I wish ningemsikia huyu dada kwa watu ambao wako serious, watangazaji wameshindwa kujua namna ya kuhandle interview kulingana na nahudhui yake, full masihara, wanakatisha point muhimu, wanaongea kuliko muhusika, wanasafari kubwa ya kujifunza kuwa bora
Dada umegusa nnapopataka nataman sana na mm nifnye icho kitu unachofanya ww shukran sana kwa kuntia moyo nimejifunza🙏
Mdada smart , watangazaji mnaboa
Smart Brain ❤❤❤ historia yako inasisimua na mafunzo
Kuweza kuongea na hao waandishi kashafanyia kazi ualimu wake 😂🤌
woow very smart. Hongera sana dear...
Waandishi hovyoo kabisaa. Mkiuliza swali muacheni anaeulizwa aongee mpaka mwisho. Pia ulizeni maswali bora.
young,beautiful,and smart 🔥🔥🔥
Hongera san kipenz
Naipenda sana hii biashara
Watangazaji wanaongea Sana lakini maswali ya msingi wanaacha kuuliza
Aiseee watangazaji mnaboa, mwacheni mtu aleleze
Ok
Watangazaji mmeboa👎
I wish ningemsikia huyu dada kwa watu ambao wako serious, watangazaji wameshindwa kujua namna ya kuhandle interview kulingana na nahudhui yake, full masihara, wanakatisha point muhimu, wanaongea kuliko muhusika, wanasafari kubwa ya kujifunza kuwa bora
Nipe 5 , ni kipindi cha masihara, ila ukikiangalia kwa makini hakuna masihara.
watangazaji hovyo sana
Asante studio.
Go valentina🙏🏿🙏🏿
Nataman kuwa mfanya Biashara Sana nawazo Hilo lakn kuanza ndo nawaza
Shida mnaongea Sana watangazaji kuliko mhusika
Unanongwa wewe
Safi sana
Nimependa jinsi ulivyohasi sana mwaya
Hasi au chanya?
Watangazaji masiala kibao dada yupo serious na majibu ya msingi
Kaka hicho kipindi ni cha masihara.
@@ganganainfochannelkama cha masihala msiweke vitu vya msingi waekeni kina bambo mje mfanye masihala
Naona umeamua kutupangia sasa😀
Good
Naomba no dada
❤
Naomba namba yako pls
0762260936
Vale anajibu kisomi, watangazaji sijui wanaogopa kuuliza maswali vzri? Valentine Gabriel Philimon Moi.