Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

ALI KAMWE AMTETEA INJINIA HERSI, AMCHANA VIBAYA MAGOMA, AJIBU HOJA ZAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 133

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Місяць тому +4

    Nikweli Mimi Leo Sikuwa Sawa Nimeonba Ruhusa Kazini Kwavile Siko Sawa.. Asante Sana Semaji..Allah Akuhifadhi Na Kilashari Fitna Zawaja Kwa Choyo...

  • @SwediramadhaniJuma
    @SwediramadhaniJuma Місяць тому +2

    Ally huna hoja mbele ya mzee magoma, unatetea ugali tu mpuuzi ww! Hy mzee anaijuwa yanga kabla hujazaliwa

  • @sulemanaman605
    @sulemanaman605 Місяць тому +4

    Nan wa ovyoo 😂😂😂😂 mmeweka viongozi majambazi😂😂😂 magoma kawanyooshaa bisha kwa hoja dogo af ukumbuke uyo n baba ako😂😂😂

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 Місяць тому +1

      Kwenye taasisi ,weka ubaba pembeni😅

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Місяць тому +3

    Mimi ni mkenya lakini NI mwana Yanga damu damu!!! Wazee watuwachie Yanga yetu! Yaani sisi huku diaspora tuko pamoja huko!!!

  • @EzekielGittu
    @EzekielGittu Місяць тому +4

    Semaji upo vizuri sanaaaa kwa maelezo yako.

    • @mussandikumana3561
      @mussandikumana3561 Місяць тому

      Ila tuu Manara kesi akifunguliwa watumike pamoja bila chuki ao maneno ya mambo yalio pita wewe Kama wale Bros wa Azam Hadji anaitajika
      (Oublier le passe )

    • @DulaMudi
      @DulaMudi Місяць тому

      m semaji m somi ongea kaka

  • @MuslihiHassan-bi2nj
    @MuslihiHassan-bi2nj Місяць тому +2

    Unatoa wapi NGUVU ya kupingana na mahakama

  • @SwediramadhaniJuma
    @SwediramadhaniJuma Місяць тому +2

    Wewe kiazi kwel umekuja kutetea uozo, tuambie mahakama imeamuanini

  • @JohnMasonga
    @JohnMasonga Місяць тому +1

    acha kuongea uongo na kudanganya watu ujui historia ya magoma na injinia wenu

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Місяць тому +1

    Ali mdogo wangu tone yako tu inaonesha panics na hasira ndani yake ikumbukwe iliyotoa hukumu ni mahakama ukisema hoja zao ni za hovyo na watu ni wa hovyo means chombo kilichotoa haki kwa hoja za hovyo na chenyewe ni hovyo is that what you exactly mean? Vyema kujifunza kuwa calm kwenye changamoto zinapotokea makasiriko hajawahi leta suluhu sahihi

  • @SwediramadhaniJuma
    @SwediramadhaniJuma Місяць тому +1

    Kama mlifanya marekebisho ya katiba mbn hamkuirudisha kwa wanachama Kama wanahaki.

  • @FrankCharles-gv5cs
    @FrankCharles-gv5cs Місяць тому +3

    Hao wazee hawajitambui wazoea kutuludisha nyuma.Hii ni level nyingine tunataka mafanikio ss watuache vijana tufanye kazi.

  • @franccoz94
    @franccoz94 Місяць тому +2

    WAZEE WA YANGA WAPEWEE TEAM YAO,ACHA JANJA JANJA

  • @likubaro7443
    @likubaro7443 Місяць тому +1

    Jambo hili lilipelekwa muda mrefu Sana,mpaka leo mahakama wanataka hukumu ndio mnaona Kuna mamluki

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Місяць тому

    MZEE MAGOMA HAKUTAMBUI NYAMBAFU WEWE😅

  • @williammapunda1012
    @williammapunda1012 Місяць тому +6

    Waache porojo wazingatie Sheria. Kumbuka unaposema hoja za hovyo maana yake MAHAKAMA ni ya hovyo.
    Waandishi hawataenda mahakani jipangeni kisheria

