Knowledge first then money will follow.. 1. Pay for training. 2. Practice as much as you can. 3. Look for mentors to guide you. 4. Money will be pouring big.
@@titus_maridhia sure brother hii forex bila mentor ni bahari kubwa, ila ukiwa nae utaona maisha unafuu wake maana kila step unakuwa na mtu unaeweza kumwomb msaada... Kwa bongo wapo wengi unaweza kuapata contact zao hapa UA-cam/instagram na bei zao kawaida.. 1. Rich Feelings Forex 2. 255Millioniresfx 3. Waileys fx Na wengine wengi etc.
Avitus wibingire hongera sana, maisha yanahitaji uthubutu kama wako. Nataman uwe roll model Wangu Please nisaidie nipate mawasiliano yako uniongoze wap naweza kupata mentor mzur wa kunisaidia
Shule hasara kwa kipindi hiki shule haina faida zaidi ya kutoa ujinga ningeona kuwa mambo yatakuwa hivi ningeacha shule form 4 kudadadeki nimepoteza time yangu ni mwalim hapa ila kwasasa ni dereva wa roli ningeliona hili ningeingia kwenye maroli 2008 nisingejuta bachelor ya education GPA ya 3.8 ipo Zambia mda huu inasubiri kuvuka mpakaaa
Vijana tujitume sio tusubiri kuajiriwa na serekali tutaumia akili zetu tuzifanyie kazi mambo ya kuigwa nikama haya si kuuza sura kwa mitandao na kukaa uchi hongera kijana
Hongera hii ndio elim inayotakiwa kujiwezesha kuliko mtu kutwa kucha kutembea na vyeti kuomba kazi kazi zenyewe hakuna hongera sana vijana tunatakiwa kuiga mfano huu
Hongera sana mdogo wng lakin huku mtaani tunawenzio tena wana D'gree 1 wanaume na wanawake' kaz yao nikumlaumu raic na kudangatu. Hawataki kujiajiri wao wanataka kuajiriwa walipwe kuanzia mil' 3 hadi'5 kwa mwezi. Mi nawaambia mtasubiri sana
Vitus mambo vp hongera kw kupiga hatua kimaisha lkn sasa MTU aombae msaada husaidiwa ndugu basis naomba namba za cm tufanye mawasiliano hata mm pia nahtaji kutengeneza maisha maana sasa ww n mwalmu kwetu ss.
may this help alot of young hustlers in Tanzania wanao tafuta njia ya kutusua katika maisha hasa wale waliotoka vyuoni na kukosa ajira ....kabla hujachukua maamuzi ya hii biashara naomba uende GOOGLE kwenye simu yako ya kiganjani then uulize hili swali DO BILLIONAIRES DO FOREX TRADING? .... AU DO MILLIONAIRES DO FOREX TRADING? Utapata majibu mengi in summary kwa kiujumla yan ambayo utaamua wewe sasa kama uifanye au laa .....INFORMATION IS POWER...trust the process ...success is never over night ....mafanikio yako hayako kesho yapo mwez ujao ..meaning its a process n takes time n falling
Kwa mtu yoyote ambae angependa kujua biashara hii. Nakukukaribisha kwenye channel yangu. Nitakuwa nafundisha kila siku alafu tutakuwa tunatrade live ukiwa na demo account yako. Ukielewa vizuri utaamua mwenyewe kufungua real account. Mafunzo yanaanza mwezi 1/2/2019. Fanya kuweka notification on. Nipo naandaa video kwa sasa. Karibu sana kwenye forex.
