Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

EXCLUSIVE: TAZAMA WASIFU wa JAJI WARIOBA KABLA HAJAFA/KUNYWESHWA SUMU/SHULE/WAZAZI/MKE NA CHEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 бер 2024
  • Yote usiyoyafahamu kuhusu Maisha ya Jaji warioba Tokea Akiwa mdogo ,Makala hii inazungumzia Yote mpaka Aliponyweshwa sumu, Fuatilia Makala hii kabla hajafa Kunamengi utajifunza katika Maisha na Hali ya sasa kidunia
    #history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia
    © Copyright 2024 on SAN TZ MEDIA

КОМЕНТАРІ • 47

  • @hopegwimile53
    @hopegwimile53 5 місяців тому +4

    Muhimu kwa wanafunzi kusaidia wasome kwa makini kuinua nchi yetu.
    Wapelekwe kumuona akiwepo awape siri ya Mafanikio makubwa kwa kuinua Tanzania.
    Historia ziwekwe Makumbusho zisomwe na Picha tafadhali.
    Mungu amlinde jemedari wetu.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому +1

      Ushauri mzuri @hopegwimile53 ilo linapaswa kufanyiwa kazi na maoni yako tutayapeleka Sehemu husika na hata hivyo hapa viongozi wengi wanaangalia video hii ,hivyo tunatumai ombi lako teyari limeshafika mahali husika😊

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k 4 місяці тому

      Huyu ni mtu muhinu kwa watanzania ukilinganisha na wengi kati ya watu

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k 4 місяці тому

      Halafu ni muhimu sana watu kama hawa kuekwa katika kumbu kumbu za nchi yetu na historia za vitabu vya kihistoria

  • @frankpeter4178
    @frankpeter4178 27 днів тому +2

    Huyu ndo Kiongozi wa juu aliyewahi kushika nafasi nyingi za juu katika Mihimili yote kuliko kiongozi yoyote Tz,
    1)Makamu wa 1 wa Rais,
    2)Waziri Mkuu
    3)Jaji wa Rufani
    4) Mwanasheria Mkuu
    5) Mbunge,
    6) Mwenyekiti Tume nyingi nje na ndani ikiwemo Tume ya Katiba.
    7) Mkuu wa chuo SUA
    8) Mshauri wa Rais

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  27 днів тому +1

      Shukrani Sana "Tupo pamoja Mkuu , Tuendelee kuelimisha na Kufahamisha watu vitu kama hivi

  • @eliandutila774
    @eliandutila774 2 місяці тому +2

    Kipindi Warioba akiwa waziri mkuu pia alikuwa Makamu wa kwanza wa Rais na sio makamu wa pili wa Rais. Tujitahidi kuweka taarifa sahihi kwa manufaa ya umma

  • @Worldunite
    @Worldunite 5 місяців тому +6

    Kichwa cha habari "kabla hajafa" kinatatanisha kinaleta maana tofauti

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому +2

      Sasa Unatakiwa kusikiliza mpaka mwisho

    • @janemtoma1082
      @janemtoma1082 2 місяці тому

      Nadhani amemaanisha wadhifu wake kabla hajafa maana tumezoea kusikia wadhifu baada ya mtu kufa

  • @User255tv
    @User255tv 5 місяців тому +4

    Masahihisho: Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, na siyo Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais.

  • @DAVIDMGOBA
    @DAVIDMGOBA 2 місяці тому +1

    Waanze kumuenze akiwa bado yupo kupitia rasim ya katiba mpya

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 3 місяці тому +1

    Mwandishi wa makala anapaswa kurudi Chuo cha uandishi wa Habari, vinginevyo ataendelea kutoa habari zilizo chini ya viwango.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 місяці тому +1

      Tuahidi kulifanyia KAZI🙏

    • @stephenndagalla8183
      @stephenndagalla8183 3 місяці тому

      @@Santzmedia Asante. Usikatishwe tamaa kwani kikubwa ni kuendelea KUTHUBUTU na KUPITIA MAKOSA NDIO UBORA WA KAZI HUPATIKANA.