    • @user-sj2rw5ev2v
      @user-sj2rw5ev2v Місяць тому

      Pimbi ww

    • @WakaliFashionTz
      @WakaliFashionTz Місяць тому

      Hata mahakam ni ya hovyo unatoaje hukm Kwa Saini za kughushi

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 Місяць тому

      We kaache kahangaike..kamesema wana Members elf 80 na kwenye Mkutano anasema walikuwa wamekidhi AKIDI..? huyu ni Bwege mtoto

  • @HajiMiraji-hn1dq
    @HajiMiraji-hn1dq Місяць тому

    upo sawa kaka

  • @sulemanaman605
    @sulemanaman605 Місяць тому +3

    Iv wew all kamwe unaakil kwahyo unakinzana na maaakamaa au umedharau au umekuja kujifunza kujibu

  • @sulemanaman605
    @sulemanaman605 Місяць тому +4

    Mmebaka katiba

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 Місяць тому +1

    Ndiyo maana vyombo vya habari vingine hata sitaki kusikiliza mwandishi baada ya kuhoji na kuuliza maswali ya msingi anasikiliza umbea

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂😂kwetu furaha

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 Місяць тому +1

    Leo umekuwa mkweli mna wanacha elfu 80 tu hahahahahaaaaa

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw Місяць тому

    Huyo mzee asiturudishe nyuma kwani iyo miaka minne iliyo pita hakuona tulivyo teseka? Leo tunakwenda vizuri anataka kutualibia atuachie yanga yetu

  • @emanwelmsuya7320
    @emanwelmsuya7320 Місяць тому +1

    Ivikwanini watu hawapendi kuzungumza vitu vizuri ivi yanga ikikorofishana simba unafurahia yanisielewi hii

  • @hamzayusuph6052
    @hamzayusuph6052 Місяць тому

    Ukipenda kukaa katika MATAKO ya matajiri mengi yatakukuta,WEWE KENGE ALI KAMWE BADO MDOGO USITAKE WAPA HUZUNI YA MAISHA WAZAZI WAKO HUYO MZEE UNGEKUWA NA HEKIMA NA BUSARA HUYO NI UMRI WA WAKUBWA ZAKO KWENU UNAMWITA KAMA MTOTO MWENZIO BASI SUBIRI BACK BURST YAKE.

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 Місяць тому

    Wananchi wote hatuwezi kwenda Bungeni ndio maana kuna wawakilishi

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 Місяць тому

    Bahati hawa wazee wasasa wengi wao walikuwa wavuta bangi katika ujana wao Leo anaonekana Mzee kumbe nijitu la hovyo kabisa

  • @LovelyPipette-ew7lv
    @LovelyPipette-ew7lv Місяць тому

    Wana yanga tupo pamoja kuiombea timu yetu pendwa hakika mungu atatushindia dhidi ya waovu.

  • @HawangaMohamed
    @HawangaMohamed Місяць тому +1

    Inamaana bungeni tungeingia wananchi wote bungeni ndo maana kuna wawakilishi

  • @PacchaYassin
    @PacchaYassin Місяць тому

    Anataka vile visent alivyokuwa anakula avifaid na sasa.

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb Місяць тому

    Kwahyo wanachoma wote waende mkutanoni ukumbi upi Sasa utatosha mfano bungeni badala ya wabunge wananchi waende watatosha au utaratibu up

  • @IbniAbbas-yz3kt
    @IbniAbbas-yz3kt Місяць тому

    Pamoja na yote ila isifikie hatua ya kumvunjia heshima mzee watu mana huyo ni kama baba yenu pia!mana nimeona wengi wenu hamna hoja bali ni mihemko na kukosa busara!huyo mzee mngemwita kwenye kamati zenu huko muyaongee kwa sababu huyo mzee sio chizi mpaka kufika huko alipofika!heshima ishike hatam hauwezi kumwita mzee wako ni mtu wa hovyo huko ni kukosa hadabu

  • @MaryMsenga
    @MaryMsenga Місяць тому

    Ana miaka mingap yanga

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 Місяць тому +1

    Soka la bongo ovyo sana

  • @zakaria924
    @zakaria924 Місяць тому +1

    Kuni zikiwaka huteketea na kugeuka kuwa majivu! Bundi katua na hizo ndiyo kasheshe zake!