Hii ni kwa wale wenzangu watakoingia na mihemuko ya kupiga pesa kwa muda mufupi. Forex trading ni biashara kama biashara zingine na pia ni kazi kam a kazi zingine. Sio shortcut ya maisha hivo inahitaji kujifunza kusiko-isha, hardworking na discipline na uvumilivu wa hali ya juu. Nakufuata mashariti yake yote . Kama hutoweza kufanya vitu hivi ni bora ukawekeza sehemu nyingine kuliko kupoteza pesa zako bure. Utakula za uso utapata depression na utakufa buree🤣🤣
@@annachales9623 his point sio kukukatisha tamaa its a good thing i can advice you ukakifanye ila usiingie na expectations kubwa hio ni kama biashara nyingne tu unapata pesa kubwa ukiweka pesa kubwa au uki weka risk kubwa kwa pesa ndogo na since kufundisha watu ni biashara pia hauta oneshwa negative side zake sasa jiulize kama mtu anaweza tengeneza mill 20 hata kwa miez mitatu kwa forex tu ....laki moja yako anaibembeleza ya nn?

Karibun bitcon nayo Ni biashara nzuri kwan ukiwekeza 40$ ndan ya mwaka inakulidishia 200% ya pesa uliyoweka hii dollar ipande au ishuke we unavuna mafaida tuu na unaweza kuwekeza hadi 100000$
Alichosema kwa kiasi ni kweli hata mm nafanya forex lakini asilimia 95% ya traders hasa bongo wana loose. Siku zote usikurupuke na usipelekwe na emotions kaa chini jipange elewa forex ni nini. Maana nje na mafanikio kuna changamoto kubwa sana. Hakuna wa kukwambia ukweli kuhusu forex na huyu mbn bado sana???? Milion 15 ni hela ya chai tu.
everyone can trade forex , but not everyone can make a profit because of emotional na tamaa b cause in forex there is a tones of money ,na hakuna dunia biashara yoyote ile yenye mzunguko wa pesa mkubwa km forex , so watu wakisikia mtu ana tengeneza milion moja kwa mwezi kwa kukuaa tu kwenye pc au simu wapo wanao kuwa exited sana na wapo ambao wanaona ni km story tu za wizi wizi sasa hizo alizo sema jamaa milioni moja watu wana zitengeneza ndani ya dakika tano kulingana na mitaji yao
Dogo kweliii uwalimu nikibaruaa kazi ya YESU sirikalin uko sawa njaa tu madaraja akuna haki zao loooh bado kikokotozi bora kutema namimi natema week hii
Yaaani this is the real meaning of being you. Vijana msisome kufuata mkumbo baadae mjemtujazie wasomi ombaomba na lawama kilaleo ajira ajira ajira I wish tungekuwa na kiongozi kama Hitler awashurutishe kuifanya mapinduzi katika nyanja mbali mbali japo najua haiwezekani hapo ndipo ninapomuomba Mungu tupate uelewa wa sisi tutaifanyia nini Tanzania sio Tanzania itatufanyia nini big up kijana wewe ndomsomi hasaaa.
Ni mpole na mnyenyekevu kwa anavyoonekana Mungu akuongeze ktk kheri na akubariki sana ufanikiwe na uendelee kuilea familia yako
shukrani sana bro mungu akubariki pia
Kagera sehemu gani wa kwetu jamani
Kwao wa haya
mohammed abdallah Aamin Inshaallah yaarab
Amiina
Millad tunataka story Kama hizi za ku inspire watu, sio unatuletea habar za Amber Ruty!!
Kweli bana sio kila siku nimihabali ya wema na mambi kimambi
Mwache alete zote fan bass iyongezeke biashara yake ikuwe zaidi. Not all of subscribes like serious news
Grace Joseph 😁😁😁😁 umeona eeeh
Kawaida Grace ya mwanahabariii
😁😁😁
Uyo kijana yuko vizuri pia ameonyesha kuwa kweli amefunzwa uvumilivu na KARATU boys from arusha !!!!safi sana kijana wa ANEI
One of my inspiration video iliowah kunifanya niwe trader kwa sasa hahahaa ....printing
Mungu akubariki sana bro umeongeza maarifa Kwa kichwa yangu big up 🙏🙏🙏
Avitu Rwebingira big up classmate. Hongera san
shukrani sana brother de son
@@avituswibingire9382 Br Avitus naweza pata contacts zako ili tufahamishane vizur kuhusu hii biashara nahitaji na mim nijiunge.