  • @NYAKONGOBWIRE
    @NYAKONGOBWIRE 3 місяці тому +1

    Jaji Joseph Sinde Warioba alikwa Mwanasheria mkuu wa Serikali na wakati huohuo akiwa Waziri wa Sheria pia; Jaji Warioba alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais tangu mwaka 1985 mpaka 1990

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 місяці тому +1

      Clear na Ahsante Kwa msaada wako ,Uandishi mzuri pia tumepata faida wengi zaidi 🤝

    • @yusufmohamed8874
      @yusufmohamed8874 3 місяці тому

      Kulikuwa hakuna wasomi?

  • @MazibaOnesimo-my8gu
    @MazibaOnesimo-my8gu 29 днів тому +1

    amefariki lini?,

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 4 місяці тому +1

    Uyu jaa alie andika kichwa cha habari sijui yukoje

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 5 місяців тому +2

    huko mwanza alisoma shule ya sekondari Bwiru.form 1 hadi form 4.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому

      Sahihi ☑️☑️

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому +1

      Sahihi ☑️☑️

  • @geofreysekei7792
    @geofreysekei7792 4 місяці тому +1

    Hamjui namna ya kuandika hata vichwa vya habari yenu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  4 місяці тому +1

      Tusaidie kuandika " kutokana na Wasifu huo"

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 4 місяці тому +1

    Tupe habari za mwinyi.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  4 місяці тому +1

      Mwinyi link iyo nenda uitazame ua-cam.com/video/eKMG2RGzphc/v-deo.htmlsi=SAulx689yqW80qYi

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 місяці тому +1

    Judge warioba is the simple man in Tanzania national as the former prime minister during late julias kambarege Nyerere leadership has the experience in Tanzania gavment Since late julias kambarege Nyerere leadership has been advised ccm gavment for long but gavment official sametime lngnorant whale judge warioba has experience from Tanzania to lntanationol organization considering his duty done by judge warioba on lntanationol community organization question are leasening to judge warioba

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  4 місяці тому +1

      Thank you very much for explaining to us at least a little and we know Judge Warioba

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  4 місяці тому +1

      Don't stop following us, we promise you good things are coming

  • @HabibuSalumu-iv5wl
    @HabibuSalumu-iv5wl 2 місяці тому +1

    Tutakuja kutetea pombe furani

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 3 місяці тому

    Hiyo picha ya Makonda akimzonga zonga Jaji Warioba(wakati akielezea ripoti yaTume ya Warioba/Katiba mpya), anajisikiaje huyo Makonda aionapo hiyo picha?? Pia Jaji Warioba,anajisikiaje?? Aidha, Rais wa nchi (Mwenye imani kubwa kwa Makonda), anajisikiaje??

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 місяці тому

      Ndio maana ikaitwa Makala ,Ama Wasifu mkuu ,humo vinakusanywa vitu vyote vinavyomuhusu Jaji warioba

  • @michaelligwa9448
    @michaelligwa9448 5 місяців тому +1

    Question mark why wasifu?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому +2

      Kama Mtanzania kufahamu Wasifu wa viongozi wako ni muhimu Sana ,so Pendelea Sana kufuatilia Makala mbalimbali za Maisha ya viongozi na watu maarufu,Kuna mengi ya kujifunza ndugu😊

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 5 місяців тому +2

    Wasifu kwani alikufa si yupo? Tena tunatoka katiba mpya aliyoiandaa mpo?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому +1

      😔😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      Hahafa na tunataka rasimu yake kwenye kudai katiba mpya

    • @chire4574
      @chire4574 4 місяці тому

      Sio lazime afe ..Iyo Ni biography yake

    • @HabibuSalumu-iv5wl
      @HabibuSalumu-iv5wl 2 місяці тому

      Katiba ni yawa Tanzania siyo yake yeye alikuwa Mkt wa kamati iliundwa kukusanya maoni Hivi Nijiulize Jaji Mkuu Anapo Mwapisha Rais inakuwaje hapo tutawita yeye ndie mwenye nchi au

    • @user-nr3bf4om8z
      @user-nr3bf4om8z 2 місяці тому

      Mh. Hii nchi wamemzika bila heshima babawa watu