  • @jumakuchele3624
    @jumakuchele3624 Місяць тому

    Huyo magoma kumanina zake ataka kuturudisha nyuma kwenye mabakuri tulikotoka sisi hatutaki kuteseka kama mikia fc

  • @yassinhabibu
    @yassinhabibu Місяць тому

    Hao wazee wa ovyo xana badala wawe watu wa maana ndo wanakuwa wa ovyo,nyie wazeee acheni njaa kama mlijisahau kutengenez maisha yenu ujanani Leo ndo mnakumbuka?,acheni njaa

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 Місяць тому

    Nyie angaikeni na mipira wenzenu huko wanapiga pesa

  • @MaryMsenga
    @MaryMsenga Місяць тому +1

    Bora usemaji tumpe ommy wa dubai

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Місяць тому

    Watu wa hovyo!!!! Semaji kama semaji!!! Leo semaji kacharuka mbaya!!!!

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 Місяць тому

    DUH! NJA ZINAWATESA HAWA ( ) WALIZOEA KUGAWANA VIJISENTI 😂😂😂😂😂😂

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Місяць тому

    Muongo wewe huna Members elf 80 na uwe na Adabu kwa wazee wako..we ni mtoto mdogo sana kwenye Yanga...shauri yako..we idharau Busara utaona...but hata hiyo Katiba ulitakiwa uirudishe kwa Members waipitie..siyo kwa Kamati...acha kurukaruka

  • @user-hl9xu4vo1q
    @user-hl9xu4vo1q Місяць тому

    Hao ndiy waliokiendesha maisha yao kupitia yanga, kumkataa Eris ni uchuzi

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 Місяць тому

    Madram kawashika tayari nyie nendeni mahakani kabla hawajakazia hukum haya mambo ni ya kisheria semaji

  • @emmanuelnyakunga8320
    @emmanuelnyakunga8320 Місяць тому

    Wazee walizoea Kutumika kama kamati ya Ufundi wameona saiv hawaitwi soka limekuwa la kitaalam mno kuliko walivokuwa wanatumika hao wazee kwakupiga Ndumba😂

  • @moneycreator5736
    @moneycreator5736 Місяць тому

    Wazee wakacheze na wazee wenzao

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Місяць тому

    BUNDI KAHAMIA JANGWANI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 Місяць тому

    Huyu mtu dressing code yake inaonyesha wazi kabisa ni jitu ambalo halijitambui na hata huyu hakimu inaonyesha wazi hakutumia busara na yeye inaonyesha anajambo lake

  • @MaryMsenga
    @MaryMsenga Місяць тому

    Au ndo Dubai

  • @SHERANasibu
    @SHERANasibu Місяць тому +1

    Sis yanga tumeridhia kumpa tim mzee wetu mzee kagomaaa

  • @user-wb9gy2xx3p
    @user-wb9gy2xx3p Місяць тому

    Anachomaanisha kuwa alikuwa na hoja za hovyo, kikundi cha watu wa hovyo yaani hadi wanasheria,karani wa mahakama na hakimu nao n wa hovyo

    • @user-yd1pc8uy8x
      @user-yd1pc8uy8x Місяць тому

      Aliamuaje maswala ya mpira wakati caf wapo?

  • @user-zn5vu5yi1d
    @user-zn5vu5yi1d Місяць тому

    Mbona serikali hawailalamikii kuhusu wabunge wachache kuwakilisha watu wengi?