Samahan naomb namba zake ka unazo
wilson nyabagaka MAPENZI
Avitus Wibingire nipe Whatsapp yako from USA 🇺🇸
Hongera sana kaka Mungu akupiganie ktk kazi yako hiyo unayoifanya.
asante sana kaka
Millard thanks for this hujui tu inasaidia wangapi
Knowledge first then money will follow..
1. Pay for training.
2. Practice as much as you can.
3. Look for mentors to guide you.
4. Money will be pouring big.
TRUE
Bro nimeipnda iyoo idea
@@titus_maridhia sure brother hii forex bila mentor ni bahari kubwa, ila ukiwa nae utaona maisha unafuu wake maana kila step unakuwa na mtu unaeweza kumwomb msaada... Kwa bongo wapo wengi unaweza kuapata contact zao hapa UA-cam/instagram na bei zao kawaida..
1. Rich Feelings Forex
2. 255Millioniresfx
3. Waileys fx
Na wengine wengi etc.
Xana kaka positive mind
Big up
kama unakubali forex inalipa ngonga like
Ooyoo matics
Anko ushawah kutmia forex??
@@zebdayleonard8599 ndio
Matics Bwaiy yaa zebdayleonard@gmail.com
Bdo sjaona matokeo ila naona inalipa
Avitus wibingire hongera sana, maisha yanahitaji uthubutu kama wako. Nataman uwe roll model Wangu
Please nisaidie nipate mawasiliano yako uniongoze wap naweza kupata mentor mzur wa kunisaidia
My contacts 0766402583
Guys Its not easy as he explain but through heavy effort and discipline its doable
unavyooneka ni myenyekevu kutoka moyoni na unauchungu na jasho
lako ,,,pole na hongera sana
Ur a gud broza coz niwachache wanaoweza kuangalia na kufanya maamuzi magum juu yakulea mama na wadogo zake mungu awez kukuacha ukiwa na moyo kama huo!
Maisha ni kujua hasara na faida, ukianguka simama, tuamke vjana wezangu
Asante martin John
Amen
Hongera sana kaka angu uko smart mno💔😭
Shule hasara kwa kipindi hiki shule haina faida zaidi ya kutoa ujinga ningeona kuwa mambo yatakuwa hivi ningeacha shule form 4 kudadadeki nimepoteza time yangu ni mwalim hapa ila kwasasa ni dereva wa roli ningeliona hili ningeingia kwenye maroli 2008 nisingejuta bachelor ya education GPA ya 3.8 ipo Zambia mda huu inasubiri kuvuka mpakaaa
Arthur Festo shule kwa tz inachelewesha tuu na sifa tuu mwenyew najuta mda niliopoteza
Japhet fracis ndio elimu ni muhim ila ya form 4 zaidi zaid 6 baada ya hapo pambana kwa system ilivokaa kwasasa
japhet francis elimu isiyo na msaada ya nin we soma forex ujiajili tyu
Big up Millard! hii interview imenifundisha kitu katika maisha.
hongera bro vijana wachache sana wenye mawazo kama yako inshalah mungu akutangulie amin
asante sana dada
@@avituswibingire9382 hahaa😂 naona unaangalia comment za speech yako
Sema milard alikufwata au uliwafwata
Vijana tujitume sio tusubiri kuajiriwa na serekali tutaumia akili zetu tuzifanyie kazi mambo ya kuigwa nikama haya si kuuza sura kwa mitandao na kukaa uchi hongera kijana
Top notch traders wamenisaidia Sana kujua hii kitu. Ushauri wangu, chukua muda wa kujifunza na utaweza forex
u so humble bro, congrats and all the best...Mungu akuzidishie
HONGERA SANA
Hongera hii ndio elim inayotakiwa kujiwezesha kuliko mtu kutwa kucha kutembea na vyeti kuomba kazi kazi zenyewe hakuna hongera sana vijana tunatakiwa kuiga mfano huu
Nimejifunza Kitu..... Asante
Nimejifunza katika maisha hakuna kukata tamaaa
hakika
Naaam👌
Nice
Sophia Nuru sawa
Kabisa!
