Iligonga mti sio mtu

  • @SilivestaTesha-xg1si
    @SilivestaTesha-xg1si Рік тому +1

    Tutakukuta huko kuzimu mkuu

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 Рік тому

    Binadam bhna wakipata umaarufu tu na vipesaa bas wanasahau kma kuna kifoo.MUNGU