  • @nurukimario-ob7dr
    @nurukimario-ob7dr Місяць тому

    Aowazee wapuuuuz akilizao zipo kwawake zao awana akili awajajielewa bado ndowauni walio zeeka ao

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu Місяць тому

    Wew ondoka hujulikan kikatiba mbumbavu wew"tuachie yanga yetuuu!nani aliwachaguaa??

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 Місяць тому

    Simba mulichelewa. Timu ipo Avic na inasubir kuwashenyeta mungelianzisha kabla hatujasajili na kwa taarifa yenu mumelichokoza mtapigwa 10 huu msimu. Watu wenu wanaenda kifungoni kwa kosa la kuhushi sahihi ya mama mwenye heshima na jina lake

  • @WilliamuPaulo
    @WilliamuPaulo Місяць тому

    Upo.sswa ndugu chapeni kazi tupo nyuma yenu

  • @user-cr5jy8mk6r
    @user-cr5jy8mk6r Місяць тому

    Nyinyi MAKOLO mwambieni MANGOMA aje klabuni kwenu kupiga ngoma hana lolote huyo hivi anafikiri uendeshaji club ni sawa na kuuza KAHAWA NA KASHATA huyo hata kama ni Mwanachama yeye na mwenzake wafukuzwe hawatufai waende huko waache UPUMBAVU

  • @YohanaMagembe-vz7rg
    @YohanaMagembe-vz7rg Місяць тому

    Yaani mpaka mseme😂😂😂

  • @fadhiliabasi6585
    @fadhiliabasi6585 Місяць тому +1

    IPO SIKU MAGOMA ATAELEWEKA LAKINI ITAKUA WAMECHELEWA

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Місяць тому

    Mkiambiwa usemaji kazi za watu mnabisha😊,,sasa huo mziki angeucheza manara aaah we ujanuna kabisa uko hapi.

  • @MonaMaiko
    @MonaMaiko Місяць тому

    Katumwa huyo akome akome akome Israel mtoa roho huyo mangoma

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Місяць тому

    Watu Nataka Nafasi Hiyo Ulio Kalia Aliy Kamwe Kama Hujuwi Na Mzungu Msuwali Yupo Nyuma Yao Wanakuonea Choyo
    Kuhusu Wandishi wahabari Wa Tanzania Wanapenda Unafiki Na Kufanya Fitna Hawana Mazungumzo Wala Hawajuwi Kumuhoji Mtu Wapo Wapo Tuu...

  • @MaryMsenga
    @MaryMsenga Місяць тому

    Huyu dogo kakulia wapi ili tuangalie michezo alicheza

  • @Williammkandawile
    @Williammkandawile Місяць тому

    Shower

  • @evaristgaspa6074
    @evaristgaspa6074 Місяць тому

    Huyo mchawi

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma Місяць тому +1

    SIMBA NGUVU MOJA 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ MAJILANI MKOWAP😢😢😅😅😂😂

  • @VictarKeya
    @VictarKeya Місяць тому

    Alli kamwe akili aina unamtukana mzee wa watu anae kuzaa laana inakuadama mamake wewe ndio wa ovyo

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq Місяць тому

    Huyo mxee akaongoze familia yake

  • @AbdulmarickLuhoma
    @AbdulmarickLuhoma Місяць тому

    Muuwen uyo mpumbavu anaetaka kuivunja yanga

  • @IbrahimOmar-tu5tc
    @IbrahimOmar-tu5tc Місяць тому

    Akaongoze familia yke kwanza yanga nguv moja

  • @salumhamad
    @salumhamad Місяць тому

    uhakik🎉

  • @sulemanaman605
    @sulemanaman605 Місяць тому +2

    Mtajua nyie mmeweka vibaka watoke

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga Місяць тому

    Wakati unafukuzia kazi yanga ulikua mwanachama wa yanga?