Sema vdo waga anaoji maswali ya msing sana in short vido ni the best sanaa
subra ina kheri bidii pia imo ndani mwenyezi mungu akubariki
Nmekukumbuka mwamba ulipoteaga duce Mzee kumbe zilikua mishe izo.wazee tulijuaga umedisco
FRANCKIE RUBUBURA 😂😂😂😂😂 wahuniii
😂😂mnaendereaje tamisemi mlio enderea ?
Malengo F unalipwa million 1 anapanga nyumba ya laki 3 Kama umejua huyu ngombe gonga like
SUNSET TZ Ng’ombe ni ww sio yeye ww ndo ng’ombe unateseka na maisha ya mwenzako na mapovu yako kafulie nguo mbwa ww
Aise mm nagombana na mume wangu huwa nazani anapoteza hela ila hakati tamaa najua na yy atakuwa kama ww mumgu saidie
insha'Allah
Safi sana bro nimeipenda hii. Je? Naweza Pata direction pls bro. Tusaidiane.
Hongera sana broo uko vizur sana na una mawazo mazur
hongera sana,ila jamaa mpaka akimaliza kuelezea ushachoka
Hongera sana mdogo wng lakin huku mtaani tunawenzio tena wana D'gree 1 wanaume na wanawake' kaz yao nikumlaumu raic na kudangatu. Hawataki kujiajiri wao wanataka kuajiriwa walipwe kuanzia mil' 3 hadi'5 kwa mwezi. Mi nawaambia mtasubiri sana
shukrani bro ,umeongea ukweli mtupu ni mda sasa tuamke vijana tujiajiri
lucas juma kusoma level ya chuo sio kuajiliw ni kpta uwezo wa kjipambanua kwa kujiajil na ndo maana kila chuo ck hiz kuna somo LA entrepreneur
@@avituswibingire9382 good bro mungu akuongoze
eliah edward huyu jamaa amepayuka tu hawa ndio wale wakiona mtu kasoma wanaanza kumtenga mtaani na kumuitmsomi
Nimpole aisee daah
LAKINI PIA SIO KILA MMOJA ANAWEZA KUIFANYA,,,TUIELEWE HIYO
Vitus mambo vp hongera kw kupiga hatua kimaisha lkn sasa MTU aombae msaada husaidiwa ndugu basis naomba namba za cm tufanye mawasiliano hata mm pia nahtaji kutengeneza maisha maana sasa ww n mwalmu kwetu ss.
Wow nice.. Utupage madini kama haya mara kwa mara brother..! Inatupa changamoto
Daaaah awesome salute
Dah! Maisha hayana formula
Ume ni inspire bird 🙏🙏
may this help alot of young hustlers in Tanzania wanao tafuta njia ya kutusua katika maisha hasa wale waliotoka vyuoni na kukosa ajira ....kabla hujachukua maamuzi ya hii biashara naomba uende GOOGLE kwenye simu yako ya kiganjani then uulize hili swali DO BILLIONAIRES DO FOREX TRADING? .... AU DO MILLIONAIRES DO FOREX TRADING? Utapata majibu mengi in summary kwa kiujumla yan ambayo utaamua wewe sasa kama uifanye au laa .....INFORMATION IS POWER...trust the process ...success is never over night ....mafanikio yako hayako kesho yapo mwez ujao ..meaning its a process n takes time n falling
Good sana home boy ,,,,Be blessed
Mpole mwenyewe
hahaha shukrani
Maashaallaa uko vizur sana pambana
Tunaomba Mawasiliano yake ili sisi tulio na ndoto ya kufanya hiyo biashara tuweze kupata ujuzi zaidi kutoka kwake!🙏
hongera kijana mpambanaji
Kwa mtu yoyote ambae angependa kujua biashara hii. Nakukukaribisha kwenye channel yangu. Nitakuwa nafundisha kila siku alafu tutakuwa tunatrade live ukiwa na demo account yako. Ukielewa vizuri utaamua mwenyewe kufungua real account. Mafunzo yanaanza mwezi 1/2/2019. Fanya kuweka notification on. Nipo naandaa video kwa sasa. Karibu sana kwenye forex.
Chuo Cha Forex poa
Chuo Cha Forex OK
Tunaiapataje elimu chuoni Kwako nahitaji kujifunza 100% real and serious
contact please
Join the WhatsApp Link here
chat.whatsapp.com/CZgCH7paX9w10uxs23hWKu
Wooh nmepata KTU apo ...hongera sana kaka
Hii biashara unatakiwa uwe umetulia sana kiakili . Elimu ya hali ya juu inahitajika sana.
Hii ni kwa wale wenzangu watakoingia na mihemuko ya kupiga pesa kwa muda mufupi. Forex trading ni biashara kama biashara zingine na pia ni kazi kam a kazi zingine. Sio shortcut ya maisha hivo inahitaji kujifunza kusiko-isha, hardworking na discipline na uvumilivu wa hali ya juu. Nakufuata mashariti yake yote . Kama hutoweza kufanya vitu hivi ni bora ukawekeza sehemu nyingine kuliko kupoteza pesa zako bure. Utakula za uso utapata depression na utakufa buree🤣🤣
fact
Umeongea but ngoja tujaribu kila kitu ni imani wangu ngoja tujaribu maisha.
Anna Chales wajina kweli nikukomaa tu hakuna kisicho na changamoto
@@annachales9623 his point sio kukukatisha tamaa its a good thing i can advice you ukakifanye ila usiingie na expectations kubwa hio ni kama biashara nyingne tu unapata pesa kubwa ukiweka pesa kubwa au uki weka risk kubwa kwa pesa ndogo na since kufundisha watu ni biashara pia hauta oneshwa negative side zake sasa jiulize kama mtu anaweza tengeneza mill 20 hata kwa miez mitatu kwa forex tu ....laki moja yako anaibembeleza ya nn?
@@annachales9623 his point sio kukukatisha tamaa its a good thing i can advice you ukakifanye ila usiingie na expectations kubwa hio ni kama biashara nyingne tu unapata pesa kubwa ukiweka pesa kubwa au uki weka risk kubwa kwa pesa ndogo na since kufundisha watu ni biashara pia hauta oneshwa negative side zake sasa jiulize kama mtu anaweza tengeneza mill 20 hata kwa miez mitatu kwa forex tu ....laki moja yako anaibembeleza ya nn?
Karibun bitcon nayo Ni biashara nzuri kwan ukiwekeza 40$ ndan ya mwaka inakulidishia 200% ya pesa uliyoweka hii dollar ipande au ishuke we unavuna mafaida tuu na unaweza kuwekeza hadi 100000$
Dom TV
nicheki 0714429434
au Facebook nitumie ombi la urafiki jina langu denis marciale kato
Family mzima ni wasomi 😍😍😍.
Ongera huna maringo
Nimeipenda hii,ubunifu ni mhimu.Kukata tamaa mwiko.
Pamoja sana brother nazikubar sana story zako
Mwenyezi mungu akupe afya njema na aibariki kaz yako
Hongera sana kakaaa
Alichosema kwa kiasi ni kweli hata mm nafanya forex lakini asilimia 95% ya traders hasa bongo wana loose. Siku zote usikurupuke na usipelekwe na emotions kaa chini jipange elewa forex ni nini. Maana nje na mafanikio kuna changamoto kubwa sana. Hakuna wa kukwambia ukweli kuhusu forex na huyu mbn bado sana???? Milion 15 ni hela ya chai tu.
Kweli hela ya chai kwako lkn kwake na wengine masikini nafikili ni mzigo mrefu
Maskini mtoto wa mwalimu pole sana kwa kufiwa na baba yako lakini pia hongera sana kwa kufanya biashara yako
Ongera mwaya👋😘😘
Muhaya mwenzangu jaman
Good,keep it up, brother
Nimeipenda Sana hiyo motivation
Oa rwambaiz sehem gan
CBA arusha hiyo karatu boys!