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Місяць тому

    Acheni timu yetu

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje Місяць тому

    Wakwanza wa hovyo niwewe unakula hunenepi ka mchawi

  • @nestoryMlenge
    @nestoryMlenge Місяць тому

    Unareweka somaji

  • @user-nz8uq5lq6x
    @user-nz8uq5lq6x Місяць тому

    Simba nyie acheni midogo

  • @NyabasindiRutayagi-q3i
    @NyabasindiRutayagi-q3i Місяць тому

    Huyo katumwa na hataweza

  • @mrajani786
    @mrajani786 Місяць тому

    Semaji nunua hao wawili kamamagoli matano

  • @LeonardNilongo
    @LeonardNilongo Місяць тому +1

    Oya nachatak injinia habak

  • @experymassawe3521
    @experymassawe3521 Місяць тому

    Unatetea ugali dogo kushabikia team sio, Sawa ita ovyo ila mahakama ndo walisha amua

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 Місяць тому

    Nyamaza kimya wee mfungwa. Umepinduliwa na mahakama. Kama unaendelea kudharau mahakama utaenda keko kunyea debe.

  • @MuslihiHassan-bi2nj
    @MuslihiHassan-bi2nj Місяць тому

    Unatetea ugali wako 😂

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 Місяць тому

    Na wewe si wewe ni njaa zako tu

  • @hassan-sarumbo
    @hassan-sarumbo Місяць тому +1

    😂😂😂ubaya ubwera kumbe yanga mnqsiri na hamsemi

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA Місяць тому +1

    HAYA MAELEZO KAYATOE MAHAKAMANI

  • @user-id5oc7hm4n
    @user-id5oc7hm4n Місяць тому

    We dogo2 unajua habari za wazee acha kuchongaa

  • @bakariiddy5387
    @bakariiddy5387 Місяць тому

    Mwehu wewe huna hata kadi

  • @franklaurent216
    @franklaurent216 Місяць тому

    Kawashika vibaya

  • @FeydhullahTwalib
    @FeydhullahTwalib Місяць тому

    Kunanini unajua kulumbiza wewe

  • @RenatusFumbuka-gw4jo
    @RenatusFumbuka-gw4jo Місяць тому

    Hayo maelezo mngetoa mahakamani

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb Місяць тому

    Ww, Unatetea, Ugali, Hunaunachokijua, danganya, matutusa

  • @rizikylaizer1602
    @rizikylaizer1602 Місяць тому

    Nenda mahakamani acha porojo😂😂

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA Місяць тому

    UKIZUNGUMZA OVYO KUHUSU MAHAKAMA NI UTOVU WA NIDHSMU KWA MAHAKAMA .....UNA WATUSI WAANDISHI WA HABARI

  • @AllyMwitu
    @AllyMwitu Місяць тому

    Haahaha

  • @johnsonsamwel7207
    @johnsonsamwel7207 Місяць тому

    Bwabwabwabwaaaaaaana bado,toka waachie wenye timu yao

  • @abdalahzungu6264
    @abdalahzungu6264 Місяць тому

    Wanaojua kuzungumza wanazungumza mahakamani hapo unabweka tu kama jibwa koko

  • @user-pm7oe5gj8g
    @user-pm7oe5gj8g Місяць тому

    Kwanini maelezo hamkuyatoa mahakamani? Sahv hata ukiongea sana haisaidii....

  • @abdalahzungu6264
    @abdalahzungu6264 Місяць тому

    Umezoe kumtukana na kumsemea hovyo baba yako sasa jiangalie usije kuitukana mahakama na maamuzi yake utakwenda jela,hiyo miwani yalo ya buku jero isikupe kiburi

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Місяць тому

    Sasa mbona unaongea kwa kupanic. Ongea smart na nenda hoja kwa hoja. Pia usimkalipie kana kwamba ni mtoto

  • @PiusMnzajila
    @PiusMnzajila Місяць тому +2

    Mm naambatana na Ali kamwe alicho kisema kwenye mkutano