Gonga like vijana wenzangu kama hii video imekugusa.
Brother ebu naomba naomba yako"
Uyu n wa nyumbn kabsa karagwe oyeee
you make one million tsh a month here(here we make 1 million dollar south africa) but big up
Ashuo🙄
Nawezaje kujiunga basi
will be there soon my guy
You have got to start from somewhere, and keep growing!! You can't become a millionaire overnight.
Avitus Wibingire Iam so proud of you my man...makofi mengi kwako mzee baba
Nimejifunza kitu kizuri kwa interview hii
Not everyone is a trader,have that in mind,and you’ll thank me later
Hahaaaaa... 100% your correct... But any one can be a trader too
sure brother the struggle is real
But anyone can invest in trading.
@@babalois7240 Sure
everyone can trade forex , but not everyone can make a profit because of emotional na tamaa b cause in forex there is a tones of money ,na hakuna dunia biashara yoyote ile yenye mzunguko wa pesa mkubwa km forex , so watu wakisikia mtu ana tengeneza milion moja kwa mwezi kwa kukuaa tu kwenye pc au simu wapo wanao kuwa exited sana na wapo ambao wanaona ni km story tu za wizi wizi sasa hizo alizo sema jamaa milioni moja watu wana zitengeneza ndani ya dakika tano kulingana na mitaji yao
Hongera sana home boy
Aseeeh safi sana trader
Dogo kweliii uwalimu nikibaruaa kazi ya YESU sirikalin uko sawa njaa tu madaraja akuna haki zao loooh bado kikokotozi bora kutema namimi natema week hii
Nelson Simtowe 0757906119 nichek tuongee
hahaha sio hvo bro ni kutokana na malengo ya mtu siwezi kuiponda kazi ya mtu.
safi sana bro ...umenipatia hsmasa sana ..congrats
Nakumbuka niliingia bitclub nikapoteza 2ml zangu SIJUI KM NTADHUBUTU TENA
Wana kagera wote weken likes zenu hapa
Dogo namjua,!!! Nilimuacha f. 2 kaisho secondary school 2011 karagwe
nimempenda bure sana mdogo wangu. abanyambo twiimuke👍👍👍
Nikwo
mwagumaaa
Atueleze amawasiliano tubase kwimuchana
Hongera Mwanangu
Hongera kaka
Kutoka igurwa karagwe nakupateje bro ili tuweze share mawazo
kaka naomba mwongozo plz na mm natamani sana kufanya hiyo biashara
ok dm 0762927598
Tumejifunza Apa nikusonga mbele
"your life begins the day it nearly ends"
constantine manyanda point
Jamanii nampataje huyoo jamaa
Hongera Sana broo
Njooni tujifunze project mpya dunian
Pi network
Keep mine
Keep smile
hongera kwake
Hizi ndo habari ,, zinazoatkiwa ktk ulimwengu wa kileo,,
Hongera sana mdogo wangu rwebingira
Nimeerew Sana blaza
Ndo muna washauri vijana waache chule Riziki popote nenda kauze bangi police kama Riziki popote
Eh uko sawa namm kiumri honger kwakua xhujaa
Unastahili kuigwa kijana umetishaaaaa
Hongera xnaaa janja komaa tu.
Ahsante milad
Yaaani this is the real meaning of being you. Vijana msisome kufuata mkumbo baadae mjemtujazie wasomi ombaomba na lawama kilaleo ajira ajira ajira I wish tungekuwa na kiongozi kama Hitler awashurutishe kuifanya mapinduzi katika nyanja mbali mbali japo najua haiwezekani hapo ndipo ninapomuomba Mungu tupate uelewa wa sisi tutaifanyia nini Tanzania sio Tanzania itatufanyia nini big up kijana wewe ndomsomi hasaaa.
Penda sana, the point you made over there, great
millad aise naaingiaa east africa journalism colleg nakujaa nyumaa yake
Br naomba nisaidie namba yaki plz
Kaka naomba no yako plz
Hongera kk
shukrani bro